Wala sio fundisho TUMUOMBE MUNGU TZ IMEISHA DUNIA IME CHA KAA NEEMA ALIYE MUWASHA MOTO ZUNGU LILIKUJA FUNDISHO GANI? ALIYE MGATA MUME WAKELILIKUJA FUNDISHO GANI NA WENGINE WENGI MATUKIYO YA AJABU YANATOKEA
Kwa hiyo kama hushibishwi ndio ukazini nje ya ndoa kama sio upumbavu ni kitu gani hicho...kama unaona haushibi nenda katika sheria uachwe hata katika mahakama umtafute anaekushibishi lakini sio kwenda kuzini nje ya ndoa matokeo yake ndio hayo
we wawapi? mapenzi yanachagua? watu wanatombana kwenye matuta ya mihogo, vichakani mpaka kwenye vyoo. we unahoji kuhusu kufanyia kwenye Zizi la ng'ombe godoro kabisa lile?!
Duuuh tendo Kwenye zizi la ng'ombe duuuh🙄🙄Nye...mbaya sana
Dah nomaaaaa sanaaaaa, ila safi ndiyo fundishooo
Hatar sana th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html
Wala sio fundisho TUMUOMBE MUNGU TZ IMEISHA DUNIA IME CHA KAA NEEMA ALIYE MUWASHA MOTO ZUNGU LILIKUJA FUNDISHO GANI? ALIYE MGATA MUME WAKELILIKUJA FUNDISHO GANI NA WENGINE WENGI MATUKIYO YA AJABU YANATOKEA
Uyu shuhuda alikuepo maana anatuonyesha hadi sehem walikoingilia🙄😊
Inalillah wainalillah rajiuna
Mmmmmh th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html
sahihi kbs sema tu sheria
Kila siku tunaambiwa mke wa mtu sumu ndio hvo sasa
Innalillah Wainnalillah Rajiun
Atare jamn wanawake ss loh bora usiolew uutembeze huo uchi wako walah loh na mwanamke angekamatwa kusababisha hvyooo loh 😰😰😰😰 yan
th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html
Ee Mungu niepushie wake za watu kutembea nao ni heri utembee na mtu alieachika kuliko alie kwenye mahusiano maana utajitaftia msiba wa bure
Jaman th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html
Muombe MUNGU akuepushe na ZINAA
@@minskbelarus7255 asante na ubarikiwe
Jamani mapenzi haya ni shida
Wanawake muwe na roho za kulizika
Yaan th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html
Sasa ndio nini si angemfukiza mke tu kuliko kumtoa Uhai mwenzako na kuishia jela milele
mke wa mtu sumu
Usenge subili aende jela mke yupo mmoja mtu kukosa kufikili maisha unawaza kufikilia kuma ayo ndo matokeo yake
Hakuna jela hapo
@@sleymohamed3825 sumu imemrudia mwenyewe kwa kuswekwa jela
@@jumannemsengi2195 hakuna mtu aliye juu ya sheria hivisasa yupo jela tayari ananyea debe
Mtihani
Tena wa hesabu ndug yang!!
@@innocentjoseph805 yani hatari kk
Saiv mke wamtu sio sum bali ni mke wamtu kaburi😎tujifunze kutokana na makosa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti kaburii
😂😃😂😃kaburi
Usiseme kamkuta kifuani mwake sema ukweli aliwakuta wanatombana au anamtombaa
Wanawake tamaa nyingi ukiwa na kihela kidogo wanakufa wanafukhzana kama vile umewaita
Sana th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html
Aseeeh
Usifiche ujinga, zambi sema mke anauma na mume anauma, watu wahivo acha afe mm naona hana kosa mkosewaji awe huru2 hiro n funzo wanawake achen ujinga
We jamaa una mualibia mwezako atafungwa
Wanaume washibisheni wake zenu.
Wake zenu wakisikia njaa inabidi waende kwa babantilie.
Kwa hiyo kama hushibishwi ndio ukazini nje ya ndoa kama sio upumbavu ni kitu gani hicho...kama unaona haushibi nenda katika sheria uachwe hata katika mahakama umtafute anaekushibishi lakini sio kwenda kuzini nje ya ndoa matokeo yake ndio hayo
Utakonda bure ukitaka kushibisha mwanamke,hata ufanyaje huwezi maana tama nyingi
Ndiomana spendi ngono kunamajanga mengi mala mke wa mtu mala magonjwa mengi..
Kweli au wasema tu
Huyu mzee atatusaidia polis inamaana yeye alikua na muuaji Yani ameshuudia tukio zima nazan angekua na sm kubwa angechukua muvi
Labda yeye ndio kachonga mchongo wote
Duh hao watu hawana aibu si bora wangeenda chumbani
Jaman th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html
Mbona wanahalibu. mapenzi gani? Kwenye mavi ya ng'ombe
🤣🤣🤣mapenz upofuuu!!!h. Hawakuyaona hayo mav! Nawala harufu2, hawakuhis.💃💃
we wawapi? mapenzi yanachagua? watu wanatombana kwenye matuta ya mihogo, vichakani mpaka kwenye vyoo. we unahoji kuhusu kufanyia kwenye Zizi la ng'ombe godoro kabisa lile?!
@@ramadhanmahongole5663 Ramadhan. Hujapndshaaaa🤣🤣🤣🤣 sema ww! Taratbu lan. Mtanivunja mbavu.
@@ramadhanmahongole5663 Ramadhan umetisha waallah
@@ashasaid5061 namwambia ukweli mshamba wa mapenzi yule
Bor aliv uwawa akasimuliy kwamung
Michael jackson
Sehemu yawazi kabisa hee
Kijijini kwa muda huo yawezekana kabisa kufanya yao
Migungani mto wa mbu au
Cyo mto wa mbu ni hiyo migungani ipo mkoa wa mkoa wa Manyara
Magara
Heheeee th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html
Mke wa mtu sumu mim ninapanya geto
Kma humtaki mume omba talaka madhara yake ni haya