Kutembea na Mafuta ya Bwana [PART 1] | Rev. Edward Mwai

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • #jesuswinnerministry #grace #pray
    Subscribe for more!! Catch inspiring sermons Mon -Thur/Sun at 3pm
    Follow us on
    ​INSTAGRAM @Mwangaza_tv
    / mwangazatvkenya
    FACEBOOK @Mwangazatv
    / ​​​
    TWITTER @Mwangaza_tv
    / mwangaza_tv

ความคิดเห็น • 18

  • @LenaKamau-jj2vl
    @LenaKamau-jj2vl ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen God is good 🙏

  • @suzeinmwas5858
    @suzeinmwas5858 ปีที่แล้ว +1

    Amen i need double blessings this year nafuata Mafuta ya Spiritual dad pastor Mwai 🙏

  • @petermuriuki7116
    @petermuriuki7116 ปีที่แล้ว +1

    Very powerful pastor

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 ปีที่แล้ว +5

    Oh Halleluyah wakristo, hatuogopi shetani, hatuombi kukufa na kushindwa kwa sababu tuko na "Kingly Anointing from Heaven - Authority to say anything." Mungu sio Muongo na kile chochote Alituahidi lazima kitatendeka. Leo Annointing na Unabii zitaondoa waganga na wachawi wote. Lazima Mungu Amtumie Mtu wa kutuinua kama Alivyomtumia Eliya kumuinua Elisha. Yale Mafuta Yote tumepakwa JWM miaka yote Yaanze Kutafuta baraka zetu na zichomoke.

  • @mwangikahumbi1511
    @mwangikahumbi1511 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen

  • @lizk144
    @lizk144 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah

  • @davidkuria6463
    @davidkuria6463 ปีที่แล้ว +1

    Powerful Revelation ✨

  • @samwelwanjigi8811
    @samwelwanjigi8811 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nisaidiye nizisahau upako wako uliyo nipaka. Mafuta nimepakwa ianze kazi sasa.

  • @ceciliahblessings6119
    @ceciliahblessings6119 ปีที่แล้ว +1

    AMEEEN AMEEEN AMEEEN

  • @jairusdaughtershow7077
    @jairusdaughtershow7077 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏

  • @elizabethwangui8384
    @elizabethwangui8384 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen 🙏

  • @suzeinmwas5858
    @suzeinmwas5858 ปีที่แล้ว +1

    I tap the annonting mimi ni mshindi💯

  • @elizabethwangui8384
    @elizabethwangui8384 ปีที่แล้ว

    Halleluya Halleluya

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 ปีที่แล้ว +1

    AMINA. Wakristo tusifadhaike kwa maana hata kama sisi ni watu wa chini chochote Mungu Alituahidi lazima Atatenda.​Watu wanatuona na vumbi lakini hawajui ile miujiza itatendeka kama vile Elisha alikuwa kwa vumbi wakati Eliya alikuwa ameenda kumpaka mafuta lakini Mungu Atajitukuza na Elisha kwa Njia Kuu. Mungu Hutafuta kichakani kule hakuna chochote. Haijalishi tumekaa muda upi JWM baraka yetu inatengenezwa. Mafuta Ya Mungu lazima itamake sure kuna mtu anapokea.

  • @jescahmuhongo48
    @jescahmuhongo48 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @jescahmuhongo48
    @jescahmuhongo48 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 ปีที่แล้ว +2

    ​AMINA. Wakristo tusiogope chochote wakati Mafuta Ya Bwana Yako juu yetu kwa maana Yatatushindania kwa maadui daima. Tusiwe ndani ya mafuta na tukawa tunaomba mabaya yafanyike kwa maana Mungu Akiona tumeomba mabaya Huondoka na Kutuacha. Mungu Ametuleta kwa Madhabahu Yake Mahali kuna Mafuta ili Yafungue njia ile wanadamu hawawezi fungua. When in God's Presence usijitabirie mabaya kwa sababu kutomtambua Mungu ndio hufanya tusipate baraka tuizoahidiwa. Mafuta inatafutanga baraka na kile hakuna Mungu Huleta. Tufunguke macho tuone vile Mungu Huona. Tukiona leo Yeye Huona kesho.

  • @kapeto_tv
    @kapeto_tv ปีที่แล้ว

    Pocketing