MAMA LOVE KUNGWI: MUME WA AMINA VIKOBA HAFAI KABISA/AMINA VIKOBA ASIKUBALI KUDHURUMIWA/AKAKATE RUFAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 14

  • @DevotaHaule
    @DevotaHaule 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sana ukimkabidhi mungu kwakilakitu utalipwa hakizake zote

  • @trueexplorer894
    @trueexplorer894 วันที่ผ่านมา +1

    Hii media haswaa huyu mtangazaji, ni very toxic yaani kifupi mkaanga sumu. Siku zote huwa hafanyi interview na watu maarufu ili kupata uhakika wa mambo kuwahusu, bali yy huwa anajikita ktk kuchonganisha, umbea na kufitinisha. Yaani mtu atoke huko kote kwenda kumhoji huyu mama kuhusu maisha ya mtu mwingine ambaye ni mtu mzima na ana akili zake. Uhuru wa media umezidi wallahi

  • @pengefeza2563
    @pengefeza2563 2 วันที่ผ่านมา +1

    Dini yenu ndio tatizo inaruhusu ngono nyingi.
    Wanaume wenu wanajiskiaga kuwa huru kubadili ngono kama nguo tu eti dini inaruhusu.
    Hiyo ni maamuzi ya pupa ya ngono tuu na sio sheria ya Mungu hata kidogo.
    Mungu aliumba mwanamke na mwanaume mmoja tu kwa mfano wake mengine ya ziada ni pupa za shetani asiye ridhika.

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay วันที่ผ่านมา

      Kanywe dawa kwanza

  • @FadhumoMohamed-m2k
    @FadhumoMohamed-m2k วันที่ผ่านมา

    Arudi ktk dini yake kwanza mengine yatatengamaa kwa uwezo wa mungu

  • @saummwakumbo.4926
    @saummwakumbo.4926 วันที่ผ่านมา

    Mama love ile super woman 😂😂😂

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 2 วันที่ผ่านมา

    Maloya na majaji wa Tanzania Laaana tullah

  • @FurahaShaban-g8f
    @FurahaShaban-g8f 2 วันที่ผ่านมา

    Ronaldo tena😅😅😅😅😅

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 วันที่ผ่านมา

    Ni ukweli maneno yakungwi

  • @PendosaidiDonald
    @PendosaidiDonald 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂 kungwi

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 2 วันที่ผ่านมา

    Ndugu mtangazaji
    tuisomee dini yetu
    hakuna mirathi baada ya kuachwa...mirathi Allah
    ndie ameigawa kwa mume mke wanafamilia watoto wazazi kwa marehemu baada ya kufariki. na sio mirathi kwa aliye hai
    Kwa alie hai anatoa hadia( zawadi ) na sio
    mirathi

    • @munirazenji9819
      @munirazenji9819 2 วันที่ผ่านมา

      kidini hamna kurithi kwa kuachana.lkn itategemya sheria ya nchi mnagawana mlivyochuma pamoja

    • @Ukhtyzuhura
      @Ukhtyzuhura 2 วันที่ผ่านมา

      @munirazenji9819 mirathi ya kishetia ya dini ya uislam ndio nimeongelea hapo juu ndugu na si ya kiserikali
      Allah anajua zaidi...amegawa ktk surah baqara maekezo yote

  • @Naju645
    @Naju645 3 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅😅19