NDOTO 4 HATARI INA KUONYESHA UTAPOTEZA KITU AU MTU WA MAANA MAISHANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 43

  • @VeronicaNkungu
    @VeronicaNkungu 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru Mtumishi wa Mungu kwa kunifungua ktk hii ndoto ya kiatu, Mm niliota ndoto kiatu changu kimetumbukia chooni, haikuchukua muda Mtoto wangu alipotea alikuwa kijana wa miaka 20, anasoma Chuo, Mpka Sasa Mtumishi huu ni Mwaka wa 7, Mtoto wangu hajawahi kuonekana mpaka , Inauma Sana!

  • @theclapilla6389
    @theclapilla6389 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi kwa mafundisho mazuri

  • @KelvinKaijage
    @KelvinKaijage ปีที่แล้ว +1

    Balikiwa sana

  • @LovenessLucas-tc9eo
    @LovenessLucas-tc9eo ปีที่แล้ว +2

    Amina baba, ubarikiwe sana.

  • @bahatimaziku-c3k
    @bahatimaziku-c3k ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumixhi mungu akubalik8

  • @bahatimaziku-c3k
    @bahatimaziku-c3k ปีที่แล้ว

    Amina

  • @josephinenziwa-xd3fg
    @josephinenziwa-xd3fg 11 หลายเดือนก่อน

    Amina mchungaji

  • @JosekuoKuo
    @JosekuoKuo ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki kwa tafsiri natokea mkoa wa mara Tanzania

  • @SusanAtavachi
    @SusanAtavachi 10 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @Janeth-db5ou
    @Janeth-db5ou ปีที่แล้ว

    Jamani jaman pastor vyote ni kweli kabisaaa nimepoteza biashara yangu .nimeachika na mume

  • @Joymusakali
    @Joymusakali ปีที่แล้ว

    Amen

  • @WinifridaSuleiman-ly2zb
    @WinifridaSuleiman-ly2zb ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki mtumishi

  • @mwajabuabeid-rj7gf
    @mwajabuabeid-rj7gf ปีที่แล้ว

    mungu akubariki sana mtumishi wa mungu

  • @rosesaid1488
    @rosesaid1488 ปีที่แล้ว

    Amina tunakupata sahihi

  • @GozibathCravery
    @GozibathCravery 8 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe"Mimi naota ndoto nyingi lalakini Sina kumbukumbu nazo ata moja

  • @NgalulaSoso
    @NgalulaSoso ปีที่แล้ว +1

    Mimi Naoto napoteza kitambulisho

  • @Alainmwendelwa-ff4qn
    @Alainmwendelwa-ff4qn ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki baba mchungaji sasa mimi niliota gari inataka kunigonga lakini ikanikosa naomba tafsiri babaang

  • @rosesaid1488
    @rosesaid1488 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa mungu naota pesa nyingi sn mume wangu ananipa ktk bahasha

  • @rosesaid1488
    @rosesaid1488 ปีที่แล้ว

    Ameeen😊

  • @beatricenkingwa8423
    @beatricenkingwa8423 ปีที่แล้ว

    Shalom Dady

  • @angle3600
    @angle3600 ปีที่แล้ว

    Amiin

  • @ZASTAMWE
    @ZASTAMWE 11 หลายเดือนก่อน

    pastor nimeota baba kanipa pesa nyingi mkononi vibunda vya elfu kumi😢

  • @sophiajacksonjacksonmeshac1468
    @sophiajacksonjacksonmeshac1468 ปีที่แล้ว

    Umenifundisha mchungaji nimebarikiwa

  • @HekimaNyamwaga
    @HekimaNyamwaga ปีที่แล้ว

    Mm nimeotaaa kaka yangu anefarikiii halafu ninampendaa nikajikitaa nimeumiaa kwwny ndotoo nimeumiaaa haswaa

  • @rosesaid1488
    @rosesaid1488 ปีที่แล้ว

    💯

  • @martinehussein7261
    @martinehussein7261 ปีที่แล้ว

    Ameen baba

  • @janifahmarahu3194
    @janifahmarahu3194 ปีที่แล้ว

    JE muchungaji Leo nimeota nimeona nikianika mihogo mingi sana ambayo Nike menya na nilikuwa nimeikatakata kama ila kuwandaa kwajili ya kusiaga unga but nikianika maana ilikuwa bado ni mbichi

  • @NgalulaSoso
    @NgalulaSoso ปีที่แล้ว

    Hakika ubari kiwe baba

  • @NgalulaSoso
    @NgalulaSoso ปีที่แล้ว

    Kupoteza kitambulisho

  • @JaneMaiga
    @JaneMaiga 7 หลายเดือนก่อน

    Nimeota nimesafiri na godoro la mtoto wangu nikalipoteza maana yak nini?

  • @rosesaid1488
    @rosesaid1488 ปีที่แล้ว

    Important nipo kweny chumba nimefungiwa lkn ghafla baba yng akanifungulia ule mlango

  • @Nzomundaalice
    @Nzomundaalice 6 หลายเดือนก่อน

    Shikamo mutumishi wa mung niliota navuwa samaki wadodo wadogo na mikono nikamaliza kuavuwa nikaona Niko napamba mulima naenda nyumbani nikiwa na mutoto mugongoni rakini kugeuka nyumba naona ngome zinanifana nikakimbia rakini juamutoto kumugona nikajisikiya nguvu zinaniishia nikajikaza napamba mbio nguo zinaanguka na zile samaki zinaenda zinaanguk

  • @rosesaid1488
    @rosesaid1488 ปีที่แล้ว

    Apoteza san viatu sn

  • @bahatimaziku-c3k
    @bahatimaziku-c3k ปีที่แล้ว

    Amina baba naomba kufahamu hii ndoto unaota mtu wako wakalibu anakuwa chizi hii ndoto inanisumbua

  • @janerosesanya6330
    @janerosesanya6330 11 หลายเดือนก่อน

    Baba mi niliota navaa kiatu mguu wa kulia nikaona mkia wa nyoka nilipoendelea kuvaa akatoa kichwa akanidonoa mguu wa kulia

  • @raydav-2335
    @raydav-2335 ปีที่แล้ว

    Nisaidie nimeota nimemwachisha mwanangu kunyonya

  • @robinaobiko9451
    @robinaobiko9451 ปีที่แล้ว

    Niliota nilikiwa juu ya daraja nikivuka lakini by sudden ikavunjika kuamkia asubuhi my son in law elipata ajali akafa

  • @SarahAbuliOtienoOtieno
    @SarahAbuliOtienoOtieno ปีที่แล้ว

    Je daraja likivunjika na nivuke punde nijikute nasherekea

  • @veronicahnyakerario7997
    @veronicahnyakerario7997 ปีที่แล้ว

    Kuna wakati niliota niko ndani ya maji machafu na watoto na mvua imenyesha saidi matobe mingi cjui inamanisha nni?

  • @JosekuoKuo
    @JosekuoKuo ปีที่แล้ว

    Nimeota kundi la wadudu weusi bahadhi Yao Wana madoa meupe na paka watatu rangi brauni Wana mistari kama tiger Kisha nikawa na kikombe nilipotaka kunywa kiliyomo ndani nikaamka ghafla ilikuwa alfajiri nilipoenda dirishani niliona kati ya paka nilio waota mmoja ananiangalia mara nyingi paka huyo upendelea kukaa hapo Nini maana ya hiyo ndoto

  • @olyvejamesjames9478
    @olyvejamesjames9478 ปีที่แล้ว

    Ukiota na mama mkwe ina maqna gank

  • @olyvejamesjames9478
    @olyvejamesjames9478 ปีที่แล้ว

    Ukiota na mama mkwe hakutaki inaaman nini