PAUL WALKER nyota alieacha MASWALI juu ya KIF0 chake,KASHFA KUBWA yafichwa kuhusu MAHUSIANO yake.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 56

  • @benardjaloo5263
    @benardjaloo5263 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ailaze Roho yake Pahali Pema peponi

  • @radhiawarahul8432
    @radhiawarahul8432 2 ปีที่แล้ว +5

    UKIWA UNALETA STORY ZA WATU MAARUFU NA WANAOPENDWA SANA JITAID KUONGEZA DAKIKA ILI STORY IWE IMEKAMILIKA NA WASIOMJUA WAMJUE NA TUNAO MPENDA TUFARIJIKE LAKIN SIO KM IVO KM MTU AMJUI UYO PAUL AWEZ MUELEWA JITAID KUITOSHELEZA STORY KAKA

  • @singinggirl6554
    @singinggirl6554 2 ปีที่แล้ว +3

    Loooh leo umenipa wallah shukrani sana 💕💕❤

  • @winfridapeter9455
    @winfridapeter9455 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimependa history ya paul walker,ni mwigizaji ninayemkubali sana pamoja na rafiki yake van,apumzike kwa amani

  • @indivirabonnymatenje7290
    @indivirabonnymatenje7290 2 ปีที่แล้ว +3

    My favourite actor my mentor

  • @radicalljinari3863
    @radicalljinari3863 2 ปีที่แล้ว +2

    Twende kaziii' maelezo ya kiufasaha sana sipenda kumiss haya.

  • @nickosimumba4541
    @nickosimumba4541 2 ปีที่แล้ว +3

    nilikuwa namkubali sana

  • @user-tk8vy3se1t
    @user-tk8vy3se1t 11 หลายเดือนก่อน +2

    Leo ndo nimejua kuwa walifariki wawili

  • @AfriTimes
    @AfriTimes 2 ปีที่แล้ว +3

    Uko vizuri kwa kusoma wikipedia😂😂😂🤭

  • @singinggirl6554
    @singinggirl6554 2 ปีที่แล้ว +5

    😢😢😢😢😢😢 i miss you paul Walker❤

  • @nellytsuma7519
    @nellytsuma7519 2 ปีที่แล้ว +2

    Wau

  • @charan_jackson
    @charan_jackson 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tuletee story ya natalia la rose 😭

  • @karim6964
    @karim6964 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante Justin shedy

  • @williamalex4792
    @williamalex4792 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amlaze mahali pema

  • @suleimanhamadi5099
    @suleimanhamadi5099 2 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha mzee

  • @lilianambokile7795
    @lilianambokile7795 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mara ya kwanza naangalia hii muvi nilikua cjui km amesha fariki nilivyo jua niliumia sn

  • @barakamwabu1809
    @barakamwabu1809 2 ปีที่แล้ว +2

    Lit🔥✌️

  • @henrystanley4077
    @henrystanley4077 2 ปีที่แล้ว +3

    Rest easy man

  • @la_raib953
    @la_raib953 2 ปีที่แล้ว +2

    legend

  • @thomasmunis9814
    @thomasmunis9814 2 ปีที่แล้ว +2

    Alitisha kinoma sema ndo hvyo tena aliyemuumba kamchua

  • @muzzammilp.z8182
    @muzzammilp.z8182 2 ปีที่แล้ว +2

    JUICE WRLD history please. Why are u responding to our comment 💓

  • @macamezungu7031
    @macamezungu7031 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasq twende kazi 🙏

  • @OmanOman-nz2bg
    @OmanOman-nz2bg 2 ปีที่แล้ว +1

    Yoo kumbe arifariki jomoni😪😪

  • @musamoses5123
    @musamoses5123 2 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว +1

    Kifo chake kimeniuma sana amefariki mapema akiwa na miaka 40 tu

  • @Jijindogo
    @Jijindogo ปีที่แล้ว

    Wow uko poa kabisa tafathali unaeza tuletea story ya Dolph Lundgren

  • @kilimoajira2457
    @kilimoajira2457 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha uongo hakufa mwaka ulioutaja

  • @chenzhen7772
    @chenzhen7772 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @xhampoza_25
    @xhampoza_25 2 ปีที่แล้ว +4

    Mimi naitwa Justin shed sasa twende kazi

  • @jacklinejerr2447
    @jacklinejerr2447 ปีที่แล้ว

    R I p p nilikua nakupenda sana tena hasa hayo macho yako

  • @danielmtasiwa9141
    @danielmtasiwa9141 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaka bado naombaa video ya asili ya orthordox

  • @mtulumajrshaibu9891
    @mtulumajrshaibu9891 2 ปีที่แล้ว

    Juicy wrld na shah rukh Khan bro

  • @BrunojnrMz
    @BrunojnrMz ปีที่แล้ว

    Napenda sana story zako kaka

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌🙏

  • @frankgervas2961
    @frankgervas2961 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilikua namkubali San jamaa

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 2 ปีที่แล้ว +1

    Tupe story ya mwezake tyrese

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 2 ปีที่แล้ว

    Billy dragon

  • @yassinwill
    @yassinwill ปีที่แล้ว

    Walker lost it on his last movie .

  • @johntaino6411
    @johntaino6411 2 ปีที่แล้ว

    Ikibidi utuletee na ya jason statham

  • @peninacharles9757
    @peninacharles9757 2 ปีที่แล้ว +1

    Hana kashfa

  • @mcluhyaman8211
    @mcluhyaman8211 2 ปีที่แล้ว

    Kisa cha jack Norris

  • @abdullipunjaje9603
    @abdullipunjaje9603 2 ปีที่แล้ว

    Zungumzia hologram ya 2pac

  • @georgespenser1038
    @georgespenser1038 2 ปีที่แล้ว

    tupe ya Bruce Lee

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 2 ปีที่แล้ว +1

    Alikufa 2015 sio 2013

    • @salumjuma3152
      @salumjuma3152 2 ปีที่แล้ว

      Mzee upo mbali sana ilikuwa 2013 sio 2015

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwaka 2013 ulikuwa mwaka mbaya sana kwangu sitoweza kusahau maishani kwangu mwaka huo ndiyo nikajua mbaya wangu ni nani kwenye maisha yangu na tangu mwaka huo sijaongea na wala kuonana na huyo mbaya wangu katika familia

    • @omegachawangula980
      @omegachawangula980 2 ปีที่แล้ว

      Pole happy wanaotuumiza s wa mbal wanatoka kwenye family kikubwa mung atupe moyo wa kusamehe

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว

      @@omegachawangula980 asante kwa kunipa moyo

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว +1

      @@omegachawangula980 ni mama yangu ndiyo kaniumiza tangu mwaka 2013 sijaongea nae yaani mama yangu alitaka mimi nisiwe na sehemu ya kuishi wala nisiwe na marafiki na wala nisiwasiliane na ndugu zangu bongo mpaka akafanya simu yangu mtu asinipate ni yeye tu ndiyo alikuwa ananipigia simu lakini sasa ni zamu yake yeye ndiyo hawezi kunipigia simu tangu mwaka 2013

    • @chiefchacha2992
      @chiefchacha2992 2 ปีที่แล้ว

      @@happynelson1136 mmmhh...! I can see u have a very very "sad story" to share
      Mam ako ni wa kutoka nje ya Bongo sio eeh?

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว

      @@chiefchacha2992 ndiyo mama yangu ni wa kutoka bongo