Familia nyingi zahangaika Loitokitok baada ya ng'ombe kunadiwa Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2017
  • Ng,ombe huwa sehemu kubwa kwa maisha ya jamii za wafugaji hasa Wamasaai, ikizingatiwa kuwa ndio mali wanayoitegemea kukimu maisha yao. Siku za hivi karibuni hali zimebadilika kwa jamii nyingi zinazoishi eneo bunge la Oloitoktok kaunti ya Kajiado, kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania. Hii ni kufuatia hatua ya serikali ya Tanzania, kupiga mnada ng’ombe za jamii ya Wamaasai waliokuwa wamezipekea malishoni katika taifa hilo kufuatia kiangazi kilichodumu humu nchini.
    Kadzo Gunga alifunga safari hadi kwenye maboma yao na kuandaa makala maalum ya CHOZI LA MAA.
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.com/+CitizenTVKenya
    / citizentvkenya

ความคิดเห็น • 8

  • @paulothomas
    @paulothomas 4 ปีที่แล้ว +1

    Inauma sana kenya na tanzania sote nindugu hususani masailand kwani hata undugu wetu ni mkubwa sana .nikweli mimi nipotanzani but nikiangalia hiitarifa nadondosha machozi poleni sana ndugu zetu

  • @mmlove9127
    @mmlove9127 6 ปีที่แล้ว +2

    Naelewa sana huzuni walioipata jamii hii ya wafugaji wa kenya nakubali inasikitisha, lakini sasa ni vizuri serikali ya kenya ijipange kuwezesha wafugaji wao kulisha hizo n'gombe kwao. Wafugaji wa Tanzania wanapata matatizo hayohayo kwakulisha n'gombe zao kwenye mashamba ya wakulima. Sasa ni wakati wa sisi wa East Afrika kufuata sheria za nchi zetu na pia nchi jirani.

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 3 ปีที่แล้ว +2

    Magufuli mungu anakuona

  • @haipaabdu3991
    @haipaabdu3991 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wasaidie

  • @denismassey8919
    @denismassey8919 4 ปีที่แล้ว +1

    polen sana

  • @marcokosei3474
    @marcokosei3474 4 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania warudishien tuu hao mifugo yao msipge mnada ,kwan walikua wanakufa kwa kiangaxi kikubwa xana ilimrdi tuu walipie kodi

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 3 ปีที่แล้ว +2

    Sasa dahh mi nchi yangu tz lkn nimeichukia kutokana na hilo sasa unamfilisi MTU hiyo ni laana na itatafuna nchi

  • @johnwaigwa3465
    @johnwaigwa3465 3 ปีที่แล้ว

    Magufuli kilio cha maskini kilikukula