KWA HUZUNI KUBWA DKT MWINYI AFIKA KWA FAMILIA YA HAJJAT BI. AKIBA ALIEKUFA MADINA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ส.ค. 2022
- Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...
Ma shaa Allah viongozi kama hawa ndio wakuigwa
ahsante mhe raisi wangu
Maa Shaa Allah Dk ,mh Rais! Kwa kuitembelea Familia ya Bi Akiba!
Mashallah... Jamni huyu Rais namkubali Hadi bass Allah amuhifadhi . Aaamin
Ma sha allah
Amiini
Aaaamiiin
Amiin ya rabii mpokee mama yetu mikono miwili 😭😭😭😭😭😭😭🤦🏿
Allah ampe mafanikio dunian na akhera. Ameifanya familia kuwanafuraha. Namuomba allah ampe wakumfurahisha zaidi duniani na akhera, furaha zenye kudumu kwaufalme wake.
MashaaAllah
Juma kapilima ni sawa usemavo lakini mwenyeji wake yani mume wa marehem kakaa juu ya kiti vipi rais akae chini?
Amin 🤲
Amiin thumma amiiin 😭😭😭
Hongera rais tunapopata majanga raia utufariji
Innalilah Wainah Rajiun
Mashaallah kusema kweli Mimi na mpenda sana huyu RAISI wetu kwa tabia na ukweli na huruma ilizo jaaliwa na Allah
asante rais wetu , mungu akulinde na shar za viumbe wabaya
Hongera mheshimiwa Kwa kwenda kuwafariji wafiwa, ila ingependeza sana mheshimiwa ukienda Sehemu kama hizo na wewe kukaa chini kama walivyokaa wenzako , mama samia alionyesha mfano mzuri Kwa Hilo,,
l