PATO LA WAKAZI WA DAR ES SALAAM LAONGEZEKA KUFIKIA MILIONI TANO KWA MWAKA, KWA KILA MTU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 10

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 ปีที่แล้ว +1

    Ndiyo wakenya wanajisifia GDP yao kubwa ila kiuhalisia maisha yao yako chini sana hata unga,mafuta nk ni shida kwao

  • @latifalayla9990
    @latifalayla9990 ปีที่แล้ว

    Wazingire mataani wajue takwimu za watu wanaishi je ndo watajua pato la kila mtu kwa mwaka ni kiasi gani. Wasiongopee dunia kwa upuuzi wao. Bado tuna hali mbaya mno tupo vizuri maybe kw matumbo yenu mnaona wote tupo vizuri shuwain sana.

  • @amemasudi5735
    @amemasudi5735 11 หลายเดือนก่อน

    Ingieni Mitaani msikae kwnye Viti halfu mseme pato limeengezeka linazdi kushuka kika siku acheni ujinga mtu kula ya siku inamshinda upuuzi tu

  • @icesue6613
    @icesue6613 ปีที่แล้ว

    Punguzeni unafiki na kujipendekeza. Khali ni tete. Mnadanganya Pato limeongezeka. Data za uwongo. Waandishi wasio na mtazamo.

  • @Rodgersulomy
    @Rodgersulomy 11 หลายเดือนก่อน

    Wanajuw tunaingiza shingapia kwasiku

  • @HumoudHamoud-hr7yr
    @HumoudHamoud-hr7yr ปีที่แล้ว

    Kwani wapo mfano wangu wengi, wanaoshindwa kupata 14,000/= kwa siku?

    • @HumoudHamoud-hr7yr
      @HumoudHamoud-hr7yr ปีที่แล้ว

      Kama hamna take wimu, zina Sema kwelii' ila kama wengi ni kama mmi basi ndio ivoo 😂

  • @AjiaMohamed-rt5pb
    @AjiaMohamed-rt5pb ปีที่แล้ว

    Uongo huu dah

  • @latifalayla9990
    @latifalayla9990 ปีที่แล้ว

    Wazunguke mitaani

  • @latifalayla9990
    @latifalayla9990 ปีที่แล้ว

    Ni uwongo mtupu.