ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
ต่อไป
เล่นอัตโนมัติ
CHAMANI EP 02JIMBO MEDIA
มุมมอง 26K
Harusi ya Beka na KibzJIMBO MEDIA
มุมมอง 14K
MKE WANGU MCHAWIASMA COMEDIAN
มุมมอง 1.3M
【斗罗大陆】抢唐三车拍照欺负唐老六,唐三允许了吗?#斗罗大陆#唐三#唐老六萌萌与舞桐
มุมมอง 3.4M
Live! ถ่ายทอดสดหวย ถ่ายทอดสดการออกรางวัลสลากกินแบ่งรัฐบาล งวดวันที่ 16 สิงหาคม 2567เรื่องเล่าข่าวร้อน
มุมมอง 697K
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭家庭搞笑日记
มุมมอง 42M
LISA - NEW WOMAN feat. Rosalía (Official Music Video) reaction [NEW LEVEL!]Captain Korea
มุมมอง 71K
CHAMANI EP 06JIMBO MEDIA
มุมมอง 14K
SNURA NIKIRUDI KWENYE MZIKI NIKATWE MKONO/BABA MKRISTO/MUME WANGU MTU NA NUSU KANIBADILISHA SANAKishki Online TV
มุมมอง 111K
NDOTO YANGU. EP1HRM FILMS
มุมมอง 3.7K
NISAMEHE SHEMEJIJIMBO MEDIA
มุมมอง 30K
NDOA YA TEJAJIMBO MEDIA
มุมมอง 17K
MUME KATUKOMOAJIMBO MEDIA
มุมมอง 125K
JINI NANA [ ep01 ][ Full HD #KHAMISKINGKING MEDIA TZ
มุมมอง 54K
Kwa ustadh kumeingia MgangaJIMBO MEDIA
มุมมอง 14K
เด็กปั๊มโดดเกาะรถชิ่งค่าน้ำมัน 2,500 บาท | สำนักข่าววันนิวส์ข่าวช่องวัน
มุมมอง 1.1M
เปิดคำต่อคำ ช่อ-หมอวรงค์ ปมยุบพรรคประชาชน l STORY LIVE EP.43 (HIGHLIGHT)Spring News
มุมมอง 435K
“จตุพร” คาดการณ์ ใครคือ “นายกรัฐมนตรี” คนต่อไป ? | ข่าวเย็นประเด็นร้อนCh7HDNews
มุมมอง 665K
Cool barbie shoes! #shoes #makeover #diy #upcycling #handmadeLa La Laugh! Shorts
มุมมอง 4.1M
เรอัล มาดริด 2-0 อตาลันต้า | ไฮไลต์ ยูฟ่า ซูเปอร์คัพ 2024 UEFA Super Cup 2024beIN SPORTS Thailand
มุมมอง 655K
polepole tutafika inshallah 🙏☝️💪🤲jimbo media to the world 🗺
Nipo ndani wa kwanza leo nikisubiria msikose ku like na mnipee likes zangu
😂😂😂uzipeleke wapi
Nilifikiria tanzania ndio wapo na huu ufala kumbe kenya pia
Mumewah nimechelewa nipeni like zangu 😂😅
bujra muhammad na team yako nzima mwenyezi mungu awe umri mrefu nyote, awajalie shahada katika mauti yenu...big up masha Allah.
Aaamin
Ameen
Amiin
😂😂😂fukuza kunguru 🥳🥳🥳aminia jimbo media❤❤
Wow kweli amna baya kwale County ❤❤❤❤
🥰
Pole pole ndio mwendo Inshaa Allah Jimbo Media itakua juu🇲🇴🇲🇴
KWALE Gossip media am here to watch this
KAZI nzuri lakn ingefanywa lugha moja
Identity
Kongole sisi kama wakwale tumeleta tamthilia ya mfumo wa vipindi hongereni jimbo media❤🎉
Chamani by force by fire 😂😂😂😂serikali mpya Ina tabu 😅😅😅
Chamani kma chamani
😂😂😂😂😂😂
Serikali ni ya gachagua 😂😂
nmecheka huyo kunguru waaaaah
Nawakumbali watu wangu mungu awabariki ❤❤❤❤❤
Wakwanza kufika 🎉🎉
Hand Break ya Mayuga mumeiona 😂😂
😂😂😂😂bado awajaiona
Keep going wanangu hongera sana kwa hii wapi likes za Wana mombasa jamn jimbo lishapata wakombozi upande huu
Au sio....Jimbo washaangusha mtiti mwengine.... salute to my home boys and girls
Pungezeni hicho kidigo koz hii series inatazama na watu wengi xo beka punguza kinyumbani
Maoni tuu au n mtizamo wangu
Mashallah kazi nzuri Allah awatangulie awafikishe mlikokutarajia much love guys❤❤❤❤
Nyere na kikanzu😂😂nice job jimbo media❤🎉beka ongea kidigo kiswaili khalas😂😂nawapenda ❤❤🎉🎉
Big up sana Jimbo media my brother nyere ruga nimeona hii 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu awabariki kwa kzi nzuri mashallah awaepushe na macho ya husdra ❤❤❤ nawapenda snaaaa jimbo media
Kazi kubwa sana 💪🔥🔥
Big up wana Jimbo media ,, nice start mengi mazur twatarajia❤
Napenda mkundu pia yupo 😂😂😂😂😂
Congratulations Jimbo tv kwa kutuletea tamthilia hii...Hongera zaidi kwa Beka Ruga kipaji ako nacho na namuona akifika mbali sana,huu uwezo mwanzo mzuri kwa hiki kikundi kizima....CONGRATULATIONS sana kwenu vijana mnaweza
Polepole ndio mwendo,hya ndio kufika ivi japo nmechelewa hongereni jaman mnaweza na mnaweza tena🎉😊 keep it up guyz❤na iwe ndefu kidgo hii imkua fupi
sound Mbaya kamole digodon iko na alots of chpaz nadhani waelewa namaanisha nini alafu huyo beka ruga shnz sana hayuko serious aache ujinga hahaha
Kudzimanya uwe😂😂
good creation story poa fight hard Beka nakutambua
👏👏👏👏👏kali ya mwaka walai 😂😂🎉🎉🎉
Ma sha Allah muko vizuri kazeni buti mtafika mnapoazimia in sha Allah
Chaman yuaongea na capital😂😂😂❤❤
Ayeeeee tunaanz nayo🥰
kazi nzuri.. kila hatua dua
Nliskia vbaya sana jana wi-fi ilipokata, ila leo mm uyu, hongera kwa kazi yenu mungu awape nguvu mzidi kusonga mbele inshallah
Nakubali Sana wanangu mumetuwakilisha vzr kaz nzuri mungu awazidishie 🙏🙏🙏🤳🤳🤳🤳🤳🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨
Najivunia kua mkwale kupitia nyie jimbo media big up ❤
Kaz nzur🎉
Bekar me hicho kijiji lazima nihame chamani kama chamani😂😢😢😢😂😂 mumeweza nawapenda 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Pongezi kubwa jimbo media .... Dogo dogo mtafika mbali inshallah ❤
Kazi nzuri 👏👏👏
Nakubali Sana Tu keep it up Jimbo ndio mwanzo mzuri ,mungu awafungulie zaidi mzidi kutuburudisha
imeweza 🎉🎉🎉ila chamani sasa 😂😂😂😂😂
Mko vizuri ♥️♥️
Mashallah kazi nzuri na nnavyoipenda ningekuwa karibu ningejiuga nanyi😊
Mashaallah...Kazi nzuri
Pongezi kwa jimbo media mko vizur mashaallah ❤❤❤❤ mimi pia nisenge kubali beka akawa charman keeeee 😂😂😂😂😂😂😂😂hapan😊
Great move jimbo media ❤🔥🔥🔥🔥
Shemela wangu mlevi mtiifu😂🎉Romancer ❤nyere 😊
Mashaallah uko juu kinomanoma❤❤❤❤nawapenda bure🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂 huyo chamani mpya kizazaa
Maa Shaa Allah kongole kwenu nyote muloshiriki❤❤❤
Allahmdllah nilivyoisubiria hii movie
Kakaaa @Mtiifu 💪💪💪
Huu ni motooo😂😂😂bujra and the team hongereni sana ila hapo kwa mtiifu kama cameraman hajalewa huyoo😂😂😂😂
Big up Jimbo midia 🎉
Wanangu Sana Jimbo Mungu Awape Maisha Marefu Yenye Mafanikio
Sema uyo chaman mumempata kwa kweli
Mumeweza ilikua naisubir kwa hamu Ila nmechelewa ,,,,nawapenda sana❤❤❤❤🎉🎉🎉
Kazi nzuri
Uchamani una mambo... Ka of nzuri Jimbo Media
Boadgurd hana pa kupumua jamanii😂😂😂 kidogo kidogo utasikia boadgurd😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri @Jimbo Media 🪔
Jamaa wa fukuza kunguru kanikosha🤣🤣🤣 kunguru mwenyewe sasa😅🙌...haya bismillah tumeanza Mola Atuongoze kwani ndie tegemeo
Beka na masoud nyere hiyo part yenu imeweza mashaallah ❤❤kazi nzuri 🎉🎉🎉
Kazi safi❤ ❤❤
Allah awazidishie nguvu akili kwenye kazi zenu❤❤
Big up chaman😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Inaweza video ❤❤❤
Kwl mwaweza
Uchamani Una mambo 🎉🎉🎉
Kazi nzurii sana ❤❤
Mashallah kazi nzuri sana ❤❤ guys
Nimechelewa but alhamdhulillah nimefika mashallah kazi nzuri jimbo media Allah awaongoze zaid❤
Kazi nzuri hongereni 🎉🎉🎉🎉🎉🎉kiboooo kazi unayo😅😅😅
Jaman kupitwa nayo bt Mungu awazidishie vipaji vyenu🙏🙏🙏
Ama kweli kijiji kimepata Chamani 😂😂😂 Salute sana @Beka Ruga.🫡
Nzuri keep it up chamani nae hatari😂😂😂
Nmechelewa ila nmefika hongereni sana wana Jimbo media🎉🎉🎉🎉🎉
Keeeh kama chamani ndie iyu beka ruga hiki Kijiji kitakoma. Banda Kuna adabu serekali inanena nawe unatia mlomoo. Hahaha one love wote mlio shiriki pole pole mtafika mbali ata mmbuyu ulianza kama mchicha.
Congratulations to all stars, wallahi mumeweza good job,
Mambo fire by force 😂😂😂
Nachelewa lkn nimefika big up jimboo media
Aaah chamani Beka❤😂😂
Nice job congrats
Ma Sha Allah ❤ mnaweza 👌👌👌👌
mashaAllah kazi nzuri sanaaaa 👌👌👌👌
Mashaallah muko vzr sn .mumewenza 🇰🇪 🇸🇦
Congratulations you guys aki
Kaz nzuri 👏👏
Kaz safi san team jimbo❤❤❤❤
Jimbo Media you did very good nice for first episode big up the entire team In Shaa Allah twatarajia moto zaidi kwa episodes zinazokuja.
Mashaallah kila kitu ni pole pole kwale got talent daaaaah mayuga anapiga Chapo mkewe daaaah na ngoja episode 2
Chamani anaweza kabisa😂❤😂❤🎉
Kazi nzuri sana Kila hatua dua
Mwajua kurauka😂😂😂
Banae
Great job 👏👏
Mm JAMALI Niko mbali kaka Beka sukuma gurudumo 😅
Kwa hiyo n wewe
Mashallh ❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥kazi safi