NENO LA SIKU | Mathayo 15 | Maombi Ya Kung'oa Mapando Ya Kiroho | Isaac Javan

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 28

  • @rhodamwakatundu5226
    @rhodamwakatundu5226 10 หลายเดือนก่อน +2

    Asante mtumishi wa Mungu, nimekombolewa na kubarikiwa na maombi yako mimi na familia yangu.

    • @mayoleisike9946
      @mayoleisike9946 10 หลายเดือนก่อน

      Amina mtumishi mungu

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen and Amen!
    Nabarikiwa sana na masomo yako. Mwenyezi Mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu, amina.

  • @doricesanga9783
    @doricesanga9783 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ninabarikiwa sana mtumishi, tuwekee no yako kwa sadaka ili baraka ikamilike

  • @philipomwoyo4765
    @philipomwoyo4765 10 หลายเดือนก่อน

    Nangoa Kila pando lisilopandwa n Mungu kwenye maisha yangu katika jina la Yesu AMEN 🙏🙏🙏

  • @NeemaaliceK2546
    @NeemaaliceK2546 10 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, ninang'oa Kila pando ambalo halija pandwa na Mungu Kwa jina la Yesu

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 5 หลายเดือนก่อน

    Amen MUNGU akulinde sana mtumishi

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 10 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu Amen Amen Amen 🙌🙌🙏🙏🤲🤲

  • @Hyasinta-vr1zx
    @Hyasinta-vr1zx 10 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina Mungu atuzidishie Imani

  • @zitashio7920
    @zitashio7920 10 หลายเดือนก่อน

    Shalom mtumishi nimebarikiwa nawe ubarikiwe sana na Mungu

  • @neemalety5600
    @neemalety5600 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏 Asante sana kwa mafundisho man of God

  • @Deborahdeborah-ee5oe
    @Deborahdeborah-ee5oe 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu akubariki Sana baba

  • @asminetaba253
    @asminetaba253 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi kwa kuniwezesha kungowa kila panda kwa maisha yangu ,mungu akubariki sana na vizazi vyako

  • @selemanmwaisela4733
    @selemanmwaisela4733 4 หลายเดือนก่อน

    Kila pando lisilopandwa na mungu kwenye maisha yangu nang'oa na kuharibu kwa damu ya Yesu

  • @dianamkombe8767
    @dianamkombe8767 10 หลายเดือนก่อน

    Nang'oa mapando ya hila, maneno mabaya, na wachawi kwa jina la yesu na kwa damu yenye uzima.

  • @victoriaaman6628
    @victoriaaman6628 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Mtumishi ubarikiwe

  • @janettheis3749
    @janettheis3749 9 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa z, ubarikiwe Sana tangu Ni some bibilia na wewe Niko nakiu Cha neno Kila Siku nafurahi mno

  • @gladyskerubo6075
    @gladyskerubo6075 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen grory to God

  • @angelstacy7592
    @angelstacy7592 10 หลายเดือนก่อน

    Amin Amina

  • @angelstacy7592
    @angelstacy7592 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen and Amen 🙏🙏🙏

  • @dianamkombe8767
    @dianamkombe8767 10 หลายเดือนก่อน

    Ameni amina, ubarikiwe sana.

  • @JackpayJackpay
    @JackpayJackpay 4 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @gloryurassa391
    @gloryurassa391 10 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏

  • @carolinejustine1362
    @carolinejustine1362 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @pamelabracedes9600
    @pamelabracedes9600 10 หลายเดือนก่อน

    Amen amen 🙏

  • @Africanah100
    @Africanah100 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @clarasima5447
    @clarasima5447 10 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @mkailivin4050
    @mkailivin4050 10 หลายเดือนก่อน

    Amen amen