NADHANI SINA HAJA YA KWENDA KUTAFUTA KUTIWA MOYO PALE ANGANZA NYIMBO ZA HUYU MTUMISHI WA MUNGU ASANGWILE MWASONGWE ZINATOSHA MUNGU KAZITIA UPAKO WA KUINUA WALIO KATA TAMAAA😢 MUNGU ATUTUNZIE WEEEWEEE
Glory to the king, kazi nzuri yenye kuinua mioyo ya watu, walio kata tamaa, ni kwel kuna wakati tuna tamani kuwa mahal fulani, ila kwa sababu ya wakati tunaona kama Mungu yuko mbali nasi, lakini Mungu yupo Pamoja nasi, tunashukuru Roho wa Mungu aliye achilia ujumbe huu ndani yako ili mioyo yetu ipate nguvu wakati wa magumu, umekuwa wa Baraka sana kaka every time nasikiliza nyimbo zako Barikiwa sana!!❤
NADHANI SINA HAJA YA KWENDA KUTAFUTA KUTIWA MOYO PALE ANGANZA NYIMBO ZA HUYU MTUMISHI WA MUNGU ASANGWILE MWASONGWE ZINATOSHA MUNGU KAZITIA UPAKO WA KUINUA WALIO KATA TAMAAA😢 MUNGU ATUTUNZIE WEEEWEEE
Amen ❤❤
God bless you
One day YES
Naona upcoming great artist in Tanzania
From kenya🇰🇪🇰🇪
Hallelujah
My lovely bro 😲
HUYU MWAMBA NAMUONA MBAAAAAAALIIII SANA YAAN.... HII IMEENDA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
❤
Hongera Sana kaka 🙏🙏🙏🙏
Mungu anakutumia kuzungumza nasi...umebarikiwa sana ..
Wow what a song
It's terrific amazing song ever 🎉🎉🎉❤❤❤
My brother
Thanks am blessed from ths song .God bless you,🙏🙏
AMEN 🙏🏾
Kazi njema sana Kiongozi
Nice Melody na ujumbe uko vizuri
Unajua sana kaka angu! Endelea kutimiza kusudi lake Mungu kwako pamoja na yeye Mwenyewe akiwa pamoja nawe milele†
Hongera brother huu utunzi wako kama wakaka mkubwa Ambwene Mwasongwe...umekua ukitoa nyimbo zinazogusa mioyo namaisha yawatu kama yeye🔥😍🙏
Always ur amazing @asagwile❤😊.. Wimbo mzuriiiii sana umekuja kwa wakat sahihi ubarikiwe sana🙏🙇... Na Mungu asikuache kama wimbo wako❤❤🙇🙏
Usiniache pekeangu MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU
Wooow lovely ❤❤❤
Amen amen kaka
Good work
Glory to the king, kazi nzuri yenye kuinua mioyo ya watu, walio kata tamaa, ni kwel kuna wakati tuna tamani kuwa mahal fulani, ila kwa sababu ya wakati tunaona kama Mungu yuko mbali nasi, lakini Mungu yupo Pamoja nasi, tunashukuru Roho wa Mungu aliye achilia ujumbe huu ndani yako ili mioyo yetu ipate nguvu wakati wa magumu, umekuwa wa Baraka sana kaka every time nasikiliza nyimbo zako Barikiwa sana!!❤
My brother. Your Blessed Brother ❣️
❤❤❤
Great job 👍👍
Strong tower Jesus is in control
Nice song, very powerful
Kaka kaka 🔥
God bless your talent, it's so untouchable song and blessed
Kutoka +257 🇧🇮burundi nabarikiwa
So inspirational
From kenya🇰🇪🇰🇪
It's terrific amazing song ever 🎉🎉🎉❤❤❤