Simulizi zenu ni nzuri sana na hapa ndo umeshaujua udhaifu wetu mmeamua kukata kwenye redio ili tuje live maana naona watu wanalalamika kuhusu redio hazikamati mikoa mingi sana ila mpo kimya tu 😂😂mmeweza kutukomesha na mnapiga sana hela saluti kwenu EFM tupunguzieni mimatangazo ni mingi bora mwanzo
Wewe msimuliaji una kipaji sana! Kipindi hiki ni shule tosha ya maisha halisi ! Kwa kuwa matangazo ni mengi sana, Tunaomba muda wa kipindi uongezwe hadi masaa mawili au saa moja na nusu! + Jmosi ! Kasoro Jpili tu inatosha kwa mapumziko !
Bado matangazo mengi Sana Kama vipi Rudi studio ya awali tu. Hii hapana matangazo mengine hyana hta maana bola TU mtulie muda wetu Yan me sijainjoi hii simulizi sababu ya matangazo..😢
Habari dada Vero naitwa Brigita natokea Mikochen Jamani haya matangazo kwakweli inachukua muda sana afadhali mfupishe matangazo ukiangalia MB nazo ngumu kidogo tunakuomba ,natunapenda simulizi zako ila mtusikilize nasisi wa dau
Efm ni kituo Bora Cha radio Tanzania na simulizi ni kipindi Bora sana kwangu aisee Veronica wewe ni zaidi ya mtangazazji hakika
Simulizi zako zinanifundisha sana da vero (1)
waoow this beautiful girl! we can now see her live, vibrant and so glowing :) we love you so very much. glad u doing it live girl!!
Simulizi zenu ni nzuri sana na hapa ndo umeshaujua udhaifu wetu mmeamua kukata kwenye redio ili tuje live maana naona watu wanalalamika kuhusu redio hazikamati mikoa mingi sana ila mpo kimya tu 😂😂mmeweza kutukomesha na mnapiga sana hela saluti kwenu EFM tupunguzieni mimatangazo ni mingi bora mwanzo
Davero bongela pic❤❤😂. mungu akutunze nakupenda sana Dadangu
Wewe msimuliaji una kipaji sana! Kipindi hiki ni shule tosha ya maisha halisi ! Kwa kuwa matangazo ni mengi sana, Tunaomba muda wa kipindi uongezwe hadi masaa mawili au saa moja na nusu! + Jmosi ! Kasoro Jpili tu inatosha kwa mapumziko !
WEKENI Option YA download wengine tunataka kudownload kwenye Wi-Fi
Napenda sana unavyosimulia dad Vero yaan unaubeba uhusika kama vile ndio ww barikiwa sana
Dada Vero nimefurahi kukuona hongera kwa kazi yako nzuri
Nakupenda Sana dada Veronika maana umekua mshauli wa maisha yangu
Nakupenda mno Leo nimekuona nilikuwa natamai sana kukuona❤
Izadini kimaro dad veronic mungu akujalie umri mref sn nakupend dad unasimulia vzr
Asante sana vero
Nakupenda sana dada vero
Jaman nyie huyu dada hasomi sehem yeyote ☺️☺️
Naitwa hija Mohamed nakupata vizur dada Vero unasauti nzur mungu akubariki sana
Mmh mimi pia nimeogopa wanadamu wengine niwabaya wabaya heri ukutane na mnyama porini😢
Kuna sehemu anasoma we muangalie vinzuri
Wow finally I see u you are so beautiful❤
Asante dada angu mungu hakubaliki
Nakupata vizuri veronica
Naitwa Editha au mama Berena Niko msasana napenda Sana usinliaji wako VERO Mungu akubaliki
Live matangazo mengii mpaka mood inaisha mtafanya watu wachukie live sasa turudishenii kwenye utaratibu wetu wa mwanzo
Umenifilisi waturudishe kama mwanzo bwana
Simulizi ni nzuri sana.
Jamani mmetisha san
jaman matangazo punguzen tunatumia bando jaman dada vero fanya kama ulivokua unasimulia bila matangazo
Kumbe Veronica ni mzuri iviii
Ahsante dad vero
barikiwa sana dada VERONICA
Dada unasimulia vizuri Sana Dada Veronica Mathias wa kinondon
Nakupenda sana dada vero na enjoy kukuon liv
Dada.veronica.uko.juu.sana
❤💞💞💞💞💞
Unajitahidi sana da vero hongera zako
Live matangazo mengi turudi redioni
Naitwa queen mdatchi kutok Moshi nakupata vizur sana sanaa
Nyie watu ndugu zake shabani madobe msiojua kutofautisha herufi kwani ni lazima mkomenti jamani mnatia aibu tu bure😢😢😅
Bado matangazo mengi Sana Kama vipi Rudi studio ya awali tu. Hii hapana matangazo mengine hyana hta maana bola TU mtulie muda wetu Yan me sijainjoi hii simulizi sababu ya matangazo..😢
Jamani nipo arusha efm siipati kabisa
Naitwa jackline natokea madalee... nakupenda sana dad Veronica
Waoo velo uo ulembo na saut yako
Nataman ck1 hii saut nije kuisikia Azam tv ikitafsiri tamthilia
Una mapozi da vero😅😅😅
Umeona eeee😮😮
Haya matangazo yote ndo kwenye mabando yetu?? Mnautani efm
Daah dunia😢😢
tuletee kama zamani hii live chenga sana matangazo meeengi bando linakata mtu hujamaliza kusikiliza hii live inatuumiza
Nikweli kbx
Kabisaa
Habari dada Vero naitwa Brigita natokea Mikochen Jamani haya matangazo kwakweli inachukua muda sana afadhali mfupishe matangazo ukiangalia MB nazo ngumu kidogo tunakuomba ,natunapenda simulizi zako ila mtusikilize nasisi wa dau
Matangazo ndo mshahaara wake
❤️❤️❤️❤️❤️
Turudi redion kama mwanzo ,wengi wetu watashindwa kusikiliza story
Dada,,Vero,,nimekusoma,,naitwa,,Pamela,, nkuta
Naitwa Tinnah kutoka buguruni Vero achana na laivu mpenzi matangazi wenzako bando linaenda
Naitwa,,Pamela,,nkuta,,mbagara,,mgeni,,nani,,dada,,Vero,,ujambo
Ujumbe mzuli vr tupo pamoja t
Tupo pamoja dada vero
Yaleo
Da vero mbona moshi efm aishiki jmn
❤
❤❤
Dah.pola sana ohamed .Adi naogopa.
TURUDISHIENI KAMA MWANZO HII MB ZINAENDA
Walikuwa wanaongea lugha gani huko
Hallo umeuliza swali la maana sana
❤❤
Naitwa queen mdatchi kutok Moshi nakupata vizur sana sanaa