Sawa hayo unayo yasema usajili ni kweli wamechoka hata MANULA ni hivyo angalia duara safi anajua kazi yake anacheza kwa kujituma hata vaipaz anatupiga wachezaji wote wa zamani wamechoka
Makosa tayari yalifanyika Sasa ukiachiwa team utaiendesha hivi unajua gharama za uendeshaji wa club tz wanaoomba hayo ni mashabiki wa yanga wanataka team ya Simba ifeli ,
NIKWELI KWSSB HUYU MOSES PHILI AKIWA BADO FITI ALIKUWA ANAUZWA M.800 SIMBA WALICHEMSHA SASA KAZEEKA NDIO MNAMBEBA..HATA MANZOKI ATACHEZA SIMBA LAKINI KWANZA ACHOKE ATAKUJA TU SIMBA
Wewe toa mawazo ya kusaidia timu siyo chuki kama hiyo,hata ulaya wanafungwa Simba ni na I? Wewe siyo Simba au umejaa chuki umepata mwanya wa kueleza chuki zako
Jamaa unaongea point Sana 🤜🤛
Uko vizuri ujanja ujanja unamwisho siku zao zinahesabika
Vzr sana
Kwakweli kaka umeongea point sana tokea alipouzwa miksone simba haija tulia adi leo mungu atunusulu
Ndiyo Kwanza mkasajili saidoo na kuwatukana yanga huyo nae ndiyo kikongwe zaidi haya atafunga kwenye ligi kuu
dah kumbe kura elfu mbili za uchaguzi zilihesabiwa masaa manane😂😂😂😂 afu mulikausha tu😂😂😂. Dunduka hatari san😂😂
Kweli bro wachezaji wamemechoka!hawajitumi hawana mbio miguu mizito sana! hii imeisha wajipange dirisha kubwa
Nabii meja
Sawa hayo unayo yasema usajili ni kweli wamechoka hata MANULA ni hivyo angalia duara safi anajua kazi yake anacheza kwa kujituma hata vaipaz anatupiga wachezaji wote wa zamani wamechoka
Sema kweli japo chungu
Aiseeee jamaaa yupo sawa. Mimi ni Yanga
Umeongea vizuri
Ume.ongea.vizuri
Lakin tuxhaxhinda Uganda unasemaj?!
Sijapenda unavyo sema hio ni resset pamoja na ukweli
Wewe ni utopolo usifalakanishe na viongozi wetu
😂😂 bad hatujatoboa
This guy is clever and fact seeking
Kabisa
Uko sahihi sana
Unaropoka tu wewe unaweza kuendesha timu.
Ingia sasa wewe badala ya Bosco
Kitendo cha Mo dewji kutuwekea meenyekiti ni kuendelea kulinda maslahi yake na hatufai ktk kuwekeza na ni muongo.
3;27 sikiliza hapo.anasema ukianga sisi YANGA,kumbe hili ni jiyanga alafu linaongelea SIMBA.Unaongea KIUTOPOLO
Shida ya simba ni viongozi na wale wanao lete wachezaji hatujui hao ni vipofu hawaoni
Nchi hii inawapumbavu wengi sana yaani Kila mtu muongeaji,na hv vitv vya online siku Hz vinawapa watu promo Sana.
bro waambie pengine watakuelewa
uongozi mmeutaka wenyewe hivi kwa mpira ule unaweza kufika fainali vunjeni uongozi wote
Huyu jamaa yuko sahihi lakini kwasababu huwa hatutaki kuambiwa ukweli.
Uko vizri sana siku zao zimeisha hai matapeli
Viongozi wanaturuga
Je,ikitokea tukatobowa kwenda robo huyo jamaa chawa wa kria atajificha wapi
Yanga wanamuandaa Clement mzinze kuja kuwa tegemeo kwa Yanga na Tz
Chawa wa mpira et🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Tulikuwa wazuri miaka minne mbona ulikaa kimya mbwa tu huyu
Hata mimi nimefurahi tulivyofungwa
Makosa tayari yalifanyika Sasa ukiachiwa team utaiendesha hivi unajua gharama za uendeshaji wa club tz wanaoomba hayo ni mashabiki wa yanga wanataka team ya Simba ifeli ,
Apo tunaludi kulekule uongozi auko sawa
NIKWELI KWSSB HUYU MOSES PHILI AKIWA BADO FITI ALIKUWA ANAUZWA M.800 SIMBA WALICHEMSHA SASA KAZEEKA NDIO MNAMBEBA..HATA MANZOKI ATACHEZA SIMBA LAKINI KWANZA ACHOKE ATAKUJA TU SIMBA
simba inafelishw mo pamo uongoz2
Pira Dubai, pira Biriani, pira kachori!
Ss wenzen tunashabikiy Tum nyinyi munasapot makund ya waun et wachezaj nao wanapig Kula .m....mmmmmmhhhh 😁😁😁😁😁😁
Hahahaha aaaaa
🤣🤣🤣🤣 m baba unaonekana mkorofi wewe
Wewe toa mawazo ya kusaidia timu siyo chuki kama hiyo,hata ulaya wanafungwa Simba ni na I? Wewe siyo Simba au umejaa chuki umepata mwanya wa kueleza chuki zako
😂😂😂Kinyumenyume fc 😂😂
Niukweli mtupu unaongea kaka.
Una chuki binafsi sio kila wakati utashinda
Ana kisirani hajui nini maana ya mchezo mbona al ahal nao walifungwa
Hata hao yanga unaeasifia hawafiki mbari,Niko paree.mazembe na mtunisia wanaenda.
@@robertedward1992 Kabisa
Nadhani wewe una matatizo ya akili
Usifungwe wewe Nani?