Nilikua nawashwa kwenye mwili mzima hususani kwenye maziwa saiv najiskia nimepona halafu mwili wote ulikua unaumia nimepona saiv nilitafunwa na panya wa kichawi Jana usiku ndio mwanzo wa kujiskia ivo ila sasa nimepona Ahsante Yesu kwa kumtumia mtumishi wako
Asante Sana baba kwa masomo haya, na ntaendelea kudown vido na clip zako ili niimarike ktk NENO, KWANI NIKO NJIA PANDA NA FAMILIA ZETU ZINA SHIDAAAAA. TUSAIDIANE TUTUBU HALI HII ISIENDELEE.
Damu ya Yesu iendelee kukufunika Mtumishi Magembe baba yetu, kazi yako ni njema, hiyo kiu ya kuona watu wanabadili njia zao itujae sote, Mungu akuingezee siku katika jina la Yesu. Napata nguvu sana ninaposikiliza mafundisho yako
Amen baba asante saaana baba yetu MUNGU wambinguni akubariki na akuongezee siku napata nguvu zangu nahitaji nami nibaki katika hayo mabaki napokea nguvu katika jina kuu a yesu amen napokea MUNGU akulinde amen
MUNGU AKUPE MIAKA MINGI YA KUISHI, ILI UWE KIOO CHA INJILI ISIYO GHOISHIWA, NAWATU WATAFUNGULIWA AKILI ZAO KUJUWA INJILI YA KWELI NA ZA UWONGO. MUNGU AKUBARIKI SANA MZEE!
Mungu Mungu Mungu uko wapi ee mungu ktk uungano huu. Walokole wanatenga watu baba.
Mungu akukumbuke mtumishi
Mungu Akuinue saana mtumishi
Amina 🇨🇩
Nilikua nawashwa kwenye mwili mzima hususani kwenye maziwa saiv najiskia nimepona halafu mwili wote ulikua unaumia nimepona saiv nilitafunwa na panya wa kichawi Jana usiku ndio mwanzo wa kujiskia ivo ila sasa nimepona Ahsante Yesu kwa kumtumia mtumishi wako
❤❤❤❤❤❤😊
Injili ya upanga, Mungu akuzidishie nguvu kwa kutangaza ukweli
MUNGU akupe maisha malefu ubalikiwe san mtumishi wa Mungu
Asante Sana baba kwa masomo haya, na ntaendelea kudown vido na clip zako ili niimarike ktk NENO, KWANI NIKO NJIA PANDA NA FAMILIA ZETU ZINA SHIDAAAAA. TUSAIDIANE TUTUBU HALI HII ISIENDELEE.
Damu ya Yesu iendelee kukufunika Mtumishi Magembe baba yetu, kazi yako ni njema, hiyo kiu ya kuona watu wanabadili njia zao itujae sote, Mungu akuingezee siku katika jina la Yesu. Napata nguvu sana ninaposikiliza mafundisho yako
Amen Mch. Moses damu ya Yesu yatosha. Upako uko nayo kama ya Mch. Joseph Kayo kutoka Kenya. Mungu akubariki.
Ubarikiwe sana baba Askofu. Napenda sana msingi wako wa imani.nakufatilia mikiwa Eldorer Kenya
Baba Mungu azidi kukutunza.Injili unayohubiri inahitajika Sana ktk kipindi hiki ambacho uovu unaongezeka kwa Kasi.
Bwana yesu asifiwe ❤❤❤
🎉 Amen hii ndio injili ya kuifuata, BARIKIWA sana mchungaji 😊
Amina
Mungu akuzidishie baba, nakuskia nikiwa Dar
Amen baba asante saaana baba yetu MUNGU wambinguni akubariki na akuongezee siku napata nguvu zangu nahitaji nami nibaki katika hayo mabaki napokea nguvu katika jina kuu a yesu amen napokea MUNGU akulinde amen
MUNGU akubariki Sana Baba umekuwa baraka kwenye inchi hii na kuamsha mioyo yetu vijana na kanisa,mbegu unayo ipanda unaleta matokeo juu yetu.
Utukufu nikwa Bwana Yesu Kristo,shetani aendelee kupata shida✍️
Amen mtumishi MUNGU ni mwaminifu kita wakati
Nataman kumtumikia mungu kwa viwango vyako mzeee wangu wa imani moses magembe
Niombee Mt nasumbuliwa na presha nakutakia kazinjema
Ameeeeeeeeeen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ushukuriwe mtumishi amen
Sifa kwa Mungu ubarikiwe baba yetu tuna kufwatiliya sana tukiwa South Africa
Ubarikiwe mnoo baba❤❤
Uzee mwema ni kuhubiri injili ya amani ya YESU kristo!! MUNGU AKUBARIKI SANA BABA
Mungu akuongeze miaka mingiiiiiiiiiii Tunabarikiwa sana ,sana
Kazi yako njema sana Mungu akupe miaka mingi zaidi 🙏
Mtumishi wa Mungu Yesu azidi kukutunza na kukutumia kwa kazi njema utendayo
Ubalikiwe Sana 🙏
Amina baba
Nabarikiwa Sana na mafundisho yako MUNGU akutunze Baba🙏
🙏🙏🙏👏🏼👏🏼✋
Asante Yesu kwa kusema nasi kupitia mtumwa wako
BWANA YESU akupe nguvu zaidi baba much maana wachungaji Sasa hivi awapoooo wamebaki wa mshahara tu
Nakupata nikiwa Nairobi amen Gabriel
Ubalikiwe mtumishi wa mung
Amen Amen Baba
Barikiw kwa ujumbe umeniongezea kitu baba mchungaji ni Léonard tka Drc Congo
Amen Amen barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
Bwana akubariki sana pasta
BABA MUNGU AKUBARIKI TUNAKUELEWA
Safiii
Muchungaji niombee sana
Na hapa nafatiliwa na nguvu za giza natumiwa mashetani Kila siku Baba niombee sana naitwa Bernadetha Abel
MUNGU akutunze Mzee wangu,nakupenda sana.
Nakupata kutoka Australia
KAA VIZURI NA YESU KRISTO DUNIA IMEHARIBIKA SANA
niombee mchunguja nawaza mawazo mabaya mabaya nakosa amani kabisa
I receive in the name of Jesus .
MUNGU AMEJISAZIA WATU WAMCHAO KAMA WEWE. MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU ZAIDI
MUNGU AKUPE MIAKA MINGI YA KUISHI, ILI UWE KIOO CHA INJILI ISIYO GHOISHIWA, NAWATU WATAFUNGULIWA AKILI ZAO KUJUWA INJILI YA KWELI NA ZA UWONGO. MUNGU AKUBARIKI SANA MZEE!
MUNGU akutie nguvu baba
Ni Mimi tu ee😂
Tunaomba muwe munaweka na namba zake za simu
Tunaomba kama inawezekana watu wa media mtuwekee na lipa namba
Namimi naitaji number zake umesha zipata?
Ishu ya dini moja anayoingea mchungaji hiipa....th-cam.com/video/xvtcv6ib1gE/w-d-xo.html
Mbona papa anaifuta iyo biblia wewe mzee
Baba Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaidi
Ubarikiwe sana na uishi milele
Amina baba