MLIMBA TV
MLIMBA TV
  • 801
  • 551 204
CHADEMA SINGIDA WAMUUNGA MKONO TUNDU LISSU KUWANIA UWENYEKITI .
wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema kutoka singida wamesema kuwa wanamuunga mkono tundu lissu katika uchaguzi wa chama hicho .
akingumza mjini singida mwenyekiti wa chadema mkoa wa singida omary athuman Toto amesema kuwa wameamua kumuunga mkono tundu lissu katika uchaguzi huo kwakua ana dhamira ya dhati ya kukisaidia chama katika mabadiliko ya kweli.
มุมมอง: 555

วีดีโอ

yaliyojiri bonanza la watumishi wa mkoa wa singida na wizara ya viwanda .
มุมมอง 1821 วันที่ผ่านมา
yaliyojiri bonanza la watumishi wa mkoa wa singida na wizara ya viwanda .
Tazama umahiri wa kwaya ya wanafunzi wa chuo Cha utumishi wa umma singida .
มุมมอง 14121 วันที่ผ่านมา
Moja kati ya kwaya zinazoimba vizuri mkoani singida ,ni kwaya ya wanafunzi wa chuo Cha utumishi wa umma tawi la singida ,na wimbo wao mzuri wa singida.
MAWAKILI WA KUJITEGEMEA TABORA WAGOMA KUFANYA KAZI NA MAHAKAMA KUU , KUFUATIA MWENZAO KUKAMATWA .
มุมมอง 23821 วันที่ผ่านมา
Chama cha wanasheria Tanganyika kanda ya Tabora kimelaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi na Takukuru kumkamata Wakili wa kujitegemea HASSAN KIRINGO wakati alipokuwa akishughulikia haki za wateja wake watatu waliokuwa wamekamatwa kwa tuhuma za kukutwa na magunia ya kufungashia Tumbaku maarufu MAJAFAFA. Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti TLS Kanda ya Tabora Wakili KELVIN KAYAGA ame...
kocha mpya wa singida black stars aeleza matarajio yake .
มุมมอง 3621 วันที่ผ่านมา
Kocha mkuu wa kikos Cha singida black stars .
Hamza Kalala Tufurahi na mwaka Mpya 2025 .
มุมมอง 34321 วันที่ผ่านมา
HERI YA MWAKA MPYA KOTE DUNIANI.
mkutano mkubwa wa injili wa kufungua mwaka 2025 utakaofanyika Mlimba kuanzia Januari 5.
มุมมอง 42หลายเดือนก่อน
Hu duma ya maombi ikishirikiana na kkkt mlimba wanakukaribisha kwenye mkutano mkubwa wa kufungua mwaka 2025 utakaofanyika Mlimba wote mnakaribishwa ni kuanzia tarehee 5 mwezi wa kwanza njooni tuombee Taifa njooni tuombee taifa katika uchaguzi mkuu
WANANCHI MSIWE NA HOFU DARAJA LA NKUHI BARABARA KUU YA DODOMA-SINGIDA HALIJAKATIKA .
มุมมอง 179หลายเดือนก่อน
MKUU wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Thomas Apson, ametoa ufafanuzi kufuatia kuwepo kwa taarifa kuwa daraja lililopo kijiji cha Nkuhi wilayani humo limekatika na kusababisha kuwepo kwa foleni ya magari yaliyokuwa yakisafiri kutoka Dodoma kwenda Singida na Mwanza. Apson amesema taarifa hizo ambazo zilienezwa kwenye mitandao ya kijamii sio za kweli kwani eneo hilo kulijaa maji katika daraja l...
MANISPAA YA SINGIDA YAJIPANGA KUUBADIRISHA MJI WA SINGIDA KUWA WA KIJANI KWA KUPANDA MITI .
มุมมอง 99หลายเดือนก่อน
uongozi wa manispaa ya singida umeweka mikakati kabambe ya kuhakikisha mazingira na madhari ya mji huo yanakuwa ya kijani ,kwa kampeni ya kupanda miti katika manispaa hiyo .
KUTANA NA ALFRED RINGI MWANDISHI WA KITABU CHA HISTORIA YA MKOA WA SINGIDA
มุมมอง 42หลายเดือนก่อน
ALFRED RINGI ni moja kati ya waandishi wa vitabu aliyethubutu kuandika historia ya mkoa wa singida ,na hivi karibuni ulifanyika uzinduzi wa kitabu hicho katika mkoa huo, hapa anaeleza yaliyomo katika kitabu hicho .
MAPYA YAIBUKA AJALI YA ALPHARD SINGIDA ,DEREVA WA LORI AELEZA ALICHO SHUHUDIA KABLA YA AJALI.
มุมมอง 782หลายเดือนก่อน
watu 4 wamefariki dunia na wengine watau kujeruhiwa baada ya kutokea ajali iliyohusisha magari mawili kugonga uso kwa uso katika kijiji cha ulyampti katika kata ya unyahati wilaya ya ikungi mkoani singida . akizungumza na mlimba tv kaimu kamanda wa jeshi la polisi mkoani singida Hamis mungwana amesema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa gari ndogo aina ya toyota alphard T 128 EFK ambayo ili...
VIDEO ; UPEPO WAEZUA NYUMBA 50 ,NGWASI MLIMBA ,WANANCHI WAIOMBA SERIKALI KUWASAIDIA .
มุมมอง 168หลายเดือนก่อน
kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya nchi zimeleta madhara ambapo katika tarafa ya mlimba ,nyumba 50 zilizopo katika kijiji cha ngwasi kata ya kalengakellu halmashauri ya mlimba ,wilayani kilombero mkoani morogoro ,zimeezuliwa na upepo mkali uliombatana na mvua usiku wa kuamkia disemba 9,2024. akizungumza na mlimba tv mwenyekiti wa kijiji cha ngwasi agustino nyato amekiri k...
TFS SINGIDA KUPANDA MITI MILION 5 ,YATOA ONYO WANANCHI KUKATA MITI YA ASILI ,NA VICHAKA VYA ITIGI
มุมมอง 41หลายเดือนก่อน
wakala wa misitu tanzania[TFS]mkoa wa singida wameendelea na kampeni ya kupanda miti na pamoja na kugawa miche ya miti kwa taasisi mbalimbali mkoani humo ,ili kubakabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. aidha TFS imeomba wananchi wa mkoa wa singida kutokata miti ya asili ,pamoja na vichaka vya itigi ,ikungi na manyoni kwani vichaka hivyo ni muhimu na adimu duniani ,nakuongeza kuwa kwa tanzani...
TAZAMA ,KIKUNDI CHA NGOMA YA ASILI CHA MBALAMWEZI MKOANI SINGIDA WANOGESHA SHEREHE ZA UHURU LEO.
มุมมอง 71หลายเดือนก่อน
wanafahamika kama kikundi cha mbalamwezi kutoka mkoan singida ,ambao wamekuwa maarufu mkoani humo kwa kuimba na kucheza ngoma ya kabila la kinyaturu mkoani singida . balaa lao sio la kitoto kunako stage .
VIDEO ;NONDO ZA MWENYEKITI WA CCM SINGIDA MARTHA MLATA AKIELEZEA MATUNDA YA UHURU YA MIAKA 63.
มุมมอง 47หลายเดือนก่อน
VIDEO ;NONDO ZA MWENYEKITI WA CCM SINGIDA MARTHA MLATA AKIELEZEA MATUNDA YA UHURU YA MIAKA 63.
SINGIDA YASHEREKEA 9 , DESEMBA KWA AINA YAKE , RC DENDEGO ATOA KEKI KWA WAGONJWA MANDEWA .
มุมมอง 55หลายเดือนก่อน
SINGIDA YASHEREKEA 9 , DESEMBA KWA AINA YAKE , RC DENDEGO ATOA KEKI KWA WAGONJWA MANDEWA .
barabara ya mlimba kwenda ifakara eneo la chita JKT ,magari yakwama.
มุมมอง 92หลายเดือนก่อน
barabara ya mlimba kwenda ifakara eneo la chita JKT ,magari yakwama.
TAZAMA MAPOKEZI YA NYALANDU JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI .ATOA WITO KWA WANA CCM KUUNGANA .
มุมมอง 2K2 หลายเดือนก่อน
TAZAMA MAPOKEZI YA NYALANDU JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI .ATOA WITO KWA WANA CCM KUUNGANA .
NYALANDU AWANADI WAGOMBEA WA CCM SINGIDA DC .
มุมมอง 302 หลายเดือนก่อน
NYALANDU AWANADI WAGOMBEA WA CCM SINGIDA DC .
NYALANDU AHITIMISHA KAMPENI SINGIDA KASKAZINI ,AWATAKA WANANCHI KUIPIGIA KURA CCM KESHO.
มุมมอง 1752 หลายเดือนก่อน
NYALANDU AHITIMISHA KAMPENI SINGIDA KASKAZINI ,AWATAKA WANANCHI KUIPIGIA KURA CCM KESHO.
RC DENDEGO AHIMIZA UBUNIFU KWA WAHITIMU WA VYUO NCHINI.
มุมมอง 42 หลายเดือนก่อน
RC DENDEGO AHIMIZA UBUNIFU KWA WAHITIMU WA VYUO NCHINI.
FURAHA YA WAHITIMU WA CHUO CHA TIA SINGIDA .
มุมมอง 232 หลายเดือนก่อน
FURAHA YA WAHITIMU WA CHUO CHA TIA SINGIDA .
SHUHUDIA MAHAFALI YA 22 YA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA TIA KAMPASI YA SINGIDA.
มุมมอง 1142 หลายเดือนก่อน
SHUHUDIA MAHAFALI YA 22 YA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA TIA KAMPASI YA SINGIDA.
mwanafunzi aliyekatisha ndoto yake ya kielemu kwa ukata wa maisha aomba msaada kurudi shule.
มุมมอง 982 หลายเดือนก่อน
mwanafunzi aliyekatisha ndoto yake ya kielemu kwa ukata wa maisha aomba msaada kurudi shule.
RC SINGIDA ATOA WIKI MBILI KWA RUWASA KUPELEKA MAJI KATA YA RUNGWA .
มุมมอง 452 หลายเดือนก่อน
RC SINGIDA ATOA WIKI MBILI KWA RUWASA KUPELEKA MAJI KATA YA RUNGWA .
VIDEO ;RC DENDEGO AZINDUA ZAHANATI YA MGAMBOO ITIGI.
มุมมอง 172 หลายเดือนก่อน
VIDEO ;RC DENDEGO AZINDUA ZAHANATI YA MGAMBOO ITIGI.
TAKWIMU ZAONGEZEKA MADHILA KWA WANAHABARI , WAANDISHI 1700 WAUWAWA DUNIANI KOTE.
มุมมอง 72 หลายเดือนก่อน
TAKWIMU ZAONGEZEKA MADHILA KWA WANAHABARI , WAANDISHI 1700 WAUWAWA DUNIANI KOTE.
WAZIRI WA ELIMU AZUNGUMZIA MAGEUZI YA ELIMU HAPA NCHINI AMPA TANO RAIS SAMIA .
มุมมอง 792 หลายเดือนก่อน
WAZIRI WA ELIMU AZUNGUMZIA MAGEUZI YA ELIMU HAPA NCHINI AMPA TANO RAIS SAMIA .
WIZARA YA ELIMU ,YAJIANDAA KUWANOA WANAHABARI NCHINI KUKABILIANA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA DUNIANI.
มุมมอง 212 หลายเดือนก่อน
WIZARA YA ELIMU ,YAJIANDAA KUWANOA WANAHABARI NCHINI KUKABILIANA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA DUNIANI.
MKUTANO WA MWAKA UTPC KUFANYIKA SINGIDA .
มุมมอง 292 หลายเดือนก่อน
MKUTANO WA MWAKA UTPC KUFANYIKA SINGIDA .

ความคิดเห็น

  • @RamaNyoka-c8g
    @RamaNyoka-c8g 5 วันที่ผ่านมา

    CAPTAIN

  • @ChrisJulius-y1z
    @ChrisJulius-y1z 6 วันที่ผ่านมา

    Mwamba kweli kweli

  • @hamiccholo
    @hamiccholo 7 วันที่ผ่านมา

    Pumzika kwaaa amani mzee wangu pendaaa sana nahodhaa kombaaaaa

  • @dkalhajijbmatatala9392
    @dkalhajijbmatatala9392 12 วันที่ผ่านมา

    Mwamba..upo vizuri... huko nyumbani...mimi nimekulia V/60 hapo, kwa mzee Matatals.

  • @dkalhajijbmatatala9392
    @dkalhajijbmatatala9392 12 วันที่ผ่านมา

    NIMEZALIWA, NIMEKUA, NIPO KIJANA, NAENDA ZEEKA SASA, IFARA MLIMBA BARABARA HAIJA WAHI KUA BORA,,... TOKEA ENZI ZA MAREHEM GULSMALI HADI LEO HII 2025... HALI MBAYA,, MOROGOGO NI MJI WENYE WATU WENGI ILA BARABARA OVYO SANA, MKOA WA MOROGORO,,... MIMI NIMEHAMA MLOMBA ILA MLIMBA NI NYUMBANI,, TENA PALE V/60 ,, MLIMA WA UCHINDILE KWA MZEE MATATALA,, ...,,,

  • @dkalhajijbmatatala9392
    @dkalhajijbmatatala9392 12 วันที่ผ่านมา

    Kijana,Wa Nyumbani...,, kaka yako nipo Iringa Nakutazama... hongera.

  • @GloryIzack
    @GloryIzack 20 วันที่ผ่านมา

    Guntoo

  • @jeremiahdominicius2324
    @jeremiahdominicius2324 29 วันที่ผ่านมา

    huyu jamaa yupo makini sana: anaweza kutetea watu nakumbuka siku1 nilikuw nasafir treni ikaaribika kwenye kata yake jamaa alipamba paka dakika ya mwisho.

  • @egdldm4981
    @egdldm4981 หลายเดือนก่อน

    Total rubbish.

  • @egdldm4981
    @egdldm4981 หลายเดือนก่อน

    Hivi hizi barabara huwa mnazijenga chini ya viwango kwa makusudi ili mpate tenda za ukarabati? Hiyo barabara hata ukiangalia kwa macho tu iko chini mno, haikuinuliwa vya kutosha kupata tuta linaloweza kukinga maji na kuyawekea mwelekeo.... Hii kama viongozi hamlioni ?

  • @blackberryberryblack9093
    @blackberryberryblack9093 หลายเดือนก่อน

    2024 Bado mpooo?

  • @kaluluu2011
    @kaluluu2011 หลายเดือนก่อน

    Dah 1994 nipo majumba 6 ukonga kwenye banda la video la mdgo wake iddi pazi kipa simba zamn khaaa majumba 6 sokon pale dah kwa nyuma hapo kuna bar moja walikua kina pwagu na pwaguzi mama ambiliki mzee kipara wanafanya shoe aise kitambo

  • @BeatriceMtitu-l1d
    @BeatriceMtitu-l1d หลายเดือนก่อน

    Mwamba uyo

  • @MussaMakunga-f2s
    @MussaMakunga-f2s 2 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka ujumbe wako unamashiko kwa masilahi ya ccm

  • @janemapunda1404
    @janemapunda1404 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kupata mawasiliano mimi nipo Songea napataje hizo mbegu za Nerica?

  • @noelswai2660
    @noelswai2660 2 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo za kizalendo 🇹🇿

  • @mubamadenge-h9r
    @mubamadenge-h9r 2 หลายเดือนก่อน

    Wangapi nimemuona mwanaidi shaban

  • @onzokatv8405
    @onzokatv8405 2 หลายเดือนก่อน

    Ewaaaaaaaa😂😂😂

  • @AminiTu-mr4ws
    @AminiTu-mr4ws 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @RahabuJoseph-sp5dz
    @RahabuJoseph-sp5dz 2 หลายเดือนก่อน

    Leo tarehe 4.11.2024.nimesikiliza huu wimbo kutwa nzima unanìngia kwenye fikra zangu sijui kwanini. Nimenunua vocha mara3kwa akili ya huu wimbo

  • @ZuberiRajab
    @ZuberiRajab 2 หลายเดือนก่อน

    Apumzike kwa Amani

  • @MukarusineEsperance
    @MukarusineEsperance 2 หลายเดือนก่อน

    Da. Namkumbuka komba .wakiimba ccm kirumba

  • @swalehemunga9033
    @swalehemunga9033 3 หลายเดือนก่อน

    Daaaaah nimetafuta Sana hii nyimbo jamani Kwa muda mrefu sana hatimae Leo nimepata

  • @godfreypaul251
    @godfreypaul251 3 หลายเดือนก่อน

    23.10.2024 watching

  • @KahambasDaughterTherock
    @KahambasDaughterTherock 3 หลายเดือนก่อน

    ukiua mtu utajitaja tu

  • @EmmanuelJohn-j1l
    @EmmanuelJohn-j1l 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu komba ni nyoko sana anajua had anakera yan nyimbo zake tamu balaa achana bae hyu jamaa safi sana rest in peace john komba 😢

    • @IsayaShokaulaya
      @IsayaShokaulaya หลายเดือนก่อน

      Komba cpn tutakukumbuka daima ulimtendea haki mwalimu

  • @brainwilliam3696
    @brainwilliam3696 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika tunajivunia alama iliyowekwa kwa utumishi na ustawi wa Taifa letu la Tanzania. Pumzikeni kwa amani

  • @frankmahenge5943
    @frankmahenge5943 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni

  • @zenapangisa6671
    @zenapangisa6671 4 หลายเดือนก่อน

    So sad kwakwel😢

  • @evanskaino6400
    @evanskaino6400 4 หลายเดือนก่อน

    Mapenzi mengi sana kutoka taifa tukufu la KENYA! Uzalendo wa Afrika Mashariki daima. Jina la Mwalimu ni nyota ya jaha.

  • @shauri.kangile
    @shauri.kangile 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa kazi bora kabisa. Kwa wazazi ambao tunafahamu ubora wa shughuli uifanyayo hawatakuwa na pa kuwapeleka zaidi ya hapo ST JOIS

  • @yasiniselemani3917
    @yasiniselemani3917 4 หลายเดือนก่อน

    Singida safi

  • @musababdullah5813
    @musababdullah5813 4 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Makongoro ni mcheshi sana kama Baba yake(Raisi wa awamu ya kwanza)

  • @madarakaiddi
    @madarakaiddi 4 หลายเดือนก่อน

    Wazungu kweli hamnazo oooh ngoma niushetani

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 4 หลายเดือนก่อน

    Hakuna uzalendo sasa ni magoli ya mkono

  • @rajabulipongo5595
    @rajabulipongo5595 5 หลายเดือนก่อน

    like jaman zakutosha tuweze kujuwa woote tunaotazma 2024

  • @nicholauspeter9454
    @nicholauspeter9454 5 หลายเดือนก่อน

    aisee Huyu baba ana hekima

  • @yordandjyd
    @yordandjyd 5 หลายเดือนก่อน

    Naona kazi❤ Safi @Deus liganga

  • @benardpeter1853
    @benardpeter1853 5 หลายเดือนก่อน

    Sauti hamna bro

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 5 หลายเดือนก่อน

    USHAURI WANGU!! LAITI MAMBO HAYA YANGEKUWA YANATOKEA KWA WANASIASA TUNGESEMA LABDA MAMBO MENGINE LAKINI RAIA WA KAWAIDA TENA MASIKINI WATOTO, VIJANA, WATU WA RIKA MBALIMBALI NA HATA WATU WAZIMA WANAUWAWA KIKATILI NAMNA HII, HAPA SI BURE IPO NAMNA. JAMII LAZIMA IWE MACHO, ULE UTAMADUNI WA KUWAKUMBATIA WATU TUSIYOWAJUA KTK MAENEO YETU TUKIJIFANYA KUWA ETI NI MARAFIKI ZETU HAUFAI TENA. TUWE MAKINI NA WAGENI MBALIMBALI WANAOINGIA NCHINI NA KUJICHANGANYA KTK JAMII KWA KUWA HATUJUI MIONGONI MWAO MALENGO YAO NI YAPI?! KADHALIKA TUWAFICHUE MBELE YA VYOMBO VYA DOLA WAGANGA WOTE WANAOTIBU KTK MAZINGIRA YENYE VIASHIRIA VYA KUHUSIKA NA UTUMIAJI WA SEHEMU YOYOTE TA MIILI YA BINADAMU KTK UGANGA WAO. NA PIA TULIANGAZIE KWA JICHO LA PILI HILI WIMBI LA WAFUGAJI WANAOHAMA HAMA MIKOA KWA MIKOA NI MUHIMU SANA KUHAKIKIWA KUANZIA NGAZI YA VIJIJI MPAKA MKOA KWA SABABU HAKUNA ANAYEJUA NANI NI NANI KATI YAO?! VYOMBO VYA USALAMA TUNAJUA VINAFANYA KAZI KUBWA SANA YA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO LAKINI PIA NAVYO VIZIDI KUWA MACHO MAANA HII HALI SIYO YA KAWAIDA.

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 5 หลายเดือนก่อน

    Duh! Jamani nini kinaendelea Tanzania 🇹🇿

  • @Farida-vg5ry
    @Farida-vg5ry 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani ngoma hizi zilipotelea wapi ?

  • @FiloKapinga
    @FiloKapinga 5 หลายเดือนก่อน

    Ama kweli tuta kukumbuka sana

  • @odilombamilo4945
    @odilombamilo4945 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sana , nyumbani kwanza

  • @JonathanBulendadavis
    @JonathanBulendadavis 5 หลายเดือนก่อน

    😢😢Allah akulaze mahali pma Shangazi angu

  • @DanielMuhango
    @DanielMuhango 5 หลายเดือนก่อน

    Jamaniuchindile ndo nyumban huko nawapenda sana

  • @mariampaulsen8809
    @mariampaulsen8809 6 หลายเดือนก่อน

    Wow

  • @JeladiJeladifransingware
    @JeladiJeladifransingware 6 หลายเดือนก่อน

    Kukaye nyawono panogile

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 6 หลายเดือนก่อน

    High thrilled

  • @hemedally8781
    @hemedally8781 6 หลายเดือนก่อน

    huu wimbo nausikikiza zaidi ya mara 10 kwa siku, hakika vipaji vimeenda!