Anyone replayed it more than twice ? Damn gurl you are on fire and if talent was a person..I give you your flowers keep it up looking forward to hear more. 👏
Ooh you can learn a thing...si kwenu mko na Darasa...mlipewa Samia mkakosa Suluhu..so tumekalia watoto wa Uhuru......Shiiiiiiiiish Best Female rapper in TZ ...best Female Rapper in Africa........Their Mamaz
Wah! Tuko hapa diaspora na naona vitu vyafanyika 254...the flow, the confidence & swag is so fresh, smooth & on an international level!!! Creativity=radioactivy! Mpaka mtu anakasirika ikiisha joh! Wish it was a bit longer🙂...from Boston with love!!!
These our two girls are great rsppers though ssaru sounds more comfortable & flowless while rosa kind of strained to put much energy on vocals. Ssaru ni mnyama lakini big up east Africa 🇰🇪🇹🇿
Hi ni RAP uko serious kwelii aiseee????? Raper ni OG , Octopizo na prezo na femi one wengine wanajitaid tu uyu ni msanii sasa.. mziki hauna punclines wala bars😄😂😂😂😂😂😂😂🇹🇿
@@FreeGod368do you even know what punchlines are? Cause we have several punchlines on this song for you to miss one. And what is bars to you? Can you give an example in reference to a hiphop song?
@@sylvia_saru usione sijaimba ukadhani mi kilaza,sitaki Shobo na Kenya na sijawahi kuwawaza,hivi wewe unaimba mbona kama wachombeza,unashindana na bongo mbona unajipoteza,unamtusi samia hujioni mwanamke,dada unaotenda dhambi nenda kwanza kaokoke,kuimba unajifunza unakuja na utoke,leo ninakutangaza kama salimu kikeke,Kenya ukiweza bongo kwako ona kama ndoto,sawa kumfananisha moi Kenyata na ruto,halafu haujakua nenda kapate sikito,naona unachekesha kama mzee majuto.kenya nchi au pango natamani unijuze,vita yake inadumu kama jirani wa kongo,nafikisha mistari wala sitaki uongo,Tanzania pote lami wala hakuna udongo,unilete Nairobi nikafànye nini,wadada wenu wahuni wavaa bikini,mavazi yao mafupi paka kanisani,mimi nachana hatari sasa hakuna utani,
If i had to rate the Tz diss tracks hio ya msidoki haingepatikana kwa top 5. Diss za Tz ni ya Rosa ree na Motra pekee zinaweza compete. Hao rappers wengine wote wametoa diss wako chini
@@Shakstyggahbeats uwezi elewa rap style ya Msodoki unless umeskia ngoma zake zote. Kama kuna rapper watanzania wanapenda basi ni Msodoki. Respected and loved. And if you know music hizo zingine ni kelele tupu
@@Kadesablack sasa nani haezi elewa rap rahisi kama hio msodoki anafanya. Hio urahisi kwanza ndio inafanya namrate chini. Kupendwa na kupewa respect si kumaanisha ni mnoma. The fact remains hio diss track yake iko chini haiezi fika top 5 Tz
@@Shakstyggahbeats @Msodoki best songwriter in the world. Young Killer Msodoki is the best ata kama hutaki, Khaligraph pia ni rapper fulani noma kiroho safi
Rap ni masomo. Rap ni art. Art is beautiful. Mistari moja ya Msodoki utajadili saa nzima na bado uwezi maliza. Rap si kupanga maneno tu na kuweka sauti...rap ni maandishi. Kama umenisoma vizuri utajua namaanisha nini. Mimi niliskia wasanii wengi sana lakini siku nilimskia Msodoki nilimpea crown👑 na sioni rapper anaweza mvua hiyo taji. Rudi umskie Msodoki kwa mara ingine, kwa track yake yeyote utajijibu
There goes the best female rapper in +254
Shr has BURNED Mama Omollo
Aki walai she is the best 👌
Where ?I didn't see Femi one in the video 😅
That's our home gal❤, Kayombotole to the world.....
Fe
Come on Africa let's gather here and show Love to the Queen ❤
🫡🫡🫶🏼🫶🏼🫶🏼
th-cam.com/video/oI2RM6CHYwk/w-d-xo.htmlsi=Scvm0eZQKl_GSXTL
💃💃🤝🤝
❤maaaad🎉
Ssaru apa umeweza sana mamaa Yani ngoma Kali sana big up my sister
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tumekubali kushindwa🇹🇿🇹🇿
She waited, studied, and strategised. When she finally responded, she delivered...🎉🎉🎉🎉
Walai
She delivered 😂😂 big time
@@HafithTafari-cg5yg ndo unareply 😂😂
Ssaru single handedly carrying the music industry in Kenya what a flow 🔥🔥
Damn this is hot 🔥🥵 F**k TZ🤣🤣🤣
th-cam.com/video/gzbNtchCodE/w-d-xo.htmlsi=D3-46wNTqfJRsw07 bado
After Og respect ssaru pia ❤
Mlipewa Samia na mkakosa suluhu, so tumewakalia, watoto wa uhuru🔥🔥🔥
🎉🎉🎉
Naeza wapa idea muifikishe kwa ikulu 🫶@@sylvia_saru
Wow Kenyans NEVER disappoint 💖💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Always ke🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🫶🏼🫶🏼🫶🏼
I'm back here in 2024.🎉
Ssaru....Good job.
Let me tell you Maina, Ssaru nailed it. Even though she wasn't pregnant, she delivered. We call it poetic justice.
moto sana aiiiitel you😅
We attack at dawn..we conquer by midday🇰🇪
Geng Geng my gal🔥🔥🔥🔥
This is not a diss song, this is just a message 🔥🔥
sawa
#kenyavstanzania
What is diss to you😢?
😂😂 Absolutely , ssaru wafunze banaaa 🔥🔥💯
Watanzania mna ugumu hata wa kuelewa
👌🏼point of correction
The only shortcoming about this song is that it ends. Ssaru to the world
🎉❤❤☄️
Anyone replayed it more than twice ? Damn gurl you are on fire and if talent was a person..I give you your flowers keep it up looking forward to hear more. 👏
Thank you so much ❤❤❤🔒
Driven on repeat from Embu to Nrbi....then to Kisumu and back...🎉🎉😂😂
hii ni noma ngoma hazifiki namanga baanaye❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉 thiss is maaad...
hii Naskiza mara mia kwa nyumba❤damn it🎉🎉
me 50 times now
The song we all waited .
Happy with kibe and 1m others
Now Ssaru killed them with their own style
@@ASTONVILLA_254juu ya matusi ama
@@ASTONVILLA_254 which day?
@@ASTONVILLA_254 lol...your ears need to be checked.
@@ASTONVILLA_254 rose coco n hype tu alipewa ... Lakn akuna rap apo
My friend you better check those ears 🤣
Imeweza
The best female rapper in East Africa according to me big up Ssaru💥💥💣 Tanzania wanyamaze waende waskie vibaya huko Mt.kilimanjaro 😂😂
The best female rapper in East Africa! Killing them with their own style.
GENGETONE TO THE WORLD!
Africa too
Apa amechafua n kiswa yao😂😂😂😂😂ati tunajua alikua malaya y timmy
roho juu haha@@ScarsleySushi
Ghaaai, huyu dem si ni beast 😮😮😮
Shukran sana🙏🏽
Hii imeenda shule🔥🔥🔥 Ssaru alafu Shekina Karen mkienda tz wasanii wote wanahamia Zanzibar😂
Pure vibes. This queen can deliver bila hata mimba.
Kenyan Talents Rock!!!
Uyu ni mkali ❤❤ bigg up Ssary , wa show hao masulai 😜😜
Queen Ssaru. Simply untouchable. ❤🇰🇪🇰🇪
❤❤❤
@@sylvia_saru ❤❤🇰🇪😍😍
Ssaru never disappointed me, Absalutely Queen of rapp in Africa. # SALUTE
🫡🫡🫡🌹🌹
Tumewakalia watoto wa uhuru😂 tunawashuku kama wanalipa ushuru🤭👈🔥.much love swelie from Messi kadenge 254🇸🇸🇸🇸♥️💯👈
Big up🫡🫡❣️❣️
Much respect mpoa🤜🤛🇰🇪 tz wajitulize🙀🙈 wamanyaru🇰🇪 ni🌟🌟💯🌟😹
RESPECT KENYAN AND PLZ LETS SUPORT KENYAN...These guys are Dope👌
🫶🏼🫶🏼❤️☄️
JUST AS KIBE SAID SHE IS THE QUEEN AND SHE HAS BURIED THE BEEF NOW🔥🔥🔥🔥
Kibe knew it and she never disappoint
@@kennegzakakao1029 sure
Mr Lambistic alijua😁....
Bana umevaaa trio ungifanya solo ghaiiii nini mbaya n ukijana
Damn, flow iko on point,rhymes nazo, mara ya kwanza kuona huyu binti,ntamfwata bila shaka,keep them coming 🔥🔥
❤❤❤
*Finally the rap goddess has done it💪💪💪. That chapter officially closed*
Ooh you can learn a thing...si kwenu mko na Darasa...mlipewa Samia mkakosa Suluhu..so tumekalia watoto wa Uhuru......Shiiiiiiiiish Best Female rapper in TZ ...best Female Rapper in Africa........Their Mamaz
No curse words and the message is on point 💯🔥💯💯
📌📌📍
Pure talent from our Queen
Kumbe saru anajua kurao hivyo
The bars in this song are unmatched much respect to the trap queen Ssaru
😊
Wow the LETEST big up
❤❤❤
Sssaru nilijua hiii.itaenda
My respect for Ssaru accelerated after this
🫡🫡🫡🫶🏼
Hawa matapa wa TZ wapige tizi na wajoin bongo beats ama waende nyumbani kama Ali Bongo....Ssssssssssaru🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ati Fid-Q no where to be seen, in the queue tuko na kiu sisi kama mafans na tuko few🤦♂️..Damn!! This line is so underrated
☄️☄️☄️🦅🦅🦅🦅🦅
Massive
Hii ni Moto kuliko pasi ya makaa🔥🔥🇰🇪
Rose Coco with the comeback 😅
Thank you babe, shughuli tumefunga sasa washa tii sisi ndio wanoma🔥🔥🇰🇪
There we go!!!ssaru never disappoint...the queen of rap had finally talked...what a bright future does Kenya has.#ssaru🔥🔥🔥
🫡🫡🇰🇪❤️
Star Siku zoteee
I’m convinced kenya has the best artists in the continent.We just need to embrace ours more .Anyway Ssaru amefanya ile kitu 😅😅🔥🔥🔥
🫡☄️
I swear this is the best song ssaru has ever done... Great delivery...flow kali.... barz on barz... imagery.... beat imeweza...can't say enough
❤❤❤
😂😂😂ssaru big up umeweza hiyo come you never dissapoint
Challenge closed Ssaru has killed it🔥🔥🔥🔥
Ngorii🔥🔥...wapi likes za ssaru wakuu
❤Top top ssaru.....🍻 top striker
Wewe ni mbaya sio mtu mzuri..Enwei ssaru to the world 😂😂😂❤❤❤. I LOVE YOU SSARU
The best female rapper in east, bars on bars.
❤❤❤
wa manyaru,,washakubali,,za kwako hawatoboi,,ww nari bin kiririmbi
Great vibes❤ hit tuko na historian.
Hats OFF to the QUEEN, TZ can now bow for the Majesty.
I saw the name and knew what would follow was pure greatness 😂😂
So far, Kenya is leading on this game. Keep it up, Kenya 🇰🇪
Yes we are🇰🇪🫶🏼🫶🏼🫡🫡
good delivery ssaru
The Rap Goddess❤
Nomaa🎉🎉... Fans wa hiphop leteni likes hapa alafu mpitie diss track yangu pia... Kenya we here
Wah! Tuko hapa diaspora na naona vitu vyafanyika 254...the flow, the confidence & swag is so fresh, smooth & on an international level!!! Creativity=radioactivy! Mpaka mtu anakasirika ikiisha joh! Wish it was a bit longer🙂...from Boston with love!!!
beating them with their own style,,,,a taste of their own medicine
These our two girls are great rsppers though ssaru sounds more comfortable & flowless while rosa kind of strained to put much energy on vocals. Ssaru ni mnyama lakini big up east Africa 🇰🇪🇹🇿
Watoto wa Uhuru🔥
Ssaru has been representing Kenyan music to the fullest 💯💯🇰🇪😤
🔒🔒❤️❤️☄️
Imagine waking up at 2 am to this lyrical fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂❤❤
@@sylvia_saru honestly you nailed it.
Daaaaamn🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🦁🦁🦁🦁 rappers wa Tz can't be compared to rap queen...
Still waiting for Khaligraph ft Ssaru🦁🦁
Hi ni RAP uko serious kwelii aiseee????? Raper ni OG , Octopizo na prezo na femi one wengine wanajitaid tu uyu ni msanii sasa.. mziki hauna punclines wala bars😄😂😂😂😂😂😂😂🇹🇿
We unaropokwa Nini sasa
Umesema ukweli wacha wa kuhate wa hate
@@FreeGod368do you even know what punchlines are? Cause we have several punchlines on this song for you to miss one. And what is bars to you? Can you give an example in reference to a hiphop song?
@@mfalmegreatness5482mafi
ya nyani, tulia acha chuki😂
Moda Moda you deserve the throne.straight to my playlist
🔒🔒
Ssaru, ready for war
Proud to be Kenyan 💯
For what?
🔒🔒❤❤
@@sylvia_saru usione sijaimba ukadhani mi kilaza,sitaki Shobo na Kenya na sijawahi kuwawaza,hivi wewe unaimba mbona kama wachombeza,unashindana na bongo mbona unajipoteza,unamtusi samia hujioni mwanamke,dada unaotenda dhambi nenda kwanza kaokoke,kuimba unajifunza unakuja na utoke,leo ninakutangaza kama salimu kikeke,Kenya ukiweza bongo kwako ona kama ndoto,sawa kumfananisha moi Kenyata na ruto,halafu haujakua nenda kapate sikito,naona unachekesha kama mzee majuto.kenya nchi au pango natamani unijuze,vita yake inadumu kama jirani wa kongo,nafikisha mistari wala sitaki uongo,Tanzania pote lami wala hakuna udongo,unilete Nairobi nikafànye nini,wadada wenu wahuni wavaa bikini,mavazi yao mafupi paka kanisani,mimi nachana hatari sasa hakuna utani,
@@sylvia_saru come on😃😃😃
Tanzania this is our 3rd best female rapper. Bado Femi Uno at number two na Kaveve Kazoze at number one 😅. Kaka Braza Afazali muombe msamaha.
Huyu Yuko mbele, Ngesh comes after Ssaru
❤❤❤Bravo!!the baddest female rapper in Africa
Ssaru at her levels........
Still on top Ssaru 🔥🔥
She always disappoints. She did well
I appreciate ur work. Such wonderful master piece
Thank you very much!, maintain ivo ivo
@@sylvia_saru u r welcome 🤗
There she goes the queen!!
Ssaru is definitely the best female rapper in KE..fireeeee
Ssaru the master best female rapper keep it lit ,, message at home kabisa
This one you have killed it. CHILLS 🥶
Banaa khalii 🔥
Im from tanzania 🇹🇿 but kenyans you are on top 😂
🫶🏼🫶🏼🫶🏼🫡
254 must be respected..iyeeeee
Dear lord 🙏 protect this artist she gives me hope why I should live in this world 😊
Amen 🙏🏽 ❤❤❤
We told em mahfkrs we on top now leeeeeeeetssss go
Uanga mbaya🔥
She officially the Queen of Rap in Tanzania 🇹🇿 after these magnificent bars, give her some flowers 🎉
She is from Kenya not Tanzania 🇰🇪🇰🇪
🫶🏼🫶🏼🫶🏼
you must be fun at parties@@Justobeenthat
Bure kabisa huyu ni Mkenyaa
Huyu dem she is from kenya +254🇰🇪🔥🔥🔥🔥
Kenya on top❤
Ssarru ni pure talent tanzania manyaru tu.
hapa hakuna came back, this is lit 🔥🔥🔥
Msodoki Young Killer is untouchable. You can diss him the whole year but he still remains the best songwriter. @Ssaru you're doing good
If i had to rate the Tz diss tracks hio ya msidoki haingepatikana kwa top 5. Diss za Tz ni ya Rosa ree na Motra pekee zinaweza compete. Hao rappers wengine wote wametoa diss wako chini
@@Shakstyggahbeats uwezi elewa rap style ya Msodoki unless umeskia ngoma zake zote. Kama kuna rapper watanzania wanapenda basi ni Msodoki. Respected and loved. And if you know music hizo zingine ni kelele tupu
@@Kadesablack sasa nani haezi elewa rap rahisi kama hio msodoki anafanya. Hio urahisi kwanza ndio inafanya namrate chini. Kupendwa na kupewa respect si kumaanisha ni mnoma. The fact remains hio diss track yake iko chini haiezi fika top 5 Tz
@@Shakstyggahbeats @Msodoki best songwriter in the world. Young Killer Msodoki is the best ata kama hutaki, Khaligraph pia ni rapper fulani noma kiroho safi
Rap ni masomo. Rap ni art. Art is beautiful. Mistari moja ya Msodoki utajadili saa nzima na bado uwezi maliza. Rap si kupanga maneno tu na kuweka sauti...rap ni maandishi. Kama umenisoma vizuri utajua namaanisha nini. Mimi niliskia wasanii wengi sana lakini siku nilimskia Msodoki nilimpea crown👑 na sioni rapper anaweza mvua hiyo taji. Rudi umskie Msodoki kwa mara ingine, kwa track yake yeyote utajijibu
my darling crashie😍😍😍😍😍
U killed it girl
Ssaru, dropping bars after bars.
Keep raising the Kenyan flag higher 🇰🇪
Crazy hot content🔥🔥🔥🔥
Weeeeeeeh 🔥 I like this lady .unique voice ❤
There comes my queen of rap amazing stuff from 254🇰🇪🔥🔥🔥
Bado inachuna❤❤❤may 2024
YOU KEPT ME WAITING....... But now we are here.. WORTH THE WAIT....
Real organic BARS!! And punchlines. Hip hop lovers understand what i mean. Huyu dame hukuwa fire🔥🔥raw talent
Big up Stephen🫶🏼🫡🫡