Dk Riziki interview

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 227

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 2 ปีที่แล้ว +15

    Allah akbar na stop siwez imaliza Nuogopen Allah jaman Allah atuhifadhi yarab waja wake😭😭😭💔🤲Innalillah wainnailaih rajiun 🥺

    • @sjfamily8121
      @sjfamily8121 2 ปีที่แล้ว

      Ebu nijibu swali hili kama kweli waijua dini,, alie umba uchawi ni nani na nikwa nn uchawi uliumbwa?

  • @viothehairstlylist9844
    @viothehairstlylist9844 2 ปีที่แล้ว +16

    IN THE MIGHTY NAME OF JESUS CHRIST. NO WEAPON FORMED AGAINST MY LIFE SHALL PROSPER IN JESUS MIGHTY NAME. ANY SPIRIT OF WITCHCRAFT OR DEMONIC ATTACK CAN REACH MY LIFE UNDER JEHOCA'S SHADOW. NO SPIRIT OF DARKNESS. NEITHER EVIL SPEAKING NOR THOUGHTS CAN PENETRATE THE BLOOD OF JESUS. IM HIS WINGS WE ARE FULLY COVERED ANF STRONG. YOU FAMAMILIAR SPIRIT ATTACKING MY LIFE BE BROKE IN THE MIGHTY NAME OF JESUS CHRIST.

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 2 ปีที่แล้ว +9

    Jamani mkiandika jina la MUNGU Yaani Allah andikeni A kwa herufi kubwa yaani Allah sio allah.

    • @tatumabula6546
      @tatumabula6546 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli

    • @HabimanaAbdaul
      @HabimanaAbdaul ปีที่แล้ว

      @@tatumabula6546 l9l99ll9llllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll9llllllllllllllllllllllllllllll9llllllllllllllll

    • @HabimanaAbdaul
      @HabimanaAbdaul ปีที่แล้ว

      @@tatumabula6546 l9ll9llllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll09lllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll9lllllllllll0l9l9llllll9llllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll9llllll9llllllll9lll9lllllllllllllllllll

    • @HabimanaAbdaul
      @HabimanaAbdaul ปีที่แล้ว

      @@tatumabula6546 l9lllllllllolllllllllllllllllllllllllllllllll9llllllllllll9lllllll9llllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll

    • @HabimanaAbdaul
      @HabimanaAbdaul ปีที่แล้ว

      L9lllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll9lllllll

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 2 ปีที่แล้ว +7

    Muogopeni allah subhanallah allah atupe mwisho mwema

    • @sjfamily8121
      @sjfamily8121 2 ปีที่แล้ว

      Alo umba uchawi ninani na kwa nn aliumba uchawi?

    • @zamilrakmil7100
      @zamilrakmil7100 2 ปีที่แล้ว

      Allahumma ameen

  • @mercyelahuya9522
    @mercyelahuya9522 2 ปีที่แล้ว +2

    Shetani mwongo kweli. Yaani akae ndani yako,akupe masharti,uwe mateka wake. Haa, Yesu mwana WA Mungu, aturehemu.

  • @jazzymkalitv5535
    @jazzymkalitv5535 2 ปีที่แล้ว +7

    Dah! Amefanana sana na msanii mchekeshaji na muigizaji wa Marekani anayeitwa Eddie Murphy. Ama kweli Duniani wawili wawili.

    • @penny4310
      @penny4310 2 ปีที่แล้ว

      Kweli ninemwangalia kana ambaye namfahu ... kumbe!

    • @fora2009
      @fora2009 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

  • @lydianasambuwanjala8849
    @lydianasambuwanjala8849 2 ปีที่แล้ว +9

    I believe in JESUS name Amen

  • @sophiakunache4982
    @sophiakunache4982 2 ปีที่แล้ว +9

    Mungu tuonyeshe njia

  • @shilakodeni2853
    @shilakodeni2853 ปีที่แล้ว

    Doctor nimekukubali

  • @nicholausmuhebera91
    @nicholausmuhebera91 2 ปีที่แล้ว +11

    In the name of Jesus yote yanawezekana

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah akurudishe ulivokuwa akuepushe
    Na hayo majin

  • @bintialuviplaceofhope2404
    @bintialuviplaceofhope2404 2 ปีที่แล้ว +1

    Waaa,the blood of Jesus

  • @oj6595
    @oj6595 2 ปีที่แล้ว +9

    Ata nyinyi mnao sema yesu pia ni shirki ni binadamu kama sisi Mwenyezi MUNGU ndio sulu hisho ambae ni ALLAH

  • @kabebemazambi194
    @kabebemazambi194 2 ปีที่แล้ว

    Aaaah namsikiaga kwa denise mpagaze na ananias edgar,

  • @dianewilondja5349
    @dianewilondja5349 2 ปีที่แล้ว +7

    Yesu kristo ni bwana wa mabwana nani bwana wamajeshi. Na sio uchawi yenye unatumainia, kwakweli Mungu akubadilishe na akusaidie sana.

    • @nadnash7681
      @nadnash7681 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna WA kukulinda ispokuwa mwenyezimungu hakuna WA kukulinda ispokuwa mwenyezimungu ushirikina ni Haram Kwa mwenye kufanya na mwenye kufanyiwa

    • @taharamohd2515
      @taharamohd2515 2 ปีที่แล้ว +1

      @@nadnash7681 siku kitu kizito kikikupata ndo utajua mganga pia anaumwa na mungu mungu sio mjinga kuwaumba Hawa Ila anachokataa Ni kile kuwazuru binadamu wenzio unachotakiwa ulipewa uganga Saidia wenzio

    • @sophiakunache4982
      @sophiakunache4982 2 ปีที่แล้ว +1

      Duuu Mungu wafumbue macho maana giza limeyafunika macho,maisha ya wengi matumaini yao ni kwa waganga tu

  • @josephonkendi1906
    @josephonkendi1906 8 หลายเดือนก่อน

    Are you able to-do treatment kwa mto alieye mbali

  • @claudinebatamuriza4936
    @claudinebatamuriza4936 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwa njina Ra Yesu byote bitashindwa kwa njina ra Yesu

  • @Mtumishilucky3935
    @Mtumishilucky3935 ปีที่แล้ว

    The word of God is very clear, the you're his own image,and you must worship and serve him alone but not idol gods like your kini....#Repent and let me known were you tithe .....

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 ปีที่แล้ว +4

    YESU YUKO JUU YA yote ulitokewa na shetani hakuna jini wa heli njoooooo kwa YESU.yote yatakwisha.ulikwenda. Kanisa gani? Yesu hashidwi .

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Una amin au unaleta mbwembwe tu mitandaoni

    • @wilfredlukowo9476
      @wilfredlukowo9476 2 ปีที่แล้ว

      @@Mpakauseme namuamini Yesu kristo mwenyewe tu.usieamin Yesu kristo ndio unaleta mbwembwe.

    • @khalidyassin8228
      @khalidyassin8228 2 ปีที่แล้ว

      Azungu wameleta vyao vyakwetu twaviita ushetani

    • @wilfredlukowo9476
      @wilfredlukowo9476 2 ปีที่แล้ว

      @@khalidyassin8228 mbona Husemi ushetani walioleta waarabu ? Au unachuki na wazungu?

    • @khalidyassin8228
      @khalidyassin8228 2 ปีที่แล้ว

      @@wilfredlukowo9476 wazungu ni watu wote weupe haijalishi muarabu, muitali au mjapani

  • @aisha5775
    @aisha5775 7 หลายเดือนก่อน

    Jaman mimi niko warabuni nimetaperiwa pesa naombeni msaada plz

  • @oj6595
    @oj6595 2 ปีที่แล้ว +1

    Tu mu ogope ALLAH yet ndo mjuzi wa kIla kitu vyote ivyo wewe na waganga wenzako na wachawi hio ni shirki mna fanya mu amini ALLAH na kIla jambo Lita kua jepesi kwa maisha yako

  • @deborahrehema5819
    @deborahrehema5819 2 ปีที่แล้ว +16

    Huzuni sana kwao kabisa, hakuna uchawi wenye faida , Yesu Kristo pekee kuna nguvu ndani la Yesu Kristo
    Full stop ,Maandiko inakataa kuhusu hizi vitu vya witchcraft something else

    • @taharamohd2515
      @taharamohd2515 2 ปีที่แล้ว +4

      Ngoja siku wakikupa kitu kizito ndo utajua ujui

    • @beller9304
      @beller9304 2 ปีที่แล้ว

      @@taharamohd2515 Mimi nataka

    • @sjfamily8121
      @sjfamily8121 2 ปีที่แล้ว +2

      Wingi wenu hamja soma dini mwasikia tu kwa watu kusu dini someni dini,, mbona ukiumwa wenda hospital na yesu wako yupo kwa nn ukimbilie hospital? Izo tiba zote unazo fata uko hospital zatokana na hii miti so soma vizuri sio kila kitu na ushirikina

    • @taharamohd2515
      @taharamohd2515 2 ปีที่แล้ว

      @@sjfamily8121 waongo Hao ndo wakwanza kutwa Kwa waganga

    • @sjfamily8121
      @sjfamily8121 2 ปีที่แล้ว

      @@taharamohd2515 wingi wetu ni watu wa kutoa hukmu tu sasa mtu hajui kusiana na uchawi mtu kwakua yuko na bando ywahuku tu na labda hana ata juzu moja kichwani

  • @CHATEAUDEDRAMESFILMS
    @CHATEAUDEDRAMESFILMS 2 ปีที่แล้ว

    Sasa tu uliziye naye kama sisi wa kristo kama kweli wanatuogopa. From DRC congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 kalemie

    • @zehrahaji1566
      @zehrahaji1566 2 ปีที่แล้ว +1

      Ujamuona mfalme zumaridi mchawi tena anafanyia huko Ktk nyumba ya ibada

    • @CHATEAUDEDRAMESFILMS
      @CHATEAUDEDRAMESFILMS 2 ปีที่แล้ว

      Ni hatari kweli

    • @fatumakhamisi1002
      @fatumakhamisi1002 2 ปีที่แล้ว

      Hapo Kalemie wapo wakali kweliiiii kweliiiii wanajua balaa

  • @frankinspired6486
    @frankinspired6486 ปีที่แล้ว

    Biblia Deuteronomy :18
    10 Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri, 11 wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.
    12 Kwa maana mtu atendaye hayo ni chukizo kwa Bwana; kisha ni kwa sababu ya hayo Bwana, Mungu wako, anawafukuza mbele yako.

  • @lugambagentil3414
    @lugambagentil3414 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbengo TV tuna shukuru kwa taarifa zako ,huyu jamaa anaishi mkoa gani na wilaya?pili naomba namba zenu nyinyi watangazaji Wa Mbengo TV

  • @pkmumo5538
    @pkmumo5538 2 ปีที่แล้ว +12

    Hakuna jini mzuri.

  • @AgustinoMollel-r2c
    @AgustinoMollel-r2c 8 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sna uduma nko Arusha napataje no yako

  • @georgewamwea2028
    @georgewamwea2028 2 ปีที่แล้ว +2

    Kinywa wazi,but uganga uko ata enzi ya zamani lakini kuteuliwa na mungu nakubali hayo

    • @hellendiana625
      @hellendiana625 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna uganga wa kuteuliwa na Mungu, uganga ni dhambi naunatoka kwa shetani

  • @EMMAHMOSETI
    @EMMAHMOSETI 2 ปีที่แล้ว

    Spirit wife from marine kingdom,you need complete Deliverance

  • @vivianmwenda9729
    @vivianmwenda9729 2 ปีที่แล้ว

    Naweza kupata no. Yako vip doctor riziki? Plz

  • @htx1873
    @htx1873 2 ปีที่แล้ว +7

    Unamuona kabisa ni mpigaji na muongo Mnafki sana . Mwizi wa kisaikolojia , shwaini

    • @Minpresident5684
      @Minpresident5684 2 ปีที่แล้ว

      Why are you bitter?

    • @htx1873
      @htx1873 2 ปีที่แล้ว +2

      @@Minpresident5684 because I hate lies and witchcraft, all they do is make people suffer with their dark and sinful beliefs. Mungu atamchoma vibaya Huyu kenge.

  • @sitasahaudeodatus4400
    @sitasahaudeodatus4400 2 ปีที่แล้ว

    Docter nimekukubali sana mimi ninasumbuliwa sana

    • @hellendiana625
      @hellendiana625 2 ปีที่แล้ว

      Njoo kwa Yesu Christo ni mambo yote

  • @glorychristopher7283
    @glorychristopher7283 2 ปีที่แล้ว +1

    Si muamin mganga ukweii ndiyo hvyo ila uyu kaka yupo kitalaam zaid

  • @JofreyDamson-nm6ec
    @JofreyDamson-nm6ec 7 หลายเดือนก่อน

    Bora umeongea ukweli mungu atakusamehe yote

  • @mussahamisi1498
    @mussahamisi1498 2 ปีที่แล้ว +1

    Mchawi nmchawi tu ila chenu kimotoni kwake allah ndomarejeo yetu

  • @sjfamily8121
    @sjfamily8121 2 ปีที่แล้ว +3

    Nilicho kudua wingi wenu hamja soma dini mwakurupa tu mtu ukishajua kusoma ayazako mbili tatu bac wajiona msomi kweli,,, huyu ni mganga kwa lugah nyengine ni doctor kama wale munao wakimbilia mahospitalini sema hawa wanatumia miti kwa asili kama ilivyo zile dawa munazo pewa hospital zimetiwa na sumu but wenyewe ndio mwaona ndio nzuri

    • @mirriamnalupya4684
      @mirriamnalupya4684 2 ปีที่แล้ว

      Kweli mfano mzur wasabato wanaamini katika miti shamba iyo ndio asili ya kweli

    • @sjfamily8121
      @sjfamily8121 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mirriamnalupya4684 shida ni kwamba watu wingi hawajui hii miti ipo duniani kwa nn, but ukweli ni kua hii miti allah ameiyumba kwa ajili yetu but sasaivi ukitumia dawa za miti kuna wajinga wanasema ni ushirikina, kusoma ni kitu muimu sana

  • @gambonmgaya1286
    @gambonmgaya1286 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmeshajua ukristo ndio dini ya kweli kwa mujibu wa Maelezo haya, watu wote njooni kwa Yesu huyo ndio mwokozi wetu pekee dunia nzima hakuna kama YEYE ,NGUVU, HESHIMA, UTAJIRI ,BARAKA,NA UTUKUFU WA MILELE VINA YEYE YESU KRISTO ALIYEHAI.

  • @selemanshechonge5456
    @selemanshechonge5456 2 ปีที่แล้ว +3

    Wachawi wabaya sana

  • @bintialuviplaceofhope2404
    @bintialuviplaceofhope2404 2 ปีที่แล้ว

    We some family background

  • @NajimaNichole-oz3zv
    @NajimaNichole-oz3zv 11 หลายเดือนก่อน

    Doctar ninaomba msaada

  • @husseinismail5972
    @husseinismail5972 11 หลายเดือนก่อน

    Akuna utafauti wa mganga na mshirikina yote Wana tibu na Wana aribu

  • @petrovskaminks1514
    @petrovskaminks1514 ปีที่แล้ว

    Wueh😁 hii ni kali😁

  • @justangugi2216
    @justangugi2216 2 ปีที่แล้ว +2

    Jesus is Lord

  • @SophieSpira
    @SophieSpira 2 ปีที่แล้ว

    Nimeota mikono yangu ikinuka vitunguu... Lakini kuamka mikono yangu ilikuwa sawa kabisa... Hii ina maana gani.

  • @alexntahondi9048
    @alexntahondi9048 2 ปีที่แล้ว

    Watching omg from zambia mp

  • @haidarsalum9228
    @haidarsalum9228 2 ปีที่แล้ว +1

    Juu ya kila mwenye elimu kuna mwenye elimu zaid..

  • @marymaroa7311
    @marymaroa7311 2 ปีที่แล้ว

    Mimi naomba tu namba ya simu asante

  • @هنودهاليامي
    @هنودهاليامي 2 ปีที่แล้ว

    Namba ya simu

  • @jumahamis-7075
    @jumahamis-7075 ปีที่แล้ว

    Piga kazi kaka

  • @JomaxBurundi
    @JomaxBurundi 2 ปีที่แล้ว

    Mungu gani uyo unae mtaja?.na iweje,wachawi,majini,na shetani wapigena?

  • @theanalyst8257
    @theanalyst8257 ปีที่แล้ว

    Alkhamis ni siku ya shari

  • @johnkocha4079
    @johnkocha4079 ปีที่แล้ว

    Namba ya simu tafadhali

  • @scarzz3rondo66
    @scarzz3rondo66 2 ปีที่แล้ว

    Subhanallah h

  • @floramarinyo3517
    @floramarinyo3517 2 ปีที่แล้ว

    Wakosefu ww Mungu, Mungu pekee ndo anaadhibu we baba ww

  • @saidchikira2294
    @saidchikira2294 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani da!

  • @janihamed4646
    @janihamed4646 2 ปีที่แล้ว

    Vip kaka mi Niko Kenya unaweza kunisaidiaje?

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 ปีที่แล้ว +1

    Pumbavu shetani

  • @jumahamis-7075
    @jumahamis-7075 ปีที่แล้ว

    Wasio jielewa achananao

  • @ovicsmnene4811
    @ovicsmnene4811 ปีที่แล้ว +1

    Number ya huyu mganga?

  • @jackmoonga1757
    @jackmoonga1757 ปีที่แล้ว

    Yaya naomba number yako doctor

  • @IbrahimRamadhan-u4y
    @IbrahimRamadhan-u4y 8 หลายเดือนก่อน

    Number ya sim plz unapatikana wapi doct

  • @Mtumishilucky3935
    @Mtumishilucky3935 ปีที่แล้ว

    Je, wamwamini nani riziki!mungu au miungu?

  • @user-hn3cx2db1n
    @user-hn3cx2db1n 8 หลายเดือนก่อน

    Diktat riziki naomba namba za sim yako

  • @Yb_tariq
    @Yb_tariq 2 ปีที่แล้ว

    No pls

  • @montteyfloki3953
    @montteyfloki3953 2 ปีที่แล้ว

    Huyu nae mchawi atupishe hapa mxiewwwww

  • @jumahamis-7075
    @jumahamis-7075 ปีที่แล้ว

    Wasio jielewa

  • @trizahawinja9481
    @trizahawinja9481 2 ปีที่แล้ว +1

    Ungepata ile madhabau yenye nguvu ungetolewa huo jini, madhabau hazifanani na si kila mchungaji ana uwezo wa kupambana na jini

  • @sanoelie5292
    @sanoelie5292 ปีที่แล้ว

    Naombanambazako

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 ปีที่แล้ว

    Hivi kur aan mnaijua au mnatamka tu kirahisi?

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 2 ปีที่แล้ว +2

    We ni mtoto wa mizengo pinda?

  • @hadijjahnajemba470
    @hadijjahnajemba470 8 หลายเดือนก่อน

    Ndashaka kuvugana nawe

  • @rehemachaula8621
    @rehemachaula8621 2 ปีที่แล้ว +1

    Tapeli huyo jamani anataka wateja

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 2 ปีที่แล้ว

      Sio tapeli huyo anaweza kukutengenezea biashara yako na ikakaa sawa

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani

  • @sulehyamdemu9301
    @sulehyamdemu9301 2 ปีที่แล้ว

    Namba zake nitazipataje

  • @bakaryabdul9843
    @bakaryabdul9843 2 ปีที่แล้ว

    Njaa mbaya sana haha🙌🏾

  • @ashazuber6548
    @ashazuber6548 2 ปีที่แล้ว

    Sio kwa makorokoro hayo mweee

  • @Boaz22
    @Boaz22 2 ปีที่แล้ว

    Nani kamsikia mganga akimshukuru Mungu??😂😂😂😂😂

  • @swafniesaid2331
    @swafniesaid2331 2 ปีที่แล้ว

    Nataka no yako yasimu

  • @haidarsalum9228
    @haidarsalum9228 2 ปีที่แล้ว

    Hapna Alhamis ni siku amali za mwanaadam huhudhurishwa kwa Allah..

  • @panduafricangiant4902
    @panduafricangiant4902 2 ปีที่แล้ว

    Swali langu ni nje ya box kidogo je uyo jini amemruhusu uyu mganga kuhojiana na vyomo vya habar??? Na je gape lililopo kati ya uchawi na ucha Mungu liko wapi maana nmemnukuu kuwa katika njozi aliandikwa maneno ya kuruani kifuani mwake na bado jini akampiga mkwara asiende msikitini au kanisani hii imekaaje mi niko njia panda bado naomba nipate majibu

  • @123kerim23
    @123kerim23 2 ปีที่แล้ว

    Nasikia jin subian huyo jin wake anamruhus kwenda msikitin kuswali maan hap awali alimzingua baada ya kutaka kumtoa..

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 2 ปีที่แล้ว +1

    To be continued

  • @siliviamaneno2905
    @siliviamaneno2905 2 ปีที่แล้ว

    Mwaiposa mutume akiyatoa kwajina ra yesu viaanza kumutukaana sasa siayo

  • @haidarsalum9228
    @haidarsalum9228 2 ปีที่แล้ว

    Sio maandishi ya Quran ni maandishi ya kiarabu.. usifananishe maandishi ya vtabu vtukufu na ushirikina..

  • @nadnash7681
    @nadnash7681 2 ปีที่แล้ว +2

    Ushirikina aufai ni dhambi kubwa na ka ahidi iblis Kwa mwenyezimungu sitoingiya motoni.pekeyangu.ntaingiya.na.jamii.mwenyezimungu.akamwambiya siyo.wote.watakao.kufata.wengine.watakuwa na.mimi.kwa.hifo.fateni.mungu.msifate shetani

    • @sjfamily8121
      @sjfamily8121 2 ปีที่แล้ว +1

      Jamani mimi natafuta elimu kwa mulio soma dini, swali langu ni moja tu, alo umba uchawi ninani na kwa nn aliumba uchawi

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 2 ปีที่แล้ว

      @@sjfamily8121 Mm nasoma coment bado jibu silion hahahahahahahahahaha

    • @sjfamily8121
      @sjfamily8121 2 ปีที่แล้ว

      @@ashazuber6548 tatizo hawana elimu yoyote wana ropoka tu yani ndio mana Africa wingi ni maskini wingi hatuna elimu tena asa kusiyana na hizi tiba halisi,,, sijui kwa nn wasijiulize kwa nn wanapo umwa wanakimbilia hospital, kila maradhi yanapoa na sababu uwezi niambia eti waumwa na figo alafu eti waenua mikono juu waomba mungu upone utaomba paka utakufuru mungu mwisho mana utasema allah asikizi dua zako kila dawa allah anaiyeka shifaa ndani yake kisha ndio inakua sababu ya wewe kupona, tumieni tiba asili watu waache kupandikizwa ujinga

    • @yakobolusasu1821
      @yakobolusasu1821 2 ปีที่แล้ว

      @@sjfamily8121 mbona wauliza maswali yasiyo mashiko, MUNGU alimuuba lusifa na akamkabizi kitengo kizuri lakini lusifa hakulizika aliaamua kujiinua,yaani mfano ni kama ww utengeneze kitu harafu ajiinue atake kuwa kama ww ndiyo umfukuze na MUNGU hakumnyang'anya nguvu alimwacha nazo kwahiyo hizo nguvu ndizo anazotumia kuwaumiza watu na kuwadanganya watu

    • @sjfamily8121
      @sjfamily8121 2 ปีที่แล้ว

      @@yakobolusasu1821 jibu swali nililo uliza sijauliza lusifa aliumbwa na nani! Nimeuliza ninani aliumba uchawi na nikwa nini uchawi uliumbwa hilo ndio swali na bado nasubiri jibu kama hujui ama huna elimu yakutosha pita na kule bro

  • @muragizinourah1042
    @muragizinourah1042 2 ปีที่แล้ว

    Mbona Allah huponya wajawake law maombi bila mazingaombwe na majini?vipi wewe kulindwa na jini?Jini anawezaje kukulinda?mwambie Jini akulinde kifo tuone!!innalillahi wainna ilayhi rajiuun..Allahu akbaru

  • @lugambagentil3414
    @lugambagentil3414 2 ปีที่แล้ว

    Naomba tafadhali niziomba

  • @owagatonny6558
    @owagatonny6558 2 ปีที่แล้ว

    Huo Uganga si kitu na kama ni kitu basi anidhuru mimi , ila mimi nasema uganga huo ni wazimu tu na majini yanayomtumikisha huyu mganga ni Wapumbavu na Wapuuzi si kitu hao ni Mbwa tu

  • @piusjaphet2760
    @piusjaphet2760 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako na upo mka gani

    • @piusjaphet2760
      @piusjaphet2760 2 ปีที่แล้ว

      Naomba namba yako na upo mkoa gani

  • @innocentndikumana216
    @innocentndikumana216 2 ปีที่แล้ว

    Uyo cizi tuu.tapeli

  • @degaragewadoriojapan8968
    @degaragewadoriojapan8968 2 ปีที่แล้ว

    Mzee iko tayari kabisa 🙏🏼🙏🏼🙏🏼👍👍👍

  • @davidpaschal778
    @davidpaschal778 2 ปีที่แล้ว

    Vp wachaw mna angalia apa

  • @Nurudinma2024
    @Nurudinma2024 2 ปีที่แล้ว

    🤩🤩🤩🤩

  • @sungwedjuma1976
    @sungwedjuma1976 หลายเดือนก่อน

    Jambo ndugu naitaji number ya muganga

  • @pericykiko6198
    @pericykiko6198 2 ปีที่แล้ว +2

    Kama huna Yesu huna ulinzi hivyo vitu vinawaingia wasio na ulinzi wa ki Mungu na hapo ni mganga ila pia ni wakala wa freemason yaani huyo ni zaidi ya mchawi na mganga Yesu peke yake ndio kiboko yao

  • @josephsongo2029
    @josephsongo2029 2 ปีที่แล้ว

    Uko sehemu gan hapo mungu akpe neema

  • @Angependo9141
    @Angependo9141 2 ปีที่แล้ว

    Uni ache nimekosa namba yako

  • @mohdabrahman9416
    @mohdabrahman9416 2 ปีที่แล้ว

    Unapatikana wapi

  • @owagatonny6558
    @owagatonny6558 2 ปีที่แล้ว

    Uganga ni Upuuzi , Uganga na uchawi na ushirikina ni kitu kimoja vyote hivyo vipo chini ya Utawala Mbaya wa Shetani Ibiliccc

  • @anaanaelle6500
    @anaanaelle6500 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu-Christo anaweza yote, yeye ndiye simba ya kabila la Yuda