SIMU SUMU YA NDOA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2022
  • #simusumuyandoa #moviezakiislamu #mawaidha
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 45

  • @abubakarmaphox7132
    @abubakarmaphox7132 ปีที่แล้ว +1

    Good work. May God Bless you my people. Ni ukweli yapo

  • @suphiantwahiru6093
    @suphiantwahiru6093 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan hapa Allah atustiri, maana hapa Allah ndo anaejua

  • @fatmahali5538
    @fatmahali5538 ปีที่แล้ว +1

    Mawaidha mazuri sheikh mungu akuzidishie umri uzidi kutufundisha mambo mbalimbali

  • @ummuhammad7571
    @ummuhammad7571 ปีที่แล้ว

    Wallahi tena

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 ปีที่แล้ว +2

    Mawaidha mazuri Ila sheikh sio wote wako hvyo tunapaswa tuwe kitu kimoja na wewe pia umemkosea kunifanya mkeo akudhanie vibaya

  • @Rockstar_002
    @Rockstar_002 ปีที่แล้ว +1

    Na enjoy na pia napata mafunzo💓 nzuri jomba changani🌹

  • @suleimanmnyeto8795
    @suleimanmnyeto8795 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah sanaa yenu nakupend Sana Iko n mafunzo kw Allah🙏🙏

  • @shaurimfungoni1772
    @shaurimfungoni1772 ปีที่แล้ว +1

    Akwambia naangalia bet hadi saa nane za usiku......shukran sana sheikh

  • @mapilau5803
    @mapilau5803 ปีที่แล้ว +1

    Walai nawakubali tuu Sanaa kazi nzuri mashallah....nami naomba kolabo

  • @salimchangani5748
    @salimchangani5748 ปีที่แล้ว +2

    Shukran Kwa mawaidha mufti sheikh🙏

  • @user-lc3pt5es5y
    @user-lc3pt5es5y ปีที่แล้ว +1

    Tuheshimuni ndoa waislamu

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani yarabi tusaidiye wanawake wote maana tunapitiya changa moto

  • @biashamwajita7774
    @biashamwajita7774 ปีที่แล้ว

    Ofwiii Alhamdullillah nimefika ❤️

  • @nadiaali9147
    @nadiaali9147 ปีที่แล้ว

    8:41

  • @chandamamzoefu5641
    @chandamamzoefu5641 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani kweli wallahi

  • @maryantony2961
    @maryantony2961 ปีที่แล้ว +2

    Simu ni sumu kweli kabisa katika ndoa, unakuta ukonamwenza wako usiku yeye yukobize kuchezea simu akimaliza analala yani ata ajali uwepo wako, na iyo simu ina password kila kona kama anaweka usalama nisawa lakini mkeo ni vyema kufahamu jmn.

    • @user-xo7ns7bc8c
      @user-xo7ns7bc8c 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisa hapo kwa password kila mahali na mtu hata hana time nawe then usiulize

  • @aishaabdul9650
    @aishaabdul9650 ปีที่แล้ว +1

    Good job my people

  • @user-ty9pp2rl1i
    @user-ty9pp2rl1i ปีที่แล้ว +2

    Shukurani kwa ajili ya Allah

  • @mr.romancer9160
    @mr.romancer9160 ปีที่แล้ว

    Funzo🔥🔥🙌

  • @hamzabedzame2033
    @hamzabedzame2033 ปีที่แล้ว +1

    Ustadh nimependa maelezo umepeana.

  • @shadyasaid5892
    @shadyasaid5892 ปีที่แล้ว

    Swadakta mashaallah

  • @hassanmachafu9378
    @hassanmachafu9378 ปีที่แล้ว +2

    Wacha janja janja mlamu ongea n dada vizuri 🤣🤣🤣

    • @salimchangani5748
      @salimchangani5748 ปีที่แล้ว +1

      Nishamweleza mlamu dadako ni aelewe😂😂😂

  • @resqkinia8981
    @resqkinia8981 ปีที่แล้ว

    Nkusalimia babuu 😂😂

  • @bahatishee1149
    @bahatishee1149 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @zaitunishee4226
    @zaitunishee4226 ปีที่แล้ว +1

    Good job,mwendelezo plz

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 ปีที่แล้ว +2

    Dhana haifai lkn na ww haipaswi kumfanya mwenzio mpaka aeke dhanna kwako. Ndoa ni ya kusgeshimiwa kuliko kazi yako. Kuna masheikh tunawapigia simu na wanapokea wake zao ss ww ulokua hutaki mkeo apokeo simu kwa kua tu unaeza unasaidia watu na wanaeza kutuma msg una nn unachokificha ikiwa huyo anaekutumia msg anajua dhahir km una mke???

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 ปีที่แล้ว

    sio kweli huwexi kuweka lock 🔐kila sehem hapo hauna mume una malaya ndani

  • @swagg797
    @swagg797 ปีที่แล้ว +6

    Napinga hilo sheikh...lazima kila mtu awe muwazi kwa mwenzie...mwisho wasiku mtaleteana maradhi...

    • @maryantony2961
      @maryantony2961 ปีที่แล้ว

      Mimi pia nakataa kama ufichi mambo mahovu kwa mwenza wako basi nivyema mkawa huru wote kama wenza. Maswala yakuweka password kilakona kunavitu unaficha na nivihovu.

    • @NasraMohamedi-eo1nk
      @NasraMohamedi-eo1nk ปีที่แล้ว

      Nakataa pia maana wengi wafanya ni cm Kama vichaka,,waweza mkuta achati uchafu tu na hawala zake,hivyo utakuwa wa kwanza kumuusia

  • @NasraMohamedi-eo1nk
    @NasraMohamedi-eo1nk ปีที่แล้ว

    Kukagua Sim muhimu wanandoa

  • @asiaabdallah8836
    @asiaabdallah8836 ปีที่แล้ว +2

    Wewe nae ongea pointi usilichukulie kirahisi hivo wengine mpaka Sasa tumehathirika nafsi sababu ya kuamini mwanaume

    • @aishaomar9621
      @aishaomar9621 ปีที่แล้ว

      Kbsaa umenena dadangu

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 ปีที่แล้ว

      ukiona jitu halitaki sim mkeo ashike malaya mbwa na locked kila pahala hapo huna mume dada subiri maukimwa makansa uletewe

    • @fatmanagwa5895
      @fatmanagwa5895 ปีที่แล้ว

      Hakuna Siri kwenye cm ya Mke na mume , na wala kuchunguzana huko alikosema M/Mungu sio ndani ya Ndoa usipokuwa makini na Ndoa YAKO kumbe mwenzako anakwenda kinyume. Mwishoe ni kuleteana maradhi

    • @sumaiyaabdallah9520
      @sumaiyaabdallah9520 ปีที่แล้ว

      @@aishaomar9621 kbs

    • @NasraMohamedi-eo1nk
      @NasraMohamedi-eo1nk ปีที่แล้ว

      Swadakta

  • @Jaydaddy906
    @Jaydaddy906 ปีที่แล้ว

    Naitj usidizi wenu kkuza channel yangu

  • @resqkinia8981
    @resqkinia8981 ปีที่แล้ว

    Ni mimi wko mamajey naminia apo babake rukia wow 🤣🤣🤣

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 ปีที่แล้ว

    kwanza kwa nn uweke locked 🔒kma c umalaya ni nn kma huwezi tumia sim bila locked ww ni cha wooote

    • @NasraMohamedi-eo1nk
      @NasraMohamedi-eo1nk ปีที่แล้ว

      Yaan tuwe makini ,,jmn baadhi simu wamefanya Kama Allah haoni wanayofanya