Baba ubarikiwe Sana nisamehe kwa usumbufu imenitokea maranyingi nipo piliod natena nimeota Mara kwa Mara mgomba wa ndizi na Tena muembe wenye maembe Mara yakwanza nimetungua nipo na watoto akaja mwanamke akatufukuza yapili yameiva nikatungua nikala nikaota Tena mazao ya bamia yamestawi namaindi izi ndoton Zina maana gan
Bwana yesu asifiweee mtumishi mim janaa niliota ett natembeya kwenye mashamba ya mahindi yaan mahndi yamesitawii kijanii kibichii tenaa sehem ndefuuu kila niyendapo kijan tupuuu
Amen amen amen nimeonta izo zote mungu thank you lord hallelujah hallelujah
🙏 Amen Amen Amen 🙏
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Samahan bwana yesu asifwe nimeta nimevaa gauni nyekundu
Ubarikiwe mtumishi mimi nimeota nimevaa gaun la dak bru lakin chin lina vumbi jeupe nawatu wana nishangaa
Baba ubarikiwe Sana nisamehe kwa usumbufu imenitokea maranyingi nipo piliod natena nimeota Mara kwa Mara mgomba wa ndizi na Tena muembe wenye maembe Mara yakwanza nimetungua nipo na watoto akaja mwanamke akatufukuza yapili yameiva nikatungua nikala nikaota Tena mazao ya bamia yamestawi namaindi izi ndoton Zina maana gan
Amen Amen Amen
Shalom baba, naomba unitafsilie ndoto yangu,nimetoka nimebeba bendela ya taifa nimefika nayo kanisani namkuta mchungaji wangunae akafika amebeba bendera ya taifa.
Mungu akubariki mtumishi hizi ndoto zote nilishaota
Ameen .. niliota nimeviswa kanzu ya zambarau🎉🎉
Amen usiku wa leo nimeota nimepewa dress ya green na cousin yangu nikavaa
Amen 🙏
Asante niliota nilikua nimevalia blue mwili wote
Mimi nimeota nimepewa nguo ya ndani ya kijani na nimevaaa
Amen
Amiiin
AMEN
Bwana yesu asifiweee mtumishi mim janaa niliota ett natembeya kwenye mashamba ya mahindi yaan mahndi yamesitawii kijanii kibichii tenaa sehem ndefuuu kila niyendapo kijan tupuuu
Ameen
Green a colour i see alot in dreams. Thanks pastor. From Tanzania. Plse translate a dream of washing my fiancee shoes.
God is showing you that which is between you will work and you need to put more effort.
God bless you.
Kijani kibichi
Nimeona nimeletewa na mwanamke pafmu 2 rangi ya wardi na kijani
Leo nimeota nimepewa dress ya purple,but chini imeongezewa white kidogo kwa chini ila ilikua fupi kwenye magoti
Tafsiri ya rangi nyeusi
What of maroon na black
Alaff muda huwoo nikakutana na mwanajeshi kavaliya magwanda ya kijeshi et
Pupple zambalau
Amen
Alaff muda huwoo nikakutana na mwanajeshi kavaliya magwanda ya kijeshi et
Amen