Mostly Taarab comes from the East African coast, Tanzania & Kenya; Dar es salaam, Zanzibar and Mombasa is where the main audience is located but Taarab is growing and is enjoyed even in Tanga.
Merci beaucoup pour cette belle musique. Je suis du Mali mais je suis contente d'entendre cette musique de l'Est. Restons unis, tous, enfants d'Afrique.Asante sana kwa ajili ya muziki huu mzuri. Mimi ni kutoka Mali lakini nina furaha kusikia muziki wa Mashariki. Kubaki umoja, kila watoto wa Afrika. Thank you very much for this beautiful music. I am from Mali but I'm glad to hear the music of the East. Remain united, all children of Africa.(Thanks Google trad)
ucheshi na tabasamu kanijalia manani......nmepewa lugha tamu nyoka hutoka pangoni........kwake upate hupati nafasi mimi ndiye wake pumzi......." Naipenda tuu....nafeel kwa mishipa...mistari ya kweli""
Who’s here 2024 ❤
Who is still listening to this hit song in 2019. Kazi safi aisee
Am here
Mimi
👆
An Indian bro🥰
Good
I am Kenya Luhyia i cant do without taarab...taarab zinafunza...kimafumbo
This type of songs are from the coast of Tanzania and mainly the island of Zanzibar. One of the most beautiful beaches I have ever seen
I'm Kenyan Luo...Taarab is the best Music out of East Africa and it gave birth to Bongo Flavor.
Better than juma bhalo 😁
2021 and still very fresh! Nani ako nami? Sitoki sibandukiiii.
Huu wimbo naupendag2020 sikuwai kuchok wangap tunatazam had leo
men from mombasa i never used to listen to taarab but now nostalgia kicking big time love and miss mombasa and taarab swahili hoyeeeeeeeeeee
Mostly Taarab comes from the East African coast, Tanzania & Kenya; Dar es salaam, Zanzibar and Mombasa is where the main audience is located but Taarab is growing and is enjoyed even in Tanga.
Merci beaucoup pour cette belle musique. Je suis du Mali mais je suis contente d'entendre cette musique de l'Est. Restons unis, tous, enfants d'Afrique.Asante sana kwa ajili ya muziki huu mzuri. Mimi ni kutoka Mali lakini nina furaha kusikia muziki wa Mashariki. Kubaki umoja, kila watoto wa Afrika. Thank you very much for this beautiful music. I am from Mali but I'm glad to hear the music of the East. Remain united, all children of Africa.(Thanks Google trad)
Natou Thiam merci pour le music
@@alhaqdaawatv5391 Mali mnaongea kiswahili?
2019...poleni lakni nipo hapa hapa
Vituko vya maksudi sibure leo umerogwa, ahsante dada zetu kwani munaamuwa kuzungumza kikwetu sannnnnnnnnnnnnnnnna
I AM SOMALIa man I love taarab the best music EAST AFRICA :) :)
Somali meel walbo wa jogaan
True
2021,taarab ndo kiboko chao😅😅😅kaja kwangu kampokea.....
I'm beginning to love taarab... I'm sure I'm not late..
Tunao skiliza ladha ya taarabu 2020 twende sawa apa like
27/05/2024 till now we listern to music I remember nilikuwa mdogo
Utamaliza mizizi 😅😅
The song is never aging....Who else is still listening to it in 2016?
my song 4ever
mashauzi
Gibbs Jakatiga I am also still watching I.love the swahili song OMG remind me mombasa malindi paradise
I am listening up to now
🇩🇪🇰🇪👍
Taarab nzuri sanaaa kuliko zote kama upo hapa mwaka 2021 gonga likee
Watamaliza mizizi waganga na wauguzi😄😄😄
Utamaliza mizizi waganga Na waganguzi......upooooo kwake hupati nafasi Mimi ndio yake pumzi
Happy new year 2020 niko naburudika najisong taaamu lisilochuja
Kbx🙌👍
this song never get old nani bado anskiza from somali mogadisho 🇸🇴 sielewe vzuri lkni nskiza tu tamu sana😄😁 21-3-2020
Dah my lovely brother
Sis🥰😍
😂🤣😂
@@cabylake2320 au sio
Taarab inaflow kama maji baharini
Hata ukinilaumu wako nishamchukua..2019mpo??
Chezea afua wew
Well .. now you know. This kind of music is about the words. There's a heavy message in the words. They don't even have to dance.
Hide your business
Uko vizuri sana
Miss old days when this songs played in a car family 😭😭💔💔💕💕
2020 and quarantine has brought me here.
Me too😂,2020🇰🇪
@@evianmoge5476 ,sdds,ssss.d.ssd,s.s,s.ddddsdssdd.ssdsßddd%%%d,DDD.DDD.SD.xsd.s.sss%%&&d,SDS,sdßdsssßs sdddsxssßssddßdddddds
Come and translate for me.
@@evianmoge5476 apm111⁰⁰⁰p
Bibi yangu huyu bi afua mke wa mzee madaki mashallah
2022 still rocking TARAB forever, swahili forever # Wenye wivu wajinyonge
Thank you for the precision, but I am not from East Africa so I don't understand the language. I can only go by the melody and the dancing.
I love the poetry in Taarab! Kuna mafumbo ambayo ni kazi kwa msikilizaji kuchambua huku akifurahia midundo!
Lol! Badala ya soda baridi. .....like it
This song is the most flowing and ageless taarab I have listened and danced to.
abdou
Said k979u.9 nhyy5ýhh7h 0b8ut7
abdou
Madam Afua Suleiman at her best ...!!
A well composed son with great melodies and message ...
**
Mkoo
Respect to her!
Nikampa vitu adimu, kwako hajajiona, amri akasalimu - lol - I love the lyrics and the double meanings
Reminds my tour of duty in Lamu's kizingitini,faza kiunga lamu Island, mkowe,jet,hindi n mpeketoni around 2010 - 2013
Watu wanatoka mbali ona sidi wa huba alikua kama mtoto mdogo🥰🥰
Eti andazi wanywea togwa Nakumbuka togwa ya lindi kwenye unyago ni mda mrefu jamani. i can't wait to go back this year.
Afua suleiman hapa ulinimaliza kabisa mamii
Zenjibar!! very beautiful voices and beautiful people, beautiful island the list is endless... love you Zenjibar from Mombasa Kenya
Vituko vya makusudi..ushamba umekusidi...I love this video...............
Who's watching it in 2017???
Farida Ajonye me
me
me too
Farida Ajonye mimi
Farida Ajonye me hapa hadija yusuff alikuwa na mwili mzuri kweli
Bi Afua Suleiman ulijua kumtikisa Khadija Kopa mpk aliamua kukujibu kwenye nyimbo yake ya Nalijua jiji
dhisxx is the best melody i ever listen tuu
When I visited DSM in 2011 and was introduced to Taarab, it's been such fun listening to this genre of music drifting.
Sawa kabisa ATAJUA JIJI YANI MPE EE"
Oo utalia mwenzangu jiji utalijua nampikia maandazi na chain ya tangawizi we mwenzangu.
2021 who else agreeing this was and is favourite taarab
💯💯💯💯💯
2018 bado ya sikika .uko juu.
Faith Furahllll
Faith Furaha I'm Ugandan Ilouv taraab
"......Penzi ulimdhulumu visa ukamfanyia,,, chachandu vitamu tamu bwana hukumpatia..... 💃🏿💃🏿💃🏿🕺🏿
ucheshi na tanabasamu kanijaalia manani...
nimepewa lugha tamu nyoka hutoka pangoni...
"naipenda tu yani mistari ya kikweli"
Wimbo nzuri mno... Wanifanya niwaze mbali. Pia nilisalimu amri kwa wakati wangu.
Niwi mbo
Gani
Pole Kaka
I love this song Allah awajaliye kheri na awastiri hata kesho akhera ❤️❤️❤️
Shukran kwa Watunzi na Waimbaji,Mziki Mtamu, Ladha Hatuongezi😎💯👍🥰
Hahaaa mwenzangu huna ujuzi kaja kwangu nimemtulizaa haaaaaaaa upo
Mariam Sungi hahàaaaaa
kwako kapotea njia hehe ... November 2019 still as fresh as they come. This is real music
douglas orangi pambe tuuu
I am somalia I love taarab the best song East Africa
Khadija kopa alijibu hii
Aliwaambia nishalijua jiji nendeni mwananyamala pale kuna kituo na hamuishi kuhanana
kapenda yangu nidhamu,na utulivu nyumbani,pamoja na ukarimu,wa ndugu na majirani
i love thiskind of music japo kiswahili yanichanganya kidogo jaluo ana shida tu ya swahili
Hahahaaa utalijua jiji👌
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
nyakwar Ageng'o sirkal yore jifunze pole pole utajua
Abiro chwadi mateke yawa😅😅😅😅😅😅
Jaluo ang'ooo....
Am here after Ken wa kuraya clip on citizen Tv
WANAWAKE WAPWANI JAMANI ..MWAPENDA MAPEPE JUU YA WANAUME WASIO NA UJUZI WAMEPENZI..MWAPIGANAPO KWA MANENO SI WAUME TUNAWALALA NYOTE..TAMUU SANAAAA...
Bwana kapata wazimu kashindwa kuvumilia kwangu akatia timu tiba nikampatia weuweeeeee
Is me I still listening this song and I love it
Zynah Ally I'm, sweet dreams to love taraab
Nan anasikiliza kipind hiki cha karantin (Corona virus) 2020
from lpndon ❤ love mu brothers and sisters
wangapi tunatizama 2020 hili goma la kijanja
Hii mwanamama alikuwa anajuwa kuimba kweli💟💟💟🔥🔥
I wish i was good as these songs,
thanks
penzi ulinidhulumu
2020 still so relevant and fresh . utalijua jiji
2022
Auu sioooo
I love this ...still listening 2022
Chachacn umejaribu kuunukuu huu wimbo lakini hujasadifu. Hujapata mashairi vizuri. Kibao kizuri hiki. Kisikilize mara nyingine!
Hongera zimfikia huko aliko japo kafa ila daaa so p maneno kumtu hay kutoka kwa wajna wang mwanan hawa
Nipo hapa 2024 julai🔥🔥🔥
2020 muko wapiii..... Love from Uganda 🇺🇬
you are not alone man
i love taraab too and im also luo lol
I love this song it's make me feel better and i love it alot
Nani bado anakubali hapa gonga like💋👌
Sheimaa Abdallah Sheimaa Abdallah kkk
Sheimaa Abdallah Sheimaa Abdallah hahaaa
Sheimaa Abdallah Sheimaa Abdallah
Hapo tumefika
@@rosemaryslyvestar9066 hh
Who else is watching in February 2019? Love love this song
taarab napenda sana......wana tizedi mko juu sana
Hii ni Ya Kenya
Ni ya Tanzania by East African Melody
Nzuri sana kbsa
Utalijia Jiji mowlem nairobi in the house
Penda sana hii,nyakati hizo KBC ilikuwa moto pasi na Khadija Ali n.k
ucheshi na tabasamu kanijalia manani......nmepewa lugha tamu nyoka hutoka pangoni........kwake upate hupati nafasi mimi ndiye wake pumzi......." Naipenda tuu....nafeel kwa mishipa...mistari ya kweli""
Miaka hioooo viziwa vinameaaa
Ndani ya mtwapa Kenya tunakunywa uji wa ndimuuu twende nalooo
This reminds me 2005, on my wedding ceremony, a lot of good memories,,,, time flies,
2020.Sauti zakutoa Nyoka Pangoni..Music soothing to the soul
Lou lou hassan ni yeye amenileta hapa
202 ndio mimi huyo.
Finally found this song 😭😭😭😭❤️
Dah naichek Tena 2020 mwez wa 3 nice song mko wapi nyiny kina mama
Kiukweli kabisa nasikia sauti ya Khadija Yusuph katika hao waitikiaji
2023 tupo apa pia muziki muzuri 🤞🏾🙏🏾
Hadi 2023 bado hauchuji
From comoros 🇰🇲 i love this musique swahili
Kutoka mombasani ndani ndanii twende naloo
2018 I am watching who is next
Still watching too
2020 kitu kinatamba tu hahahahaha yanikumbusha mbali kweli uwiiiii
Love this song so much, imenikumbusha mbali saaaaaaaaaaaaaaaaaana
Afua Suleiman ndo mama yao. My favorite taarab vocalist. Leads with authority and directive.can't get tired of watching n listening to her songs