Nichukue nafasi hii kukukaribisha Mpendwa wangu ili uweze kuungana nami kupitia wimbo huu wa "NISINGEKUWA HAPA" Tumrudishia Mungu sifa na Shukrani kwa yale yote aliyotutendea na ambayo hajatenda tukiwa na Imani kwake yakuwa Atatenda kwa Wakati wake tusipo zimia Mioyo. Ubarikiwe!
This is Emotionally hitting me Differently 🤦The Agape love❤😢If it were not For what he did at the cross, where would I stand now. Now salvation becomes the hiding place for me no more mystries as I enjoy the spiritual blessings🙏🙏🙏.......good Song 🎧🎧🎧
Wapo wapi wa #Tanzania na wa #Kenya hata wa #kongomani, wanao hitaji kuona mwaka 2025. Huyu Mtumishi #Kibonge, anafunulia text nzuri kuhusu ushindi wa Mungu, Nzambe asungayo Yaya, tii na suka
Nichukue nafasi hii kukukaribisha Mpendwa wangu ili uweze kuungana nami kupitia wimbo huu wa "NISINGEKUWA HAPA" Tumrudishia Mungu sifa na Shukrani kwa yale yote aliyotutendea na ambayo hajatenda tukiwa na Imani kwake yakuwa Atatenda kwa Wakati wake tusipo zimia Mioyo. Ubarikiwe!
Amen
Hakika ni mkono wake si jambo rahis weng wametama. Wangefika huu mwisho wa mwaka wameshindwa hakika MUNGU ametusaidia🙏
Amen amen hongera sana mtumishi🎉
Imepita
Shukrani Mtumishi
Kama unamkubali GODFREY_MTEULE like hapa🎉🎉🎉
Niko. Hapa ni baada tu yakuona jina la Geofrey mteule nabarikiwa naye saana ....
Ukisema umtoe Mungu kwenye Maisha yangu mimi nabaki mtupu yaani sina chochote🙏🙏🙏
Habari
Kibonge wa Yesu Ft Godfrey Mteule Imeleta chemistry tamu sana hii kazi🔥🔥🔥❤🔥❤🔥
This is Emotionally hitting me Differently 🤦The Agape love❤😢If it were not For what he did at the cross, where would I stand now. Now salvation becomes the hiding place for me no more mystries as I enjoy the spiritual blessings🙏🙏🙏.......good Song 🎧🎧🎧
Yaani ukisema umtoe mungu kwenye maisha yangu nitabakia mpweke kbs jina lake li imidiwe❤❤
My song of the year 2024 its amazing two adorable voice
Wonderful may God use you in a mighty way to touch so many hearts ❤
Respect 🙏 have been listening to this song the all day ,,,mixed reactions 😢may God rem anyone who is struggling in this life one-day we will make it
Wapo wapi wa #Tanzania na wa #Kenya hata wa #kongomani, wanao hitaji kuona mwaka 2025. Huyu Mtumishi #Kibonge, anafunulia text nzuri kuhusu ushindi wa Mungu, Nzambe asungayo Yaya, tii na suka
🎉🎉Wimbo Mzuri Sana Watumishi
Jina lenyewe ni mteure unafikiri Mungu atamuacha hv hv hapana lazma kusudi la Mungu litimie
Hongera sana my brther
Nakubal sana mteule piga kaga kazi utafika mbali sana daa unanibaliki sana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 imeenda ii bonge la wimbo ROHO MTAKATIFU ameupaka mafuta nenda nenda kibongo wa YESU KRISTO
Kazi safi sna
Nasubiri tu hapa🤳
Wengine atungekua jinsi tulivyo Leo Bali Mungu Ndo ayetuwezeshag kila itwapo Leo 😭🙌🙏
Waoooo am blassed for this song
🔥🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kiukwel kabisa nisingekuwa hapa
Kibooooooo Melodizaaaa 🎉🎉
Director khasi seen it 🔵 🔴
Nisingekuwa hapa🇰🇪
Amen
Nisingekua hapa🙏🙏
Mteule wetu unajuwa sana na sauti yako bro I proud of you
Godfrey noma sana kaka ujawahi kukoseya ❤❤❤❤ 🎉 kibonge wa yesu mauwa Yako ❤️🔥❤️🔥❤️🔥🌹🌹
Love it! Thank you for this song bro❤❤🔥🔥
Ameen minus God am nothing mungu ni mkubwa❤❤❤🎉🎉
Muna nibariki sana nahii wimbo mubarikiwe kwakazi ya mungu
Ubarikiwe san kaka 🎉🎉
Ubarikiwe sana mtumishi Wa Mungu kwa huduma hii nzuri. 🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥
AMEN ❤ BILA MUNGU NISINGEKUWA HAPA NILIPO SASA
NISINGEKUA HAPA BILA MUNGU❤❤❤❤❤🎉🎉
#NISINGEKUWAHAPA bila MUNGU .ni MUNGU amenisaidia,🙏
Mungu ni Kila kitu kwangu😭😭🙌🙌🙌🙌🙌
Barikiwa mnooo bro ni nyimbo ya kuongeza imani
Nikajua wa kwanza kumbe Nimetanguliwa😅 ok any way mungu awainue zaid nanzaid kiukwel nabalikiwa san na kaz yako @kibonge wa yesu
Umebarikiwa sana kaka
Huduma yenu ni njema sana
Haki bira Mungu mimi sio kitu barikiwa sana mtumishi ❤
Ameeeen, nimebarikiwa na huu wimbo
Aimeeeeeeeeeeeeeeeen🎉
Kazi kubwa xanaaa
Hallelujah ❤❤❤❤🙏🙏🙏
Wow! 😢😢😢 Nibaraka sana 🎻🎻🎻
Unanibariki sana my brother katushikilia yesu mwenyewe asante san
Ubalikiwe kaka yangu Mungu akuinuwe daima
Nice my brothers, Mungu awabariki
Amen. Be blessed everyone watching this
🎉🎉🎉
Amen. Good one❤🇰🇪.
Nikweli kabisa ... ushuhuda mzitoo kwakila mtu
Ukimtoa Yesu mim siwezi like kwa wale team kibonge na mteule
Amina huduma ni njema sana
Asante sana Mteule umeuwa.
Deserves a million likes ❤
Mungu akulinde sanaa kaka ang
MUNGU awabalik San family NGOM nzuli sana Yan
Nyimbo kali sanaa baba
Godfrey mteule on fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nabarikiwa sana kwa nyimbo yako
Nagoja kwa hamu sana
MBarikiwa sana ❤🙏
KAZI NZURI SANA 🎉🎉🎉
Amen ❤
NISINGEKUWA HAPA NI MUNGU TU MAANA NIKISEMA NIMTOE MUNGU KWENYE MAISHA YANGU NABAKI MTUPU 😢😢
Hongereni sana watumishi kwa kazi nzuri!🎉
Ameeeeni kaka
Félicitations ❤🎉🎉
Godifey mteule ❤❤❤❤❤
Mungu akuinue kaka pia afanye yaliyomakubwa kwako
Mungu kwanza
Nice kazi nzuri sana
Nimeisubili kwa hamu sana😢😢
Kibo melodies 🔥🙌
Wimbo mzur xana ❤
Sifa na utukufu zimrudiliye aliye juu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Such a powerful hit💞💞💞from kenya
Kaka kiboo Mungu akutunzeee sana na kaka Godfrey Mungu aendelee kumpiganiaaa🙏🏾🙏🏾
Kazi nzur sana. Ni next level
Napenda sana uimbavyo mwanangu mungu bariki hiooo
Kaka hii ni kazi
Fire on fire
Ndaga fijo Nnuguna Kyala akusaje
Big up sana mtumishi hii imeenda 🔥
💥💥💥💥💥💥💥
Visto por sijana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mungu awabariki sana mliotoa muda wenu kwa ajili ya kijana huyu naamini mungu atawatendea sawasawa na kujitoa kwenu
Unanibarikig Sana mwamba
mbarikiwe sana watumishi wa MUNGU
kaz nzur na mungu awabariki
🔥🔥🔥
Oooh bila wewe MUNGU ningekuwa wapi mm
Ameen
Ujumbe Mzito Sanaaa ❤❤❤❤
My brother be blessed
One love in Jesus form Burundi
Amen Nice one
Hongereni kwa kazi nzuri, tumeipokea vyema hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪