@@KidisSimbiga umekua muda tangu kuskia umetoa kibao unakaribia mwaka mzima sasa,,, rudi mwanangu industry ya pwani kenya kwa jumla iko vulnerable tangu ukimye jameni
I think you need more recognition with the new current audience, nikiskiza izi ngoma naskia sauti ya mkenya halisi, aaaah unapendeza bro, your sound is so kenyan man, waaah
Wanasema jembe litavunjika....Tutalima vipii hilo shamba,wewe ndo Kidis The Jembe..... Juhudi zangu mie zimenipa nguvu na uhakikaaa.....#AHitOfTheMellenia
I decided to check out your music after coming across the big hit "kamua leo" after many years. All i can say is kenyans and the music industry failed you Jembe. Your music is very well produced and always has substance. I hope that you make a comeback maybe collabing with well known artist. All love legend ❤️ 🙌🏾 🇦🇺 🇰🇪
daaaaa, ngoma niliiona kiss tv. nikaisaka kwa mda sana. leo nimeipata. KIDIS bro, wewe ndo jembe, wengine feki. kali sana. MUngu akujalie nafasi nyingi zaidi utupe midundo mikali mikali zaida ya jana
I came here from tiktok on ustadh maithee trucking😅
Me too, that guy is a vibe.
Me too
Tuko wengi kwa queue
Same😂😂 huuuuhaaaaaaa
Tunafanana...
Ule presenter wa mseto ndio alikua anafanya hizi vidio zikue hivi flat.
Shout out to those who don't know who ustadh is but been listening to this masterpiece for years
Ustadh Maithe amenileta hapa
Kenyans 🇰🇪 courtesy of Ustadh Maithe will make this song trend. Watch
Ndio Kudonjo Maeneo tumetumwa na Ustadh Maithe❤ nice song!
Nimefika huku juu ya ustadh
Kumbe tuko wengi
Welcome
Ustadh 💪💪
Umta ndio amenileta huku
Wewe niko 😂
Wapi likes za Ustadh wewe❤❤❤. Ustadh Maidhe to the world 🌎
Who's Ustadh?.
Jama flaan ako tiktok n dereva sai ako europe anapenda hii song anaelimisha watu kuhusu road n magar mazur kwa road muangalie utamjua @@JoelNjane
because of ustadh maithe trucking niko hapa❤❤❤
Wow, very nice song. I knew this song through Ustadh Maithe Trucking. Hii ngoma iko sawa sana.
Ustadh Maithe ametuunganisha tena
😊😊😊😊hii wimbo inaniiongeza moyo kweny utaftaji wangu,😢I say big up to you kids unaweza bro🫶🫶🫶
Ustadh Maithee fans pita na like
Nimeskia huu wimbo radio maisha na clemmo 254
Ustadh maithe tuko hapa juu yako
Pale tik tok anatumaliza na hii big tune....ustadh maithee trucking
Naskiza tena hii ngoma 2023
Naskiza huu wimbo tena 2024....kidis de jembe
Ngoma la Ustadh maithe 💯
Ngoma Kali Jembe Naja hukupeleka kupitia Ustadhi Mwenyewe 254..
UMTA254..... Ustadh Maithe Trucking kanikumbusha Legend Kiddiz the Jembe.
Bonge la hit
Like ya Ustadh maithe❤
ustath maithe trucking and adventures
Ustadh...huuuuhaaaa!
Mpaka waishe😅💪💪💪
Barsheba nakubali maskani kidis na tingo3
Mia 💯
Wapi nduru ya ustadhi maithe trucker
This guy got talent 🔥🔥🔥
100K Mwoto... Bidii
XBenjoes
Ustadh Maithe umenikumbusha mbali sana. Big up Kidis The Jembe!
Ustadh umetuleta wengi hapa
Nakubar kidis the jembe Tudor ndo wa kwangu mtaa
Replay Mode any day
UMTAA 254 Bigup @Ustadh Maithe🇰🇪
Miaaaaaaaa....👊👊👊👊
I'm here 2o23 I'm still 🎧🎶🎼🥰❤️🔥❤️🔥🫶🫡🫡
Asante ustadh maithe. Ni hapa juu yako. Umetukubusha mbali. Hii song should trend ama vipi. Kidis ako wapi... Ajitokeze
💥💥💯
Mziki tamu Jembe 🔥🔥🔥🔥siku zote
Ustadhi maithe kanileta hapa
Hapa ndipo jembe imepata shavo, "Ustadhi maidhe trucking 254 mpaka waishe" ❤ ndio umelita hadi uku.
A good song will never fade away ,years and years to come I will keep this song,last seen 2024
Miaaaaaaa ✌✌✌✌✌
This song makes me wake up and do all my chores 🔥💯
Blessed
@@KidisSimbiga kidis ulipotelea wapi
We are missing your mad tunes
@@addifela9309 Nipo Saaana Mbonaaaaa
@@KidisSimbiga umekua muda tangu kuskia umetoa kibao unakaribia mwaka mzima sasa,,, rudi mwanangu industry ya pwani kenya kwa jumla iko vulnerable tangu ukimye jameni
2023 this banger is a hit alafu dem pia aliblend poa na kasautiii big up
Wagwan bro......Ngenje Mtaa!!!! Ngoma plus video imetulia sio lazima video uitolee kwa God father.
kidis the jembe.......wanasema jembe litavunjika lkini wapy......wewe ndio kidis the jembe
kapsaaaa... nakubaliana na wewe mia kwa mia
Thanks Sir
Kidis the jembe.... Bado inalika.
@kidis the jembe we need more from you as your funs
Salamu kwa Ustadh maithe
jeeeeeeembeee kidis ....Congo wapo vijembe pia ....tune yetu sote hii .
Wise decision kutoka grand pa like hii ngoma than beats za grand pa
Ustadh maithe brought the tune back 🤝.
no one can do it better than Kidis The Jembe! nyc ting
huyo dame banaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!! ana ni uwa tu ............
Kidis the jembe! Hatari mno kaka.
Mpaka waishe, hata wakiungana!
just heard this song in the mat and was seated next to the speaker,you can imagine! MASSIVE
Michael Paul Yooooh,blessed🙏
Amz#ni mjawi#those of us who knw him well#..can confirm#...
Nimeletwa from tiktok but nyimbo naitambua back then nikiwa Stafford Virginia salute.
eeeh bwana weee uko mzuqa boss yangu nakutambua kwa makamuzi
hili dude kali kamanda kale kabindi kananengua lile uno mwanangu kitaa
I think you need more recognition with the new current audience, nikiskiza izi ngoma naskia sauti ya mkenya halisi, aaaah unapendeza bro, your sound is so kenyan man, waaah
Ustadh maithe brought me here imagine 😢😢😢😢😢😢
kidis ndio jembe kipaji amepewa na mola mbona kila kukicha mna mbania
2024 still here lakini mziki wa coast kuna dope artists lakini hawadumu kwenye game sijui shida iko wapi
cant believe am still turning up to this bang!!
I have always followed Kidis. Please fanya kazi na Dufla itatokelezea vyema. Good job
I will Sir
Huwa narundia kuwatch hii song kila week cjui kama nitawai miti the jembe haha kangemi ndio mtaa
kijana mwenye sauti tamu,utashangaa yuko mbioni,mkali wao wao
Listened to the song at the moment I was going back to school 😔🚸I went to class singing from class to class! Mulot Boys 🎶😎
KIDIS NJOOO TENA 254 .
Nakumbuka long time ukikuja na susumila club Lebanon Ganze mkiwasha moto.Rudi kwa sanaa my big bro.Bado uko juu saana
Ustadh maithe 💥🔥💥
Salute Ustadh Maithe kino kii
Salute to Jembe👍
Ustadh maithe kanileta huku leo mie
Jembe, Jembe kweli broo. Big up.
Shukran brother
Yaaani bado hit tuu...aminia jembe.🔥🔥
2021.where is this talented guy?
Ukimtaka sema nimtafute
On Air Always Sir..
Wanasema jembe litavunjika....Tutalima vipii hilo shamba,wewe ndo Kidis The Jembe.....
Juhudi zangu mie zimenipa nguvu na uhakikaaa.....#AHitOfTheMellenia
From TikTok Ngoma imeweza
Mi nashindaga hapa DAILY!!!
Why
Kati ya wanamziki ninao wakubali Sana....kidiis
The Jembe. Nakubali bro.
Hii ngoma naipenda kwa sana #Kidiswho #The Jembe 💕💕
think this my favorite of all your songs @Kidis, #Exikusi_me hehe nice
More fire
Thanks Mariam
Strong advices Mr ustadh keep up
2022 still rocking...such a magical voice
Thanks Mercy...
Where you at brother, more songs
manze iyo n goma iko juu t sana...kidis MUNGU akujalie uweze kufika mbali poa huyo dame ni bomb
Kweli dada. Huyo binti duh!
jamaaa anamelody kali kweli
that chorus is so siiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiCK #genjemtaa
Jembe jina la huyo mrembo ywaitwa nani
Anaitwa Vivonce or Vivian Wandia..
we miss this good music bro regesha sheba city kwa map bro
The jembe
Ustadhi👍👍 mpaka waishe
Kweli mungu mkubwa
Mziki wako nishanz kukubali nakukubali mwanangu mitaa frani kisauni usisahau wanao
Ooooyoh,kama kawa mwanakwetuuuu
Mazee uko juu 2sana big up broo
Hiyo ngoma ni safiii...kudos
Thanks
Who is hear in 2021 hot song
Kidis always on top of the game,,Bado niko hapo 2021
N'meipenda sana kakangu KIDIS. Mteheremezi akuzidishie, akulinde, akutunze, akupe Nafasi zaidi ufanye kile ambacho we hufanya kwa ustadi.
I decided to check out your music after coming across the big hit "kamua leo" after many years.
All i can say is kenyans and the music industry failed you Jembe. Your music is very well produced and always has substance. I hope that you make a comeback maybe collabing with well known artist. All love legend ❤️ 🙌🏾 🇦🇺 🇰🇪
daaaaa, ngoma niliiona kiss tv. nikaisaka kwa mda sana. leo nimeipata. KIDIS bro, wewe ndo jembe, wengine feki. kali sana. MUngu akujalie nafasi nyingi zaidi utupe midundo mikali mikali zaida ya jana
Aamin brother 🙏
Jembe ni goma kali sana...2023
Kiddis can you push,,, push,,, u r much talented