SHUJAA MAJALIWA AMALIZA MAFUNZO YA UOKOAJI, TAZAMA ALIVYOZAMA MAJINI AKIONESHA UFUNDI KAMA BUKOBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2023

ความคิดเห็น • 245

  • @Bigfmedia
    @Bigfmedia 10 หลายเดือนก่อน +55

    Hakika katika haya maisha yanahitaji uthubutu na subira. Dogo alikuwa tayar amejichagulia maisha yake ya uvuvi lakini angalia kilichotokea ameinuliwa juu zaidi. Hivyo ni vyema kuto kukata tamaa katika haya maisha cha umuhimu ni kuipenda kazi yako(Halali) na kujikubali hakika Milango itafunguka. Tukumbuke Kumuomba Mungu na kumshukuru kwa chochote anacho tujalia.

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 10 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/w-d-xo.htmlsi=LCelmLC5zqpQWz0R

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 10 หลายเดือนก่อน +3

      Wallahi tena. Na Mwenyezi Mungu hukupa dakika za mwisho pale ambapo umeanza kukata tamaa na huna chakutegemea.

    • @brother_majesty
      @brother_majesty 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kufaa kufaana

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@brother_majestyuna roho mbaya tena una husuda ushindwe kwa jina la allah

    • @frankgavana3256
      @frankgavana3256 10 หลายเดือนก่อน

      Bahati huja wakati unatafuta

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 10 หลายเดือนก่อน +41

    Safi sana Dogo,,, Nimefurai kukuskia tena. Allah akujaalie kheir InshaAllah!! 🙏

    • @Bigfmedia
      @Bigfmedia 10 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/D_m7pLHUIHU/w-d-xo.htmlsi=UtQTlyB9_8d0SneF

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 10 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/w-d-xo.htmlsi=LCelmLC5zqpQWz0R

    • @annamsemwa1946
      @annamsemwa1946 10 หลายเดือนก่อน

      Kama nilivyofurahi Mimi!

    • @sumol9586
      @sumol9586 10 หลายเดือนก่อน

      Amin ya rabi Amin

  • @christinaernesto4636
    @christinaernesto4636 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akisema atakubariki hakuna wakuzuia🙏🙏🙏🙏ubarikiwe majaliwa 🙏

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 10 หลายเดือนก่อน +10

    Hongera Majaliwa na wenzako Mungu azidi kuwafungulia

  • @iddymtitiko
    @iddymtitiko 10 หลายเดือนก่อน +53

    Ndo mana kila nikilala na kuamka nakuwa na matumain makubwa kuwa ipo siku mungu atanifungulia milango yangu yotee ya riziq dogo kama utani utani tu tayari amen'gara😊

    • @Bigfmedia
      @Bigfmedia 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika haya maisha hayahitaji kukata tamaa. Ni subira tu

    • @mashashabani2823
      @mashashabani2823 10 หลายเดือนก่อน

      Hakika

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 10 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/w-d-xo.htmlsi=LCelmLC5zqpQWz0R

    • @iddymtitiko
      @iddymtitiko 10 หลายเดือนก่อน

      @@Bigfmedia hilo ndo la muhim kikubwa subra tu huo ni mfano hai kabisa ukiangalia maisha ya dogo hajawahi hata kufikiria kama kuna siku atakuwa nani lakin mungu kamuonesha sehem yake ya kukaa kwa njia ya huzuni 👏

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 10 หลายเดือนก่อน

      Mashaalah ama hakika maisha yana maswali magumu sana. Yahni maisha yanawezaka kukupa jibu sahihi kwenye swali lilikosewa

  • @monicakimati4619
    @monicakimati4619 10 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu nakupenda sana,ukiamua kufanya jambo unafanya kwa ukubwa.

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 10 หลายเดือนก่อน +10

    Hongera majaliwa

  • @MuhaBoy-cw2vb
    @MuhaBoy-cw2vb 10 หลายเดือนก่อน +8

    Jamani like zenu Leo mi wakwanza ayo tv

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mashaa Allah kila la kher

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 10 หลายเดือนก่อน +6

    Hongereni sanaa serikali inapaswa kufundisha mamia ya vijana hao wachache sanaa kwa taifa nzima kila mkoa ni lazima wawepo wengi .

  • @aysherkitoi5507
    @aysherkitoi5507 10 หลายเดือนก่อน +9

    Wow congratulations to you majaliwa nimefurahi kuona habari zako tena😍

    • @Bigfmedia
      @Bigfmedia 10 หลายเดือนก่อน +1

      Nice

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 10 หลายเดือนก่อน +12

    Shujaa Majaliwa and others Congratulations. Washing the best in your life focusing on working hard on your daily activities may God bless you abundantly

  • @rukiafaraj1400
    @rukiafaraj1400 10 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allaah

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 10 หลายเดือนก่อน +27

    😢😢MUNGU WA MAMBO YASIYOWEZEKANA 😢😢😢HONGERA SANA

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 10 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/w-d-xo.htmlsi=LCelmLC5zqpQWz0R

    • @elisharaphael8680
      @elisharaphael8680 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika , Mwacheni Mungu aitwe Mungu tu 🙏

    • @HadijaZabroni-pu1lt
      @HadijaZabroni-pu1lt 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mashallah mungunimwema

    • @denicegaspar9479
      @denicegaspar9479 10 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa 🙏

  • @gaudenciaantony5523
    @gaudenciaantony5523 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu wetu ni mwema siku zote,hakika majaliwa ulijitoa na Mungu hakukuacha

  • @EdwinJohn-vo8uf
    @EdwinJohn-vo8uf 10 หลายเดือนก่อน +20

    Hakika wakati wa mungu ndio wakati sahihi hakika majaliwa mungu akubaliki sana

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 10 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/w-d-xo.htmlsi=LCelmLC5zqpQWz0R

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 10 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/w-d-xo.htmlsi=LCelmLC5zqpQWz0R

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akubariki kwa kila jambo Majaaliwa wetu

  • @jeshilamtu863
    @jeshilamtu863 9 หลายเดือนก่อน

    MashaaAllah

  • @aishabrondi236
    @aishabrondi236 10 หลายเดือนก่อน +17

    Safi sana kijana Allah akusimamie

    • @Bigfmedia
      @Bigfmedia 10 หลายเดือนก่อน

      Nice

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 10 หลายเดือนก่อน

      Ameen. Sote inshaAllah

  • @Josmedard
    @Josmedard 10 หลายเดือนก่อน

    Be blessed, hongera sana , kikubwa tanguliza MUNGU , jali watu wote Kila mtu kwahadhi yake , usijikweze kama wengine ,

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 10 หลายเดือนก่อน

    Ma sha allah

  • @sammysammy2001
    @sammysammy2001 10 หลายเดือนก่อน

    Blessss❤❤❤❤brooo🎉🎉

  • @nduwimanahafsa4611
    @nduwimanahafsa4611 10 หลายเดือนก่อน +1

    Maaaashaaallah malijaliwa❤

  • @elinayohana6636
    @elinayohana6636 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera Majaliwa,alopanga Mungu hakuna wa kulipinga,Ubarikiwe

  • @aminadjuma7555
    @aminadjuma7555 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaalla

  • @rizikahmad6930
    @rizikahmad6930 10 หลายเดือนก่อน +2

    mungu azidi kukubaliki

  • @henrylukosy4908
    @henrylukosy4908 10 หลายเดือนก่อน

    hongera sana majariwa mungu aendelee kukutetea

  • @user-tc5oo4fg9q
    @user-tc5oo4fg9q 10 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @wozanawewoz979
    @wozanawewoz979 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana bro , Ubarikiwe

  • @franciskobelo
    @franciskobelo 10 หลายเดือนก่อน

    ALLAH akuongoze majaliwa

  • @willegamba1479
    @willegamba1479 10 หลายเดือนก่อน +8

    God is Good.Keep faith always

    • @bensonmasanja9862
      @bensonmasanja9862 10 หลายเดือนก่อน

      Yaah,Same like the Story of King David from being a shepherd to a King.

  • @BoyBack-gc4se
    @BoyBack-gc4se 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @lightnessabdallah2340
    @lightnessabdallah2340 10 หลายเดือนก่อน +7

    hakika wakat wa Mungu ukifika hakuna mwanadamu wa kuzuia kuna watu waliongoa baada tu mama usema upelekwe kwny jeshi la uokoaji lkn Mungu amesimama na ww Mungu akupe mwisho mwema upate ajila uje uwasaidie wazazi wako

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 10 หลายเดือนก่อน

      Ameen

  • @user-be4wt9ng2u
    @user-be4wt9ng2u 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wwooooh safi sana majaliwa Mungu ni mkubwa sana Ahsante pia kwa viongozi wetu kumjali huyu kijana

  • @Liliana-mc2su
    @Liliana-mc2su 10 หลายเดือนก่อน +10

    Congratulations 👏👏👏🎉

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 10 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/w-d-xo.htmlsi=LCelmLC5zqpQWz0R

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana kaka

  • @catherinegimbika1545
    @catherinegimbika1545 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana Kijana Majaliwa🎉🎉

  • @stamelistameli8461
    @stamelistameli8461 10 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah majaliwa hongereni wote mlie maliza mafunzo

  • @godlovemasamakibatandu2092
    @godlovemasamakibatandu2092 10 หลายเดือนก่อน +2

    TANZANIA bara au tanganyika

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 10 หลายเดือนก่อน

    Hongeara sana❤❤❤

  • @luganomwakyusa7697
    @luganomwakyusa7697 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Sana Majaliwa

  • @user-ww8uz5sf1i
    @user-ww8uz5sf1i 10 หลายเดือนก่อน

    Hongela xana majaliwa

  • @HamisiKagembe-gz9yy
    @HamisiKagembe-gz9yy 10 หลายเดือนก่อน +2

    Maisha bana mungu ameweka Siri kubwa kati yetu unalala unaamka ujui mungu kakupangia nn mwisho was siku nisku Moja2 mungu anakuonesha njia Yako ya mafanikio ongera kijana mwenzetu mungu alikupangia njia hyo ya mafanikio

  • @TheMint_tz
    @TheMint_tz 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wale waliosema majaliwa hakutuokoa tulifungua mlango wenyewe wako wapi 😂😂

  • @DonPrince11
    @DonPrince11 10 หลายเดือนก่อน

    Amazing

  • @user-tp5kv1kd1f
    @user-tp5kv1kd1f 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera shujaa majaliwa,mungu akupe ujasiri ufike mbali

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 10 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana...

  • @prettymasha2430
    @prettymasha2430 10 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa nasubir habar zake ❤

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 10 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sn.

  • @SedekiaLugo-jn6em
    @SedekiaLugo-jn6em 10 หลายเดือนก่อน

    Hongeren vjana wetu

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera majaaliwa

  • @nkuruvalerie3367
    @nkuruvalerie3367 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera

  • @marythomas7873
    @marythomas7873 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awatunze sana

  • @user-wm3mi1gu5w
    @user-wm3mi1gu5w 10 หลายเดือนก่อน

    Kaz nzur Sana imefanyika

  • @mdl6463
    @mdl6463 10 หลายเดือนก่อน

    Yap yap safi sana

  • @user-eh7uk9wf2f
    @user-eh7uk9wf2f 10 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera sana brother

  • @user-princs
    @user-princs 10 หลายเดือนก่อน

    Amen
    MUNGU wetu ni WA kweli hongera majaliwa na mashujaa wengine

    • @mariapaulo9423
      @mariapaulo9423 10 หลายเดือนก่อน

      Wakati wa Mungu ukifika mazingira si kitu yapinge hongera dogo

  • @user-hl7pl5sp4q
    @user-hl7pl5sp4q 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Majaliwa.

  • @aggreyenock1221
    @aggreyenock1221 10 หลายเดือนก่อน +1

    👏👏👏👏👏👏🙏🙏

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 10 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 10 หลายเดือนก่อน

    Kila jambo mtangulize mungu hongera sn

  • @elizabethkisogole34
    @elizabethkisogole34 10 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa nasubiria huu mrejesho kitambo sanaaaa😊

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu nimwema

  • @evancymassawekenya7521
    @evancymassawekenya7521 10 หลายเดือนก่อน +4

    Tunangojea video

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 10 หลายเดือนก่อน

    👏👏

  • @Happie14
    @Happie14 10 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu ni mwema kila wakati

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah 😢kipaji hiko

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 10 หลายเดือนก่อน

    Safi Sana

  • @chaucassim4123
    @chaucassim4123 10 หลายเดือนก่อน

    Kila. Mja. Ana rizk. Yake. Mungu. Aliomjalia

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 10 หลายเดือนก่อน +2

    Yani Mungu huyu. Hapo ange apply hiyo nafasi Ange ambiwa hana vigezo. Lakini wamekuja kumkubali tu

  • @daudysanga8492
    @daudysanga8492 10 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @ChrisMwambeje
    @ChrisMwambeje 10 หลายเดือนก่อน

    Congratulations

  • @MotorcycleSupport-gz1qp
    @MotorcycleSupport-gz1qp 10 หลายเดือนก่อน +1

    Safi dogo

  • @othmanawadh3964
    @othmanawadh3964 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee umeongea point " amani na utulivu ndio key point ya maendeleo"

  • @mosesmahinya9654
    @mosesmahinya9654 10 หลายเดือนก่อน +5

    Wako vizur

  • @issamnende5322
    @issamnende5322 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @giftotaru5808
    @giftotaru5808 10 หลายเดือนก่อน

    Ahsnt Mungu

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona wako wachache sana au ndio uhitaji wa taifa

  • @Godmaletz
    @Godmaletz 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mwmba huyoo achia video

  • @allydugovisima3120
    @allydugovisima3120 10 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @user-ec2tj2jw2k
    @user-ec2tj2jw2k 9 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @revilsonsariah307
    @revilsonsariah307 10 หลายเดือนก่อน

    Safi sanaaa

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 10 หลายเดือนก่อน

    Miezi mungu awa jalie hawo wote

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 10 หลายเดือนก่อน +1

    Waambie baba

  • @user-mu7eg2ig5e
    @user-mu7eg2ig5e 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Sana Majariwa mungu ni mwema siku zote!

  • @FrankThomasTillya
    @FrankThomasTillya 10 หลายเดือนก่อน

    safi

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 10 หลายเดือนก่อน

    GOZBERT ☑️🎼Mungu hapokei rushwa🎚️

  • @shelyboyshely2928
    @shelyboyshely2928 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera yao wanafunzi wote walio fuzuu

  • @SifaKhan-qj1pu
    @SifaKhan-qj1pu 10 หลายเดือนก่อน

    😍😍😍😍😍

  • @happypiusi3801
    @happypiusi3801 10 หลายเดือนก่อน

    💪🙏

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 10 หลายเดือนก่อน

    Kila. Kher

  • @anordanatory8437
    @anordanatory8437 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ngole sana hii taarifa inatia moyo

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa aloalikwa kuongea inaonekana hayupo sawa kichwani huyo alo vaa suti na tai

    • @bernadetamodest6170
      @bernadetamodest6170 10 หลายเดือนก่อน

      🤣😃🤣😂 shida iko wapi boss?

  • @wadudi2741
    @wadudi2741 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu na wajawake

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna mda tukio UTOKEA ili kuokoa family yenye maitaji

  • @yudaseleman8320
    @yudaseleman8320 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwaiy ikitokea ajari lorya hawa wataenda uko pia?

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 10 หลายเดือนก่อน +2

    Waaaaa mi hapana kwakweli 😂😂😂😂 nilivyomuoga na maji kuna sk nilikalia boya vibaya kidogo mufiii 😂😂😂 kwa maji we

    • @Bigfmedia
      @Bigfmedia 10 หลายเดือนก่อน

      Duniani hakuna Muoga ni vile tu. Huja thubutu

    • @Zuuh4286
      @Zuuh4286 10 หลายเดือนก่อน

      @@Bigfmedia labda nwe na Mtu kwa maji wali pekeeangu siwezi ntafanya vingine viko na uwezo wangu lkn si baharin

  • @user-dp9xo2jo4p
    @user-dp9xo2jo4p 9 หลายเดือนก่อน

    Saf sana

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 10 หลายเดือนก่อน +1

    Majaliwa mungu akuzidishie kila lakheri nakazi yako

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 10 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/w-d-xo.htmlsi=LCelmLC5zqpQWz0R

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 10 หลายเดือนก่อน +3

    kumbe bado yupoo😂