ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Hey wapendwa hii video ni kati ya video zangu za mwazo youtube,na ndio maana mwanga kama unasumbua kidogo nilikua bado najifunza kuset mwanga.nawapenda sana kwa kunisapoti
Asante sana kwa somo nimelipenda
Dada nimependa sana Mapishi yako. Mimi ni Bachela hivyo najifunza sana kwako
Asante derrik karibu sana
@@homecookingtz2488 haha usijalii Dada.Mimi nitaendelea kuwa shabiki wako
Asante
Samaki hawarojeki?
Hapana mamii labda umpike kwa mda mrefu
Hao ni sato ama
Hawa ni pelege wakubwa (ni jamii ya sato)dear
Waooo
Nice demonstration.
Viaz vitaiva kwa hizo dakika 6?
Hello,dakika sita ni kwa ajili ya hoho niliweka baada ya supu kuiva mamii
Hongera ❤
inakaa poa sana
Nimeipika leo nzur sana
Asante nimejifunza
Nzuri sana
Tamuuu
😋😋
Nice soup
Wow nice 👍
Asnteee
Wooow
Nice
Woow
Dakika 6 viazi vina iza dada
Dakika sita baada ya kuweka hoho mpendwa
@@homecookingtz2488 oky nimetoka kupika mida ihi tamu balaa
Nami najiribu kipika jmn
Utaweza mpendwa
❤❤
😋😋😋😋😋
Nitaipika nione nitamu kweli
Naukiipika huto iacha itakua ndio supuyako pendwa ❤️
👌👌👌🥰🥰
Karibu mpendwa
Asante Sana. Looks yummy. Lakini mbona hamna tomato fresh na manjano?
Nashukuru umeniongezea kitu,next time nitaweka mpendwa
Nimependa ninzuri
waao nimeipenda
Nashukuru,karibu sana mpendwa
Samaki gani hao?
Perege(ni jamii ya sato)
Hey wapendwa hii video ni kati ya video zangu za mwazo youtube,na ndio maana mwanga kama unasumbua kidogo nilikua bado najifunza kuset mwanga.nawapenda sana kwa kunisapoti
Asante sana kwa somo nimelipenda
Dada nimependa sana Mapishi yako. Mimi ni Bachela hivyo najifunza sana kwako
Asante derrik karibu sana
@@homecookingtz2488 haha usijalii Dada.
Mimi nitaendelea kuwa shabiki wako