Ngoma imenitesa sana hii. Nimekuwa nikiisikia ikipigwa bila kujua nani kaiimba. Imebrink akili yangu leo nimeipata nipo nairudia rudia kila saa. Simesha pewa na Notse nihame nyumba kwa msauti mkubwa.
Content hata locations hujavipata? 😅😅 ndo video zakileo hizi. Sio zile za Mwananchi production za miaka ya 2001 adi 4.. Enzi za benchmark production... Definately everything is Cool en' HD
***** hahahhahaha content na Locations vinaendana sema watu wamezoea video zakizamani ila kabla yahapo angalia nyimbo inamaana gani na locations inatakiwa iweje
Kuanzia intro, lyrics, beat, production, mastering, video, brige yani KUMAMAAAAAAKEEEEEE💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂
Unajuwa nn mazeee😂😂😂😂😂✌✌✌✌
Bonge ya ngoma.. Kali kikuma
Ngoma imenitesa sana hii. Nimekuwa nikiisikia ikipigwa bila kujua nani kaiimba. Imebrink akili yangu leo nimeipata nipo nairudia rudia kila saa. Simesha pewa na Notse nihame nyumba kwa msauti mkubwa.
Pole cyo
umewasimamisha toka mtaa kwa mtaa mic wazi mpaka Nation mac wazi tishaaa sana Coyo
Coyo ni Ngosha anaradha ya kipekee👊..Big Up Brother!!!!
Safi sana jamaa....naisikiliza kila siku hii..hiyo chupa ya mbeleee sanaaa......Wekeza tu kaka..ndo taratibu unatoboa hivyo
Tunao sikiliza hii ngoma 2022 tujuwane tafadhsliiii
nko apa 2023
COYO yani ni BALAAAH .. Umetisha sana, #KeepItUp ! Unaweza sana.
-ZIWAFIKIE iko daily kwenye playlist yakwangu, #GoodSong. We believe more to come !!
uyuja nona good song
Destination nakuona ss mzee baba wa Mecco... # Ziwafikie
Jah bless you... Kazi imetulia sana ndugu...
Mwenyezi Mungu Azidi Kukubariki Zaidi Ufanikiwe Zaidi Kwa Upande wangu hujawahi kuniangusha kuanzia ile #noma #njoobaadae mpaka #ziwafikie
we kijana ni hataree nilikuwa najua mwenye nyimbo hii sio mbongo,kumbe ni ngosha umeuaaaaaaaaa
daaaah broo umeua ngoma inatamba kitaaa but tulikuwa tunasikia inapigwa kwa station tofautitofauti bila kujua jina la msanii. ..produza katisha sana
Konk sana hii kaz mzee shot out broo
Tishaaaaa sana mwanza hamkosei kuanzia fid young killer nawe Mkaliiii sanaaa.
sumuuuuuuuuu jamaaaa mbaya sana wew kimichano aseeeee sikujutia kuitazama na kuiskiliza hii ngoma
Umepita vizur sana.,.mm nilidhan Mkenya
nmeelewa ngoma, japo kwa kuchelewa kuipata......
ngoma Kali kinoma noma bro...coyo
Miss you bro 2022🥺🥺🥺
uyu COYO ckujua kama ni M TZ,kumbe from ROCKY CITY duh nmwelewag sn
Coyo Ni Ngosha mwenye Ladha Ya Ya kimasai Big Up Main man Ngosha
th-cam.com/video/ULsoiNEDo7E/w-d-xo.html
msela wangu umetusua coyo from mecco south mwanza is muddy video kari nyimbo kari wataelewa
Huwa haichuji
Imekaa Poa
Respect coyo
Oya coyo rudi kwa game tunaliipenda hii style
Nisher video apeche alolooo babaaaaa...Halafu mahereni ya Nini mwanaume ? ILA dunno na flow Kali
THIS IS CRAZY SHIT MZEE... HUU NDO MZIKI TUNATAKA
Hatarer
Coyo master I appreciate you brother
Nisher is back
👏👏👏 poa ajabu jamaa level mingine aiseee .. wonder wonder..
Style za Mr. Misosi ngoma kali hii.
GOOD vibe to your music.. we have the same name
huyu jamaa ni mkenya au mtz?anaswaga zote
mzee mwennyew uumetusahau wa kirumbaaaa kitangili na bwiru
Unajua nimepitia ngap shida ngosha umetsha ziwafkie mbez kimara na yombo
Coyo umepotea wapi mzee
Mzee wa njoo baadae umetishaaa
Umetishaa sanaaaaa
Halafu anatokea mama anasema yeye ndo mr. Mwanza
Coyo uko wap mzee😢
coyo hahaa fun keep ya foot on this
Ngoma Kali sanaaaaaa
2024
wanaoniita Joseph nitawasaga,....damn
Nice song good melody n video
Coyo umepotea dah
2024 who's here listening?
KALI
sana tu jamaaaaaaaa thumb up for ya
Where is coyo
Where is coyo ?
Asa unatoaga ngoma kali lakn unakua kmy toa ngoma bhn
Kali noma noma .....dogo scooby 2po pa1
daah hl dude nomaaa kaka,umetshaaa
ngoma kali sana hii 🔥🔥🔥
Cool stuff
yaaah safiiiiii sna coyo
ume tisha boy vzr
Unajua nn mazee😆
Bro umekwama wapi?
.. Shida begani ka mtutu ile kijeda..
Ngoma kal video kal brothers mmetixha...x
Ngosha nimekbr ngm kal
Najua mwenyew nimepita ngap shida
waaaaaah mzee ana mabata mbaya
sy pw koyo baba rao
Big up ngosha
Coyoooooo😮
Oct 2024 ?
Huyu jamaa yuko wap sku iz
Ngosha ukowp aise
Aaah ipo vizuri
Nice bro kila la heri
Kaz nzur
safi sana kaza zaid yahapo
Anavyo Mix na Kisukuma Inanoga
Vita ya Israel
Kali kinoma
👏👏💥💥💥💥
tisha sana
mziki wa kibabe uko makini sana
Ila we mwanagu agha unajua sana
nzur mjomba kaza zaid
napenda hii kutoka kenya
Newbon gadson
Ni mwendo ty
hiii ni dedrii bongo tuko vzuri
Huyu jombaa ni kwikw asee darassa akidrop ww ndo wakuziba pengo lake
❤️❤️
hujawah kuniangusha
Woooooo its boy frm #rockcity kill dem are de #bext
Ngoma kali sana
Begani shidq
nimeielewa
Was sent here by tiktok
Video inaonesha Giza mzee
Content hata locations hujavipata? 😅😅 ndo video zakileo hizi. Sio zile za Mwananchi production za miaka ya 2001 adi 4.. Enzi za benchmark production...
Definately everything is Cool en' HD
kamaansha video nzma giza..yan black no image
+samwel wilfred umeelewa ninachomaanisha au umekurupuka tu
***** hahahhahaha content na Locations vinaendana sema watu wamezoea video zakizamani ila kabla yahapo angalia nyimbo inamaana gani na locations inatakiwa iweje
ati leo nina Pesa zingi
Nice video@nisher is back