EDNA PART 65 | MASTER NAMBA MOJA NI NANI? AU NI EDNA? ROMA AUMIZA KICHWA KUMJUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 306

  • @furahangoty5059
    @furahangoty5059 2 หลายเดือนก่อน +6

    Namuelewa sana Edna kweny msimamo, anasimamia utu wake , biashara zake na ht wafanyakaz wake na kampuni za Vectro angekuwa legelege yote yasingefanikiwa Edna no.1😊

  • @ummulokara9534
    @ummulokara9534 2 หลายเดือนก่อน +24

    Pia mm namkubali sana juu ni mkee mwenye anajiheshimu sii kama hao wanawake wezake wsjieshimu washirikiana kulala na mume wao na kitanda kimoja

    • @Nattyjay294
      @Nattyjay294 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mm nawashauri waangalie michepuko ya kuwapa mimba mapema maana watakufa bila familia

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 2 หลายเดือนก่อน +3

    Namkubali Edna maana anajiheshimu na mwanamke mwenye upeo mkubwa wakufikiria na ni mchapa kazi❤❤

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 2 หลายเดือนก่อน +5

    Na muelewa Edna nimwana mke mwenye msimamo anajitambuwa anaakiri sana. Na mchizi anamwelea kabisa kwake habadiriki❤❤❤

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 2 หลายเดือนก่อน +17

    ❤❤Nimewahi nakupenda Lucas,napenda simulizi ya endina mambo ni safi Sana like kidogo zanipa fulaha ndugu zangu nawapenda maua yenu🎉🎉🪑🎧💪🏃

    • @LeahIbrahim-ib4ss
      @LeahIbrahim-ib4ss 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@TeklaNdekeja pamoja sana 🥰

  • @LeahIbrahim-ib4ss
    @LeahIbrahim-ib4ss 2 หลายเดือนก่อน +12

    Nampenda Edna ., anajiamini sana na hajawah kufeli kwenye maamuzi yake ❤

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona ashafeli juu alikuwa hataki kurudi kwa himaya ya Roma na amepindisha maamuzi yake....weee huogopi

    • @LeahIbrahim-ib4ss
      @LeahIbrahim-ib4ss 2 หลายเดือนก่อน

      @@MwanatumuJumaa-rj4fg anarudi akiwa na mpango madhubuti ni mhusika ambaye anafanya anachokielewa na kusudi maalum

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mm namkubali edina ❤❤❤🎉🎉🎉 kwa ujasiri wake❤❤

  • @ManisaboSifa
    @ManisaboSifa 2 หลายเดือนก่อน +9

    Walio mkubali endina tujuwane❤❤❤

    • @wertqwe8326
      @wertqwe8326 2 หลายเดือนก่อน

      @@ManisaboSifa mmi nhata sikubaliani naye kabisa kuongozana na malaya waroma edina anashida ya akili itabidi aede hosipitali akapimwe akili inashoti

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 2 หลายเดือนก่อน +10

    MMI NAMWUELEWA SANA ROMA RAMON ...JUU HAAMINI KWENYE KUSHINDWA HATA KWENYE MAGUMU HALAFU HUYU MWAMBA ANA KABA AKIONA JAMBO AKISEMA LITAATHIRI ANANYAMAZIA NI KAMA HAJII MUCH ❤❤❤ TO LUCAS LUMBASI SIMULIZI

    • @elizabethkatoko8867
      @elizabethkatoko8867 2 หลายเดือนก่อน +1

      ❤🎉tuko pamoja

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 2 หลายเดือนก่อน +1

      Haya bana Roma yukonathamani yake kwa mambo ya kini sema anakibul Hana heshima hchotu aboasana hamweshim Edna husematu wanawake zake atakavo bele ya edna😂 anauhakia Edna hawez mkataa

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kiumbe hkna madhaifu lkn siku zote asilimia kubwa ya waja hupenda kupokea kubeba udhaifu kuliko manufaa.....😢ndio Roma ana madhaifu ila ni wa maana sana kwa hao wanawake wote na % kubwa ya upendo wake uko kwa EDNA ​@@TeklaNdekeja

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 2 หลายเดือนก่อน +19

    Watatu jamani naombeni likes zenu team Roma 🙏🙏🙏🔥🔥🔥❤❤❤❤❤❤ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao Lucas

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 2 หลายเดือนก่อน +4

      Kwa upande wangu mimi napenda Roma wanguvu 💪💪💪💪❤❤❤🔥🔥🔥

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kusema ukweli tu hii simulizi inatufundisha mambo mengi ya Dunia hii daaah asante sana Lucas kwa mafundisho haya 👏👏👏👏❤❤❤

    • @donaldchacha3059
      @donaldchacha3059 2 หลายเดือนก่อน

      Sehemu kubwa ya simulizi hizi ni mambo ya kusadikika yasiyo akisi maisha ya kawaida ya wanadamu​@@zenaathumani8144

  • @inesakimana-f5h
    @inesakimana-f5h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Waoooo Lucas namimi nampenda Edna bwana kama umemuelewa bro fanya mpango akipewa taraka tuu tuhakikishe tunatoa mahali au sio🤣🙈🙈😛 lakini romaa akikufuma huuu simooo 🏃🏃🤣🤣🤣🥰🥰

  • @jinaanhkareem3650
    @jinaanhkareem3650 2 หลายเดือนก่อน +3

    Edna nampenda mno ❤❤😂mwanamke wa nguvu

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 2 หลายเดือนก่อน +10

    Hatimaee jmn😂😂😂asantee kaka Lucas❤❤❤❤

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 2 หลายเดือนก่อน +10

    Wa kwnza leo 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @halimakidato414
    @halimakidato414 2 หลายเดือนก่อน +9

    Hoyaa wangu eeeeh mm nimuelewa sana EDNA,ni mwanamke ambaye anajielewa na ana misingi yake.abebwi na kimbuga wala ateteleki kwenye kufanya maamuzi.hoyaa Wana eee edna ni mwanamke WA shoka!! Sio kama ao maayawani wa Roma wanao linawa kwenye kitanda kimoja😀eti naina imetoka huku na niwekewe😂😂.Edna 🌹🌹🌹💐💐🥀🥀yote ni ya kwako🥰

    • @LeahIbrahim-ib4ss
      @LeahIbrahim-ib4ss 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@halimakidato414 haswaaa 👌🥰 me pia namkubali kichizi yaan 🥰🥰 apewe maua yake

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 2 หลายเดือนก่อน +3

    Edna ndie atakae pambana na yule Asena na atamshida. Edna nimkombozi wa Roma Ramon🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Edna fire fire🔥

    • @OmanBahla-i5g
      @OmanBahla-i5g 2 หลายเดือนก่อน +2

      Aa wewe utashinda maana Edina ni kiboko ya viunbe wote yule ni simba mwenda kimya ❤❤

  • @AzizaTanzanya
    @AzizaTanzanya 2 หลายเดือนก่อน +11

    Jaman wa 7 me piah namkubali dada yang Edna

    • @LeahIbrahim-ib4ss
      @LeahIbrahim-ib4ss 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@AzizaTanzanya team Edna 🥰❤️

  • @Shakhwal143
    @Shakhwal143 2 หลายเดือนก่อน +9

    Mimi namuelewa Edina🤗

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 2 หลายเดือนก่อน +7

    Edna mpango mzima ana msimamo❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @aminah9557
    @aminah9557 2 หลายเดือนก่อน +19

    Mm namelewa sana Edna, chakwanza ana akili nyingi sana na chapili anajielewa na sio mtu wa kukurupukia mambo iseey mm namuelewa sana huyo dem❤❤❤❤

  • @AnnaLuhanjala
    @AnnaLuhanjala 2 หลายเดือนก่อน +18

    Wangapi wanapenda master no 1 awe edna gonga malikes ya kutosha❤❤🎉🎉❤

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 2 หลายเดือนก่อน +4

      Master no1 hawez kuwa edina mna master no 1 yupo kund la illuminate au freemason kwaiy edina hawez kuwa illuminate me nahis ni Athena

    • @MishiMshihiri
      @MishiMshihiri 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@Babyfaty-m3y yap n athena

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 2 หลายเดือนก่อน +2

      Master no 1 huyo anaweza kuwa Athena.juu Edna ni kiongozi wa Anti illuminati ...kumbuka ile sehemu Athena akachezea mchezo hadi atampatia box la ua 🎉...kumbuka kile kikao kilikuwa cha kundi gani hapo ndio utapata ufunuo wa Master no 1

    • @LeahIbrahim-ib4ss
      @LeahIbrahim-ib4ss 2 หลายเดือนก่อน +1

      Me naamin atakuwa Edna na huyu Edna atakuwa ametumiwa na Athena bila yeye kujijua ., Kuna namna Edna anafanya matukio bila yeye mwenyewe kujielewa kwahyo Kuna uwezekano mkubwa akawa ndio master coz the Don alikuwa Athena

    • @LeahIbrahim-ib4ss
      @LeahIbrahim-ib4ss 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@MwanatumuJumaa-rj4fgkuna uwezekano Edna ndio akawa master no 1 maana sio kwa matukio yake yanayoendelea

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 2 หลายเดือนก่อน +8

    Namba one leo 🎉🎉

  • @MwajumaToh
    @MwajumaToh 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka lukasi nakupa pongezi kwa kazi nzuli ubalikiwe sana tunakupenda ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Rehema-co4xi
    @Rehema-co4xi 2 หลายเดือนก่อน +6

    Edna ndio kusema ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @TyT-h5l
    @TyT-h5l 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mm n Edna pia na mkubali sana

  • @ashalwamba8286
    @ashalwamba8286 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kaka Lukas kazi safi kabisa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤Sister and brother

  • @MishiMshihiri
    @MishiMshihiri 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mm namuelwa sana dadaetu edna

  • @abdallakarani6921
    @abdallakarani6921 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mm namkubali dada Edna

  • @masokamsafiri8664
    @masokamsafiri8664 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo dada yetu ahana sababu ya kutompenda kwenye mahisha nivizuri kuwa usirihazi kihonyesha msimamo wa maisha

  • @BasheeromarBasheeromar
    @BasheeromarBasheeromar 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂 Nakubal mzee Kweka vyenye anamchana Roma

  • @furahangoty5059
    @furahangoty5059 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mambo yameivaaa Edna 65🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @OmanBahla-i5g
    @OmanBahla-i5g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm namuelewa sana Nasra Hana mbambamba nuna kasirika ukimaliza yupo na Kila mmoja hapendi kumfatilia mtu yaani ukiwa na moyo kama Nasra wewe ni tajiri hata kama hunakitu♥️♥️♥️🤙🌹🌹🌹🌹🥰🥰🥰💔💔🫶🙏

  • @elimwidimimushi3450
    @elimwidimimushi3450 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mm pia namjubali sana Edna

  • @MariahMariahmambo
    @MariahMariahmambo 2 หลายเดือนก่อน +11

    Hello waraukaji😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤ namkubali kaka ROMA❤❤❤❤❤

    • @AAa-it7nx
      @AAa-it7nx 2 หลายเดือนก่อน +2

      Tuki sote nadhani ningkua huko nigempa na Mimi kigwenye Kwa siku moja😂😂😂

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@AAa-it7nx😂😂😂😂 eti kigwenye jamani daaah 🤣🤣

    • @AAa-it7nx
      @AAa-it7nx 2 หลายเดือนก่อน

      @@zenaathumani8144 ndio nimpe kwa mara moja akigwenyeze sawasawa

    • @LeahIbrahim-ib4ss
      @LeahIbrahim-ib4ss 2 หลายเดือนก่อน

      @@AAa-it7nx hakii nimecheka 😅

  • @UmySele
    @UmySele 2 หลายเดือนก่อน +12

    Mm kwangu Edina namkubali kumchukia Lankan ni njia tu ya kujiweka mbali Roma alimpa tu chaguzi alijuwa atamchagua Lanlan

  • @rizikih6898
    @rizikih6898 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ni EDNA ndiye master namba moja

  • @ChristianElias-u2j
    @ChristianElias-u2j 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wa kwanza oyooo

  • @MoniraMonira-dg3cd
    @MoniraMonira-dg3cd 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nampenda EDNA ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @yudasijila
    @yudasijila 2 หลายเดือนก่อน +2

    Namkubali mwamba hades A.K.A Roma .. kwanza ni mtu ambae hana aibuuu hasa kwa vitu ambavyo anavihitaji hvyo hvyo kwenye maisha hupaswi kuvionea aibu vitu ambavyo unahitaji kuwa navyo

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sijachelewa sana 😂😂😂❤❤❤🎉

  • @ElizaSada
    @ElizaSada 2 หลายเดือนก่อน +6

    EDNA❤❤❤❤❤

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo ni moja kk Lucas unaupiga mwingi🎉

  • @سيدا-ص1ز
    @سيدا-ص1ز 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimependa sana hii ya leo ni kwa sababu ya endina kurudia na mumewe changa moto hazikimbiwe bali zinatatuliwa kwa kukabilia nazo kwahiyo endina mamaa nakupungeza sana kwa uamuzi wako kumurudia mumeo

  • @ChristinaPaulinus-i4y
    @ChristinaPaulinus-i4y 2 หลายเดือนก่อน +5

    Sjui kwann napenda afande kaweka the way anaongea😊

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 2 หลายเดือนก่อน +14

    nmewai kidogo ila Lucas acha tu mm nmpende roma😂

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 2 หลายเดือนก่อน

    Nimecaguwa Junimuvimurivu arafu anajuwa anacogifanya kwahio mauwa yake💐💐💐nawe Musimuliaji💐💐💪🏽💪🏽👊👊🇧🇮

  • @ReginaBenjamin-ij2ec
    @ReginaBenjamin-ij2ec 2 หลายเดือนก่อน +6

    Namkubali Edina jaman mim

  • @ibrahimummu5127
    @ibrahimummu5127 2 หลายเดือนก่อน +12

    Nasemaje mm kwa upande wangu namkubali mwamba roma ila msiniulize kwa nn😅😅😅😅

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 2 หลายเดือนก่อน +3

      Motrooo😂😂😂

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 2 หลายเดือนก่อน +4

      Hatuulizi😂😂😂😅

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 2 หลายเดือนก่อน +3

      @@TeklaNdekeja 😁😁😁😁

    • @Melaninmengi
      @Melaninmengi 2 หลายเดือนก่อน +3

      Mmh 🤔

    • @ZenaidaDaniel-r9d
      @ZenaidaDaniel-r9d 2 หลายเดือนก่อน +2

      😅😅 unapenda mtarimbo wa Roma

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani mbone ivo🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🇧🇮 nami namubari Edna irakwendereya kuishi n'a Roma Roma ninoma inabaki kumunyanduwa murezi Laalani sijakumbari Roma aone Gitumbua ça mayimuna akakiaca arafu kwenye pica niwakayida??Lukas 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NademaHasani
    @NademaHasani 2 หลายเดือนก่อน +5

    Edna ndiye mwenye msimamo mzuri

  • @Monica-p3k
    @Monica-p3k 2 หลายเดือนก่อน +5

    Cjachelewa wale wanamkubali edina qw msimamo wake na pia mm naona edina ndio atabeba mimba naomben like zanu munao niunga mkona🎉

  • @ladymwana2469
    @ladymwana2469 2 หลายเดือนก่อน +8

    ❤🎉❤wow

  • @ShedracknicodemuShirima
    @ShedracknicodemuShirima 2 หลายเดือนก่อน +14

    Huyo mtu ni edna au lanlan

  • @vailethvennance4651
    @vailethvennance4651 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mimi nawelewa Roma sanaaa

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di 2 หลายเดือนก่อน +2

    I love Edina kwa msimamo wake

  • @aishaOmar-i1k
    @aishaOmar-i1k 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mm nahisi master namba moja ni Edna

  • @SelinahMakenz
    @SelinahMakenz 2 หลายเดือนก่อน +11

    Mimi kusema ukweli doti sijui mbona simuamini Mimi na mpenda Edina pia

  • @YasintaHongela
    @YasintaHongela 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kwangu ni Edna ndiye sterling Tazama anaweza linganishwa kabisa na Mage ktk sin,kama Davna ktk Davna pia kama Lisa ktk Lisa tena kama girlfriend wa Disouther ktk suspension of love ,Verox ktk veronica

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 2 หลายเดือนก่อน +7

    EDNA kauzu namuelewa kinoma😂😂

  • @SelinahMakenz
    @SelinahMakenz 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kwaiyo amchelewi😂😂😅

  • @SallyJemutai-w5r
    @SallyJemutai-w5r 2 หลายเดือนก่อน +2

    Team edana tupo na yy ndie atabena mimba haha mijepuko wataonea viu sasa

  • @marthaigandu8385
    @marthaigandu8385 2 หลายเดือนก่อน +11

    EDNA

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubali edna❤❤❤

  • @JacquelineMmassa
    @JacquelineMmassa 2 หลายเดือนก่อน +5

    Waooo Edna ❤❤❤

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 2 หลายเดือนก่อน +9

    Jamani mimi na mpenda edna maana anamsimamo lkn sijapenda kumchukia lanlan

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 2 หลายเดือนก่อน +4

      Hamchukii wenda anamueka mbal kutokana na Ile ndoto ngoja 2one kpenz huko mbele

    • @saumunyadzua
      @saumunyadzua 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@FatumaJumanne-p4d wacha tuone kweli

    • @RehemasiryaKabahasha
      @RehemasiryaKabahasha 2 หลายเดือนก่อน +3

      @@saumunyadzua angekua anamchukia hangeenda shule kumtazama, ile siku Nasra alimuendea lanlan, hapa kuna sababu twendeni pole pole tutajua uko mbeleni

  • @RuthLema-m6g
    @RuthLema-m6g 2 หลายเดือนก่อน +8

    Roma namkubali sana 😂😂😂😂

    • @Edna-w3z
      @Edna-w3z 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nd mwanaume rijali huo ukiachana na mapungufu yk yuko vzr

  • @AnanaAnana-r5v
    @AnanaAnana-r5v 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hata Mimi napenda Edina napenda kwakuwa anamsimamo hajipendekezi kama michepuko yaloma

  • @missbakuza6622
    @missbakuza6622 2 หลายเดือนก่อน +2

    Namkubali roma sana ni mkweli na anamsimamo kiaina😂

  • @WernerJunior-wc5uq
    @WernerJunior-wc5uq 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mimi namuelewa Edina nikicwa bana cezeya edina? Asante kkayetu kwakutuleteya muendelezo .

  • @AishaMaulid-gx2wn
    @AishaMaulid-gx2wn 2 หลายเดือนก่อน +3

    Namkumbali Edna mbona kuliko wanawake wote wa roma

  • @ChristianElias-u2j
    @ChristianElias-u2j 2 หลายเดือนก่อน +11

    Kaka Luka naomba utupe ratiba mpya ya Edna maan unatuchanganya kama n j3,j5 na ijumaa tujue kama jumapili haipo sio unatuweka roho juu jamn😂

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  2 หลายเดือนก่อน +1

      Jumatatu, Jumatano, Ijumaa, Jumapili

    • @ChristianElias-u2j
      @ChristianElias-u2j 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI ka Luka una jumapili ngap Edna hutuletei ungejua nilivyokuwa board jamn nmekaa kitako naisubiaria hii simuliz itakuja kutuua na presha

  • @AminaOmar-z9b
    @AminaOmar-z9b 2 หลายเดือนก่อน +4

    Oyooooo

  • @VictoriaNambeye-oz1hr
    @VictoriaNambeye-oz1hr 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wadau wa Edna tujuwane jamani

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwamba Roma ana wana wake gapi. Lucas please nijibu?🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍🙏👍👍👍👍👍👍

    • @OmanBahla-i5g
      @OmanBahla-i5g 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nisaidie broo Lucas mpaka mda huu anaeanawake 10hao ni michepuko tu na mama mjengo kipenzi cha mwamba tulizo la moyo Edina ni wa 11 jee wewe huogopi???😂😂😭💔💔🌹🙏

    • @WernerJunior-wc5uq
      @WernerJunior-wc5uq 2 หลายเดือนก่อน

      Mutihani kabisa Roma na Edina awatoishi kwa furaha kwa iyo micepuko apana.

  • @michaelmbilinyi7442
    @michaelmbilinyi7442 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nyie ukute Edina ana mimba afu ameificha kijini 😂😂😂😂

    • @WernerJunior-wc5uq
      @WernerJunior-wc5uq 2 หลายเดือนก่อน +2

      Tuko pamoja Edina nimujamuzito .

  • @michaelmbilinyi7442
    @michaelmbilinyi7442 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mtu atakaye muuwa athena ni Edna 😂😂

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 2 หลายเดือนก่อน +6

    Roma ❤❤❤❤❤❤😂😂

  • @khakihaki5069
    @khakihaki5069 2 หลายเดือนก่อน +4

    🇰🇪 tupo Site

  • @MaryMuyaga
    @MaryMuyaga 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi na muhelewa Edina

  • @ademago3375
    @ademago3375 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mie nafikiri kuwa na wanawake wengi ni shida Roma kila siku anaangaaika kuokoa wanawake zake kuwa matatizoni. Mzee Kweka ameshachoka na huu ujinga. Mm Edina pole unampenda ila ni kazi.

  • @dgffdb561
    @dgffdb561 2 หลายเดือนก่อน +6

    Leo nimewahi

  • @AïshaUwera-f3w
    @AïshaUwera-f3w 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa upabde wangu namuelewa Roma ni shuhaa, anajiamini na hajawahi kushindwa

  • @Munira1044
    @Munira1044 2 หลายเดือนก่อน +4

    Edna

  • @lucywangesh4208
    @lucywangesh4208 2 หลายเดือนก่อน +8

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂ww

  • @roothaa3843
    @roothaa3843 2 หลายเดือนก่อน +7

    Wakwanza nipeni likes

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di 2 หลายเดือนก่อน +5

    Tuna tamba kweli na edina

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 2 หลายเดือนก่อน +3

    Edna na Roma hawaachan ila migogoro yahapa na pale yan kuachana kwao mpka mmoja afe yule Bibi Neema liwazo anataman Nafasi ya Edna na Anafurahi hawa wawili wakikorofishana lakin ndio hawez pata yeabaki tu nafasi ya mchepsi

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 2 หลายเดือนก่อน +3

    Me namkubali lanlan mzee wa kulakula🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @gedizwamama
    @gedizwamama 2 หลายเดือนก่อน +8

    In short me namkubali roma tena kwa pigo zake mf hajui kubembeleza yan sio mtu wakulialia👌🏻👌🏻

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@gedizwamama umeona eh 😂 kubembeleza hajui,labda kwa Edna tu,michepuko inadandia yenyewe tena kwakutumia nguvu nyingi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ChristianElias-u2j
    @ChristianElias-u2j 2 หลายเดือนก่อน +6

    Leo hiii sehemu ambao hatuna D2 tutapata tabu kuelewa

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂pole

    • @ChristianElias-u2j
      @ChristianElias-u2j 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@Babyfaty-m3y shoga kweny maelezo ya hades hko ndo ameniacha kabsa mmmh😃😃

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@ChristianElias-u2j 🤣🤣🤣🤣🤣nimepata kidg tu lkn nimeelew

    • @Melaninmengi
      @Melaninmengi 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@ChristianElias-u2jNtakuelekeza dear

    • @ChristianElias-u2j
      @ChristianElias-u2j 2 หลายเดือนก่อน

      @@Melaninmengi heb nifafanulie dear🥰

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenye aliañdika hii simulìzi nathani ni mwana ume mana sikutufanya wana wake kama maharage ya mbea hata huyo edina mweyewe nimaharage ya mbea pia yye walahi wanawake tumepatikana safari hii mwanaume momja wanaweke ishirini duuu walahi mtunzi wasimulizi ya edina umetuweza safari hii wanawake ila nisawatu twende nalo tutafika

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 2 หลายเดือนก่อน +5

    Edina ndiye kiboko yao hapa

  • @khadijahseleman9224
    @khadijahseleman9224 2 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mond kaliwa malinda Tz nani kawaroga zuu zuu zuchu kupwagwa kutoka stage duuu😅😅😅😅😅😅

  • @JawahirMadar
    @JawahirMadar 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi tim Roma ni mwanaume mwrnye upendo kwa wanawake saluty kwake

  • @NorsSimion
    @NorsSimion 2 หลายเดือนก่อน +1

    Edina big up

  • @AnnaLuhanjala
    @AnnaLuhanjala 2 หลายเดือนก่อน +18

    Wangapi wanapenda master no 1 awe edna gonga malikes ya kutosha❤❤🎉🎉❤

    • @JoyKinunda
      @JoyKinunda 2 หลายเดือนก่อน +2

      ❤❤❤❤

    • @LeahIbrahim-ib4ss
      @LeahIbrahim-ib4ss 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@AnnaLuhanjala ata Mimi natumaini hivyo na lzm awe Edna 💃❤️

    • @Nattyjay294
      @Nattyjay294 2 หลายเดือนก่อน +2

      🤚

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 2 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani mbona nmeona masaa hayafiki mmi hatimaye tumefika

  • @ZawadiAli-o8t
    @ZawadiAli-o8t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kwenye wazee hapakoseki jambo nimependa ushauri wa Mzee kweka kwa Roma.

  • @jamilaabubakar8070
    @jamilaabubakar8070 2 หลายเดือนก่อน +2

    roma anamtengenezea njia edna