Kidis - Penzi Langu [Kachiri Wangu] HD...SMS SKIZA (1060284) To 811..
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025
- Wanasema Kipya Kinyemi,,Mbona Kwako Mimi#KingOfVocals #PenziLangu #TheJembe
Penzi Langu (Kachiri Wangu)
Re-Mastered
Perfomed By Kidis
Produced By Noizer
Green House Rec
Follow Kidis:
Instagram : / kidisofficial
Facebook: / kidisthejembe
Twitter: / kidissimbiga
Intro
Waacha Mia (100) Skiza Pini Hiiiliii..
Waacha Mia (100) Skiza Pini Hiiiliii..
Chorus (1)
Penzi Langu Kwakoo,Nimefika Na Tena Badoo..
Watachonga Watasema Watasinziaa..Wacha Mzozo Na Maneno x2
Verse (1)
Nimechoka Na Ya Dunia Waona Mama Navumiliaa..
Nimechoka Na Ya Dunia Waona Mama Navumiliaa..
Asilani Mi Sikuachi,,Wenye Vinyongo Wataumiaa..
Asilani Mi Sikuachi Wenye Vinyongo Wataumiaa..
Nipeleke Pole Pole,,Kwako Mimi Najivuniaa..
Nipeleke Pole Pole,,Kwako Mimi Najivuniaa..
Ni Mapenzi Yangu Na Wewe Wengine Wana Waniaa..
Wana Hila Achana Naoooo..Eeeeeeeh
Chorus (2)
Penzi Langu Kwakoo,Nimefika Na Tena Badoo..
Watachonga Watasema Watasinziaa..Wacha Mzozo Na Maneno x2
Verse (2)
Wanasema Kipya Kinyemi,,Mbona Kwako Mimi Sisemi.
Wanasema Kipya Kinyemi Mbona Kwako Mimi Sisemi..
Songa Mama Unipe Raha,, Twende Kulia..
Songa Mama Unipe Raha,, Twende Kushoto..
Nakupenda Wangu Wa Moyo Weeeeeeh..
Chorus (3)
Penzi Langu Kwakoo,Nimefika Na Tena Badoo..
Watachonga Watasema Watasinziaa..Wacha Mzozo Na Maneno x2
Verse (3)
Wacha Moto Taratibu,Mimi Ndio Wako Mtabibu..
Nishike Mkono Taratiiibu..
Nakupenda Kachiri Wangu, Nakuhitaji Kachiri Waaangu..
Nakupenda Kachiri Wangu, Nakuhitaji Kachiri Waaangu..
Autro..
Ooohooo...Kwa Mara Nyingine Tena,,Ndani Ya Nyumba Ya Kijani..
Na Producer Noizer..Ebwana Eeeh..Am Outta Here..