MBINU HII YA MAKONDA HAIKUMSAIDIA MAGUFULI, HAITAMSAIDIA SAMIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 241

  • @MohamedKitenge-o9j
    @MohamedKitenge-o9j ปีที่แล้ว +14

    Uko vizuri Ngulumo

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa ปีที่แล้ว +3

    Good analysis

  • @kakawataifa6752
    @kakawataifa6752 ปีที่แล้ว +7

    Idi Amin wa Tz ameenda zake amebaki maliya mungu na baraba

  • @mbaraksalum-of3sv
    @mbaraksalum-of3sv ปีที่แล้ว +11

    Huyu kijana ni mpuuzi kama walivo wapuuzi wengine tu. Na kama waliweza kuwaumiza wakati huo anatakiwa ajue kua wakati huu HATOWEZA maana hatutokubali tena kua KONDOO wa KAFARA.

  • @raufuuledi8098
    @raufuuledi8098 ปีที่แล้ว +6

    Aiseee tena

  • @sydneysamson1761
    @sydneysamson1761 ปีที่แล้ว +7

    Mimi binafsi nakuombea Kwa Mungu akupe umri mrefu,wewe ni Mtu Muhimu mno katika kutupa Elimu sisi Hohe Hahe.

    • @hamisijuma8124
      @hamisijuma8124 ปีที่แล้ว

      Hanalolote ndio Maana alitoroka nchi wakati wa magufuli mbona hagombei uongozi akatusaidia mnafki

    • @philbertcelestin7057
      @philbertcelestin7057 ปีที่แล้ว

      Wewe ndiye unampangia jambo au kazi ya kufanya?umechoka

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 ปีที่แล้ว +4

    Kila siku nakufatilia na pata elimu tosha kujua siasa na makosa ya viongozi wetu lakini nchi hii ukisema ukweli utauliwa ila mungu yupo pamoja na ww atakulinda%

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 ปีที่แล้ว +3

    Ndugu yangu umekuwa Kama nabii atokaye juu.mwenye masikio ya kusikia na asikie.

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 10 หลายเดือนก่อน +1

    Don't correct your enemy when is doing mistake. ..... Napoleon Bonaparte

  • @yapukahassan
    @yapukahassan ปีที่แล้ว +7

    Ha2na viongozi hapo 2na genge la machawa na wahuni

  • @leahsangawe9609
    @leahsangawe9609 10 หลายเดือนก่อน

    Tunakupenda Sana Ngurumo. Uchambuzi wako inatupa mwelekeo wa Taifa letu bila kutumia nguvu nyingi kwa maana una ainisha kila Jambo. Mungu akupe afya na maisha marefu 🙏

  • @wanainchitvrdc6705
    @wanainchitvrdc6705 ปีที่แล้ว +7

    Excellent analysis

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 ปีที่แล้ว

      You are praising the man you don't know his background. He is the puppet of Western countries!!
      The man is the supporter of opposition. Why care and discuss matters of ccm- none of his business he should shut up.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz ปีที่แล้ว +6

    Inasikitisha

  • @GabrielMassawe-pg9pt
    @GabrielMassawe-pg9pt ปีที่แล้ว +2

    Huyo kijana ni mjinga hajielewi

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 ปีที่แล้ว +8

    KUNA VIJANA WENGI WAZURI PALE LUMUMBA WAMESOMA VIZURI MNO WANAVYETI UELEDI NA INTEGRITY LEO UNAMCHUKUWA Makonda Kwa lipi? Mama Samia niite ikulu

    • @awazioga1823
      @awazioga1823 ปีที่แล้ว +1

      Amna jipya nyinyi chadema ingawa Mimi sio ccm Mimi ni mfuasi wa magu

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว +1

      ​@@awazioga1823NDUGU TUMEFANANA SANA, ITIKADI YAKO KAMA YANGU. FUATILIA KILA NILIKOPITA HATA HUYU AKIMKOSEA ADABU JPM HAPO TU ANAKUA ADUI. YANGU. NAOMBA TUFAHAMIANE PLZ. MUCH LOVE.. VIVA JPM❤❤❤

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 ปีที่แล้ว +5

    Watu wengi waneteswa,
    wanaendelea kuteseka kuumizwa na kudhulumiwa. Utu wao umekuwa compromised

  • @THADEOCHUNDU-eu3ez
    @THADEOCHUNDU-eu3ez ปีที่แล้ว +3

    Days are coming.

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 ปีที่แล้ว +4

    Hiki kihuni kimetokea wapi? Kikiendelea sisi tuzae nacho. ila naona kama kimetangulizwa kitupe jiwe ili waone manyunyu yanatokea wapi. Wajue wataona mvua za elinino.

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd ปีที่แล้ว +2

    Akina msiba wako wengi

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa anamfahamu musiba cyprian kweli ... na yupo wapi kwa sasa ?

  • @Alexandermwaru
    @Alexandermwaru 3 หลายเดือนก่อน

    Napenda kindi shako mzee

  • @Mkorajr
    @Mkorajr ปีที่แล้ว +4

    AKILI KUBWA HII

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 ปีที่แล้ว +5

    TZ yaccm ninchi yenye watawala wenyevituko,wanalipa mapolisi mishahara kiduchu ili waendelee kuwatumia yaani wanawapa vicenti vyakuwahonga walazimike kuwalinda kihalamu, mapolisi wanaishi kimasikini iliwatumikekihalamu kwasabbu yanjaa,

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 ปีที่แล้ว +1

    😲we vipi mhuni si wewe unaye ongelea Mbali🤯huna hurumaTanzania

  • @KapondaZenaida-g3z
    @KapondaZenaida-g3z ปีที่แล้ว +2

    TANZANIA

  • @africaonechannel1289
    @africaonechannel1289 ปีที่แล้ว +3

    Ngurumo, angalau nikushukuru kwa kueleza na kufafanua Kazi na Majukumu ya Katibu Muenrzi wa CCM●
    Leo nahisi kama NIMEKUSOMA hivi!!!

  • @ezraochora8495
    @ezraochora8495 ปีที่แล้ว +4

    Hawa.watu.wa.ajabuajabu.hawa.wameanza.kurudi.maskini.

  • @ramadhaniomari3974
    @ramadhaniomari3974 ปีที่แล้ว

    Dah hatr sana

  • @DausonShensherwa
    @DausonShensherwa ปีที่แล้ว

    Mh uko sawa tunakuerewa mungu akupe baraka

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว +1

    Wewe Ngurumo huipendi nchi usko kabisa.Huwapendi watanzania.Acha kutuvuruga.Hela unayolipwa kwa kutuvuruga NI laana Tu.Funga mdomo ndugu yangu ka ufanye biashara nyingine.😢

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 ปีที่แล้ว +8

    Makonda utoto unamusumbuwa

    • @knight6757
      @knight6757 ปีที่แล้ว

      👀

    • @othmarluwawilo8308
      @othmarluwawilo8308 ปีที่แล้ว +1

      Siyo utoto, ni ujinga. Huyu ni Bashite aliyefeli mitihani.

    • @knight6757
      @knight6757 ปีที่แล้ว

      @@othmarluwawilo8308 👀🙄

    • @kaliskaguzkalis4424
      @kaliskaguzkalis4424 ปีที่แล้ว +1

      Mtu mzima yule si mtoto

    • @knight6757
      @knight6757 ปีที่แล้ว

      @@kaliskaguzkalis4424 kimwili ....👀

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 ปีที่แล้ว +1

    Hii takataka haiko CCM

  • @kingmzebez7786
    @kingmzebez7786 ปีที่แล้ว +1

    Time will tel sikio la kufa acha inyeshe fundi yupo.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 ปีที่แล้ว +1

    MSIKILIZENI KWA MAKINI SANA 🤔🤔🤔🤔

  • @chinchon2126
    @chinchon2126 ปีที่แล้ว

    Ha ha ha uchawa huooo anasahau kua people power

  • @JaffariBuyogera
    @JaffariBuyogera ปีที่แล้ว +1

    Mhesbiwa Rais kaa chini chunguza tuhuma hizi tusije kuwa tunajitafuna wenyewe. Sio wote tupo safi akina Julius Ceasor wapo wengi Roman empire.

  • @kombidin..2583
    @kombidin..2583 ปีที่แล้ว +1

    Uliannza muziki wa Nape/Kinana,ukaja muziki wa Polepole,na sasa muziki wa Makonda,jipangeni acheni kkupiga nduru

  • @carolinerubeya7817
    @carolinerubeya7817 ปีที่แล้ว

    Wewe nae🤫🙄ovyoooo

  • @LazaroJohn-k5u
    @LazaroJohn-k5u ปีที่แล้ว +4

    Wahuni wamejaa lumumba

  • @mnipulamahahi9858
    @mnipulamahahi9858 ปีที่แล้ว +1

    Mm nasema kiukweli kwa uteuzi wa makonda huyu mama sijuwi kama alifanya kwa hiari yake niaibu kwake unamchagua mkatili huyu kumpongeza kwa ukatili wake

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 10 หลายเดือนก่อน

    It’s helping CCM, they will be in power for ever. I can’t see Lissu et al winning any seat! They will rort in opposition(if there is any)?

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  10 หลายเดือนก่อน

      There's nothing like being in power forever. No one lives forever. The party is not a divine entity. Tuache kuanika na kueneza ujinga huu.

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 ปีที่แล้ว +1

    Inasikitisha sana

  • @kokutonanshubemuki
    @kokutonanshubemuki ปีที่แล้ว

    Leave Magufuli out of your nyash😏

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi Tanganyika niliyoishi miaka yote. Kama hatukutishana wakati wa harakati za kuanza vuguvugu la vyama vingi leo tunatishana wakati wa vyama vingi ati utazaa na watu. Maana yake nini? Ni kitu gani ulicho nacho mwanadamu mwingine hana? Hata kama una lisasi nyingi sana ukiuwa utapata kufurahi. Mungu siku zote alisema yeye ni upendo. Kinyume na hivyo wewe ni muuwaji! Ukiwa muuwaji Mungu atakushughulikia uwenda ukatangulia kabla hao unataka kuwatanguliza. Waliompiga Lissu malisasi zaidi ya 30 wako wapi? Lakini kwa uwezo wake Mungu Lissu anatembea.

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam ปีที่แล้ว +1

    It's nearly the end of long journey .

  • @benjaminmiselya2622
    @benjaminmiselya2622 ปีที่แล้ว +5

    Hahahaa Makonda alishawahi kumupiga mateke Jaji Warioba pale Ubungo Plaza😂🧐🤣😄😇

  • @LusajoMwajeka-tf1nj
    @LusajoMwajeka-tf1nj ปีที่แล้ว +1

    Unaongea ukweli kabisa cheki hawataki uwaseme ukweli wanataka uwasifie hata wakikosea tunawasoma coment zao hapa..

  • @SamMgonja
    @SamMgonja ปีที่แล้ว

    Umeongea ukweli mtupu

  • @thomasbrotherscotractorslt1299
    @thomasbrotherscotractorslt1299 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MWIGAADAM-r3e
    @MWIGAADAM-r3e ปีที่แล้ว

    Chawa uyooo😂😂😂

  • @nungulalyaga
    @nungulalyaga ปีที่แล้ว +1

    hii

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 ปีที่แล้ว

    Wee chawa,acha uchawa hautakusaidia chochote.

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว

    HUYO KIJANA KATUMIA LUGHA MBAYA SANA MIMI SIJAZIPENDA KABISA. ILA MAKONDA NI MWAMBA NAJUA ACHANA NA HAWA WAIMBA NYIMBO. MIMI NINA MACHAGUO YANGU.... SABAYA MMOJA WAPO NAMKUBALI. HAWA WATU SIO WAHUNI...

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda ปีที่แล้ว +1

    Utamkemea Nani mbwa mkubwa shoga ngurumo

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 ปีที่แล้ว +1

    Nashauri watuwote tumwogope Mungu nyakati za vitisho na hujuma zimepita,unaweza ukatamani Sana kuua nakuwatesa wenzio wakati huohuo nawewe pumnzi uliyonayo yupo mwenye uwezo nayo,nawewe huna uwezo nayo.

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 10 หลายเดือนก่อน

    Wape Ukweri Wasipoelewa Watajijutia Wenyewe.

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 ปีที่แล้ว +1

    Kwani ccm ikitafunwa inakuuma nini?? Pambana na hali yako huko Sweden wakutafuneee!😂😂😂

  • @hamisijuma8124
    @hamisijuma8124 ปีที่แล้ว

    We kila siku habari za watu za kwako ziko wapi

  • @KidijeiNuru
    @KidijeiNuru ปีที่แล้ว +2

    Yaani akitokea tu mtu wakumshona huyo mungu wako lisu unababaika kweli matapeli wakubwa nyinyi

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 ปีที่แล้ว

    Character is the greatest virtue of any human being.
    Any leader who lacks character is a threat to any nation.
    There is a world of difference between a leader and a politician. A leader is most concerned of the next generation, while a politician is most concerned about the next election.
    Tanzania tuliwekewa misingi bora na hayati baba wa taifa letu mwl. JK Nyerere. Hata ccm aliwawekea chuo cha kivukoni kupika viongozi walioandaliwa,waliofunzwa maadili wakapimwa na kuonekana wameiva, ili wakipewa nafasi waweze kuzitumikia kwa weledi na uzalendo wa hali ya juu.
    Lakini leo mtu akionekana anajua kutukana bila woga, anamudu kupiga mkwara na kutisha watanzania wenzake, huyo ndiye anaonekana anatufaa. Uadilifu si mtaji tena, bali ugangwe na ubabe. Enzi za ugangwe zilishapitwa na wakati. Tusilirudishe taifa kwenye historia.

  • @kastulideemay6721
    @kastulideemay6721 ปีที่แล้ว +4

    Sijaelewa kilitokea kwa chama chetu, kabla hajaendelea kutuambia huo upumbavu wake atafakari yaliyomsibu mjinga mwenzie musiba

  • @omarimaftah-wu5zb
    @omarimaftah-wu5zb ปีที่แล้ว +2

    Bado siamini kama bado kuna mbuzi wanao fanana na binadam wana akili za kimalayamalaya sampuli hii ...eti unategemea mtu mpumbavu wa aina hii ana mke wachilia watoto...watoto unaweza kuzalishiwa na watu wengine huyu hata kama yupo ni kibondo chololo.

  • @hassanbk6138
    @hassanbk6138 ปีที่แล้ว

    Simba sport club

  • @Francis-kx1sb
    @Francis-kx1sb ปีที่แล้ว

    Makonda nijambaz tu tena muaji

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd ปีที่แล้ว

    Ccm inavibaka vingi

  • @orestsanga6294
    @orestsanga6294 ปีที่แล้ว +2

    Wahuni wamepata nafasi ndani ya chama.
    Kwasababu ya nafasi za kuteua; CCM imegeuka kuwa genge la wahuni, wahuni huteua wahuni wenzao. CCM imepoteza dira toka chama cha siasa hadi kuwa chama cha waua siasa.
    Wapinzani watafute namna nyingine ya kuikabili ccm badala ya kutegemea siasa pekee, vinginevyo ccm ya zama tulizonazo itaendelea kuiharibu hii nchi kwa michezo yake michafu.

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa mpuuzi sana sijawahi kuona point ya maana. Yeye kafanya nini hasa saidi ya piga domo tu

  • @OmarButotela
    @OmarButotela ปีที่แล้ว

    Hataki waguswe atazalishwa yeye

  • @jamesmsengi7483
    @jamesmsengi7483 ปีที่แล้ว

    Jamani tusiwalaumu sana sindano za korona wengine zinawadhuru

  • @GgSaw-vi4mo
    @GgSaw-vi4mo ปีที่แล้ว +1

    Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa!!!

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 ปีที่แล้ว

    Wee fateni bora uhaingaike na maisha yako ni muongo mfatanishi

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  ปีที่แล้ว

      😆 😂 😆 Huu ndio mchango wako? Asante!

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 ปีที่แล้ว

      @@AnsbertNgurumo Fitina mbaya hizo muogope mungu wako brth. Kuna kufa ukumbuke better ufanye mambo yako ya akhera yako na familia yako kulikoni kusema uongo mtupu na fitna. Hazito kusaidia chochote brth. Hangaika na maisha yako na family yako, kulikoni kuhangaika na UFATANI

  • @ndakimanyakenda1519
    @ndakimanyakenda1519 ปีที่แล้ว +1

    Uchambuz wako wa upande umoja tu mbona hukumkemea lisu baada ya kumtukana ras mpaka mama ameona dawa ya moto ni moto

  • @ChristopherLazaro-yy3fb
    @ChristopherLazaro-yy3fb ปีที่แล้ว

    Kweli kaka wape ukweli

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 ปีที่แล้ว

    Goliati alimdharau Daudi,matokeo yake akafa.....Mi yangu maombi tu

  • @elitupenzemmbando
    @elitupenzemmbando ปีที่แล้ว +1

    Acheni upumbavu nyie wachangiaji. Uchawa hautalipeleka Taifa hili popote.

  • @KidijeiNuru
    @KidijeiNuru ปีที่แล้ว

    At unawafundisha kufanya uteuz we bure Sana kwani we nikada wa ccm

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 10 หลายเดือนก่อน

    Jamani huyo goliati anaetamba na kujigamba hajui kwamba mchimba mashimo hutumbukia mwenyewe ujue mwenye kibuli hushushwa na kutupwa chini wananchi hatumkubali mtu kwa kututisha ubabe

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 9 หลายเดือนก่อน

    Ndugu yangu kabla hujasema ccm angalia kuwa dunia iliumbwa na Mungu na serikali imewekwa.na Mungu

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  9 หลายเดือนก่อน

      Ibilisi aliwekwa na nani?!

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 9 หลายเดือนก่อน

      @@AnsbertNgurumo shetan.ni kimelea hajawekwa na mtu

  • @benolduka
    @benolduka ปีที่แล้ว

    Nikiuliza we nani namuuliza huyo kijana anaetishia eti atakaemgusa.......atazaa nae......

  • @mtewelemtewele0260
    @mtewelemtewele0260 ปีที่แล้ว

    Hili nalo sjuw limetoka wapi tena jaman kwel ngurumo unafanya utafit hapana mtu apo

  • @rejobu9723
    @rejobu9723 ปีที่แล้ว +1

    Binafsi naamini CCM inauwezo ndiyo maana hakuna kikundi kinachoweza iondoa madarakani!

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 ปีที่แล้ว +2

      Wewe hunamacho namasikiyo ebufikilia chaguzi bila mapolisi bebabeba haipokabisa

  • @nongollohsuleyman9734
    @nongollohsuleyman9734 ปีที่แล้ว

    Bado huja tetea taifa unashambulia chama kwa kujenga chama sisi huku mitaani tumeshakomaa matatizo ya nchi bado huja tamka hata moja tukianzia harakati mpaka uhuru usitujenge kinafk

  • @carolinerubeya7817
    @carolinerubeya7817 ปีที่แล้ว

    Wewe mwenyewe ni muhuni tu na mjinga kabisaa

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  ปีที่แล้ว

      Ona anayeniita mjinga sasa!!! Ama kweli!! 😂😄 🤣 😂.

  • @AloisMosha-uv2fu
    @AloisMosha-uv2fu ปีที่แล้ว

    Amaa kweli ukistabu yamusa utakutana nawauni

  • @sholavalencemgimwamgimwa2812
    @sholavalencemgimwamgimwa2812 ปีที่แล้ว

    Mhuuu...kazi ya shetani

  • @hajikadoma1652
    @hajikadoma1652 ปีที่แล้ว

    Achaushamba we ongelea huko ulikokimbilia Tanzania iache na maisha yake Bwege ww

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu bwege yupo wap

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 ปีที่แล้ว +2

    Mbona umekondeana hivyo???? Umepaukaaaaa umekuwa kituko mropokaji

  • @hamissomary6869
    @hamissomary6869 ปีที่แล้ว

    Hilo pumbavu sengeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @benolduka
    @benolduka ปีที่แล้ว

    We nani

  • @LevisMk
    @LevisMk ปีที่แล้ว

    Naomba namba za huyo mjinga asiyejielewa na anayejipndekeza

  • @henrylyimo8491
    @henrylyimo8491 ปีที่แล้ว

    mwenezi toka ccm izaliwe alikuwa kingunge ngombale mwiru

  • @bashirusalumubashirusalumu7140
    @bashirusalumubashirusalumu7140 ปีที่แล้ว

    Makonda mnamuogopa mbona alipo muweka hamidu Shaka na Sofia mjena hamjasema tula mnyolewe

  • @mtewelemtewele0260
    @mtewelemtewele0260 ปีที่แล้ว

    Walikuwepo Akina msiba sjuw walipotelea wapi kuw Makin

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo ปีที่แล้ว +1

    Baba huyu mtu nae nikiongoz? Mbona anabweka Kama mbwa mwenye kichaa. Daa ,! Inauma sana

  • @ekisuka1
    @ekisuka1 ปีที่แล้ว

    Unakosea, unaongea kwamba muhuni, kwako kwetu wengine alikuwa mkombozi

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 10 หลายเดือนก่อน

    anaowatajwa wasiguswe naona ni miungu hawatakiwi kuambiwa ukweli hawatakiwi kuhadhaliswa kwa chochote hawatakiwi kukosolewa maana wanajua kila kitu ni mungu watu hao sisi tuwasikilize tu tusihoji chochote ? Huu ni ubabe wa jela

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi wanapoongea wanaelewa kuwa Inchi hii ni yetu sisi sote na tuliwekwa na Mungu hapa Tanganyika. Sasa labda yenu mlio batiza ati Tanzania. Sisi watanganyika hatuna hata chama ni tuna dini zetu nyingi na Tanganyika haikuwa na dini. MSITUTISHE! huyo mama sasa ni zaidi ya miaka 60 ulikuwa unamlinda? Alilindwa na Mungu leo unatafuta uchawa ati utampigania! Na hao wote unajigonga kwao si watoto wamelindwa na Mungu. Mbona Makonda alipokuwa Kigamboni hatukukusikia ukijigamba hayo yote?
    Leo kwa kutafuta uchawa unajitapa tapa nini! Nyie watu WA CCM acheni kututisha Tanganyika ni yetu wote tukikufaham kuwa unapoteza watu Mungu wetu atakushughulikia vilivyo.

  • @herijaphet
    @herijaphet ปีที่แล้ว

    Dunia inabadilka mzee acha kukariri mbinu. CCM ina mtaji mkubwa

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  ปีที่แล้ว

      😆 hamjifunzi! Mtaji? 😆 😂 😆 😂

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 ปีที่แล้ว

    daaa hiiii