Dayuthi Haingii Peponi - Sheikh Mbarak Ahmed Awes |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Jum'uah Khutbah | Dayuthi Haingii Peponi | Sheikh Mbarak Ahmed Awes |
    Subscribe kwa channel za Sheikh Mbarak Ahmed Awes ili upate kufaidika
    Sheikh Mbarak site
    rb.gy/ibpx0p
    TH-cam
    / sheikhmbarakahmedawes
    Telegram
    www.t.me/sheikhmbarakahmed
    Facebook
    ustaadhmbarakahmed
    Instagram
    sheikh_mbarak_ahmed_awes
    Usikose ku share ili wengine wafaidike

ความคิดเห็น • 6

  • @kingakent7703
    @kingakent7703 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asalamu aleykum warahmatulahi wabarakaatu sheikh mbarak ahmed awes, kila khutba ya ijumaa please tuwekee hio khutbah kwa hii channel yako ndio wale tusioweza kupata nafasi ya kufika huko tuangalia kwa youtube yako na sisi tufaidike

  • @mohamedsalimaljahdhamy1436
    @mohamedsalimaljahdhamy1436 2 หลายเดือนก่อน

    Aaaahhh hapana kuwa na inswaf basi rudi tena kaziangalie tena vile kofia wanazovaa wakati wa xmas halafu iangalie kofia ya shekh. Usiwe mwepesi wa kusema tu kwanza fuatilia sana jambo kabla hujainyua kidole chako kuandika kitu. Allah atuongoze ktk njia iliyonyooka

    • @froma3732
      @froma3732 2 หลายเดือนก่อน

      Tatizo ni kuelewa hizi kofia zinavaliwa na Wamasri tena ni vazi la Kislamu wewe umeona ni Xmas hasara yako

  • @zuhurasheyn2024
    @zuhurasheyn2024 2 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah, Allah akujaalie mema kwenye mizani yako na akujaalie jannatul firdaws...lakini sheikh wetu sio kwa ubaya but hiyo kofia usivae sababu hiyo rangi ya white na red juu na hiyo shape yake zinavaliwa December na wakristo ndio .wanaziita kofia za santa...

    • @coolvoices6608
      @coolvoices6608 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂Dadangu haya mambo ya kidini ulizeni mwanzo wenyew. Ww the only reference you have ni kuwa wazungu wavaa. No si hvy. Si kila sheikh utamuona na hy kofia. Ni wachache waliosomea Al-Azhar University Egypt ndio utawaona na kofia hy. Ni katika tradition ya chuo hicho na masheikh wakubwa walivaa hvy hata kabla huyo Santa ukwaju kuvumbuliwa. Waislamu ndio watu wa kwanza kuvaa graduation gowns hivi sasa akivaa mzungu haimaanishi ni yao tusivae jamani tusomeni na tuache kuhukumu vitu kulingana na uchache wa elimu tuliyonayo.

    • @swallekh_maher
      @swallekh_maher 2 หลายเดือนก่อน

      @@coolvoices6608Swadaqta