ALI KAMWE AMPA ONYO KALI MWIJAKU "WEWE NI MWEHU, NINGECHUKUA MKEO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 245

  • @deusdeditkullwah5586
    @deusdeditkullwah5586 2 หลายเดือนก่อน +32

    Mzee una hekima sana ni hazina ya jamii hongera sana

  • @KigeNyamhanga
    @KigeNyamhanga 2 หลายเดือนก่อน +19

    Wazee mmekosea sana mngeacha Iwe fundisho kwa wapumbavu

  • @udazakikoti3419
    @udazakikoti3419 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ongela sana mzee msumi kwa hekima zako, mimi rafikiyako bwana udaza nimekuelewa vizuri sana

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 2 หลายเดือนก่อน +19

    Ovyo kabisa mwijaku unachezea ndoa ambayo ni maagano kati ya mungu na mwanadamu

    • @fredrickjohnson2692
      @fredrickjohnson2692 2 หลายเดือนก่อน

      si kweli huo ni mtazamo wenu na mapokeo yenu ya akiri zisizo changamka.mwaijaku mgeni kwenu?
      hili swala yeye ndo kaanza? ok yule shabiki wenu amekatwa viungo vingapi anavyo ahidi serikali isiingilie?
      alikamwe alikamwe Aache kupenda wake za watu atakunurwa,,,alipewa Binti wa yule shabiki ambaye Binti Hadi analia sana kumpenda alikamwe,je alikamwe amemchukua? 🤣🤣🤣 tamaa na wake za watu wanatunzwa aiseee

  • @omarussi7316
    @omarussi7316 2 หลายเดือนก่อน +19

    Muume mwenyewe mwehu na uyo mke pia mwehu vilevile, ujinga umepitiliza kwa wote wawili na kibaya zaidi kuwa walioyafanya haya ni waislamu

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 หลายเดือนก่อน +7

      mie naposema sie waislam ndio chanzo cha laana nyingi watu wananitukana kiukweli waislam tumezidi kufanya mambo ya haram yanayo washinda maqaafir

    • @BIGFAMILY255
      @BIGFAMILY255 2 หลายเดือนก่อน

      @@aishaalbalushaishabalush8291 tabia za mtu binafsi zinahusiana vipi na dini. Mana dini imekataza maovu kwann usitaje makabila au vitu vingine mana hata makafiri wanafanya zaidi ya haya na ww sijui muisilamu gan unawaona makafiri kama rafiki shauri zako. Makafiri ni maadui na hiyo ni dhahiri mungu kashasema nawe endelea kumkaidi mungu mana nawe muisilamu umetudhalilisha kama hao wengine

    • @uwezontalengwa1827
      @uwezontalengwa1827 2 หลายเดือนก่อน

      Hii nchi ujinga mwingi sana

    • @elibarikilukasimakala5534
      @elibarikilukasimakala5534 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani waislam sio watu ni mafisi si ndio 👆😢

    • @elibarikilukasimakala5534
      @elibarikilukasimakala5534 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@aishaalbalushaishabalush8291Kafiri ni wewe na matako yako meusi 😢

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 2 หลายเดือนก่อน +24

    Mwijaku hana adabu kabisa aibu inabakia kwa familia yake

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 2 หลายเดือนก่อน

      Tena kubwa sana waallahi hyu jamaa sijui anatabia gani, amemdhalilisha mkewe na Familia yke

  • @Omary-p3e
    @Omary-p3e 2 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂 Ally brooo tungechukua mke ili aelewe mipaka ya utani

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf 2 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂😂😂semaji kwahiy ulikua unaenda kweli🤣🤣🤣🤣yanga sihami🍾🥂💃💃😜💚✨💚✨💚

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน

      Huwajui wanayanga 🤣🤣wangembeba

    • @RahelYohani
      @RahelYohani 2 หลายเดือนก่อน

      Patamu hapa

  • @koroboi
    @koroboi 2 หลายเดือนก่อน +9

    Li Ali kamwe lilikua serius 😂😂😂😂😂😂

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 2 หลายเดือนก่อน +12

    Mwijaku hana adabu, na hana akili kabisa, amemdhalilisha mkewe, na dini hairuhusu hivi.

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 2 หลายเดือนก่อน

      Waallahi sana tena ht cjui jamii yke yamchukulia vp

  • @MohamediKimwaga
    @MohamediKimwaga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzeeee❤❤❤ safisana hekima unayo dua miaka ming uishi

  • @khadeejamct2096
    @khadeejamct2096 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kbs uyomuzeh kaongy ukwel kbs mwijak siyo mzm 😂😂😂

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli Mwijaku muhuni Hana adabu hata kidogo. Anapenda Sana kuwadhalilisha wanawake

  • @Abdykimu
    @Abdykimu 2 หลายเดือนก่อน +5

    kwa hiyo asingekuwa huyo mzee ungeenda kuoa duuuh 😁😁😁

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio maaanake

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c 2 หลายเดือนก่อน +12

    Mashekhe hmpitwi na kitu tunawaomba mje hapa mtuambie bado ndoa ipo ama hapo? Maana mwijaku hajielewi kabisa.

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 2 หลายเดือนก่อน

      Kisheria haipo da Maryam, ukitamka ndio imepita, hata kwa mfano talaka c lazima uandike madam mdomo ndio uliotamka basi ndio hvyo, ila hyu jamaa amejishusha thamani kubwa sanaaaaa na aibu ameitia familia yke

    • @AbuuFawzaani
      @AbuuFawzaani 2 หลายเดือนก่อน

      ndoa ipo ila mwijaku amefanya makosa na dhambi

    • @AbuuFawzaani
      @AbuuFawzaani 2 หลายเดือนก่อน

      talaka zipo za aina 2 talaka acha na talaka rejea na inatoka katika sehemu kuu 2 kwa kutamka au kuandika ya kutoa kwa mdomo mfano kwanzia hivi sasa si mke wangu kama ulishawahi mpa 1 na uliyotoa ni ya pili na hakumaliza eda ukamrudia basi atakuwa mke wako na kama ulishampa 2 kisha ukamalizia ya tatu huyo sio mkeo na eda anamalizia kwao ama talaka ya maandishi ni ile unayoandika kwanzia leo sio mke wangu basi umeshamuacha na hii itakua kama ya mwanzo ila utofauti ni hii ni maandishi ile ya maneno ama kuhusu mwijaku bado ni mkewe ispokua aandae tu majibu sahihi kwa allah why mambo ya mke ambayo ndio dini uhusishe na mipira allah aalam

  • @ShabaniMussa-f3k
    @ShabaniMussa-f3k 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu atamuona sana mwinaku

  • @ArRahman-ih1pi
    @ArRahman-ih1pi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mambo ya mpira mzivuke mipaka so vizuri iyo na zarauu kubwa mwinyi jaku

  • @beatricemabula4783
    @beatricemabula4783 2 หลายเดือนก่อน

    Bado.napata tabu kwa hiyo kamwe hivi ulivyokuwa unakazania kwenda kuoa inaonyesha unampenda uyo dada au😂😂😂😂

  • @korogwegeneral7122
    @korogwegeneral7122 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Ally kamwe kwa kujua thamani ya mwanamke

  • @anethmollel6564
    @anethmollel6564 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani mke mwenyewe anasemaje !!!!! Isikute alishajiandaa kwa harusi

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 2 หลายเดือนก่อน +3

    huyu mwijak nilimuona ga wa mana kumbe zezeta namakka alienda kutalii 2 waovyo sana

  • @merypeter7467
    @merypeter7467 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na ww uache kufana😢nisha utani wa andazi na kocha wa simba unaichukuliaje Hilo 😊

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ally Kamwe nakupenda sana kaka na uwe na maisha bora

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 2 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku umejidhalilisha.umemkosea mkeo pia umemkosea Alikamwe.Kwani Alikamwe hawezi kuoa mke amtakae mwenyewe mpaka umpe huyo wako???Mwijaku nilikuwa nakuheshimu.Kwa hili umejishushia hadhi...

  • @KideNetworks
    @KideNetworks 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ali and Alice😅😂😂😂😂

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mke awe mwangalifu sana

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku fala sana😢

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 2 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli Mwijaku hana heshima kabisa wala hana hekma

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo Jimy hakuwa muislamu. Uislamu kila kitu kina sheria na taratibu zake upo.

  • @VictoriaAbdallah-h8h
    @VictoriaAbdallah-h8h 2 หลายเดือนก่อน

    Mke na Mume wote Akili moja, wanaaibisha Familia zao et wao wanaongeza follows.

  • @Abdykimu
    @Abdykimu 2 หลายเดือนก่อน

    yaaani umekosa mwanamke wa kuoa mpaka utoke kweli ukaoe mke wa mwijaku

  • @MohamedRoger-h3u
    @MohamedRoger-h3u 2 หลายเดือนก่อน

    Kwenye dini yenyewe pia msitaniane sana mkachumpaka mipaka ni dhambi, ovyo kbs mwijaku.

  • @nasseralmaqbali6317
    @nasseralmaqbali6317 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwijaku ni chizi asie jitambua, mbona hajitoi yeye muhanga, mwehu huo sijui ni bangi

  • @tagomshana4032
    @tagomshana4032 2 หลายเดือนก่อน

    Mwinjaku ako na mke wetu wanayanga kunasiku tutamchukuabtyu😅😅😅

  • @HassanKassim-ei8ko
    @HassanKassim-ei8ko 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 msamee mwenzio wewe Acha uhuni umemvalia mmke wa mwenzio kibalagashia

  • @ANTHONYDCOSTA-u5p
    @ANTHONYDCOSTA-u5p 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee heshima kwako

  • @jassfinal
    @jassfinal 2 หลายเดือนก่อน

    Kufanya kazi aaaaaaah

  • @MichaelSambala-l7q
    @MichaelSambala-l7q 2 หลายเดือนก่อน

    Iyo hekima mwambieni baba rabhiat tutamkata mikono

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 2 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku mwehuuuuu

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie pia hamjui sheria kabisaaaa. Wala hamjui sheria ya kiislamu. Kama alisema hivyo anakuwa sio mkeo hata kama alishinda. Inakuwa huyo mke sio wa Mwijaku. Amrejee ama eda ikiisha amuowe tena.

    • @abdulshakuurmwenda7519
      @abdulshakuurmwenda7519 2 หลายเดือนก่อน

      Je, sheria ya maneno haya umetoa wapi dada Mwanaisha?.Je, dada Mwanaisha una kiwango gani ktk elimu ya sheria ya Uislamu?.Nakunasihi kumcha ALLAH na usiongee mambo ya Uislamu ikiwa hauna elimu.

    • @hp2623
      @hp2623 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdulshakuurmwenda7519 nenda kasome tuelewe Kaka. Hio si mke Tena kwa mwijaku Kaka. Huo ndo kweli Tena kweli mtupu

  • @LaurentLushingemasanja
    @LaurentLushingemasanja 2 หลายเดือนก่อน

    Mbuzi alianguka kwa muuza supu😂😂

  • @ArRahman-ih1pi
    @ArRahman-ih1pi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio ilo fundisho kwa jamii nzima

  • @KanomaManji-i7j
    @KanomaManji-i7j 2 หลายเดือนก่อน

    mm naonahuyomwijaku nirofa2 yanga yasasa hatauweke Mavi 2nabeba je meze chungakaur 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @LameckMakoje
    @LameckMakoje 2 หลายเดือนก่อน

    Ww ali kamwe kachukue mkeo mwijaku mweu uyo

  • @ZakariaJoseph-r9t
    @ZakariaJoseph-r9t 2 หลายเดือนก่อน

    Ana hekima gani huyo mzee msenge mchawi tu

  • @ShabaniMussa-f3k
    @ShabaniMussa-f3k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Utajir unawasumbua mpaka wanamchezea mungu shaur yao.

  • @omaryhatibu8834
    @omaryhatibu8834 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani kumuweka mke wako Bondi ni dharau kubwa sana, yaan unambetia mkeo aisee aliemfunda mwijaku wote ni MISUNGO

  • @SuleimanSuleiman-l8v
    @SuleimanSuleiman-l8v 2 หลายเดือนก่อน

    Kislam kwa kwel ameachika kama wataendelea kuishi shirika wakifanya mapenz itakuwa nizinaaa t

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni kua serious sana. Mwijaku anatia

    • @uwezontalengwa1827
      @uwezontalengwa1827 2 หลายเดือนก่อน

      Niwapuuzi tu hawa wazee,,,wanabwabwaja tu hamna Cha maana ,,, kweli yanga wengi ni sa mbovu wanakusanyika Kwa mambo ya kijinga,,,

  • @ClaraDickson-je7mv
    @ClaraDickson-je7mv 2 หลายเดือนก่อน

    Mwijako hampendi mkewe uwezi kumuweka mke Bondi.. angeweka hata Nyumba

  • @MkojaniSaid
    @MkojaniSaid 2 หลายเดือนก่อน

    Ninge kuwa mm ninge muowa kwa wiki moja au mbir kisha nikamrudishia uy mke wake😂

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wazee tuacheni tukamchukue mke wa Mwijaku.Huyo sasa ni mke wa Ally Kamwe.

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 2 หลายเดือนก่อน +1

      Akome au azidi mbwa yule

  • @waziriwaziri8271
    @waziriwaziri8271 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanza mshaulini kindoki yeye alisema atatupa sisi mashabiki wa simba mkewake kama simba itaifunga yanga simba ikaifunga yanga paka sasahivi hajatupa mke wake yule mke wa mwijaku hatomuwea kashazoweya maisha hali sana

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c 2 หลายเดือนก่อน +2

    Basi mwijaku hatoiyo hiyo hekima iyofanika kwa misifa yake atajitapa tena voo

  • @Dewaoficial09
    @Dewaoficial09 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa ss waislam. Apo mke kashaachika kisheria. Hakuna mapenzi isipokua zinaa

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 หลายเดือนก่อน

    Mke wa mwijaku ana UKIMWI unamchukua wa nini! Yule ni mfu! Kwanza mke wake hana uzuri wowote! Ukiona mtu anampa mtu mke wake huyo mke wake hana maana au thamani kwake

  • @shaibuhassan6925
    @shaibuhassan6925 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kidini sio ,,,,,MKE WAKE TENA,,MKIFOSI NI DHAMBI TU ANAJIPATIA

  • @tagomshana4032
    @tagomshana4032 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu mwinjaku hana akili alafu kiukweli hakupendeza ktk redio kwaali kiba maana me namfananisha na chokoraa anakinywa kichafu sanaaa lione vile me ningekuwa mkewe kwakweli ningekubali kwenda kwa Ali kamwe limwanaume linabahati tu ya pesa lakini aliki halina misifa imemzidi uyu jamaa ha😂😂😂😂😂

  • @mitanakadorho2356
    @mitanakadorho2356 2 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku awe makini saana na mambo ya ujinga, siyo kutaniana kwa kila kitu

  • @missfetty9842
    @missfetty9842 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwijaku amekosea sana

  • @elishavandoskaramba6028
    @elishavandoskaramba6028 2 หลายเดือนก่อน

    nyinyi hamujuwe ushabiki mimi nafurahiya mwinjaku kwasasa kila mutu anamuongeleya mwinjaku. mzee acha mbwembwe. mwinjaku nishabiki wamupira

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES 2 หลายเดือนก่อน

    Mgongo waz mama ako

  • @HawaNasibu-e9u
    @HawaNasibu-e9u 2 หลายเดือนก่อน

    Ally nko mke apa njoo

  • @MohamedRoger-h3u
    @MohamedRoger-h3u 2 หลายเดือนก่อน

    Mwehu huyo mwijaku hajui dini wala hajui thamani ya mke,.mngese mkubwa huyo.

  • @Masengo-su3mf
    @Masengo-su3mf 2 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku kampenda sana mkewake ndomana katoa ahadi

  • @mapoluchalya280
    @mapoluchalya280 2 หลายเดือนก่อน

    Saf Sana Ali

  • @ahmadmohd3771
    @ahmadmohd3771 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona magari majumba hakuweka bondi😂😂😂

  • @eliapendakileo
    @eliapendakileo 2 หลายเดือนก่อน +26

    Mwijaku atamuangusha Ali kiba mambo ya kijinga kweli eti na mfanyakazi wa Ali kiba anaetueshimisha Tanzania kiba mashabiki zako tutkuchoka Kama utafanya kazi na mhuni Kama huyo

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 หลายเดือนก่อน +4

      nikweli kabsa kwanza hajielewi mkurupukaji na mropokaji sana sio kiba tu hata serkal wanampenda na kumfanya kama mwema kwa viongozi sababu anawapamba wakat jitu hata akili zakuvalia chupi halina

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mwijaku hafai kwaboga wala kurumagia. Mwachilienibali huko akakojoe akalale

    • @husenimocka3077
      @husenimocka3077 2 หลายเดือนก่อน

      We n mweu pamoja nahuyo aliy komwe mbona yule shetani wenu kilasiku akihaidi vitu mbona ss hatuna habali nae

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@aishaalbalushaishabalush8291😂😂😂

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@husenimocka3077hta yule ifike siku apigwe tu ili akili imkae sawa sababu ushabiki ukipitiliza unakuwa chizi

  • @AllyMbawe
    @AllyMbawe 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka kaulihiyo unaisema unatoa kwaniabaya wazee wayanga sisawa au kama alivyosema ndugu yangu manara kama hapoyanga wenyeakili wawilitu utasemaje ungeenda kumchukua mke wa mwinjamu kwani kijiko huyomtu anautashiwake na maamziyake acheni uzwazwa nyinyi nyumamwiko

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 2 หลายเดือนก่อน

    Utu wa kocha mgunda mliurudishaje

  • @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
    @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba watanzania wapewe elimu ya Mitandao wanitumia ndivyo sivyo Naninawaombeni Washabiki wa mpila wote Kama kukitokea Tukio la ulawiti majambazi Ema mtu kuzulumiwa Tunaishindoka Tasisi inayohusika itowe Majibu Hivyo yeyote Atakaesema nikifungwa nikatwe mkono Akatwe kweli Washabiki muwazibu ili heshima ya vyombo vya Habali ziendelee

  • @jumamngazija4321
    @jumamngazija4321 2 หลายเดือนก่อน

    Wazee Gani bhana! Wote ndio wale wale! Watanzsnia Gani walioguswa na jambo hilo? Labda hao waliovunja shughuli zao kufuata upuuzi huo

  • @minnahhers7437
    @minnahhers7437 2 หลายเดือนก่อน

    na kweli umemdhalilisha sana mkr wako
    tatizo hujui thamani ya ndoa....pungunza kusema ovyo

  • @MohamedyMsagati
    @MohamedyMsagati 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hata sisi mbona tulishawahi kumsamehe jimmy kindoki

  • @NoName-pp4lo
    @NoName-pp4lo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mtoto kautaka 🤣

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo kapotea mwijaku

  • @KassimMuhamed-n5c
    @KassimMuhamed-n5c 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwijaku shezi sana halina akili. Jamani si ameerudi juzitu kuhiji maka huyu? Hili jitu Halifai hata kidogo

  • @charlesrongo3615
    @charlesrongo3615 2 หลายเดือนก่อน

    Shaban😢

  • @tulingetryphone7106
    @tulingetryphone7106 2 หลายเดือนก่อน

    hivi nn maana ya utani?

  • @RashidyRoggo
    @RashidyRoggo 2 หลายเดือนก่อน

    Ww mwenyew MWEHU ,×100%

  • @AihmAli-d8x
    @AihmAli-d8x 2 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku kamuoa mke kwa masilahi yake

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 2 หลายเดือนก่อน

    Mhmh kbxa na huyo mke akubali upuzi awap

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 2 หลายเดือนก่อน

    Laana anaipata kwa uchawa sababu hupindisha haki ya mtu na kumpa mwingine.

  • @mwajuussi9436
    @mwajuussi9436 2 หลายเดือนก่อน

    Mwinjaku hana akili eti

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 2 หลายเดือนก่อน

    Kwann mamkujitokeza kipindi kile shabiki wa uto alipotoa ahad ya kukatwa makalio ila la mwinjaku ndio mmeliona achen ujinga niny wazee

  • @AbdullatifMbago-cn3pc
    @AbdullatifMbago-cn3pc 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi kama shabiki wa Simba ila sijamuunga mkono mwijaku kama kuna mwana simba anamuunga mkono mwijaku basi huyo ni mwehu kama wehu wengine

  • @ArRahman-ih1pi
    @ArRahman-ih1pi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na kwa nn hujenda kuchukua ukamonyesha jeuri mdomo wk ukamwisha

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 หลายเดือนก่อน

    Lakini sijajua ally kamwe ni msemaji au ninani mana juzi hatukumuona? Nimeumia hawakumpa thamani ndugu yetu

  • @RamaKibuga
    @RamaKibuga 2 หลายเดือนก่อน

    Apana akupe mke tu

  • @anethmollel6564
    @anethmollel6564 2 หลายเดือนก่อน

    Kama ni mimi huyo mke ndoa inaisha simtaki tena huyo bobo😭

  • @eddomhelela1794
    @eddomhelela1794 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh

  • @AbdulhaamidSoud
    @AbdulhaamidSoud 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hana mke tena atavipi

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanza kidini sio mkewake mpaka sasa

  • @hamzamohamedKeslivol
    @hamzamohamedKeslivol 2 หลายเดือนก่อน

    Kimsingi huyo mwanamke ameachika.

  • @fifo262
    @fifo262 2 หลายเดือนก่อน

    Kuropoka kubaya sanaa

  • @fredrickjohnson2692
    @fredrickjohnson2692 2 หลายเดือนก่อน

    NASEMAJE ,,ALIKAMWE AACHE KUPENDAPENDA WAKE ZA WATU,,,WANATUNZWA HAO,,
    KAMA KILA AHADI ANAIPOKEA ,,MBONA YULE BINTI ANAYE MLILIA MTANDAONI ,NA KAKA YAKE ALISEMA ANAMPA BULE SI AKAMCHUKUE? TUAMBIENI SASA KAMCHUKUA?
    UHUNI HUO KUTAKA WAKE ZA WATU MTALIWA NYUMA🤣🤣🤣

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani ivi huyo mke wa Mwijaku anakuwaga anashahuri mme wake ? Kweli mme wako atakuya kuingiya kwenye shida kubwa na uko unaona ju kila fasi ni Mwijaku Mwijaku du sio Sifa

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 หลายเดือนก่อน

    Na huyu mzee kwani hajui kuwa huo ni utani tu! Unaongea kama vile hujui kuwa hao ni watani wa jadi!

  • @MsenyeChokera
    @MsenyeChokera 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna siku nilimtumia meseji mwijaku nikamwambia uchawa ukizidi ni ujinga arejee meseji yangu

  • @ArRahman-ih1pi
    @ArRahman-ih1pi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio apo alikua ajitowe mwenyewe so mke

    • @filibethbenard6792
      @filibethbenard6792 2 หลายเดือนก่อน

      Kwenda zako Mzee tunaemjua ni magoma2