I took it as an offence when sometimes back in 2021 working for certain Tz newspaper i wrote an article abaut @Ssaru but the editorial team refused to publish it because she was unknown in Tz.well,What a way to introduce herself!😂😂waManyaru trailer it is.uyu dem ni moto,though i fear Rosa rees comeback!❤
Bro, sijui kama wabongo wanashikanisha intention ya hee beef. Watu wote wametajwa wanafaa kuchangamka watoe ngoma waache kulala. Na kila mtu atafaidika. Much love from 🇰🇪 🇰🇪
Vaniskaka Congratulations!for what your doing,your reaction is on another level bro.your such a vibe,everything that you react on to is so fascinating;big up bro much love from Kenya may God see you through alafu hiyo riba ya kina Khali and TZ rapars ilikuwa kuwaamsha wasani ambia vigo akupaswa kuongea hivyo ule jama mweupe akona tatu mwili nzima alikuwa anaongelelea Khali vibaya si ata angetupa wimbo moja
V-vannnny bwwaaayyyyyy❤❤❤❤🐍🫶🏼🫶🏼🫶🏼
❤
vanny ssaru wa mabars here
Wozaaaaaaa
🙌🙌one woman army🔥🔥🔥
Ashamaliza
Ssarruu.... From kitaleeeeee kenyaaaa .. trans. Nzoia... County.... Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Na ukumbuke aliandika huu mziki akiwa ametoka kulala 😂😂😂😂
We Don't want peace we need problem 😂
Wow she nailed it❤❤ssaru understood the assignment 😂😂
Dope reaction bro
Ssaru killed your Rosarey on this 🔥🔥🔥
Respect to Ssaru wa Manyaru❤❤❤❤Female best Rapper
The long awaited one 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Ssaru understood the ASSIGNMENT period 🔥🔥🔥🇰🇪🇹🇿💖
You can say that again darling
Bongo bado sana kwa Kenya tatxo sisi hatupendi kusikiliza,ngoma zao lkn Kenya hiphop yao Iko juu sana sana.
Waambie wasikie, hizi level ni 🔥🔥🔥
Waambie wasikie, hizi level ni 🔥🔥🔥
Kitawalamba waseee tulieni shiet alaa shida moja ya Tz ni twa twa twa peke yake kupigania mapenzi wait for he hip hop mmezama kwa love
There you go,my brother.
Ssaru kazika Rosa Ree.
No more diss tracks
Uyu kaongea ajaimba
Beast of the Africa
Ssaru finest🔥
😂😂😂huyu amezika mama omolo😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸swez hama 🇰🇪
Ssaru African biggest rapper
I never knew Ssaru can rap this way, she's 🔥🔥🔥
Yani Wabongo wezimwa na underground artist wa +254 jee legends wakianza si mtalala kabisaa
I took it as an offence when sometimes back in 2021 working for certain Tz newspaper i wrote an article abaut @Ssaru but the editorial team refused to publish it because she was unknown in Tz.well,What a way to introduce herself!😂😂waManyaru trailer it is.uyu dem ni moto,though i fear Rosa rees comeback!❤
Been waiting for this reaction baaanaa myamwezi sijui una muona mamayao
Bro, sijui kama wabongo wanashikanisha intention ya hee beef. Watu wote wametajwa wanafaa kuchangamka watoe ngoma waache kulala. Na kila mtu atafaidika. Much love from 🇰🇪 🇰🇪
Aki ni moto sana zote pande mbili respect from Saudia Arabia❤
Taita never disappoints😂😂❤
Ssaru ni mtaita sio
@@biggiesmalls5050 ni mkenya...utaita ni nini ??
Kende ii... gghhrr nkt
Hakuna mtaita anaweza ongea sheng Ivo 😂
Taita lady to the world Ssaru, much respect to Taita
Wow 😳
Si mkikuyu😂😂
@@chikondiclement mtaita huyu
Ooh! Nilidhani ni mkenya!😢😢
😂😂😂n mdawida
Kali ssaruuuu
Ssaru manze hapa nayo uliweza walai...big up big tym
Uko mbaya kiingereza
You Knowww What It Issss😂😂
Kenya Kama Kenya😂😂🎉
Ssaru ni 🔥🔥🔥🔥bro achana na 254 tunawamoda tz
Nani wakujibu hii😂😂😂😂😂Ssaru all the way 🇰🇪
much respect to sarru... kazi safi
Ssaru tunakuaminia...we Kenyans we don't want peace we want problems
...
Kiukweli huyu dem anaflow vizuri sana😂😂
Ssaru ni monster 😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wah amemuzima Rose Ree
Ours truly SS ❤🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥
Oyi #Vani kuna dogo ktokea Mombasani kaachia bonge la kichupa doh yani mwamba kaua humo. Msearch kama #Tricks HR
Unyamweeeeezi🔥🔥🔥
Hapa sisi Tz hatutoboi heribtukubali Kenya ni baba yetu 😢😅😅ssaru
Wah amechoma picha ya Rosa Ree na moto🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Lakini watu wetu Tz msikasilike
Nimekubari ssaru
Why do I have to listen to a reaction by a Tanzanian in order to understand a song by a fellow Kenyan? Nime beat...
In kenya fight and diss I what we do for living 😂😅mtazoea tu ✅
Pitia ya tricks na siko serious mazee
Ssaru wa Manyaru 🔥🔥🔥🇰🇪
Most articulate on point reply💯💥 4:39
Van you my role model 😊
Someone to tag @Rosaree apa askie just one of our wanyama🇰🇪🇰🇪😁😁😅
Ni tissue sio kisu😂😂😂
Kuja vibaya tu wazike 🎉🎉🎉big up to ssaru our princes 😊😊
Rosa ree akaokotwe kwa pipa ya takataka... Ssaru on fire❤❤❤❤🎉🎉🎉
Unyamaa
Anatisha na Suluhu yake kabisa
Nimekubali❤❤❤
Huyo ni mkali weeeeeeee!!!
Ssaru is always best 💥💥💥💥❤❤❤
Check out ep ya double trouble mpya apo vanny
Vanisikaka ni mpee tissue akilia si kisu,🐐
Ssaru Is Fire 🔥
kenya hiyo
Ssaru moto wa kugotea mbali🔥🔥
Moto sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 😂😂😂😂
Diss iko rit,keep going kuna watatrend beyond boundaries#raisingthebrightstar
nilikua naogoja hii reaction bro 254
Kenyan men don't fight women that's y we as OGs tume ita yf ssaru a reply na amemzima Rosa mbaya much love from kenya
Hey bro fanya reaction ya huyu jamaa Bueno from 254 please
like your reaction..
kenya big up
The Nicky of Africa....SSARU WA MANYA...RU WE DON'T WANT PEACE WE WANT PROBLEMS ALWAYS
Tanzania jaribu Burundi. Kenya we on another level
Vanny isikaka understand KE music very well thanks manze for all the 254 reactions...KAZI GUNTU..👋
Tz prepare for more problems WE DONT NEED PEACE
Sssssssaruuuuuuu!!!!!!!!!!! wa Manyaru!!!
wow 🇰🇪 🇰🇪 wetu love ❤️
Lazma wakenya waheshimiwe
Rosa reee hawezi ssaru
Ssaru never disappoints she Lyrically dilivers
Amechafua 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯
Vaniskaka Congratulations!for what your doing,your reaction is on another level bro.your such a vibe,everything that you react on to is so fascinating;big up bro much love from Kenya may God see you through alafu hiyo riba ya kina Khali and TZ rapars ilikuwa kuwaamsha wasani ambia vigo akupaswa kuongea hivyo ule jama mweupe akona tatu mwili nzima alikuwa anaongelelea Khali vibaya si ata angetupa wimbo moja
Huyu Amezimaa hio diss ya RoSA Ree😂😂😂
Rasa ree amerudi na Rose coco
Tz-1 Kenya -0
Manze Rosa ree alikuwa amekam sana ati mama omollo😅
Sometimes we Kenya we take easy but bro from other planet Tanzania..watauona nikama hatujielewi...#BRO TUKIWAFUNIKA MKUBALI TUMEWASTIRI😅
Naomba ufanye reaction ya nyimbo ya briget blue yaitwa Kesho
Nmekubali Kenyan music Iko top
you know whaaat
Love that bro
Moda!🇰🇪 🔥🔥🔥🔥
Ke inasumbua dunia
TZ hapa hamko..Rosaree ashapitiwa🤫.. Kenyan to the core
Ssaru apewe maua yake🎉 banaaa wapi #mama omollo sasa😅
Mama kishaua
Safi sana Ssaru 👍
254 noma sana 🔥🔥🔥
Eeee😜😜😜 Ssaru ni G
Ssaru mkali
Kenya we want problem we don't want peace
😂😂😂 noma sana
🎉🎉 Nangoja chunga wakadinali 😊😊❤
Kaka Vani njoo huku alikiba kauwa
Shukran kufanya hii reaction morale one love
Tunataka reaction ya dis truck ya Tricks iko 🔥🔥sana
Ssaru ni wetu