Lets see between kenya and tanzania rapers nani ndio kusema the OG,BREEDER,ROSA REE and many other rapers have released their diss raps watch out for more and please like, share and subscribe
Diamond awaingize wasafi kisha wote wafanye remix ya zuwena😂😂😂😂 Tanzanians should take this as an advice or a message that none was to give if not OG, OG has made many/some rappers now to know that they dont have to be much...but to raise up and come back to the industry good example is rosa ree who has released song after OGs message,and don't take it personal😊😊😊
OG anaitukuza hiphop ya Bongo. Anatoa challenge na kaona moto na anajua Kwa Afrika mashariki na kati hipo n TZ ambako yeye ndo amejifunzia. This is music and it's funny challenge we shouldn't take it personal.
Tafadhali waTanzania njooni somo la kiswahili skuli za kenya. Msee hatumaanishi ni Mzee Jaba hatumaanishi ni JAVA DalaDala hatumaanishi taxi/basi Haya waTanzania swali kwenu, Kuchemka hatumaanishi Chemka. Haya, maanake ndio nini?(alama 99) Haya mawinji, kazi kwenu. Mkishindwa msiwahi jipiga piga hapa na Kiswahili chenu mpofu kiukweri 😂😂😂
It's Kenya all the way,mama Omollo ana fantasize Tu na ngono,once u go Kenya u can't hit anywhere else, Timmy t dat caused alot of damage to that Rosecoco,ana rap na machungu sana,aendelea kunyonyesha
Hey hey hey....u guys lemme talk as a fan plz.....na kila mtu alike comment yangu...kwanza i respect bongo flavour sana tokea ni mdogo muzik wa bongo umenilea sana bt....kwa sai...lets do this ...khaligraph munafaa kuwashukuru sana kwa kuwapa idea challenge ju sasa mlikua mumelala for sure😂😂 ona sai kila mtu anatumia akili yake kutunga lakn kitu kimoja hamjaelewa wa tz ni mnabeba hii challenge kipersonal...😂😂nope fanyeni kimuziki musiibebe na hasira its juz a challenge n hip hop ndo ivo....😂😂shout out kwa khaligraph jones he is the best tz plz only mwana fa stamina young lunya na killer wanafaa tu kushindana na breeder hao wengine watufuata baadae...😂😂😂 otherwise hii challenge inafaa kua challenge of the year na mwisho iwekeze tuzo pia....sponsors wake up..plz
Hakuna mkenya mwenye anawezo wakufikia Dalasa tuongee ukweli tusijingambe huyu mwana music hakuna wa kumufikia hapa kenya lugha yao si ya kuomba maji kama mkenya achanganya na shengi sababu kiswahili imemushida watanzania wako 💯% , wakenya 45%
Diamond awaingize wasafi kisha wote wafanye remix ya zuwena😂😂😂😂 Tanzanians should take this as an advice or a message that none was to give if not OG, OG has made many/some rappers now to know that they dont have to be much...but to raise up and come back to the industry good example is rosa ree who has released song after OGs message,and don't take it personal😊😊😊
khaligrap hata haja diss mtu just facts
Rosaa ree ametiii Kali ni ngori ady anajikopare na og og mzito pullo respect oh aty mamm omollo
Respect for OG is a must
Rosa Ree wew Umesomea Kenya wacha kutusoma Respect OG,hii Ngoma yako ni tamu Kwanza Kwa Nganya but Respect OG🔥🔥🔥💪🇰🇪
Don't forget Rosa Ree amesoma kidato Kenya...
Tz is next level
Oh ndo mkuu wao❤
KENYA 🇰🇪 ALWAYS 💥
Kenya 🇰🇪 to eternity
The OGs shall be respected
Tz ni number 6 kwa kila kituh sisi ni number mbili kwa mziki but number one kwa rap africa
Tz wako moto wako juu
Rosaa alianza na hype....hapa consistency is key ngoma ilisinya kama kukanyaga kinyesi na airforce
Kenya is on another level bana
Ya Kenya ni kali sana mzses
Bado sana hamuezi fikia kaligraph endeni shule Kwanza Mtatii tz tz amfiki
Unajidanganya ww kali anatafuta busta
Kali anapga sana kelele tafuta nyimbo ya country.boy ft.kaligraf angalia nani kafinywa
@@edgaredsony9972endeni msikie vibaya na huko tz alaa😂
KENYA IN CAPITAL LETTERS 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂
Kenya on top,OG 🔥🔥🔥
Si Wakenya tuko juu sana kama mawingu👍
Kenya Big up tu sana
Breeder LW fire!
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 should be respected 🔥🔥
Kenya the best
OG💥🔥
" 11:50 Kusema kweli bongo rap imenilea" - Kaligraph Jones
"Fid Q, you are my idol" - kaligraph
OG anaitukuza hiphop ya Bongo. Anatoa challenge na kaona moto na anajua Kwa Afrika mashariki na kati hipo n TZ ambako yeye ndo amejifunzia.
This is music and it's funny challenge we shouldn't take it personal.
Rosa ree sasa wewe tutakupea bwanako timmy mumalzane bedroom😂😂😂
Broo Tanzanie bado inaongoza kimziki.🇧🇮🇧🇮🇧🇮ata Sisi kama warundi tunajua.mam omoro kawazima nyie wakenya hamjui
Rosalee NI WEKA MBALI NA WATOTO . 🇹🇿
Rosa ree achakujipima you're akid ok don't even dare OG is our second RAO
Leta Domani munga ndo master
Kenya always 😊😊OG must be respected
Mama Omollo imeenda hiyo
the OG is flowing , na bado hatuja leta octopizzo . @ joram mlumbi sema kitu
Hatareeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hawatuwezi 254 ndio kutalk mzee achana na OG rosaree n vitu vya chai
Respect for OG
OG💥👊👊
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Roza she is the best but nimependa khaligraph ametupa challenge
Kenyaa....to the world
Tz no 1,OG must respect Makaveli, Rosa ree
Kenya uende school tena kwa TZ hiligemu hamuwazi kwanza mmenyanyuliwa na wanawabongo halafu mnaleta zalau apogemu ndoimeanza
😢😢😢😅😅IAM happy 🎉good work Bro 😮
Og must respected ❤
Yaan mnalinganixha Rosa Ree na mwanamum mna akili 2
Tanzania u have no rapper no rapper can manage og
OG all through
Bongo hatugusiki bna
Hakuna rap,Kuna mipasho tu.
Rap ni maisha
Ree Bado Ako chini
Rose Ree 🔥 🔥🔥🔥🔥
Duuh
Hugo denge all bie
Kenya number one
OG must be respected
Mama Omolo OG ndo baba Omolo akuna kitu
Karli comes in with mature well calculated subliminal very Mature.Makaveli has the flow bt in battle we recognize mostly punchline.
Bado muna buluzwa wa Kenya ata mama akawashind je blue akiingilia hap utawez kwil
The third guy ameiba beat
Khaligraph Jonnes ni moto
Mtangazaji wa kikenya ni waoga Kama Kuma bikila
Mama Omollo
Kenya we the best Respect OG
Nuff respect to OG +254 ❤❤❤
Kenya ❤❤❤❤tuko mbele 100%
Nimemusikiza OG naona hakuna mpinzani kipaji ni kipaji mzee hata ukipinga kinasimama tu.
tz wameza
GET to tz underground uuuuwiiiiiii.......tz wana ua
Tafadhali waTanzania njooni somo la kiswahili skuli za kenya.
Msee hatumaanishi ni Mzee
Jaba hatumaanishi ni JAVA
DalaDala hatumaanishi taxi/basi
Haya waTanzania swali kwenu,
Kuchemka hatumaanishi Chemka. Haya, maanake ndio nini?(alama 99)
Haya mawinji, kazi kwenu. Mkishindwa msiwahi jipiga piga hapa na Kiswahili chenu mpofu kiukweri 😂😂😂
It's Kenya all the way,mama Omollo ana fantasize Tu na ngono,once u go Kenya u can't hit anywhere else, Timmy t dat caused alot of damage to that Rosecoco,ana rap na machungu sana,aendelea kunyonyesha
Tz
Hip-hop ya tizi ni kama kuseti bubu kwaya😂😂😂😂
Ur right there 😂😂😂😂
oyaaaa niaje zee baba upo vizur ila kam vp tuandae tamasha
Kenya always rose ree morio ya wapi Bure kabisaaa😤😤😤😤😤
Waaa mambo mbaya
Hey hey hey....u guys lemme talk as a fan plz.....na kila mtu alike comment yangu...kwanza i respect bongo flavour sana tokea ni mdogo muzik wa bongo umenilea sana bt....kwa sai...lets do this ...khaligraph munafaa kuwashukuru sana kwa kuwapa idea challenge ju sasa mlikua mumelala for sure😂😂 ona sai kila mtu anatumia akili yake kutunga lakn kitu kimoja hamjaelewa wa tz ni mnabeba hii challenge kipersonal...😂😂nope fanyeni kimuziki musiibebe na hasira its juz a challenge n hip hop ndo ivo....😂😂shout out kwa khaligraph jones he is the best tz plz only mwana fa stamina young lunya na killer wanafaa tu kushindana na breeder hao wengine watufuata baadae...😂😂😂 otherwise hii challenge inafaa kua challenge of the year na mwisho iwekeze tuzo pia....sponsors wake up..plz
O.G...🔥
Heshima idumu apo Kwa Og😂😂
Hii Nini unacompere na OG,,og soon is taking the world,tz ni mapenzi akina
The OG my favorite respect
Rosa lee kauwa sana alafu dem wakija ma men ya Tz aibu mtakunya
Rosa ree ana jipima na OG ,atawezana kweli ,OG is the big boss
jones alifanya ile kitu aliwaosha mbaya
😡😡😡😡😈
Mamaomolo.tunampa ku shakina ama saru wa manyaru
KENYA 🇰🇪✌️shall be respected🔥
Hakuna mkenya mwenye anawezo wakufikia Dalasa tuongee ukweli tusijingambe huyu mwana music hakuna wa kumufikia hapa kenya lugha yao si ya kuomba maji kama mkenya achanganya na shengi sababu kiswahili imemushida watanzania wako 💯% , wakenya 45%
OG bado atatesa ata wakitaka wamlete diamond kwa ubeef
The OG must be respected 👊👊
Rosa ree mama omolo
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tuko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wa KE 🇰🇪 ungu Usha wauwa na mna taka ku Rap haha Tz🇹🇿🔥🔥
OG 😂😂💪💪💪💪💪is the king
Huyo mtz rapper kodiboy pia amerusha kombora Moto fire Kwa OG.
honey wako sioni ka anakudeserve
Hii n rap ama n comedy 🤣🤣🤣🤣 hata siku moja hamwezi kujilinganisha na khali, og world class
its OG vs Everybadii
OG 🔥 Diss safi
WATANZANIA WAMRADA WELI FATHELA DD
Niku moto 🔥🔥🔥
Tz ♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️
Roza tombua😅
Kao denero is the best
Kenya is. The best❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉