#ZaNdaaani
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ค. 2023
- www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - กีฬา
Kila la kher mayele naamini yanga imekuweka pahala sahihi na tunabaraka za kukuombeya ukafanikiwe na siku moja utarudi na tutakuwa pamoja
Haswaaa acha kbs tunaojua mpila tunaongea maneno kama haya safi sana mdau pongezi kbs Mungu amuongoze zaidi
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Asante munguuuuuuuuuu.....umejibu maombi nabbi hayupo na mayere nae kaendaaaaa
Duuu kumbe mlikuwa mnapenda waondoke loo
😂😂😂😂
😆😆😆😆😆
Kipigo kipo palepale no mara waaa!
Momo😢😢 fala kweli
Kama noma naiwe nomaaaaa😂😂😂😂😂
Chawa la yanga ilooooo
Pyramid hiyo inamtaka manywele😂😂
Mnao amini Ni cord ya mayele nipeni like
Na vip kuhusu chama
😂😂😂😂djuma na mwenzke wameogopa
hatari
Hapo yanga wamefanya la maana
Pigo kwa tanzania nzima kutetema tutamis
Pigo kwa tanzania??? Khaaaa kimeo kwel ww😆😆😆😆
nani uyo
Msimu ujao sio kutetem tu at sakho na cham mmoja wapo anawez ondok
😂
Eeeeeeeeeeeeeeh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🐸🐸🐸🐸🤣🤣 vyura FC walipambana Ila MISHAHARA WA kulipa hawana😭😭😭😄😄🐸🐸🐸
Kama ww unavyoshindwa kumaliza na chama .... Na ulivyo shindwa kumlipa miqson
Ila nasikia jamaaa si alikuwa kwa mkopo ni mchezaji wa AS Vita
Kashacheza misim 2 why asilud vita auzweee haraka wapate helaaa🤣
Kama ndivyo makubaliano na mauzo yangefanywa na hao as vita, mbona k8lakitu kimefanywa na yanga na mpunga pia unakwenda yanga,jaribu ku chalange
Mayer kalala
Pyramids hao mamaeee, walimchukua Ramadhan Sobhi kutoka Stoke City..... Haya ndugu zangu Mayele ndio basi tena
Hata mayele hakuzaliwa na yanga alinunuliwa ,,,hivyo suala la biashara ni sehem ya mchezo wa soka atakuja mwengine atacheza na ataondoka ndo mfumo wa mpira ulivyo duniani koteee
@@mwanangusana mbona unaongea kwa huruma😆😆😆😆
Chama yangaaa # so xwala
😂😂😂😂😂😂
Fala wewe momo😂😂