ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Yote yanawezekana aiza ni uongo aiza ni kweli 2we watu wakusikiliza sana sio kupinga haraka au kukubali haraka
Wewe. Ndiyo mwehu
Hapo mbona Kuna alama kwa kombo kama ya ile kitu
Tutajie vijana 10 ulikua nao ewe mzushi.
anaongopa katumwa anatakiwa aanze kukamatwa haraka na ahojiwe kwa undani sku zote alikuwa wapi na ingekuwa hivyo mbona hayo hayapo?uchizi huo.
Ujasiri umeupata wapi?
unasahau hata useme uongo siku moja utaiacha hii dunia dah huyu amekubuhu kweheri
huyo ni mwehu kabisa
mchochezi mkubwa wee!
Uyo jamaa ninawasiwasi anafia yaakili
Acha uongo. 2006 ulikuwa unatumia mtandao gani wa kijamii na ulikuwa na account 20 wakati huo hata smart phone hazikuwepo.
Mbowe pumzika
Wewe ni muongo
❤❤🎉
umejitoa ufahamu kabisa. muongo kabisa inaonekana hata uantunga ona macho yako,
hakuna kitu hapo hupati viewers huyo jamaa ni muongo mmempa shilingi ngapi
Hizi bata zimetoka wapi jamani?
Muongo
huni aibu hivi una familia kweli . kweli hela ni shetani
Nimeiangalia hii Channel kwa makosa.
kanenepa kavimba upuuzi,wenye akili mpuuzeni huyu na chenel yaka.
Kama alikuwa yuko kwente mafunzo hayo Ndugu Ally Kibao na yeye alikuwa Mwanajeshi wa ngazi ya juu kumbe ndiyo maana kauwawa
Hii nchi hatachukua Mpinzani yoyote hatukupata Uhuru kqa kumwaga damu
Nawakichukuwa utasemaje
Nyie kuleni riIziki mantashalla Vijana ndiyo muda wenyewe pigeni kelele tu mitandaoni
Mamzunguziii loliondo huko wamasai wanateseka
Mmenenepa matumbo Vijana kwa Raha zenu
Mwongo uta muona tu ni kuitikiatu
Aisee ulaaniwe kwa kutunga uongo utabaki na uongo wako mpaka unaingia kaburini
Nkumbe nasikiza upuuzi
Nonsense