UFAFANUZI WA MIKOPO VYUO VYA KATI, "WALIOPO VYUO VYA KATI NI WATOTO WA KITANZANIA PIA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @rodaMatowo
    @rodaMatowo หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana awape maisha marefu mzidi kutusaidia sisi wa hali ya chini tutimize ndoto zetu

  • @MickdadDaniel
    @MickdadDaniel 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sanaaa kwa kutusaidia kutimiza ndoto zetu

  • @felikisimon
    @felikisimon 10 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa MWIGULU nakuponeza sana. umeongea maneno ya maana ili tupunguze ujinga katika taifa letu.
    kwasababu watu wote wakipata elimu katika ngazi zote wakawa na maarifa kutokana elimu taifa litaendelea. Hongera sana mheshimiwa waziri.

  • @MarickMuhamudu
    @MarickMuhamudu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi niulize. Hivi nikweli wanatoa kwa diploma tu au zote na certificate

  • @user-nz5tt4do3k
    @user-nz5tt4do3k ปีที่แล้ว

    Asante serikali kwa kuwapa mikopa wanafunzi wa vyuo vya kati

  • @BiShuweha-fn5dp
    @BiShuweha-fn5dp ปีที่แล้ว

    Asanteee

  • @OvtavianTiibuza
    @OvtavianTiibuza 2 หลายเดือนก่อน

    Kwel kabisa wanafunzi tunapata changamoto sana

  • @online-computing-center
    @online-computing-center ปีที่แล้ว

    safi sana

  • @TYSONMHENERA-pt4qw
    @TYSONMHENERA-pt4qw ปีที่แล้ว

    Mtuwezeshe

  • @juliuswilliam5298
    @juliuswilliam5298 ปีที่แล้ว +1

    Mtuboreshee tuweze kutimiza ndoto zetu

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 22 วันที่ผ่านมา

    Nyieee ni ndugu zetu kweli?

  • @barikimbagala
    @barikimbagala ปีที่แล้ว

    Aseh ujengewe sana mkuu

  • @YasinYasin-hn5bs
    @YasinYasin-hn5bs ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @PaschalJustine-od8ig
    @PaschalJustine-od8ig 2 หลายเดือนก่อน

    Tusaidie

  • @BoniphaseHangaya-oj8xy
    @BoniphaseHangaya-oj8xy ปีที่แล้ว

    Tuangaliweee wote tunahakiii sio tu walio pangiwa sanyansi was biasharaaa piaa

  • @IbrahimBwire-wv8ww
    @IbrahimBwire-wv8ww ปีที่แล้ว

    Hapo waziri umeongea

  • @edwarddavid8076
    @edwarddavid8076 ปีที่แล้ว

    Mwe! Utendaji uwepo sasa

  • @chrismrisho8321
    @chrismrisho8321 ปีที่แล้ว

    🤛🤛🤛🤛🤛🤛🤛