MANARA ASHANGAZWA NA UCHACHE WA WATU LUXEMBOURG,KISOKI AWAITA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • HAJI MANARA AWATAFUTIA WASANII WA BONGO SOKO JIPYA LA SANAA ULAYA
    LUXEMBOURG SIO MAARUFU LAKINI INAIJUA TANZANIA
    Nassor Kisoki ambaye ni Katibu wa Diaspora katika Nchi ya Luxembourg pamoja na Belgium amefanya mazungumzo Maalum na Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv Haji Sunday Manara ambapo pamoja na mambo mengine amezunguzia jinsi ambavyo Nchi ya Luxembourg imekuwa ikizungumzia Tanzania kwa mazuri licha ya kuwa nchi hiyo sio maarufu kwa Watu waishio Tanzania.
    Amesema licha ya Nchi hiyo kuwa na watu takribani laki tatu huku wageni wakifikia laki sita lakini nchi ya Luxembourg inaijua Tanzania kuliko hata Tanzania inavyoijua Luxembourg.
    Mahojiano kamili Tembelea TH-cam channel ya ManaraTv.
    #hajimanara #manaratv #manara
    #ManaraHour

ความคิดเห็น • 33

  • @GodwinAxwesso
    @GodwinAxwesso 2 หลายเดือนก่อน

    Brother Haji you are doing great💪

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hajji Leo umeenda sehemu ambayo natamani kuishi💪💪

  • @GodwinAxwesso
    @GodwinAxwesso 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka Kisoki I am planning to visit Luxenberg mwezi August au September naomba invitation letter please

  • @GodwinAxwesso
    @GodwinAxwesso 2 หลายเดือนก่อน

    I will be more glad kaka Kisoki kama utanisaidia nipate contact yako

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimesha kwenda hapa kama mara 8 kila nikiwa off nakwenda kuzurura huko ni masaa 2 tu kutoka Mannheim

  • @hakimundabila7940
    @hakimundabila7940 2 หลายเดือนก่อน

    Camera man au camera woman 😮😮

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nchi watu wachache tatizo ni ushoga waziri mkuu wa Luxembourg kaoelewa unategemea nini sasa watu watazaliana lini? Hata kama kila kitu ni bure hamna baraka kwenye ushetani....

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy 2 หลายเดือนก่อน +1

      mtihani sana

    • @DafiMohamed-dz8xk
      @DafiMohamed-dz8xk 2 หลายเดือนก่อน

      @@abdallahdataguy mtihani mkubwa sana

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 2 หลายเดือนก่อน

      Ushoga ni ushetani,lakini baraka na maisha mazuri hao watu wanayo ndio maana kila kitu bure.
      Ona sisi na makanisa ,misikiti yetu tulivyo na maisha magumu😂.

    • @kijitamfyomi5598
      @kijitamfyomi5598 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yule waziri mkuu aliekua mume wa mwanaume mwenzake tulishampiga chini kwenye uchaguzi uliopita kwa sasa nchi haiongozwi na mashoga tena

    • @DafiMohamed-dz8xk
      @DafiMohamed-dz8xk 2 หลายเดือนก่อน

      @@kijitamfyomi5598 hapo safi sana maana ni upumbavu mkubwa nchi kuongozwa na shoga hongereni sana

  • @MONEY_CHANNEL.
    @MONEY_CHANNEL. 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wapenda Dezo Jikazeni😂😂😂😂

  • @SalumuKomba
    @SalumuKomba 2 หลายเดือนก่อน +1

    Familia ya kisoki ni maarufu sana mbeya mjini babayao amewahi kuwa mkuu wa mkoa kipindi Cha Nyerere... Sijui kama ndiyo hao

    • @alexbondo2350
      @alexbondo2350 2 หลายเดือนก่อน

      Nikiwa nasoma shule ya msingi Muungano nilikua napita nyumba flani naambiwa ni ya Kisoky ..route from Magereza to Forest 😂😂

    • @SalumuKomba
      @SalumuKomba 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@alexbondo2350 kweli kabisa... forest ya zamani 😀

    • @hakimundabila7940
      @hakimundabila7940 2 หลายเดือนก่อน

      Fuatilia hiyo interview mwishoni kasema ni mtu asili ya mbeya

  • @GodwinAxwesso
    @GodwinAxwesso 2 หลายเดือนก่อน

    wanao ubalozi Tanzania ?

  • @ericksonmuhulo1570
    @ericksonmuhulo1570 2 หลายเดือนก่อน

    Elimu bure then unafurahia. Vp school kama wanapromote ushoga akiwa schools

  • @allykwaya
    @allykwaya 2 หลายเดือนก่อน

    Nchii nzuri sana inaonyesha

  • @mactravellers1787
    @mactravellers1787 2 หลายเดือนก่อน

    Nice country

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 2 หลายเดือนก่อน

    Iyo inchi yamashoga wazili mkuu wa iyo inchi kamuowa mwanaume mwanzake inalaana iyo 😢😢😢

    • @tonykipobota4265
      @tonykipobota4265 หลายเดือนก่อน

      Hajamuoa, yeye ndo kaolewa 😅

  • @chuchetresha
    @chuchetresha 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimoja ya nchi inayosapoti Agenda ya LGBT nusu ya wakazi ni mashoga 🌈 so guys ,ktkt Dunia ya Sasa whatCh out vya Bure Bure 🧐🧐🧐🧐🧐it's gonna coast ya People ,wazungu they're out of dey mind,they're sons and daughters of 👹👺👹👹👺

  • @FahmiNassor
    @FahmiNassor 2 หลายเดือนก่อน

    Vipi upatikanaji wa visa za kazi

  • @adammveyange9638
    @adammveyange9638 2 หลายเดือนก่อน

    Makelele meng

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 2 หลายเดือนก่อน

    Tupo

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 2 หลายเดือนก่อน

    Waziri mkuu shoga hayupo tena tulishampiga chini kwenye uchaguzi mwaka huu na waziri mkuu wa sasa co shoga tena

    • @tonykipobota4265
      @tonykipobota4265 หลายเดือนก่อน

      Kumbe eh, hii habari njema

    • @hirstndisa7148
      @hirstndisa7148 หลายเดือนก่อน

      Taifa dogo kwa size, matajiri. Eneo lake ni sawa na mbuga ya wanyama ya mikumi.

  • @saidi342
    @saidi342 2 หลายเดือนก่อน

    ni nchi gani nisaidieni

    • @GoodDeeds-Jesus
      @GoodDeeds-Jesus 2 หลายเดือนก่อน +1

      Inaitwa Luxembourg ipo kaskazini magharibi mwa Ulaya.