VIDEO ; UPEPO WAEZUA NYUMBA 50 ,NGWASI MLIMBA ,WANANCHI WAIOMBA SERIKALI KUWASAIDIA .
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025
- kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya nchi zimeleta madhara ambapo katika tarafa ya mlimba ,nyumba 50 zilizopo katika kijiji cha ngwasi kata ya kalengakellu halmashauri ya mlimba ,wilayani kilombero mkoani morogoro ,zimeezuliwa na upepo mkali uliombatana na mvua usiku wa kuamkia disemba 9,2024.
akizungumza na mlimba tv mwenyekiti wa kijiji cha ngwasi agustino nyato amekiri kutokea kwa maafa hayo ,ambapo ameiomba kamati ya maafa ya wilaya kuweza kuwasaidia wananchi wake ,na maeneo yaliyoathirika na mvua hiyo iliyoambatana na upepo mkali .