SAUTI YANGU NINAKUTUMA/ MONICAH MBITHE_ CECIL
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 มิ.ย. 2024
- Yesu Kwetu ni Rafiki , Sauti Yangu ninakutuma♥️
Karibu kutazama wimbo huu ambao unatukumbusha kwamba katika magumu yote Yesu ni rafiki yetu tusikate tamaa yatapita♥️♥️♥️♥️
#sauti #sauti yangu ninakutuma
Kazi nzuri
Monica Umeimba vizuri Mungu akubariki Sana uzidi kumwimbia.
Amina Dada yangu❤You are my role model ❤
Kwakweli mnabidi mtoe nyimbo pamoja. Mnatubariki sana
I couldn't imagine that I'd ever come back and listen to this song during a difficult moment 😪🤍🤍🤍🫂 thanks momma it proves to be therapeutic ❤❤
Yesu kwetu ni rafiki wa kweli na mwenye huruma😪🥺🤍🤍🤍 I'll hold on to this for a moment 😢 nisikate tamaa🫂🫂🫂🫂🤍
Kazi nzuri kabisa siezi nyamaza lazima niseme dada umebarikiwa ❤❤❤
Mbona jamaa wetu anataka kujinyonga sasa, Yesu ndiye rafiki wa kweli Mr,wimbo mtamu sana Monicah
Huyo Jamaa anataka kujiweka kamba namjua😂😂😂.
Mwambie asikate tamaa Mungu anampenda bado❤❤.
Ceti lumiti😂
😂😂😂😂😂😂anakata tamaaa why😂😂😂
Watu mnatafuta dada safi wapi huyu hapa hebu tupite na likes zake💪💪💪💪💪💪
Eeeeeiiy 😂😂😂
My darling ❤❤❤❤❤
Akraba,Guru, Mwalimu wa mziki, mwalimu wa wanagenzi, mwalimu wa Piano, mwalimu mwigizaji,ustadh, Mpe jina Cedric Lumiti Mbarikiwa ,Kazi nzuri aisee... Kioo Cha jamii Cha kizazi hiki
Asanteh kwa kutazama♥️♥️
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nice one.
Sauti nyororo 🎉
I loooooove the entire song, the message, the melody, the singing. Keep it up mamaa❤❤❤❤❤
Yesu ndiye rafiki wa kweli🙏🙏
Wow, Thanks so much for gracing our ordination. This song will always remind me of our ordination. I am deeply humbled.
Kazi nzuri mbarikiwe nyote mlifanikisha kazi hii
Woooow❤❤❤.The voice is heavenly 🥰.The message is so inspiring 🙏🙏🙏 Alafu the modulation at the end 🤍🤍🤍
My brother lumish don't die😅😅😅❤
😂😂😂😂😂
The comment I have been looking for😂😂😂😂😂😂
This is so beautiful babygirl ❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
Wimbo mtamu kweli. Sauti tamu, kila kitu kitamu kweli ❤
I can't get enough of this ❤️
Congrats Monica... Wimbo mzuri...sauti nayo very nice...may God continue to bless youi
Wonderful piece.. very consoling ❤
Naam ❤ Yesu kwetu ni rafiki. Ujumbe mzuri sana dada Monica. Mungu amekupa kibali. Endelea kumtumikia ❤🙏
So nice , keep up the good work
❤❤❤❤
Ndo kurudi online
Wow this song😮😮😮
You have earned yourself a subscriber. This is a great song ❤❤
Can we all gather here, for those of us who have watched this song 100 times.inabariki 👏👏👏
Eish siss❤❤❤❤❤
Hii dada Monicah imekuja kwa kiwango cha juu ubunifu wa hali juu Hongera sana kwa uimbaji mzuri nimesikia kufunguliwa na kujituma kuimba zaidi kuimba ni kusali mara mbili wimbo mzuri mno 🎉🎉🔥✅🙏
Eeeeeiiy ❤❤❤ ni Mimi umeniweka nacheza song on repeat hivi 🥰🥰🤍 am so in love with this♥️🌹🌹🌹🥳
Awwww my darling ❤❤❤❤
Yesu kweli ni rafiki mwema kwetu🔥🔥.... And the bridge of the song💯Celestine🔥🔥
Thank you for watching ❤❤❤
Deep deep message 💞. Yesu kwetu ni rafiki ❤
so beautiful my people sabuti tamu tamu,my baby has clapped after hearing the song
Amazing one Mbithe💯💯
Kwa hakika Yesu kwetu ni Rafiki.... congratulations for the amazing song semejii
Asanteh sana Semeji
Are youuuuuuu reaaaaady 🎉🎉🎉🎉 for Sauti Yangu ninakutuma?❤❤❤ gonga like hapa tukisonga
Wow i can't get enough of it❤❤❤❤...what a song..❤❤
A great song. Monica 🎉🎉🎉🎉
Wooooow this is awesome 🥰🥰🥰❤️🔥
Wonderful ❤❤it is the smiles for me 😊
Asanteh😂❤❤❤
Hongera Sana Monica you have wonderful voice Mungu aendelee kukubariki Sana aisee🎉🙏
Wow wow wow ❤️❤️❤️❤️
Sauti nayo Haina compe sweetheart ❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰❤️this oneeeeeeeeee🎉🎉🎉🎉🥳🥳🥳🥳🥳
Mamaa❤❤❤ asanteh
This is amazing, you people are just fantastic ❤❤ talent ni talent
aaw aaw❣, umekuwa baraka kwa wengi kupitia utume huu Monicah. zidi kumtumikia Mungu kwa sauti yako nzuri. hongera hongera
The message the voices =beautiful song...May God bless you so that you bring more songs for his glory
Nice song... congratulations Monica 👏
Guys let's support this beautiful soul by sharing and asking our friends to watch.....it's a soul awakening song... congratulations Gal
Hongera sana Kazi Nzuri sana.
Wow🎉🎉nice song @monica
Congratulations 👏👏👏 keep it up ...unabariki wengi Na sauti yako taaamuuuu....Be blessed always ❤❤
Yesu kwetu ni rafiki ,good message❤
Good work Cedric lumiti's crew keep up the spirit
❤❤❤
Hongera Sana Mrembo Utume Uendelee
So wonderful 😘😘😘
Mungu Atuonea huruma haswa pale tunapokosea🔥🔥🔥🔥🔥🔥💓💓
Oh yes❤❤❤
Cecilia 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌💜💜💜💜💜💜.
This song is nicely composed❤❤❤❤.
Dada❤❤❤❤
Congratulations monicah kwa kazi nzuri❤❤❤
Nice one shista ❤👏👏👏
Kazi njema sana madam monicah
Though am not a catholic but it's a blessing song
Kazi safi Monic
Mambo matamu kweli kweli ,monicah you are on it ❤🎉 congratulations
Bonge la ngoma🔥
❤❤❤love it,,,one of the best production,, it's perfect
Nice song keep going dears
Heeeeeeeey ❤ sweet dear sister 🎉🎉🎉 hongera Sana 🫂
Nice voice soft saprano dear .....I really enjoyed it 👏👏🙏🙏
You always bless me . Kinyaa kithanze kivoo🎉🎉🎉🎉🎉❤
Yiwe!!....so wonderful.....keep soaring baby girl.
Wow, amazing song Cecil, congratulations 👏🎉
Wow nice voice dada thanks for the nice song keep up God is happy.
Aminaaaaaaa❤❤❤❤
Just amazing...keep it up....
Nice song❤❤
Wow!! So amazing, MUNGU akuongoze katika kalama yako 🙏
This is amazing Cecil 🥰. May our good Lord bless your voice box
Wimbo wa kututia moyo kweli. Tuzidi dada🥰🥰🥰
Weuuh.....such a lovely voice from the African girl.❤❤❤❤
And the message inspiringly touches up to the endocardium!❤
May you be blessed to continue touching souls for Christ Monicah
Tamu sana dear
Congratulations Mbithe🔥🔥... A very nice and well executed piece💯... Nyimbo tamu kweli🔥🔥
Asanteh sana❤❤
Hii ni kali saaaaaana ❤❤❤❤🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Wimbo umekaa poa sana na content pamoja na melody ya nyimbo zimekuwa na perfect match ... Hongera sana monicah
Pia kaka @lumiti kazi nzuri sana kaka aisee🎉🎉🎉🎉🎉
Asanteh sana❤❤
@@MonicaMbitheMusic karibu sana🌹💐🙏
Good performance Monique 🎉🎉🎉
Thank you sis♥️!! 😁
Very beautiful song❤❤
Thank you for watching ❤
Kazi nzuri❤
Jamanii SEMA kubambika ❤❤❤🎉🎉nice song 🥰 MMM
Glad you love it
❤❤ the tonal variation... nice one mbithe
Beautiful Music cecil❤❤❤
Thank you my gal❤❤❤
❤❤❤A True sign of God's work is evident in your journey Monica ,from humble beginnings to reaching new heights. Congratulations to our talented Kamba artist for the inspiring and enriching songs that educate and uplift listeners. May the Lord continue to use your gift of singing to spread His message to those seeking to know Him. We are so proud of you, Kalumaita. SAUTI YANGU NINAKUTUMA 🎉🎉🔥🔥🔥
Thank you so much my support system ♥️♥️♥️♥️♥️
Amen Amen and thank you so much my support system ❤❤❤
Hongera sana kwa wote walioshiriki kwenye hii nyimbo. Pia muimbaji umeutendea haki. Yaani unaposikia unajihisi upo mbinguni. Hakika sauti umeituma mama
Wimbo mtamu sana mwalimu Cedrick
Nice one monicah
Blessed mtumish
I love the enegy, the tone colour and everything about the song...
Thank you so much for watching ❤❤❤
Our Most Favoured Favourite❤
Crashing the airwaves with another Beautiful Hit... Her irresistible Angelic Voice is on once again. Keep up the Great Job Our Darling Siz... Well doooone🎉🎉🎉🎉
Thanks for listening♥️Am humbled bro♥️♥️♥️
Everything is superb😍😍,,kazi safi Monica
Hongera Kwa utume
Asanteh sana Tonny❤❤
This is an amazing one gaaarrlll❤❤
My gal❤❤❤❤❤
Very nice song sister keep it up
Nashukuru❤❤❤❤
Nice rendition in voice, instrumental ...Acha tu niseme yesu ni rafiki na mwingi wa huruma...nimeipenda
❤❤❤❤asanteh sana
Hongera Sana monica
Woow🎉
The very best kibao,,,,,,,,I also feel send ,,,,,,,,imeniguza saaana ,,,,,kazi njema monih,,,may God keep seeing you thru
Wow....the only heavenly art on Earth.... Be blessed sister...
Amina♥️♥️♥️Thank you so much 😀Am humbled
Excellent 👌
A very nice song. Keep it up
Thank you for watching ❤