ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kama unaamini bongo tuna kila aina ya vipaji gonga like tx dullah 4life hyo ni zaid ya idea🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Hamna mwanangu hii ni content ya kwetu🇰🇪🇰🇪😂😂 tafuta best of YY utajua kweli kila kitu ni Cha Kenya 😂😂 idea yetu hii
Madirisha man of the game🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Kabsaaaa😂😂😂😂😂
dah huyu ndio ndugu wa kuwa nae Katka maisha like MADIRISHA 😂😂😂😊
Umetisha@Txdullah sana wewe ndo unayebamba zaidi mtandaoni halafu wala hutumii nguvu
Madilishaa the game changer😂akil mingi
😂😂😂😂😂mmetisha sana tx dullah na madirisha ninomaaaaaaa
Madirisha Mzee wa Formation Mpe Diriiii Ye Anamalizia kwa kisigino tyuu
Madirisha jau sanaa😅😅 ety nikatumie hela leo ukanywe juice ya miwa ya buku
Madirisha kiungo mchezeshaji nakukubali mwana😂😂😂😂
😅😅😅 Shenfield sana dula nmecheka sana
Hahahah mamaaee madirisha Dunia nyingine
Madirisha we madirisha kweli jitu na nusu umecheza zaidi ya pele
Kuna comedy halafu Kuna hii isee kaka dullah utatuua kbsa😂
Nlichojifunza mamb ya muhimu tushrkishe marafiki 😂😂😂
Madirisha ingekuwa urafiki Unauzwa mimi ningemnunuwa 😂😂😂
Mawindow kidogo azingue 😂😂😂 lkn enewei shetani amepita
Tx kuanzia Leo siangalii tena comedy zako mpaka nikatibiwe kwanza bandama,mweehuu mmoja wewe na Madirisha wako...haaahaa
Tx dullah mnyamaa...unajua nduguyng🔥
😂😂 Madirisha ni rafiki wa kweli marafik kama hawa ni wachache sana 😂😂
😂😂😂 Ila kaka dula huwa unatufundisha vtu vya msingi San sis vjana wenzak 😂😂😂 Naangalia na shemej yak
Madirisha jamn ndio juice ya buku 😂😂😂😂
Madirisha umeuwaaa hiyoo juice ntalipa me
😂😅 ila madirisha kiboko,man of the match
Dulah unaachiaga kaz njiani mwenye nyumba hujaliza kila kaz ipo nusu bro
Madirisha amepewe maua yako ukisikia mwanangu wa faida ndoo uyo sasa 🔥🔥🔥💯mmetisha🔥🔥🔥
serikali yetu imekosa mtu kama madirsha kuwa kama china😂😂
Hahaha 😂 Madirisha kaja kuharibu kabisa yn anakurupuka sana haha 😂
Madirisha kazi unayo baba😂😂😂❤
Madirisha Comedian umetisha sana 😂😂
😂😂😂😂😂madirisha is very talented
Huyu dada wa sweta la njano ANAJUA SANA KUIGIZA NARUDIA ANAJUA SANA, UHARISIA WA HARI YAJUU
Dah ila Dulla umetisha mwanangu... ila Sema michezo hiyo ni hatari😅😂
Dulla ukinunua gari TAFADHALI mnunulie na MADIRISHA uyo ndio pacha wako sasa na hakuna chawa kama uyo tangu Tanzania ipatikane
Dulla we kakaa hakikaa nimekupendraaaa buree
😂😂😂😂TX Mnyaaaaama😅😅😅Big up MaDirisha mzee wa Back-up...hujawahi tufelisha mzee...😂😂inabidi tuongee na wewe vizuri
Katika marafiki zako wote huwezi kosa rafiki kama Madirisha Kama huna poleee😂😂😂😂😂
unatakiwa uwe na rafiki mmoja mnaefanana akili😂
Kabisa
Zima na hiyo sim Sasa Dulla😅😅
Oyaaa kaka unatxh can💯💯💯
Madirisha utafika mbinguni umechoka sana kaka
Yani ni nomaaaaaaa good
sasa mimi mbona sina mwana wa hivyo au mm ndo cjui kuish na watu😀😀😀😀
Madirishaaa ni mzuri sana akianzia bench! 😂
Ila madirisha 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Ila madirisha ni man of the mechi🎉🎉😂😂
Madirisha salute kwako
Ukipata pensheni yako usimsahau madirisha aisee kajitoa sana😂
Wew nimbwa 😅😅😅 taila takataka
Nikiwa na rafiki kam madirisha ni unyama san😂😂❤
Daaaah madirisha jaman😂😂😂😂😂🙌
Huyo madirisha ni mm kbc 😂 hayo magemu nayacheza mno
Madirisha man of the game on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Madirisha katoa neno pesa kisha kataja buku 😂😂😂
Madirisha anaingia mfumo wa kila kocha 🤣🤣😂
😂😂😂😂
Da madirisha ongera sana😅😅😅😅
Ukiwa na rafiki kama madirisha unaweza kuopoa hata mtu na dadaake, na bado madirisha akawadanya wasijuane
Daaahh madirixhaaa mwambaa😅
Daàah kanikumbusha maisha ya chuo alooh Tx dulla na madirisha bana
Man of tha match madirisha ...katika kitu sipendi ni kudanganya😂
Na anadanganya at the same time😂😂😂😂
Madirsha noma sanaaaa
Dullah unajua aisee
Madirisha anajua kucheza na gemu
Dulla mnyama yaani kama ingekuwa ngeli basi comedy zako zingekuwa za kimataifa
😂😂😂😂 hii move atar jomon mpk asila simeniishaa
kila mwanaume anahitaji rafik kama madirisha😂😂
😀😀😀 madirisha mwenyewe ndo wewe sasa
Ntazania akuna zaidi yako❤❤😂❤😂🎉🎉🎉🎉
Kwaiyo dulla wewe unajikuta jiniaziiii sioo bas saw mkaliìiii ❤❤❤❤❤❤
Wewe ni pro😂
Madirisha ni nyoko sanaaaaaa
siku izi watu sio warohoo saan😅😅😅😅
Txdulla wewe ni nooma sana tena sana sijawahi kuona mchekeshaji mkali kama wewe yaani 🔥🔥🔥🔥🔥 #SIJAWAHI KUDANGANYA
Rafik kama madirisha ngum kumpata zama hz
😂😂😂😂😂😂😂 madirisha hatari sana umeniacha hoi
Hakika anaweza
😂😂😂😂 kweli we Dulllah mnyama.Umetukumbusha mbali mzeeee
🔥🔥🔥🚨 Dulla iyo picha kwenye fridge naomba link mzee
Madirisha alitaka kufanya Dili liwe dirisha😂😂😂😂😂😂
Madirisha tumuongezee mirango juice ya miwa ya buku ndio kuingia hasara
Yan hta sijui ni comment nin ila mmh 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Madilisha unatisha sanaaaaaaaaa
Madilisha wewe😂😂😂😂😂😂🎉🎉😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kuna mwanangu ananisevugu sana kwenye nyakati ngumu nishapata Jina la kumuita asaiv yeye ni MADIRISHA 😂😂
😂😂😂
Umludishie madirisha buku lake😅😅😅
Madilisha madirisha duuuhhh dulah umeshindikana wewe
Hahahaaaaa hiii nimecheka hatari
Umetisha sana 😂😂
Nikushaur 😂😂Ukiingia chumban zima cm kabisa maana likija lingine madilisha hatakua hewani
ILA,madirisha ckuwez😂😂😂
Madirisha amekuokoa sana😂
Madirisha noma😸😸😹😹😹😹🙌🙌🙌
Haya ni madirisha ya bafuni haya😅😅😅
Dah madirish anajua kucheza na code
Hahahahahah madisha msenge mamae
Uishi milele tx dulla mnyama😂😂😂😂😂
Daaàh... Madirisha tu na nusuuu 😅😅😅😅
Ahahahahahaha huyu majinga kacheza
We noma dulla
ndug wa faida👊
Ngoj nikaponde raha nikachukie mihogo ya buku
Ila tx dullah😮😮😅

😂😂😂😂TX Mnyaaaaama😅😅😅
Big up MaDirisha mzee wa Back-up...hujawahi tufelisha mzee...😂😂inabidi tuongee na wewe vizuri

😂😂😂😂 kweli we Dulllah mnyama.
Umetukumbusha mbali mzeeee