LEMA AKIWASHA TANGA MJINI, AWASHANGAA WANAONUNULIKA NA CCM, ADAI YEYE HANUNULIKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 6

  • @yomseyyomsey5114
    @yomseyyomsey5114 3 หลายเดือนก่อน

    Lema ni Jembe Kabisa Anajua sana Kujenga Hoja na mchambuzi Makin Sana wa Uchumi,Kijamii,Kisiasa na muwaz sana. NAOMBA2 VIONGOZ WA CHADEMA KUWEKA NGUVU KUBWA KATIKA MAENEO YOTE Yaliyo nyuma na Upinzani MKALIAMSHE ZAID MIKUTANO MINGI Ngazi zote yaani kijiji,kata,mtaa, na Vitongoji MFANO Dodoma,Tanga,manyara,Tabora nakadhalika.

  • @reginas1832
    @reginas1832 3 หลายเดือนก่อน

    Kamanda

  • @georgempogomi7329
    @georgempogomi7329 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shida ccm wote ni wachawi ,waganga ,wezi wa kura,na machawa kila mtu wanamloga tuombeni Mungu atuondolee huu mzimuCCM

  • @issataslima9846
    @issataslima9846 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna watu wanakihujumu Chama kwenye matangazo jamani yanakatakata saan hasa viongoozi wanapo toa points zamaana

  • @reginas1832
    @reginas1832 3 หลายเดือนก่อน

    Tanganyika tuamke

  • @jumannentimizi9000
    @jumannentimizi9000 3 หลายเดือนก่อน +2

    WENGINE WANAAMBIWA UKWELI LAKINI UTAONA WAKATI WA UCHAGUZI WANAPEWA CHUMVI NA KOFIA WANASAHAU YOTE WANAPIGA KURA BAADAE UTASIKIA USHINDI WA KISHINDO WANACHEKA NA KUSHANGILIA UKIANGALIA USHINDIA CHUNGWA TU KWAKWELI WATANZANIA TUMEROGWA NANANI JAMANI?