Sifa Heshima na Utukufu na Aghama nikwa Bwana wetu Yesu Kristo sikujua malango yakuzimu yanaachilia mapigo kwetu Asante Yesu kupitia Mtumishi wako kwa kutufungua Asante kwa kunifungua Mungu atusaidie kuelewa neno la Mungu Mungu azidi Kukutumiana Kukubariki
Asante Yesu kwa kutusaidia tumefunga milango yote ya kuzimu na sana sana madeni,ndoa na kuzalia nyumbani ndugu wangu karibu familia yote na kufungulia baraka katika Jina lako Amen Amen Amen
Asate Yesu kwa kuniweka huru🙏
Asante Yesus kwa nehema yako nakupenda ❤️❤️
Amen nimefungulwa kwa damu ya YESU
Amen.Nayashinda malango ya Kuzimu kwa Damu ya YESU KRISTU na neno la ushuhuda wangu.
Asante sana mtumishi wa Mungu nimewekwa huru 🙏🙏
Amina mtumishi wa mungu,mungu akubariki sana kwa maombi haya mazuri sana kweli tunafinguliwa kwa jina la yesu 👏👏👏🙏🙏🙏
Amen 🙏 barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏
Amina ,Naamini Mungu amefungua milango ya uzima na kufunga milango ya magonjwa ,mauti ,umasikini na laana zote Katika jina la Yesu Kristo,
Amen amen Asante mtumishi wa mungu 🙏🏻🙏🏻
Nimefunguliwa na uzao wangu ameen
Asante Yesu Kristo kwa kufunga milango milango yote ya kuzimu iliyokuwa inashikilia maisha yangu, Amen
Sifa Heshima na Utukufu na Aghama nikwa Bwana wetu Yesu Kristo sikujua malango yakuzimu yanaachilia mapigo kwetu Asante Yesu kupitia Mtumishi wako kwa kutufungua
Asante kwa kunifungua Mungu atusaidie kuelewa neno la Mungu Mungu azidi Kukutumiana Kukubariki
Amen 🙏🙏🙏🙏 barikiwa sana mtumishi
Amena jinalabwanayesu lisifiwe
Amen 🙏.I thank God for to come a cross this channel
Mungu mmbariki mtumishi wako Izack Jovan
Asante kwa maombi haya yametufungua
Asante Yesu kwa kutusaidia tumefunga milango yote ya kuzimu na sana sana madeni,ndoa na kuzalia nyumbani ndugu wangu karibu familia yote na kufungulia baraka katika Jina lako Amen Amen Amen
Amen Mtumishi 🙏 🙏
Amen barikiwa baba
Amen Amen Amen Amen napokea kwa jina la Yesu. Malango ya kuzimu hayatanishinda haleluya barikiwa sana mtumishi wa Mungu alie hai
Mungu akubariki Sana baba
Asante sana mchungaji Barikiwa sana,mafundizo mazuri
Ameen baba barkiwa
Nimefunga Kila malango ya mateso kwenye mwili wangu na kufungulia milango ya amani n uhai kw mwili wangu🙏🙏🙏 barikiwa sana mchungaji
Asante Sanaa mchungaji.
Amen 🤲🤲🤲🤲🤲
Ameen🙏🙏
Amen
AMEN
Editha lwegasira yesu nifungulie mlango kupitia maombi haya familia yangu ifunguke na ipate uponyaji
Amen
Amen
Amen
Amen Amen