ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Ukosahihi Bishop Mwamakula
Askofu nakufatilia sana unaongea ukwer sana baba Askofu wetu
Bishop upo sahibi opinion zako za ukweli
Matendo Makuu ya Mungu
Chadema tumeishinda rushwa asie amini kaona lamba asali na lisu na heche mpaka mwisho🇹🇿✌️💪💪💪💪💪💪🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Naam Nilikuwa nakusubiri sana Askofu kusikia maoni yako.
Ccm hawategemei kura kushinda, wanategemea dola tu.
HAMNA KITU PALE LISU HANA UWEZO WA KUWAUNGANISHA
Bishop CHADEMA wanaaminika kwako siyo kwa watanzania wote. Wala nakwambia hawatakaa wachukue nchi wewe ukiwa kiongizi wa kiroho mwambie Lissu aache jazba na uropokaji na kujiona mwema na mwerevu kwa kila kitu na wengine hawana lolote!
#NONSENSE
Umejaa chuki isiyo maana. Hata Mbowe hakuamini hivyo imekuwa. Mtakuwa akina Ntobi na Yeriko Nyerere. KAA CHONJO SAA MBAYA.
Tunahitaji kuwe na uchguzi Kwa kanisa la askofu huyu
Uchaguzi wa nafasi gani ?
Wewe chawa acha ujinga unadhani wananchi bado wajinga!
Kwani huyu mzee kanisa lake linaitwaje na lipo mtaa gani
Kuna watu Kama majibwa mnabweka tu
Hilo anguko kichama linakuja
Ramli
HAMNA JIPYA NYIE TUSHAJUA SIRI ILIYOPO KWENU NA CHADEMA MBONA ACT WALIFANYA HIVI NA HAMKUWAPONGEZA