Ben Pol - SIKUKUU (Official Music Video) - SMS SKIZA 7916864 to 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2024
  • เพลง

ความคิดเห็น • 1.4K

  • @mbogayawagenidan8701
    @mbogayawagenidan8701 ปีที่แล้ว +26

    Wangapi wamerudi kwaajiri ya mwisho wa mwaka? Naomba tujuane kwa likes.

  • @pendomwabuka8696
    @pendomwabuka8696 4 ปีที่แล้ว +4

    Tunao mkubal ben pol tujuane tafadhal gonga like yako hapa

  • @directorjp5783
    @directorjp5783 5 ปีที่แล้ว +258

    Dude la kumalizia mwaka! Kama umelielewa like usiikwepeshe!!!

    • @maikombowe9399
      @maikombowe9399 5 ปีที่แล้ว +5

      Ngoma iko poa sanaa *aminia pen pol#

    • @immamgogo4483
      @immamgogo4483 5 ปีที่แล้ว +1

      Dude lakufungia mwaka

    • @emmanuelherman7186
      @emmanuelherman7186 5 ปีที่แล้ว +2

      Daah, no comments.. Ila jamaa ni mbunifu, anafkria xn

    • @johnkuzwa9379
      @johnkuzwa9379 4 ปีที่แล้ว +2

      Kwakweli ameimba sijui ilikuaje akauuimba kwa mwaka huu pongezi kwake hatari maaana kuna sehem unaweza kulia na kunasehem inafundisha na unafurahisha lkn wengi wamelia kama mm

    • @hamadmhini421
      @hamadmhini421 3 ปีที่แล้ว

      Yy

  • @hamzasultan6844
    @hamzasultan6844 4 ปีที่แล้ว +3

    hii goma kama katoa jana iko poa kama nawewe unaona iko poa gonga like mshua

  • @dpaul...m.4476
    @dpaul...m.4476 5 ปีที่แล้ว +3

    Pen Pol nitakupenda mpka mwisho unajua kukonga nyoyo za watu, kama unakubali ktk hili gonga like tumpongeze kw hiki.

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 5 ปีที่แล้ว +217

    Kama umerudia zaidi ya Mara moja kuangalia huu Wimbo gonga like tujuane.

    • @kusirielimmari1294
      @kusirielimmari1294 4 ปีที่แล้ว

      Wawe wanatoa jumbe kama hizi, siyo mara kainama mara kiokote...

    • @jacobboniphacebabajack6916
      @jacobboniphacebabajack6916 4 ปีที่แล้ว

      Jamaa n fundi huy ben

    • @sarahmwalimu5619
      @sarahmwalimu5619 4 ปีที่แล้ว

      Anaweza mgogo mwenzngu

    • @succesjabari4618
      @succesjabari4618 ปีที่แล้ว

      Me nauskiza kwa mala nyngne 28/12/2022!..... huu wimbo jamaa aliimba

    • @allynayomo485
      @allynayomo485 ปีที่แล้ว

      @@succesjabari4618 huu wimbo ni marehemu George Peter kinyonga akiwa na band ya jobiso ulirekodiwa 1979 kule kenya

  • @samguide4568
    @samguide4568 4 ปีที่แล้ว +85

    Waliorizika na huu wimbo ulivyo mtamu, beat nzuri kuna wengine wako kifungoni kunawengine wako hospitalini, na wew uliemzima mshuru mungu. Kama huto jari fanya ku like 2020

  • @oswinmapunda7680
    @oswinmapunda7680 4 ปีที่แล้ว +61

    Ahsante Mungu wa Mbinguni kwakuiona Christmas hii km na wewe upo hai gonga like ilikumpa Mungu sifa na utukufu tuvuke mwaka salama.

  • @jubethraphael9909
    @jubethraphael9909 5 ปีที่แล้ว +405

    Wanaotamani ngoma hii ishike trending namba moja like hapa

    • @MichaelJames-tp6co
      @MichaelJames-tp6co 5 ปีที่แล้ว +7

      Itashikaje nambamoja wakati wabongo nyimbohizi hawazijui wanataka anaemba nyegezi / na nizibue mtaro

    • @mussaabobakar7537
      @mussaabobakar7537 5 ปีที่แล้ว +5

      @@MichaelJames-tp6co hahaha umeona ata hawafaham asa ageimba mondi au harmo ugesikia kila kona mjn

    • @MichaelJames-tp6co
      @MichaelJames-tp6co 5 ปีที่แล้ว +4

      @@mussaabobakar7537 kabisa nduguyangu. yani Tanzania cjui katuroga nani? Yani nyimbo zakijinga ndio zinapewa airtime nakusifiwa eti ooh! hakunakamamondi aisee na amewahi kuskika mtu ati anataka mondi ajengewe sanam kiukweli kunawatu tumefika mwisho wakufiki sasa mondi kwanyimboipi

    • @mussaabobakar7537
      @mussaabobakar7537 5 ปีที่แล้ว +2

      @@MichaelJames-tp6co Sanam kwa jimbo gan nyegez au babalao mana hana jimbo za maana zote matus tu naona mm

    • @kingsanron5743
      @kingsanron5743 5 ปีที่แล้ว +5

      Liko vzur hilo gomaa

  • @danieljames3017
    @danieljames3017 4 ปีที่แล้ว +59

    NAOMBA TULIOURUDIA HUU WIMBO ZAIDI YA MARA MBILI TUJUANE LIKE MINGI MINGI HAPA.

  • @tonnsimbasportsclub7168
    @tonnsimbasportsclub7168 5 ปีที่แล้ว +31

    Benpol wew ni fundi wanaomkubali jamaa gonga Like watu waone kuwa jamaa ni fundi

  • @Dallvano
    @Dallvano 3 ปีที่แล้ว +2

    Aliyesikiliza cover ya Dorado goldbrizzy 💪 alike hapa

  • @assamusic7648
    @assamusic7648 ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo nzuri jamani

  • @mohammedseyf9051
    @mohammedseyf9051 4 ปีที่แล้ว +72

    Hii ndio Asili yetu .. wasanii wanaiga nyimbo za nnje lkn yeye anatuonyesha asili ya mziki wetu one love Ben pol❤️🔥

  • @ericksabatho6593
    @ericksabatho6593 5 ปีที่แล้ว +199

    Degree 4 zinahitajika ili kujua ufundi uliomo humu ndani

    • @stephenmutie4931
      @stephenmutie4931 5 ปีที่แล้ว +5

      Hyu ndiye namsikia msanii wa bongo ameipa ladha goma ya rhumba

    • @patrickndojimembughuni3166
      @patrickndojimembughuni3166 5 ปีที่แล้ว

      Ameumba vizuri ila amerudia wimbo wa zamani, cover nzuri

    • @jmbsix
      @jmbsix 5 ปีที่แล้ว +2

      Hahahahahahahahahahaha au uwe na Phd ya philosophy

    • @annsony7935
      @annsony7935 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣 n kweli

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 4 ปีที่แล้ว +1

      Hiki ndio kipaji,sio hao wengine kila wimbo "michezo ya kitandani " mara " kuvunja chaga" hawana mawazo nje ya box

  • @henrychaula1174
    @henrychaula1174 ปีที่แล้ว +1

    Tunaosema na aishi Ben Pol kwa kuurejelea huu winbo wenye maudhui mazuri tugonge like za kutosha.

  • @mwajumamtari6447
    @mwajumamtari6447 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atusaidietupite salama nakukubali Sana benipol

  • @sigudaud2301
    @sigudaud2301 ปีที่แล้ว +2

    Tulio sikiliza huu wimbo 2023 tugonge like tujuane

  • @jamesmoses4806
    @jamesmoses4806 4 ปีที่แล้ว +5

    Kama ulienda kusikiliza kasuku baada ya kusikiliza hili dude like tujuane

  • @nantala299
    @nantala299 5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nilijua katow limix jaman kajituliza kwak kasub kama unakubl ben gong lik👇🖒

  • @asternjulius7761
    @asternjulius7761 5 ปีที่แล้ว +36

    Iringa gonga like hapa..nyimbo tamuu

  • @agreyaloyce432
    @agreyaloyce432 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama imekugusa ama kukufanya ufeel special mbele ya Mungu kuwa new year gonga like 😉

  • @amounanyale9220
    @amounanyale9220 5 ปีที่แล้ว +99

    Yaarrabbi tujalie uzima na afya kuuona mwaka mwengine wape afuen wagonjwa. Amin.. ♥️ Asante kwa wimbo mtamu

  • @dianajavana9435
    @dianajavana9435 4 ปีที่แล้ว +3

    Hi nyimbo ni dawa inatib magonjwa yote ukiskliza.... anaye kubal gonga like kama zote

  • @nelisonnaftary1006
    @nelisonnaftary1006 5 ปีที่แล้ว +7

    Nimeikubali sana gonga likes za kutosha kama umerudia kuiangalia

  • @emmakifimbo1049
    @emmakifimbo1049 ปีที่แล้ว +1

    Kama umekuja kuusikiliza huu wimbo baada ya kungia mwaka 2023 gonna like hapa nijue kama mzima

  • @ShabbyChuck
    @ShabbyChuck 5 ปีที่แล้ว +243

    kama umekumbuka ule wimbo wa zamani KASUKU, gonga like fastaaa

    • @ShabbyChuck
      @ShabbyChuck 5 ปีที่แล้ว +2

      @ShutterDe DON th-cam.com/video/58aDscENUp4/w-d-xo.html

    • @Pamoja-tz
      @Pamoja-tz 5 ปีที่แล้ว +4

      Anachokipata kinamtosha

    • @desekepi
      @desekepi 5 ปีที่แล้ว +4

      hapana bhna sio kasuku wenyewe ni huu apa th-cam.com/video/hnkWyhpWNQE/w-d-xo.html

    • @Pamoja-tz
      @Pamoja-tz 5 ปีที่แล้ว +2

      @@desekepi ALIIMBA NANI HUO WIMBO

    • @Pamoja-tz
      @Pamoja-tz 5 ปีที่แล้ว +2

      @@desekepi George au nimekosea

  • @selemanmayala9374
    @selemanmayala9374 4 ปีที่แล้ว +1

    Tulio wuona tena mwezi wa desember tupige magoti kumshukuru mungu wetu aku zikishindikizwa kwa like ili kuonyesha upendo kwa (Ben pole)

  • @hamispeter9043
    @hamispeter9043 5 ปีที่แล้ว +19

    Umerudia vizuri sana hio ngoma...haya kama unamkubali ben pal like hapa

  • @kessygifty6509
    @kessygifty6509 4 ปีที่แล้ว +1

    Give up bro kama unanipenda na umeikubali hii nyimbo gonga like zako apo

  • @hadijahassan9426
    @hadijahassan9426 4 ปีที่แล้ว +11

    Nmeangalia zaid ya mara tatu kama nawe umefanya hvy gonga like twende sawa

  • @seifmpemba9018
    @seifmpemba9018 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante saana kwa kutukumbuka wahenga kama wewe umekumbushwa enzi zetu kama mm tupia like zako hapa

  • @vailethchambega1945
    @vailethchambega1945 3 ปีที่แล้ว +13

    Kama na ww umekuja kuitizama huku ukimuomba Mungu mwaka uishe 2020 iishe salama twende sawa🙏

  • @khalifawapili1799
    @khalifawapili1799 5 ปีที่แล้ว +1

    Yan wasanii wenye vipaji mara zote awafuliagi cha kutunga hata wakae miaka 10 aisee Ben we fundi bhana big up broo na like nyingiiiiii

  • @maryamallymamu2149
    @maryamallymamu2149 5 ปีที่แล้ว +20

    Natamani huu mwaka hii nyimbo ifike 1m nzuri

  • @chidsufiani1133
    @chidsufiani1133 5 ปีที่แล้ว +2

    Dogo noma sana huyu ana juwa

  • @diamondplatnum8375
    @diamondplatnum8375 4 ปีที่แล้ว +20

    Wangap tumeuona kirsmas na mwaka mpya 😁😁😁😁😁

  • @MbabhiJuma
    @MbabhiJuma 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo mzur sn ongera kaka ben pol

  • @gersonsamuel5815
    @gersonsamuel5815 5 ปีที่แล้ว +17

    Ziliependwa Zita pendwa zaidi.... Gonga like kama unakubali Ben pol.... Bom trabalho Ben, tás de parabéns...

  • @nshimirimanayvette171
    @nshimirimanayvette171 ปีที่แล้ว +1

    Big UP Sanaa 2022 mwisho kwa neema ya Mungu tutaiona 2023

  • @taifastephano3394
    @taifastephano3394 5 ปีที่แล้ว +51

    Daah.....!!! hivi hao walo bonyeza dislike wamekufa au hawana uhakika wa kufika sikukuu jamani eeeh........!!!!!!! LIKES KAMA ZOTE HAPAAAA........!!!!!

    • @haimahaima9135
      @haimahaima9135 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @jacobmwema2357
      @jacobmwema2357 5 ปีที่แล้ว

      😂

    • @dvjaddie7176
      @dvjaddie7176 5 ปีที่แล้ว

      Kingnation wewe unao uwakika wa kufika iyo siku ya sikukuu?

    • @taifastephano3394
      @taifastephano3394 5 ปีที่แล้ว

      @@dvjaddie7176 Ishi kwa Imani bro Me nina Imani nitafika....

  • @spydaflexbeats7831
    @spydaflexbeats7831 4 ปีที่แล้ว +56

    0% - Watu kuvaa nusu uchi
    0% - Tungo kuhusu ngono
    0% - Makelele
    0% - Autotune
    Yani ni mziki mmoja mzuri wenye tungo safi zenye maadili ya kiafrica ukakaa na babu yako mnasikilizia mwaka kuisha 👏Ben nipe namba yako ya mpesa nikupongeze

    • @darlinkakozi314
      @darlinkakozi314 4 ปีที่แล้ว +3

      spydaflexbeats Kwani kuna sehem ya kuongezea like???

    • @spydaflexbeats7831
      @spydaflexbeats7831 4 ปีที่แล้ว +2

      @@darlinkakozi314 hamna asee hahaha

    • @emmanueltz5373
      @emmanueltz5373 4 ปีที่แล้ว

      Kwakweli hamna sijasikia badoo hvo vtu kwa benpol

    • @malisekinasha1205
      @malisekinasha1205 3 ปีที่แล้ว +1

      ☝🙏👆🙏2po pamoja kazi nzuri !!

    • @mrsdeborahurio
      @mrsdeborahurio 2 ปีที่แล้ว +1

      Miziki ya SASA ni biashara na shetani; ngono, mipombe nk.!!!

  • @bakarininga4100
    @bakarininga4100 5 ปีที่แล้ว +58

    The living song miaka na miaka km unakubaliana na mm gonga like hapa

    • @BINKOWEER
      @BINKOWEER ปีที่แล้ว

      Jobiso song, bringing back memories kinyonga brothers original from Tanzania

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 ปีที่แล้ว +243

    Nani anaangalia hii video huku akisoma comments kama mm. Tujuane jaman 👍💕

  • @princenewton
    @princenewton 5 ปีที่แล้ว +86

    Pokea Salamu kutoka Kwa mashemeji zako wa KENYA Ben Pol +254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪to be honest I fucking love the cover bro🔥🔥big up wapi like za Ben Pol 🤞.

  • @Ev_mwl_daniel_mollel
    @Ev_mwl_daniel_mollel 5 ปีที่แล้ว +9

    Anaye anaye sema Ben Poul kuwa anaweza angane nami kwa like za kutosha

  • @mgulwaboy4590
    @mgulwaboy4590 5 ปีที่แล้ว +43

    Mlio enjoi huu wimbo tujuane kwa👍

  • @j.a.y5513
    @j.a.y5513 5 ปีที่แล้ว +9

    nyimbo nzuri kakangu.angusha like kama unakubali huu wimbo wa kufunga mwaka.

  • @begaca
    @begaca 5 ปีที่แล้ว +34

    Ni kugonga Like KWA the First

  • @madukatzonlinetvjunior5806
    @madukatzonlinetvjunior5806 4 ปีที่แล้ว +2

    kama kweli unakubali wimbo uko pow like hapa wimbo utrend

  • @malakimisana8956
    @malakimisana8956 5 ปีที่แล้ว +111

    Bernard
    Kwahiyo umeamua kunitoa machozi kwa huu wimbo?
    Nimekumbuka mbali Sana hasa Baba yangu anayeteseka jela.Mungu atusaidie tu

    • @muniraahmed624
      @muniraahmed624 5 ปีที่แล้ว +3

      Pole sana ndugu yangu asee so pain 💔 Allah akufanyie wepec Inshaallah

    • @alexsandrinerphilip972
      @alexsandrinerphilip972 5 ปีที่แล้ว +1

      Pole maliki

    • @ismailmnzava4796
      @ismailmnzava4796 5 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana ,, Mungu akaweke wepesi katika familia yako Insha’Allah

    • @Slingshots8
      @Slingshots8 5 ปีที่แล้ว +2

      that is what we have to do."remember and pray for them",what you have posted is a complete prayer.

    • @jastonobeid7781
      @jastonobeid7781 5 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana

  • @kuruthumupaul1432
    @kuruthumupaul1432 4 ปีที่แล้ว +15

    umetisha sana gonga like yko plz

  • @mropeamadeus5445
    @mropeamadeus5445 5 ปีที่แล้ว +72

    Mungu ni Mwema Sana tutavuka kwa Jina la Yesu

  • @briannyiti8234
    @briannyiti8234 5 ปีที่แล้ว +11

    Kama unaamin ngoma ya wastaarabu gonga like

  • @medassanga4772
    @medassanga4772 5 ปีที่แล้ว +7

    Ukiamka ukiwa unapumua nijambo lakumshukuru mungu coz niweng walipenda kufika cku kma ya leo lkn haikuwezna

  • @jumaomary8782
    @jumaomary8782 4 ปีที่แล้ว +2

    Tulikuwa tumevikosa vionjo hivi kwa muda mrefu,sasa mambo ni mwaaaaaaaaaaa

  • @frankmasimba8098
    @frankmasimba8098 5 ปีที่แล้ว +54

    Dodoma naombeni like zakutosha

  • @mcpambe8063
    @mcpambe8063 5 ปีที่แล้ว +2

    Ben umetisha sana kwa kazi hii asilia ya muziki wa Afrika. Hizi toni huimba wale wajuao kuimba tu. Nikupongeze kwa chaguo la toni ya Jazz. Mara mojamoja tupia kazi za dansi na rumba pia

  • @milemo604
    @milemo604 5 ปีที่แล้ว +43

    Amina.
    Hasante sana kwakujuwa na kutukumbusha mungu ndokilakitu.
    Nakumbuka enzi za msondongoma

  • @issayakdyoyainvestment6876
    @issayakdyoyainvestment6876 10 หลายเดือนก่อน +2

    Who is back here for 2024? Hit like

  • @josiahdominick863
    @josiahdominick863 4 ปีที่แล้ว +17

    Ben Pol..ukimaliza pitia soda hapaa

  • @bakarimfyuzi3872
    @bakarimfyuzi3872 4 ปีที่แล้ว +1

    Tumuombe mungu tufike salama kwenye safari hii na ben p

  • @brownmakaveli545
    @brownmakaveli545 4 ปีที่แล้ว +8

    Kama umeregelea hii nyimbo zaidi ya mara moja ka mimi...gonga Like tukienjoy SIKUKUU

  • @philipo7929
    @philipo7929 5 ปีที่แล้ว +161

    Waliorudia zaid ya mara moja like zenu

  • @maryseriah157
    @maryseriah157 5 ปีที่แล้ว +12

    nahis benpol atakumbukwa sana vizaz vijavo kwa nyimbo zake za heshima na mavaz tofaut sana na malimbukeni wa music ya kizaz kipya matatoo mwili ka wa mjus heren maskion mtakumbumbukwa kwa lip bangil Chen kama mbwa #benpo#l big up bro I love you 4 sure

    • @Chadema_News
      @Chadema_News 5 ปีที่แล้ว +1

      Mary Seriah bila shaka atakumbukwa zaid kwenye ngoma ya ben pol ft darassa #3

    • @ommybrain9607
      @ommybrain9607 5 ปีที่แล้ว +1

      Lakin usisahau kuna nyimbo ilikuwa inaitwa tatu aliomshirikisha darasa alikuwa uchi kabisa je nae haitakumbukwa ,,,teknolojia haifutiki kbx

    • @mussanassoro790
      @mussanassoro790 5 ปีที่แล้ว

      Mary Seriah enjoy mziki maneno maneno ya hereni eka pembeni #woteniusanii

    • @mpungajames4356
      @mpungajames4356 5 ปีที่แล้ว

      Usipende kujaji maish ya watu ambao wamekuzid vitu vingi waache na tatoo zao wew ishi kitaktifu Mana Kila mtu mungu atamuhukum kwa nafac yake
      Utjisikiaje siku ya mwisho ukiend jehanam na unaosem wan matatoo au hawajiheshim😀🤣🤣

    • @leonardbugomba8548
      @leonardbugomba8548 5 ปีที่แล้ว

      Dada una hasira🤣🤣

  • @emmanueltz5373
    @emmanueltz5373 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli nakubali sana unachokifanya bro.. sio kama wale kina nanii keep it up benpol✌️😇💕💕💕

  • @bramoajibu5058
    @bramoajibu5058 5 ปีที่แล้ว +8

    Kikubw tuombe mungu Allah atumfanyie wepesi ktk kumaliz mwak huu mungu awape uzm wale wote wagonjw

  • @chumatyres7586
    @chumatyres7586 5 ปีที่แล้ว +21

    Kila nikisikiliza hisia zinanikimbusha mbali sana hii ni ya kifundi zaidi imeendana na generation yetu big up bro

  • @samuelypaulo820
    @samuelypaulo820 4 ปีที่แล้ว +29

    Hii ndiyo nyimbo bora mwaka 2020🔥🔥🔥😂😂👍👍

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 5 ปีที่แล้ว +3

    Big up.
    Watu kama huyu jamaa hawa kufii ng'oo! .. 😆😆😆😆😆... mashallah 😁.

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 4 ปีที่แล้ว +25

    Ben pol ww ni Nouma kazi nzuri sana

    • @mamajmamaj2950
      @mamajmamaj2950 4 ปีที่แล้ว +1

      Ben mpo vizuri namuona wyse kwa mbaliiìii .big up kwenu wimbo kunogaaaaaa.

  • @Emmanuel-nx1hi
    @Emmanuel-nx1hi 10 หลายเดือนก่อน +1

    2024 nimekuwa kwanza nipeni like zanguuuuuuuuuuu ❤❤❤❤❤

  • @erickstiven645
    @erickstiven645 4 ปีที่แล้ว +5

    Kama na ww unaamini huu wimbo utadumu mika nenda rudi gonga like my friend!!
    It's me Baba D from +255

  • @jeffiiddo2719
    @jeffiiddo2719 5 ปีที่แล้ว +16

    Hii rhumba iko juu🔥👐,nakumbuka enzii zanguu😃😃😃

  • @goldgold.
    @goldgold. 5 ปีที่แล้ว +86

    Anerlisa Miungai and Ben pal ...🇰🇪🇰🇪❤️ congratulations 🇰🇪🇰🇪❤️

  • @sharonawuor1732
    @sharonawuor1732 3 ปีที่แล้ว +1

    we here again .sikukuu imefika imalizike salama

  • @annaokello8250
    @annaokello8250 5 ปีที่แล้ว +53

    Wooow nice song nimeipenda SNA hii nyimb Kama umeipenda gonga like hapa now

  • @dadyyoo6799
    @dadyyoo6799 5 ปีที่แล้ว +1

    UMetisha sana ben

  • @HenryKweka1
    @HenryKweka1 4 ปีที่แล้ว +22

    "Kifo Cha Sasa, Kama Maji, Yatokapo Yaendapo Hayajulikani..." Ushaambiwa na Mwanamama,, The Legend BenPol.

  • @stephenmutie4931
    @stephenmutie4931 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama unahisi Ben pol aneza Fanya rhumba tamu ..pita na like yako na huku

  • @Sticky_TheOne
    @Sticky_TheOne 5 ปีที่แล้ว +79

    hapo sasa taking us back when Christmas was Christmas🔥🔥🔥🔥

    • @eliatosha492
      @eliatosha492 4 ปีที่แล้ว +2

      See eeh!

    • @shehdon847
      @shehdon847 4 ปีที่แล้ว

      BONYEZA HAPA 👇🏻
      th-cam.com/video/WLA-1Gq2y-A/w-d-xo.html

    • @rubeniduwe9782
      @rubeniduwe9782 3 ปีที่แล้ว

      Ben nampa big up!!!!

  • @shijabudeba1549
    @shijabudeba1549 5 ปีที่แล้ว +1

    Oh bro nomaaaa hyo

  • @elizabethmanase3291
    @elizabethmanase3291 5 ปีที่แล้ว +7

    Wow wote wanao kubali hili goma twende sasa 💃💃💃💃

  • @joshuanassary1002
    @joshuanassary1002 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU atuvushe salama

  • @davisalphonce7001
    @davisalphonce7001 4 ปีที่แล้ว +7

    Daah miaka yaenda mbio, ooh mama, siku zaenda mbio mwana mamaa aah! huu wimbo mtamu sana aisee.Good work Ben

  • @rimosaidi1056
    @rimosaidi1056 5 ปีที่แล้ว +7

    if your father is fun of rhumba gonga like......kasongo ooo nibonga langai

  • @hanskitundu874
    @hanskitundu874 4 ปีที่แล้ว +5

    Huu wimbo ni nyoko. Yaan kila siku nausikiliza tuu sichoki 🔥 🔥

  • @samwellupimo1125
    @samwellupimo1125 5 ปีที่แล้ว +13

    Naandika kwa herufi kubwa....
    BEN POL WW MUNGU ANAKUONA NA ANAPENDA KUKUONA UKIFANIKIWA KWA KILA NJIA. MI NAKUOMBEA UJE UIMBE GOSPEL HATA MOJA YN MOJA TU INATOSHA..........
    NYIMBO ZAKO NI NZURI, ZINATUPA WAKATI WA KUTAFAKARI ZAID ILA WENGINE WANAIMBA UTUMBO............
    PRAISE BE TO THE HOLLY FATHER...
    ITS CHRISTMAS, ITS NEW YEAR

    • @timmztimam3990
      @timmztimam3990 5 ปีที่แล้ว

      @benPol
      SIJUI UMEZINGATIA HII COMMENT!!
      Ukifuata huu ushauri hakika baraka zitakuatilia popote ulipo zaidi ya zile zilizokukuta Mpunghuzi, Dar mpk Kenya na zikakupeleka mpk Miami. .Utakapofanya GOSPLE Song hata 1 Amini zikakukuta baraka mingi mingine Bongo na dunia nzima.
      Please JUST DO IT.

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 5 ปีที่แล้ว +8

    Nyimbo itaishi miaka yite ii🙏🏾
    Wakubwa watakua wameelewa

    • @master0182
      @master0182 5 ปีที่แล้ว +1

      Nyimbo nzuri

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 5 ปีที่แล้ว +2

    💥💥💥💥😋👍ben Paul song la kumalizia mwaaka.aiseee unajua sana

  • @emmanueldottto5379
    @emmanueldottto5379 5 ปีที่แล้ว +43

    Wengine mmezaliwa 2000s apa mnasema kawakumbusha mbali wapi sasa ?? Ila ngoma Kali bro

    • @mchoromohammed6606
      @mchoromohammed6606 5 ปีที่แล้ว +5

      Kila mja ana mbali yake ndugu...mwaka 2000 hadi leo ni miaka 19. Kama ni binti tauari ana watoto 2

    • @hora8707
      @hora8707 4 ปีที่แล้ว +4

      😂🤣😂 kama mwanangu jamani ana miaka 14 nae anakumbuka mbali na wimbo wa Benpol 🙄😇😂

    • @tonganekwizayo9642
      @tonganekwizayo9642 4 ปีที่แล้ว +1

      🤔🤔🤔

    • @tinahtinahmashaka4278
      @tinahtinahmashaka4278 4 ปีที่แล้ว +1

      Ahahahaha

    • @edhe9772
      @edhe9772 4 ปีที่แล้ว +1

      Very funny

  • @rosenatalia5802
    @rosenatalia5802 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama hnamkubali Ben pol gonga like ...team kenya oyeee..

  • @mariammariam4721
    @mariammariam4721 4 ปีที่แล้ว +5

    😭😭🙏🙏mungu tujalie tuone mwaka mpya sisi na wazazi wetu na watoto zetu mungu wetu tujalie nema nawalewagonja mungu ujalie afya njema jani mungu ani mpka nalia asante mungu🙏🙏nawale walio tangu lia subuana wapunguzie azabu za kaburi ishahalla🙏🙏

    • @davidchesco52
      @davidchesco52 4 ปีที่แล้ว

      Mariam Mariam pole utafanyaje sasa ndo yadunia ayo wimbo unakumbusha mengi na unaliza kiukweli

    • @HadijaNgitu-k4y
      @HadijaNgitu-k4y 11 หลายเดือนก่อน

      Amina

  • @RickChazy
    @RickChazy 5 ปีที่แล้ว +2

    Mziki ndy huu sasa respect brooh kwa kaz nzr }#benpol

  • @daudichawo240
    @daudichawo240 5 ปีที่แล้ว +11

    Nyimbo ya Mr jobiso....umejitahid kukopi....nimefurahi sanaa

  • @healthawakeinstitution-hai2397
    @healthawakeinstitution-hai2397 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunaosikiliza huu wimbo mwaka huu like hapa...

  • @isakaramadhani613
    @isakaramadhani613 5 ปีที่แล้ว +59

    Wagogo wote gonga like twende sawa

  • @wilsonmichael1156
    @wilsonmichael1156 4 ปีที่แล้ว +2

    Hizi ndio nyimbo zako ben, endelea na staili hizi kk

  • @barakamlowe3328
    @barakamlowe3328 4 ปีที่แล้ว +7

    Ngoma imenibamba saana imetengenezwa vizuri daaah nimefurah saana👏👊

  • @bahatinzilatv5732
    @bahatinzilatv5732 4 ปีที่แล้ว

    Umeutendea haki wimbo huu kazi nzurj