NENDA FANYA KAZI KWAYA KUU KKKT KIMARA KATIKA NJIA YA INJILI ALBUM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @isackmrutu5150
    @isackmrutu5150 22 วันที่ผ่านมา

    Nyimbo nzuri sanaa

  • @lydiamgovano5638
    @lydiamgovano5638 9 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani huu wimbo ni mzuri sana aliyeutunga ana kipaji kweli kutoa maneno kwenye biblia kama yalivyo na kutengeneza wimbo, hongera sana sana. Na waimbaji sauti zote zinasikika mumenibariki sana sana. Mungu azidi kuwatumia kwa utukufu wake na awabariki ktk Jina la Yesu

    • @kenedyfrank-wo8jk
      @kenedyfrank-wo8jk 9 หลายเดือนก่อน

      Aya maneno yanapatikana kwenye kitabu Cha nan naomba nisaidie

    • @Upendo.945
      @Upendo.945 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@kenedyfrank-wo8jk Mathayo 20

  • @HellenaLupumbwe-he2mg
    @HellenaLupumbwe-he2mg 2 หลายเดือนก่อน

    Amen watumishi wa Mungu 🙏🙏🙌🔥🔥🙌🙏

  • @maryemmanuel1015
    @maryemmanuel1015 4 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana

  • @MartinChedy
    @MartinChedy 3 หลายเดือนก่อน

    Alieutunga ni mwalimu Timotheo Mwambashi

  • @jonathanmahenge8263
    @jonathanmahenge8263 2 ปีที่แล้ว +8

    This never get old! I am blessed. " Nenda kaifanye kazi,usihesabu muda" .Glory to God

  • @DicksonSilayo
    @DicksonSilayo 4 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu akubariki

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 ปีที่แล้ว +6

    Nyimbo hii niliisikia toka nikiwa mdogo wa shule ya msingi na mpaka sasa nimekuwa mbaba wa familia na watoto wa3 lakini bado masikioni mwangu nikiisikia nahisi kama imerekodiwa jana nawakati ni wimbo unaenda 20yrs.
    Hakika hii kwaya walitunga nyimbo kwa msaada wa roho mtakatifu maana nyimbo zote za KKKT Usharika wa Kimara zote ni za moto mubarikiwe sana

  • @JacksonMtese-gn4so
    @JacksonMtese-gn4so 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wimbo wa nyakati zote

  • @DicksonSilayo
    @DicksonSilayo 4 หลายเดือนก่อน

    Pamoja

  • @KelvinBoniphase-iv4ju
    @KelvinBoniphase-iv4ju หลายเดือนก่อน

    Wow

  • @gracejapheth3476
    @gracejapheth3476 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice, mbarikiwe

  • @ngowibeatrice1701
    @ngowibeatrice1701 ปีที่แล้ว +1

    Napenda kwaya kuu wanaimba vizuri sana mpaka nasikia damu inasisimuka

  • @janenyambura8701
    @janenyambura8701 ปีที่แล้ว +2

    Hakika nyimbo zenu zimetungwa kwa utaalamu wa hali ya juu by Zakaria Mbise nikiwa safari Nairobi

  • @mwambantwa5550
    @mwambantwa5550 3 ปีที่แล้ว +4

    The living message with great vocals from good old days

  • @pilipilimanga2619
    @pilipilimanga2619 2 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri unatukumbusha zamani hizo. Kila sauti unaisikia. Hauchuji

  • @user-qp4jm2ye4v
    @user-qp4jm2ye4v 9 หลายเดือนก่อน

    Muenende mkaifanye kaz ya bwana kwa moyo mungu awafungulie milango msonge mbele zaid🙋🙋🌹♥️

  • @abelkingu4653
    @abelkingu4653 2 ปีที่แล้ว +2

    Songs i love to hear, songs that never die! Glory be to him aliyetutuma kuitenda kazi

  • @neemashao5328
    @neemashao5328 2 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo unanikumbusha kuwa karibu na Mungu..

  • @mrishombise-wd9sp
    @mrishombise-wd9sp 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤😊

  • @happymnuu1045
    @happymnuu1045 ปีที่แล้ว +1

    Hu wiimbo unanionyesha kuwa mungu hanaupendeleo

  • @MaryMlonganile
    @MaryMlonganile 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba wimbo unaoitwa mwamba wangu

  • @user-qp4jm2ye4v
    @user-qp4jm2ye4v 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki kwa ujumbe mzur❤❤❤

  • @petrochengula9480
    @petrochengula9480 8 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri sana. Mbarikiwe

  • @busaraclemence4447
    @busaraclemence4447 9 หลายเดือนก่อน

    2023 bado nausikiliza huu wimbo

  • @jamessungu-h7d
    @jamessungu-h7d ปีที่แล้ว +1

    Wimbo huu unaishi. Siuchoki tangu 2000s

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard187 5 หลายเดือนก่อน

    Wimbo wangu pendwa❤

  • @godfreymdoe2919
    @godfreymdoe2919 6 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo ni mzuri sana hasa original version yake. Doa limetokana na mahubiri ya Askofu na mchungaji. Wimbo unatakiwa ubaki peke yake. Mahubiri yatafutiwe sehemu yake, sio ndani ya huu wimbo. Natumaini mta edit ili wimbo wetu uzidi kubaki mzuri. Asanteni

  • @andyjustin4849
    @andyjustin4849 ปีที่แล้ว

    One of my favourite songs

  • @janethjkavishe589
    @janethjkavishe589 ปีที่แล้ว +1

    Hii kwaya imebarikiwa

  • @JoyceMlay-f4f
    @JoyceMlay-f4f 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu a wabariki

  • @ibrahimabel8360
    @ibrahimabel8360 2 ปีที่แล้ว +1

    Sauti tamu

  • @asajilemartine3397
    @asajilemartine3397 2 ปีที่แล้ว

    Still one of my favourite 😍😍 songs

  • @emelineukashu4962
    @emelineukashu4962 3 ปีที่แล้ว

    God bless you My Shepherd & loving Pastor

  • @sechechally2741
    @sechechally2741 3 ปีที่แล้ว +1

    ❣️❣️❣️

  • @paulinrobinson9618
    @paulinrobinson9618 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @yesseanase4779
    @yesseanase4779 7 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri

  • @elyhillary2000
    @elyhillary2000 4 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏👏👏🌲🫵