ZIARA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI MKOANI KATAVI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Katavi ambapo anafungua na kukagua miradi ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali ya Katavi na Wilaya zake

ความคิดเห็น • 16

  • @abuyabally5086
    @abuyabally5086 4 ปีที่แล้ว +2

    mungu naomba umpe afya na nguvu azidi kutuongozaa aisseee mm nakukubalisana mh raisi nauhakika utatupelekaa kwenye uchumi wakati hiloo naihakikaa umetufanya tulikua wavivu wakazi sasa nikazii tu kwa slogan yako imetufanya watanzania tuipende kazi tuwe wazalendo baba salute kwaako i love uuuuuu my president this is comming deeply in my heart we support u huku mitaani tunakupigania kilamtu sasa anaona mambo unayofanya

  • @mcjabbyevents4938
    @mcjabbyevents4938 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu aendeleee kukuteteea baba kipenzi cha wengi ktk kutekeleza majukumu yakoooo mhe Raisi JPM

  • @kahemachowdry273
    @kahemachowdry273 4 ปีที่แล้ว +1

    hongera RAISA kwa kuwaelekeza Tanapa WAWAPE WANYAMA MATUNZO wenyewe hawajiongezi na iwe nchi nzima

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa9657 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukujalia afya njema na kutuongoza vyema kama ufanyavyo. Asante sana Magufuli,hakika wewe ni kiongozi mzalendo kwa Taifa letu.

  • @mcjabbyevents4938
    @mcjabbyevents4938 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendeleee kukuongoza daima

  • @alawibukende7917
    @alawibukende7917 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu jalia Mh Pombe Magufuli afya tele

  • @zenobiakapere585
    @zenobiakapere585 4 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu kwa kutupatia JPM!!

  • @abuyabally5086
    @abuyabally5086 4 ปีที่แล้ว +2

    baba ww unahuruma sana nashangaa wasiokuelewa umefanya busara eneo kubaki kwa wanachi wengi na huyo mmoja ukampa sehemu nyengine hakika hii ni hekima kama ya nabii suleiymani wote wawili watapata wanachi wataendelea na huyo mwekezaji atapata eneo lengine awekeze jamani watnazania tunataka kiongozi gani kama magufuli tusije kufanya makosa kama ya walibya wanalaana ya gadafi mpk kesho maagufuli oyeeeee daresalam oyee kariakoo oyeee makonda oyee tanzaania hooyee

  • @eliudottonatus4265
    @eliudottonatus4265 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpanda tunahitaji sana ndege baba magufuli

  • @eliudottonatus4265
    @eliudottonatus4265 4 ปีที่แล้ว +1

    Naungana na raisi magufuli ,wakulima walipwe hela zao

  • @kahemachowdry273
    @kahemachowdry273 4 ปีที่แล้ว +1

    Viongozi wasiotatua kero waondoe mapema'watakupunguzia kura

  • @revocatusedward5739
    @revocatusedward5739 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda jamani mama zangu

  • @eliudottonatus4265
    @eliudottonatus4265 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Baba kwa wazo la Bucha la nyama pori

  • @mcjabbyevents4938
    @mcjabbyevents4938 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakuombea udumu milele baba kwa uongozi uliotukuka

    • @user-mb9ti3jc7g
      @user-mb9ti3jc7g 4 ปีที่แล้ว

      hakuna ki umbe kitacho dum milele hapa duniani

    • @user-mb9ti3jc7g
      @user-mb9ti3jc7g 4 ปีที่แล้ว

      bali tumuombee uongozi mwema kipidi cha uhai wake