Hili darasa mi hupenda kurudia kulisikiliza karibia kila siku, Mungu akitujaalia Ijumaa ijayo nikifika Masjid Kichangani ntakutafuta ili uniuzie CD niwe nasikiliza nyumbani.
Sawa maalim mpigie huyu +255713833356 anaitwa muba mwambie namba umepewa na Hussein ukimpata huyo hapo kichangani atakupa hiyo cd na pia usisahau ku subscribe na ku share na waislamu wengine na pia ziko humo darasa zake nyingi Sana endelea kuangalia shukraan alhabibi kwa kutusapoti na kutazama darasa zetu
Assalamu alaykum ya sheykh Mie naomba unitumie hayo maelekezo zaidi naomba nijiombee mimi mwenyewe na pia kizazi changu pia mungu atakulipa inshaallah kwani natamaniwe nipendwe na allah mimi na kizazi changu na waislamu wote inshaallah
Assalamu alaykum sheikhe wangu Samahani sana mie si mzoefu wa hii sim sasa hii ripot ilikua imeondoka nikawa sijui namna gani nifanye ili niirejeshe Sasababu wanazungumaza maneno ya kizungu humu mie bakhti mbaya sijui hicho kizungu inshaallah nakutumia nambar yangu ili unitumie huo utaratibu natamani sana kufikia darja yakupendwa na allah subhanahu wataala 93285667 hio ndio nambar yangu kwa huku nilipo oman ila mimi ni matanzania nipo kwa mda tu huku
@@asiaissa976 w.salaam dada asia samahani kwa kuchelewa kuiona comment yako yako inshaallah nitafanya mawasiliano na ustadh huyo atanipa hayo maelekzo vizuri tufuatile kwenye facebook page yetu tutumie meseji then tutakupa maelekezo yoote inshaallah na asante kwa kutazama
Maashaallah sheikh ostadh wangu! Darsa hii nimeipenda sana sana sana! Mola wetu akufanyie wepesi wa mambo yako aamin inshaallah!
Allah atufanyie wepes inshalah Amiin
Allaah atupe mwisho mwema
Mashaa'Allah
Swallallahu alayhi wasallam
Mashaallah
Maa sha Allah
Mashaa Allah tabaraka Rahman
Alhamdulillah mawaidha mazuri sana mungu atuongoze
Subhanallah allahu atupe nguvu inshallahu kuweza kufanya hayo kwa nguvu zake inshallahu
Insha ALLAH بارك الله فيك وجزاك الله خير على هذه المعلومات
Mashaalwah
shukran
Hili darasa mi hupenda kurudia kulisikiliza karibia kila siku, Mungu akitujaalia Ijumaa ijayo nikifika Masjid Kichangani ntakutafuta ili uniuzie CD niwe nasikiliza nyumbani.
Sawa maalim mpigie huyu +255713833356 anaitwa muba mwambie namba umepewa na Hussein ukimpata huyo hapo kichangani atakupa hiyo cd na pia usisahau ku subscribe na ku share na waislamu wengine na pia ziko humo darasa zake nyingi Sana endelea kuangalia shukraan alhabibi kwa kutusapoti na kutazama darasa zetu
Mashallah
Assalamu alaykum ya sheykh
Mie naomba unitumie hayo maelekezo zaidi naomba nijiombee mimi mwenyewe na pia kizazi changu pia mungu atakulipa inshaallah kwani natamaniwe nipendwe na allah mimi na kizazi changu na waislamu wote inshaallah
Assalamu alaykum sheikhe wangu
Samahani sana mie si mzoefu wa hii sim sasa hii ripot ilikua imeondoka nikawa sijui namna gani nifanye ili niirejeshe
Sasababu wanazungumaza maneno ya kizungu humu mie bakhti mbaya sijui hicho kizungu inshaallah nakutumia nambar yangu ili unitumie huo utaratibu natamani sana kufikia darja yakupendwa na allah subhanahu wataala 93285667 hio ndio nambar yangu kwa huku nilipo oman ila mimi ni matanzania nipo kwa mda tu huku
@@asiaissa976 w.salaam dada asia samahani kwa kuchelewa kuiona comment yako yako inshaallah nitafanya mawasiliano na ustadh huyo atanipa hayo maelekzo vizuri tufuatile kwenye facebook page yetu tutumie meseji then tutakupa maelekezo yoote inshaallah na asante kwa kutazama
Mmmh
Ndugu yanguu hii clip mbona hai play kuna tatizo gani, inaujumbe muhimu sana kama una weza repost tena.
Mbona Ina play maalim jaribu vizuri
Leo imefungunga allhamndulillah.
Nice one
Manshaalah
Mashaallah
Angalia hizo sunnah za swala umetaja nyingi mwanzo zijuwe wewe ndio usomeshe watu
Mashallah