Marijani Rajab na Fresh Njumbe wameimba huu wimbo wa kupendeza na maadili ya kipekee. Kuishi maishi ya kukopa si ya kweli. Badili mienendo ya kuzidi mapata yako. Madeni mingi kwa maisha si nadri. Zoea yaliyo kwa mikono kuliko ya hewa, Dada weee!!. Dr. Ogeto International
Asante sana Kaka Marijani Rajabu, sauti, maneno, mashauri, fumbo na ujumbe kamili. Hili siyo wimbo ya densi ila usikize umakinike na ufikirie utokako na uendapo. I salute you Marijani! God bless your soul. RIP
asante wimbo wenye hekima aliyena sikio na asikie, mafunzo si haba nyimbo zake zote zaridhisha siwezi tosheka Afrika tumewapoteza majabli mola mwenyewe akuepushe na mabaya, mafunzo haya anayeyazingatia hapotei
Jphamba huu wimbo ni kisa cha kweli, kulikuwa na mwanamuziki mwenzake katika hiyo band kila akipewa pesa akanunue baadhi ya vifaa vya muziki havitimii, kila akipewa posho siku ya pili anamwendea marijani kuomba pesa mwisho wa siku marijani alimkalisha chini kumuhoji anamatatizo yule akaeleza kuwa mke ndio anampeleka puta kimaisha Marijani baadae akatunga wimbo huu
Dah kila kitu kilizihirishwa zamani hivi aasa yanajirudia tuu.hakuna ambacho hwajaimba wanamziki wa zamani kila kitu walimaliza..cc tunayaridia ridia tuu mashairi yao.
hakika Marijani Rajabu alikuwa ni kati ya wanamzuki bora kabisa kutokea katika historia ya Muziki wa dansi ndio maana hata baadhi ya nyimbo zake zilitumiwa na Balaza la mitihani ya form IV
Hakika nyimbo za iliyokuwa Nuta Jazz zinanikumbusha kitambo, nikiwa nimezaliwa Magomeni kota na miaka 6 enzi hizo, nyimbo hizo bado zinaishi na jumbe zenye mafunzo jana, leo hata kesho
pathima pathima nikiwa oman naburuduka na muzic wa ziripendwa amakweri nyimbo za zamani zinamafunzo rakini majemedari wa muzc wa dans washatanguria mbere ya haki ingekuwa kunakuchangiya warudi mimi ningekuwa mmoja wapo mwenyezi apunguzie azabu ya kaburi
Marijani Rajabu was born on March 3, 1955, and passed away in 1995, making him 40 years old at the time of his death.
MWENYEZI MUNGU AKULAZE MAHALA PEMA JABARI LA MUZIKI .. UEPUSHIWE NA ADHABU YA KABURI .. AMINA RABI AMINA..
Hapa anaimba mwanaume sasa,, hawa machizi wa sasa wapitie hizi nyimbo bas
nyimbo za zamani, zilikuwa na ujumbe mzuri, na zilikuwa zina elezea mazingira ya maisha tunayoishi.
Ya kale dhahabu asante mwalimu. Marijani na mwanafunzi wako jumbe
Ahsante Marijani..true as ever...wana mwajuma wamejaa ulimwenguni..April 2021 kutoka Kenya.
RIP legendary wetu hakika umetuachia madini ya kutosha ktk tasnia ya music 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tujuane wazee wenzangu
Keeping the good music alive...like tujuane
Marijani Rajab na Fresh Njumbe wameimba huu wimbo wa kupendeza na maadili ya kipekee. Kuishi maishi ya kukopa si ya kweli. Badili mienendo ya kuzidi mapata yako. Madeni mingi kwa maisha si nadri. Zoea yaliyo kwa mikono kuliko ya hewa, Dada weee!!. Dr. Ogeto International
Kweli Marijani alikuwa jabali la muziki!
2020 bado Moto.
Hama hakika ndunia mapito jabali la music aupo tena
😢😢mungu ampumzishe kwa amn
Asante sana Kaka Marijani Rajabu, sauti, maneno, mashauri, fumbo na ujumbe kamili. Hili siyo wimbo ya densi ila usikize umakinike na ufikirie utokako na uendapo. I salute you Marijani! God bless your soul. RIP
KWELI MWAJUMA UNAMTESA MUMEO
Kazi nzuri toka kwa Dar International marehemu Marijani Rajabu, Fresh Jumbe na wengineo
Good malijan lala salama
Thanks for this, nimemkumbuka Mwajuma
Jamani Mwajuma kajifunze subra na shukrani.
Rajab kiboko 👌👍
wimbo huo naupenda sana tangu nikiwa mdogo, kina mwajay kipindi hiki ni wengi mno
Mwa jay kavu maisha yenyewe yapo wapo!!! Sauti nzuri ya jabali na fresh jumbe
Am believe as old is gold....if u know that like ma comment
Nyimbo za zamani ni nyimbo za maono ya sasa za kufundisha. Ila nyimbo za sasa ni nyimbo za aibu tu.
Hawa wakina mwajuma wenyewe tamaa ya kila kitu bila kuangalia uwezo wa mume wapo sana kwa hizi yimbo kitchen part tosha
Muziki hu moto wa kuotea mbali, sauti vyombo vimepangika kweli kweli. R.I.P Marijani Rajab
Ujumbe mzuri machozi yananitoka c mchezo rest in very peace bro kaz uliifanya na mwendo uliumaliza
Tuishi kufatana na uwezo, lakini sio mwaj, mjengo wenyewe ni wakupanga daaaa dunia hiii na mapenzi shida !!!
Good kk
asante wimbo wenye hekima aliyena sikio na asikie, mafunzo si haba nyimbo zake zote zaridhisha siwezi tosheka Afrika tumewapoteza majabli mola mwenyewe akuepushe na mabaya, mafunzo haya anayeyazingatia hapotei
Stem Dhako sana
Uzidi kupumzika kwa amani nyingi marijani Rajabu (rest in peace Marijani Rajabu we loved you but God love you more)
Dozza 😭😭RIP da Mwaju katupa 😁
Bwana mashaka mrudishe tu kwao utatembia kidali wazi mwajay noma hafai
This really song really gives me memories....it's good oooh!!!
Sasa hivi wakina mwajuma wamekua wengi sana ila wanaume tunavumilia mengi tu
mungu amrehemu marijani rajabu kwa utabiri wake
Malegend wenzangu tujuane watoto mtupishe
Haisee Apumzuke kwa Amani Jabali la,muziki
Jphamba huu wimbo ni kisa cha kweli, kulikuwa na mwanamuziki mwenzake katika hiyo band kila akipewa pesa akanunue baadhi ya vifaa vya muziki havitimii, kila akipewa posho siku ya pili anamwendea marijani kuomba pesa mwisho wa siku marijani alimkalisha chini kumuhoji anamatatizo yule akaeleza kuwa mke ndio anampeleka puta kimaisha
Marijani baadae akatunga wimbo huu
Ally Nayomo Upon vzr hata kabla hafafikwa Umauti alihojiwa na akasema hii kitu kwa kwl
@@salmaramadhani3707
Asante kwa maoni yako
Asante kw kutunza kumbukumbu
Marjani Rajab sauti yake hakuna mtu anaeweza kumuigiza
Golden voice of East Africa
Wakina mwajuma ndio waliojaa Kwa maisha ya Sasa
Marijan I really miss you rest in peace good music.
Dah kila kitu kilizihirishwa zamani hivi aasa yanajirudia tuu.hakuna ambacho hwajaimba wanamziki wa zamani kila kitu walimaliza..cc tunayaridia ridia tuu mashairi yao.
Hatari sana, pembeni unakitu baridi
Vituko vyake mwajuma vimchosha mumewe
Wimbo mtamu huu :-)
Sauti ya dhahabu ya Fresh Jumbe (mgosi wa Japan) aimba "Bwana Mashakaa" akipokezana na Jabali Marijan Rajabu, Dar International ilikuwa balaa tupu!
Fresh Jumbe aliaminiwa sana na Marijan maana Marijani alikuwa sehemu kama hizo anaimba mwenyewe
Haya majina ya mwajuma ni shida mm mwenyewe najuta ninae
Hahaaaa pole kaka
ongela Sana mzik wa zaman Sasa ni hatali utafanya utake usitake
enzi hizo wakat nyimbo zilikuwa na ujumbe kwenye jamii cio cku hizi ujinga ujinga tu
Maisha ya meta na FUTA hatari kubwa Dadangu. Dr. Ogeto International
Nasikia sauti ya fresh jumbe mkuu
Wa sasa mapenzi tu na matusi
kweli ulikua jabali la muziki
Mwajuma alikuwa ni mwanamke wa mjini
Hatari sanaaa
jabali , the biggest musician that we have ever had
Daaa.... Hii nyimbo tamu sana alikuwa anaipenda sana kaka yangu wa Mngazi - Kisaki Morogoro
jabari la muziki
Bado zina utamu Sana hizi nyimbo za zamani elimu tosha
Ama kwel old is gold.
I like old songs
hakika Marijani Rajabu alikuwa ni kati ya wanamzuki bora kabisa kutokea katika historia ya Muziki wa dansi ndio maana hata baadhi ya nyimbo zake zilitumiwa na Balaza la mitihani ya form IV
Andrew munga,""kanko tulikuwa tusikiliza kwenye kipindi cha salam mkulima RTD
Andrew Munga mariam
Heya mm nn wimp wa mwanameka niliufanyia mtihan
Ooh mwajuma llo! Pesa hupatikana kwa taabu! Ngoma Kali kushinda kawaida maana wapo sana wanawake wa namna hii
Mwajay jamani tulia basi loh
Hakika mlijaaliwa utunzi na uimbaji!
Hizi nyimbo zina ujumbe wa kutosha
Mwamjuma rajabu marijani
siku hizi wako wengi kama Mwajuma...
Ali Msomali mnbvvc
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣
kweli kabisa
Old is Gold
Hapa nawalaumu waliosoma kurujuani kwa malijani rajabu
the greatest Marijani Rajabu rest in peace
Vizur sana
dah sichoki sikiliza huu wimbo
Eeish...Nostalgic
Bado inakubalika kwa sana
naupenda huu mwimbo
Ni mtamu sana
Mwajuma kweli!
Dah
Yakale ni dhahabu
kama sikosei hii ilikua mwaka 1984
Napenda sana
huyu mwimbaji alikuwa na maono ya mbali xana aixee
Zaman tamu
kweli fasihi aichuji hata
Hakika nyimbo za iliyokuwa Nuta Jazz zinanikumbusha kitambo, nikiwa nimezaliwa Magomeni kota na miaka 6 enzi hizo, nyimbo hizo bado zinaishi na jumbe zenye mafunzo jana, leo hata kesho
Hizi zimetulia
Mwajuma
Gwiji kama gwiji
2020🔥🔥🔥🔥
Hii kitu iko poaa
Mzik wa maish
MImbo ya butamu...Sana
amakweli zakale zahabu jaman daa nakumbuka mbali sana miaka ya samanini hiy daaa
Zamani raha sana
Yah
VP PW song
pathima pathima nikiwa oman naburuduka na muzic wa ziripendwa amakweri nyimbo za zamani zinamafunzo rakini majemedari wa muzc wa dans washatanguria mbere ya haki ingekuwa kunakuchangiya warudi mimi ningekuwa mmoja wapo mwenyezi apunguzie azabu ya kaburi
SIOMSHEZO YAKALE DHAHABU
SIOMCHEZO YAKALE DHAHABU
Ahsante mwana, umeugusa moyo. Je unayo ile ya mwana vibaya(Chakubanga)? Kama unayo ipost
Hi quality, beautiful sound!
brownee20007 kaimba nani?
Hizi nyimbo hazinaga mpinzani,wala hazichuji
😂mwaka huo tulia tunakata mkonge tanga
Ahsante mwana, umeugusa moyo. Je unayo ile ya mwana vibaya(Chakubanga)? Kama unayo ipost
brownee20007 ni kumbushe kesho
Awezi , c'est collé collé ondiree watazikwa pamoja ,,? Ni ujinga kabisa.
Samsungs
Yakale ni dhahabu
Mzik wa maish