KISHIMBA AIBUKA NA MPYA BUNGENI “ASKARI WAPELEKWE HOSPITALI, WANANCHI WATIBIWE BURE”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 266

  • @UlimeA
    @UlimeA 3 ปีที่แล้ว +20

    Huyu mzee anaongea simple ila anaongea point za msingi sanaa

  • @davidbuyamba9389
    @davidbuyamba9389 3 ปีที่แล้ว +29

    Akili nyingi sana.anahoja za msingi sana huyu mzee,pengine hajizielezea vzr tu,lkn anapoint balaa.big up sn kiongoz

    • @kysontristan2626
      @kysontristan2626 3 ปีที่แล้ว

      I dont mean to be so offtopic but does someone know a way to get back into an Instagram account?
      I somehow forgot the password. I would appreciate any tips you can offer me.

    • @glorymbwambo2888
      @glorymbwambo2888 2 ปีที่แล้ว

      Kishimba ni professor

  • @madukurumwanileles7909
    @madukurumwanileles7909 3 ปีที่แล้ว +9

    Huyu in mbunge Wa kweli kweli anajua shida za wananchi wake,safi sana.

  • @bernahjoseph4741
    @bernahjoseph4741 3 ปีที่แล้ว +4

    😘😘😘unaongea kiutaratibu alafu point tupuu sio Kama wabunge wengine wapiga kelele bungeni kutaka kujionesha🙄#much love you 🤗🤗

  • @madukurumwanileles7909
    @madukurumwanileles7909 3 ปีที่แล้ว +6

    Nakuelewa sana mheshimiwa kishimba,uko vizuri sana tu Du!.

  • @tinomallya9432
    @tinomallya9432 3 ปีที่แล้ว +4

    Hivi ndo vichwa 2navyo vitaka Bungen ON POINT BROH BIG UP

  • @vailethngonyani759
    @vailethngonyani759 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren Sana wabunge kwa kazi nzuri, ila suala la bima ni changamoto, NHIF wamesitisha bima mtoto wa miaka 18 na mzazi bado anakatwa hera ya bima je haki, inawezekanaje hilo suala ni gumu

  • @melikielavelline9192
    @melikielavelline9192 3 ปีที่แล้ว +13

    Duh Siku iz hospital mapokezi tu ni 5000 ila huyu Mbunge alipewa kura za haki kabsa japo ni Tajiri anagusa wanyonge sana

    • @rugijofrey3685
      @rugijofrey3685 3 ปีที่แล้ว

      Matibabu ni gharama mno kuna jambo linabidi kufanyika

  • @janathankazimily7718
    @janathankazimily7718 3 ปีที่แล้ว +6

    Asantee mh mbunge wangu ...ndo maana kahama inazidi kuendelea tu kwa sababu imajaliwa watu ..wenye busara ..tupo na sisi hapa Kahama tuna pambana..tuwakorishe ..mzee wetu .siyo kila Alie soma anafaa kuwa kiongozi ht wa darasa la Saba .ndo viongo mahiri 👏👏👏 point..

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 3 ปีที่แล้ว +5

    Genius ni uwezo wa akili kuelewa na kufikiria na kufanya kwa haraka na kwa mapana kuliko watu wengine. Huyu mzee ni Genius.

  • @dadibindinho3743
    @dadibindinho3743 3 ปีที่แล้ว +1

    Jumanne kishimba hajawahii kuongeaa upuuzii huyuu anaongeagaa point siku zoteee✔️

  • @maggyfrancy
    @maggyfrancy 3 ปีที่แล้ว +12

    Yan Mheshimiwa huwa unachangia vema mnoo, MUNGU azidi kukujalia hekima ili kutumikia zaidi wananchi wa Tanzania!

  • @halimaamru7436
    @halimaamru7436 3 ปีที่แล้ว +7

    Asante mh.
    Haya ndo baadhi ya malengo na kazi ya kiongozi kwa wananchi.
    Tafadhali mh ulipo una ahadi ya zawadi kutoka kwangu.

  • @estermtitu7205
    @estermtitu7205 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mbunge kama hana phd ya darasani, nashauri atunukiwe phd ya heshima na uwezo wake wa kufikiri mkubwa kwenye field/ practical kushinda nadhalia za darasani. Vyuo vikuu kazi kwenu

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 3 ปีที่แล้ว

      Wala PHD haihitajiki hapa.PHD ni kisomo tu na huchangia elimu kwa sehemu ndogo tu na hapa panahitaji elimu

  • @Maggie-yx8pw
    @Maggie-yx8pw 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwakweli kwa Ndg zetu wa Vijijini ni huruma sanaa wafikiriwe kweli kweli.

  • @chiefmahucha6847
    @chiefmahucha6847 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaani huwa nawaza kwa sauti, iwapo angesoma na kuwa na masters tuu..!
    (1)Kwanza ni genius
    (2) Pili ni mzalendo
    (3)Tatu huwa sehemu ya suluhu na sio sehemu ya tatizo
    Cha ajabu sasa nimemsikia tangu nikiwa Shule ya msingi miaka ya 1995,...hawajawahi kumpa hata U-naibu Waziri hadi leo hii anazeeka..! Unafiki uliomo CCM Mungu anawaona tuu!

  • @kilingahamissi6734
    @kilingahamissi6734 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee bahana mm namwelewaga sana maana anagusa maisha yetu halisi ya mtaani na kijijini kabisa

  • @azizatamko3191
    @azizatamko3191 3 ปีที่แล้ว +18

    Hongera sana my brother ww ni mtu mwema

  • @JiTuKaBheJa
    @JiTuKaBheJa 3 ปีที่แล้ว +9

    Genius always anafkiriaga nje ya box

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki sana baba, kati ya wabunge ninaopendaga sana niwasikie, wewe ni kisima cha busara!

  • @omaryregga5315
    @omaryregga5315 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakuerewaga mshua wew sio mnafiki

  • @mabeleleheven1467
    @mabeleleheven1467 3 ปีที่แล้ว +4

    Good point wabunge wa namna hii ndiyo wanaotakiwa tz

  • @husnamuhammad1306
    @husnamuhammad1306 2 ปีที่แล้ว +1

    Tutakupa nchi kama unataka ❤️

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 3 ปีที่แล้ว +6

    Ila ni kweli askari wamejaa sana barabaran doh! yaani kama ndugu zetu madereva Kirikuu wanatamani pasikuche.

  • @jacsns9266
    @jacsns9266 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee mm.nilikuuzia vitabu kigongo ferry hongera kwa hoja nzuri

  • @emmanuelkusekwa5901
    @emmanuelkusekwa5901 3 ปีที่แล้ว +4

    Nothing to say bt your effort we appreciate👏👏

  • @geofreykilasi7354
    @geofreykilasi7354 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba points ziko 100%, askar hospitalini saf San...bima wantutapeli sana

  • @kasigwaiddy9045
    @kasigwaiddy9045 3 ปีที่แล้ว +8

    Mzee mimi huwa nakuelewa sana!!! Hakika unastahili kuongoza nchi.

  • @kassimmurji2872
    @kassimmurji2872 3 ปีที่แล้ว +1

    Kishimba nimekupenda bure kumbe unaakili kiasi hicho duu mungu akubariki mhh unaakili sana

  • @lastbornonlinetv4264
    @lastbornonlinetv4264 3 ปีที่แล้ว +4

    Mbunge wa mwaka huyu,, big up 👊

  • @francismagembe9400
    @francismagembe9400 3 ปีที่แล้ว +2

    Ideas nzuri sana

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 3 ปีที่แล้ว +3

    Umeongea vizuri muheshimiwa.

  • @allyiddi2902
    @allyiddi2902 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulinde mheshimiwa kishimba hongera sana

  • @newgeneration9524
    @newgeneration9524 2 ปีที่แล้ว

    Daaah Kishimba Mungu akupe miaka mingi ya kuishi

  • @dionsangoa1428
    @dionsangoa1428 3 ปีที่แล้ว +7

    kuna wasenge hapo naona wanagonga meza na kucheka sijui kinachochekesha hapo ni nini upinzani hapo hawapoo walituchelewasha sanaaaaaa

  • @velejilyomhongole6698
    @velejilyomhongole6698 3 ปีที่แล้ว +7

    Jimbo lako kuwa na Mbunge kama huyu ni tunu kwa kweli.

  • @salmamulira2838
    @salmamulira2838 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 hoja zake za maana Sana
    Hongera Mheshimiwa Kishimba

  • @issazakaria863
    @issazakaria863 3 ปีที่แล้ว +3

    Akili mingi sana kishimba tuko pamoja mzeebaba

  • @japharymagesa735
    @japharymagesa735 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali jembe langu#Kahama 🤗

  • @martinntulo9190
    @martinntulo9190 3 ปีที่แล้ว +2

    Hizo ndiyo hoja za msingi MH kishimba hongera sanaa

    • @edwinmwaipembe1565
      @edwinmwaipembe1565 3 ปีที่แล้ว

      Naweza kusema uyo ndio mbunge bora kuliko wote kwa hoja nzuri ya
      Afya

  • @helgaaporinaly2811
    @helgaaporinaly2811 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana baba tumekuelewa wanyonge

  • @robathzingu1650
    @robathzingu1650 3 ปีที่แล้ว

    Mzee Kishimba ana mchango uliojaa mantiki tupu. Anazungumza mambo rahisi yaliyo real kabisa ktk maisha ya kila siku..

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyu mbunge ana akili sana aise MUNGU ambariki sana

  • @medlucas5686
    @medlucas5686 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante mzee

  • @muftthedone7190
    @muftthedone7190 3 ปีที่แล้ว

    Mnamo mwaka 2026 nntapenda kishimba akavute phom ya uraisi mana cjaona mbunge meene busala na pointy kama huyu respect sana pr, kishimba

  • @lazarosteven7286
    @lazarosteven7286 3 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri mbunge wangu mitano✊✊✊✊ tenaaaa

  • @edwardhangaya5448
    @edwardhangaya5448 3 ปีที่แล้ว +2

    Good point

  • @ombeniefata7617
    @ombeniefata7617 3 ปีที่แล้ว +12

    Yani huyu mbunge ana akili Sana huwa najiuliza Sana haya mawazo anayatoa wapi

    • @florakapesa923
      @florakapesa923 3 ปีที่แล้ว

      Duu mtu akifa mpaka ulipe deni ndio uchukue maiti kweli

    • @ommietrendz7175
      @ommietrendz7175 3 ปีที่แล้ว

      @@florakapesa923 hiyo imefutwa sasa hakuna na ukisikia nenda ukareport police

    • @HashimuHashboy-bo2wl
      @HashimuHashboy-bo2wl 8 หลายเดือนก่อน

      Kishimba unatupa mawe ya kweli kweli

  • @ameenaabdood2974
    @ameenaabdood2974 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kishimba tutetee ss maskini asante sana ubalikiwe

  • @engineeryohanamarwa4735
    @engineeryohanamarwa4735 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Mzee Kishimba, wewe ni akili kubwa

  • @hemedharouna4013
    @hemedharouna4013 3 ปีที่แล้ว

    Nawapa hongera sana wananchi walio meta Huyu mzee bungeni anaongea fact tupu

  • @geeva99
    @geeva99 3 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mzee anawatia nishai wasomi wengi sana,

  • @barakaemmanueli7405
    @barakaemmanueli7405 3 ปีที่แล้ว +3

    Labda Barakoa na Chanjo ndio tutapewa ila kutibia bule Mmmh!!kwa hali inayopelekea

  • @ambelemwakalobo3327
    @ambelemwakalobo3327 3 ปีที่แล้ว +1

    Ww mzee una maliza mb zangu hoja zako nzuri kahama Kama wamekuchoka njoo mbeya City tunakuhitaji sans

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 3 ปีที่แล้ว

    Mashimba uko juu sana kujenga hoja. Waziri Hana pa kutoka.

  • @Nzinyangwa
    @Nzinyangwa 3 ปีที่แล้ว +3

    Akili yake iko vzuri sanaaa#kishimba

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 3 ปีที่แล้ว

    Mzee hongera sana,🙏🙏🙏🙏🇹🇿

  • @alriyamy613
    @alriyamy613 3 ปีที่แล้ว +6

    Akitoka apo aapiswe km makamo wa Raiciiiiiiiiiiiiiiiii.........apewe na ulinzi ikiwezekana Mabeyoo

  • @michaelmizambwa1246
    @michaelmizambwa1246 2 ปีที่แล้ว

    Great words

  • @geophreylukanga7148
    @geophreylukanga7148 3 ปีที่แล้ว +5

    Mzee wangu umechangia vizur sana na nimependa Mimi kama mwanainchi wa hari ya chini nb..mh. Uku ajira,pesa na matibu ndio vitu vinatafutwa kila itwapo leo

  • @mussaramadhani5976
    @mussaramadhani5976 3 ปีที่แล้ว

    Safi mh,Kishimba point yako imesimama sana.

  • @gladysalbinus7646
    @gladysalbinus7646 3 ปีที่แล้ว +1

    Oyeeeee🔥🔥🔥

  • @khamisraskashandago2694
    @khamisraskashandago2694 3 ปีที่แล้ว +4

    Yan wee mzeee nakukubali jembe langu dah

  • @nitumesokoni3164
    @nitumesokoni3164 3 ปีที่แล้ว +1

    Sijui hata kama Serikali huwa inachukua na kufanyia kazi maoni ya huyu MWAMBA. Mfano suala la matibabu ya hospitali kaongea vyema kwamba kama Mwananchi hana hela ya kulipia matibabu ichukuliwe lisiti ya bili yake ya maji au umeme kisha awe anakatwa kidogo kidogo kila anaponunua umeme mpaka deni liishe hata kama litatumia miaka 10

  • @ToxicAfricanKing
    @ToxicAfricanKing 3 ปีที่แล้ว +5

    Mbunge wa Kenya hawezi fikiria hivi. Fikra zao ni za kuwanufaisha hao tu. Wanafikiria kama mafisi.

  • @jumaharuna9899
    @jumaharuna9899 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbunifu sana ndo maana tajiri

  • @shukuruphanuel1729
    @shukuruphanuel1729 3 ปีที่แล้ว

    😀😀 very good very keen 👍

  • @ashasuddi5020
    @ashasuddi5020 2 ปีที่แล้ว

    Uyu mbunge yako vzr sana,, anatetea sana wananchi

  • @m.othman866
    @m.othman866 3 ปีที่แล้ว

    Duh... Huyu mzee anamuono wa mbalai sana.. Mapoint ya kutosha...

  • @sanifhesro2169
    @sanifhesro2169 3 ปีที่แล้ว +2

    Mitano 5 tena mh kishimba💯🤝

  • @lukangdancinggroup3756
    @lukangdancinggroup3756 3 ปีที่แล้ว +4

    Wow good

  • @michaelmedard5709
    @michaelmedard5709 3 ปีที่แล้ว +10

    Huyu ndiye mbunge ninayempenda kwa hoja zake sjasema wengine hawana hoja za msingi lakini huyu ndiye wakwanza kwangu.

  • @mu-crzymahez9229
    @mu-crzymahez9229 3 ปีที่แล้ว +1

    hahahah uYu kwel Mbunge mzuriii

  • @simonmaore3183
    @simonmaore3183 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU mjalie afya nzuri huyu mbunge wa tz,pia ss wakenya utupatie kishimba wetu hapa kenya,mwenye atatuwakiliza kama huyu mbunge, wa kahama mjini

  • @rockyvlogs2214
    @rockyvlogs2214 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee huyu asee ni mnoma saana

  • @flaviankitwe6828
    @flaviankitwe6828 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mbunge nampenda sna serikali naomben muwe mnamsikiliza

  • @christopherchisuligwe512
    @christopherchisuligwe512 3 ปีที่แล้ว +1

    Heri wenye moyo safi maana watamwona BWANA! Huyo angekuwa raisi wa Tanzania wa milele

  • @rugijofrey3685
    @rugijofrey3685 3 ปีที่แล้ว

    Point sana njia rahisi ni kuchangia matibabu kupitia bili za umeme au maji kama tulivyofanya kwa umeme vijijini

  • @mwalumogomsigwa856
    @mwalumogomsigwa856 2 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaa Mungu ampe maisha marefu

  • @charlesrongo3615
    @charlesrongo3615 3 ปีที่แล้ว +3

    umenifurHisha mkuu safi na ni kweli

  • @yohanarunyirija7004
    @yohanarunyirija7004 3 ปีที่แล้ว

    Mzee kishimba ashkuru Mungu Hajasoma. Maana angelisoma wala asingelikuwa anaongea madini kiasi hicho. Maana wasomi wengi bungeni wanaongea utumbo na kurumbana tyu

  • @shukuruphanuel1729
    @shukuruphanuel1729 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mbunge yupo vizuri zaid

  • @albertmwinde487
    @albertmwinde487 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂 huyu mzee namkubali sana aiseeeee yukogo free

  • @sempaysensey6486
    @sempaysensey6486 3 ปีที่แล้ว

    Duh mzee hongera unabusara kubwa yakulinda watanzania wako

  • @shikomeemmanuelshikome6977
    @shikomeemmanuelshikome6977 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaani kwa hili naona utukufu huko mbele

  • @alliyoigaly3646
    @alliyoigaly3646 3 ปีที่แล้ว +2

    Akil kubwa hyoooo bg up kishimba

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 ปีที่แล้ว

    Waziri wa fedha awabane TRA na bandarini...awaekee malengo maana kuna pesa nyijng sina pale..Mh Mwigulu tunakumba kiongozi

  • @majudadykid918
    @majudadykid918 3 ปีที่แล้ว +4

    Akili za mbali Sana uyu mzeee ni mkubwa

  • @thomaspascal9641
    @thomaspascal9641 3 ปีที่แล้ว +1

    Uzee wako uko vzr sana mhe kishimba. Sanga siku hizi yuko wapi jamani mzee wangu

  • @fayeezomary6563
    @fayeezomary6563 3 ปีที่แล้ว

    Msshaallah

  • @khatibalamin401
    @khatibalamin401 3 ปีที่แล้ว

    ATAKUWA MBUNGE MPAKAAAA....

  • @plumbingtanzaniaplumber7570
    @plumbingtanzaniaplumber7570 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mkuu

  • @glorymbwambo2888
    @glorymbwambo2888 2 ปีที่แล้ว

    Professor kishimba

  • @elasydeogratias832
    @elasydeogratias832 3 ปีที่แล้ว

    Nakukubali mzee

  • @josephwilliam4727
    @josephwilliam4727 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana mkuu napenda hoja zako

  • @cecykaitanus7873
    @cecykaitanus7873 ปีที่แล้ว

    Man is a genius

  • @afreytonemajidi6909
    @afreytonemajidi6909 3 ปีที่แล้ว

    Wabungee mbadilike bas muige mzee wetu kishimba tunataka point issue za CAG mnatuvuluga bungeni uo niukosefu wa mawazo

  • @bonphacearon2428
    @bonphacearon2428 3 ปีที่แล้ว

    Da' mzeee nakuelewa xn, ila mweny kicha cha mbao hawez kukuelew

  • @chumanondochuma8012
    @chumanondochuma8012 3 ปีที่แล้ว +1

    Siyo 5M tu laki tano tu mtihani wakuu kwa hali iliyoko kijijini

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 3 ปีที่แล้ว

    point