TOYOTA IST: Kwanini Zinaibiwa ? ,Zinaibiwaje ?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 178

  • @MaryamMstf
    @MaryamMstf วันที่ผ่านมา

    Asante kaka ukweli wako

  • @ME-kb8rk
    @ME-kb8rk 2 ปีที่แล้ว

    Asante kaka Snash, nahitaji mawasiliano ya fundi Choki

  • @1000Brain
    @1000Brain 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana SNASH umefanya kazi ya maana

  • @jacksonmadeje5056
    @jacksonmadeje5056 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka kwa elimu

  • @subimbeba4526
    @subimbeba4526 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa sana siyo yule mwenzako kumsifia diamond kilA siku

  • @hatiburamadhani9875
    @hatiburamadhani9875 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali mzee. Una voko sana

  • @latestversiontv5256
    @latestversiontv5256 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana

  • @SAID_BIN_ALI
    @SAID_BIN_ALI 3 ปีที่แล้ว +19

    Nipo Tandale nauza spare za gari hamna gar Inayo rejesha hela na faida kwa haraka zaid km ist hata uinunue ghali gan bs ist mauzo yke haraka Zaid

  • @makiwilson2322
    @makiwilson2322 3 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha

  • @Dummy_photographer
    @Dummy_photographer 3 ปีที่แล้ว +12

    Nakubali san mwnang wa take in Swahili 🙏🙏 next time ntaomba utuletee movie zlizofungiwa kwa kuwa znatisha zaidi duniani

  • @reginamanyangu6682
    @reginamanyangu6682 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwakutuelimisha jmn

  • @princegabriel3770
    @princegabriel3770 3 ปีที่แล้ว +13

    inaitwa GPS (Global Positioning System) na sio GPRS

    • @evaristjohn2439
      @evaristjohn2439 3 ปีที่แล้ว

      Kwanini sio GPRS!????

    • @mbwanahabib2943
      @mbwanahabib2943 3 ปีที่แล้ว +2

      @@evaristjohn2439 GPRS ni aina ya mawasiliano ya simu (General Packet Radio Service)

    • @evaristjohn2439
      @evaristjohn2439 3 ปีที่แล้ว

      @@mbwanahabib2943 maelezo hayatoshi!!!
      Swali ni Je, haiwezi tumika Kwa kazi husika!!!

  • @godwinarnold5344
    @godwinarnold5344 3 ปีที่แล้ว +4

    Hapa nimepata elimu mbili kwa mpigo, kuzuia wizi na kufanya wizi, I never knew mafuta ya nywele Carl yanaweza kuvunja kioo

  • @abasadidal7
    @abasadidal7 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani sana kaka kwa kutujuza kuhusu suala hili la wizi wa gari za IST

  • @kangaboy730
    @kangaboy730 3 ปีที่แล้ว +17

    Jamaa nimemuelewa sana hapo kwenye kubadili fundi wa gps

  • @muchimuslim331
    @muchimuslim331 3 ปีที่แล้ว +8

    Kali kinoma noma 💪

  • @bensonmwananchi7701
    @bensonmwananchi7701 3 ปีที่แล้ว +1

    Unarafudhi nzuri sana mkuu snash

  • @agreyaloyce432
    @agreyaloyce432 3 ปีที่แล้ว +1

    Mafuta ya nywele ya wanawake sio powa 😂😂😂 but nimeipenda hii elimu brother tenx alot mabrother

  • @slimdadybaishe8948
    @slimdadybaishe8948 3 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali broo jitihada wajada mung akusimamiee kwa uwezo huuu"

  • @jastinefaustin9982
    @jastinefaustin9982 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana

  • @ayubumheza7510
    @ayubumheza7510 3 ปีที่แล้ว +2

    Tusaidie kutupa review 2021 lexus lx 570

  • @megasious
    @megasious 3 ปีที่แล้ว

    Wezi noma sana kabla ya kuiba gari wanaanza kwanza kuiba paka kadhaa

  • @mosasmwailene1626
    @mosasmwailene1626 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante saana kaka umetufungua macho Ila naomba namba ya fundi

  • @shabilukhatibu9700
    @shabilukhatibu9700 3 ปีที่แล้ว +3

    Duuuuh noma sanaaaa

  • @losttribe007
    @losttribe007 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah bro, big up sana.. One love

  • @gaddafi_og1966
    @gaddafi_og1966 3 ปีที่แล้ว

    Mmetisha kinomanoma

  • @tamimusoftware
    @tamimusoftware 3 หลายเดือนก่อน

    Dah! Jamaa atali sana wewe ni fundi sana kaka

  • @yakiniramadhan8921
    @yakiniramadhan8921 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice work mtu wa nguvu

  • @nicksonmusa194
    @nicksonmusa194 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakuelewa sanaa kaka

  • @Xinho-25
    @Xinho-25 7 หลายเดือนก่อน

    Brother ukifanya review ya volvo na mazda itakuwa pouwaaaah sana

  • @dennisdeogratius6558
    @dennisdeogratius6558 3 ปีที่แล้ว +2

    Sas lkn bro si kuna ile alarm ambayo pia unaeza kufunga na kikata mafuta

  • @edwardemanuel3260
    @edwardemanuel3260 3 ปีที่แล้ว +2

    Br me naomba nijuzwe kuhusu uwezo( tone), bei na ubora ( aina) ya townace Gari ya mizigo ahsante

    • @simbascdailysimbasctanzani2835
      @simbascdailysimbasctanzani2835 3 ปีที่แล้ว

      Townace ina kuja na uwezo wa 1500kg ila wana fumua bodi wana funga ubao ita beba hadi tani 5

  • @JtanyMedia
    @JtanyMedia 3 ปีที่แล้ว

    Kazi safi kaka

  • @samirakali6534
    @samirakali6534 3 ปีที่แล้ว +1

    Umetuzinduw broo

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa wezi hao wanakuwa na paka wengapi?

  • @saidhamad9723
    @saidhamad9723 3 ปีที่แล้ว +3

    Video ya kuelimisha pia ni ya kutengeneza wezi wapya 🤗

    • @ericksagara1719
      @ericksagara1719 3 ปีที่แล้ว

      Ndugu, wezi wote wanajua.
      Hapa aneyeelimishwa ni mimi na wewe ambao tulikuwa hatujui. Ili wenye magari wafunge GPRS

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 ปีที่แล้ว

      @@ericksagara1719 napia hiyo technique ya paka ikitokea ni vzuri uwashe taa za ndani na kufungua pazia ili jamaa waone umeshtukia mchezo😊

  • @marwawilliam3648
    @marwawilliam3648 3 ปีที่แล้ว +2

    Sawa: INAIBWA sio kuibiwa

  • @VON-NYANGARIKA-149
    @VON-NYANGARIKA-149 หลายเดือนก่อน

    SIO KUIBIWA NI KUIBWA ; lakini mawaidha ya video yameeleweka

  • @ramadhaniayubu6103
    @ramadhaniayubu6103 3 ปีที่แล้ว

    Daaah kweli bro nakubali

  • @isamalmahruqi.8327
    @isamalmahruqi.8327 3 ปีที่แล้ว +1

    Hi please do review of samsung galaxy watch 4 please.

  • @newboeeighteenth4080
    @newboeeighteenth4080 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatari na nusu

  • @khamissalmankhamis1587
    @khamissalmankhamis1587 3 ปีที่แล้ว

    Bug up Bro!
    Well educated African talent....

  • @davidandrew6620
    @davidandrew6620 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe ndo wew😂😂😂 respect kukujua

  • @kituapeter
    @kituapeter ปีที่แล้ว +1

    Mi mdau wako mkubwa kaka , naomba ufanye review Ya Volkswagen beetle .....na Bei yake

  • @khamisali9293
    @khamisali9293 3 ปีที่แล้ว

    Namba,one,kali kinoma noma

  • @mgasa_tz
    @mgasa_tz 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakuelewa sana kaka.! 💪

    • @snashtz
      @snashtz  3 ปีที่แล้ว

      Salute mkuu

  • @farhanbashir2231
    @farhanbashir2231 3 ปีที่แล้ว

    Wabongo acheni uongo na maneno ya kusikia hakuna lolote.

  • @samsonmwituriagitau1224
    @samsonmwituriagitau1224 3 ปีที่แล้ว

    Nitumie namba ya fundi

  • @mwanaishamohamedi3067
    @mwanaishamohamedi3067 3 ปีที่แล้ว

    Shukurani

  • @KUBWAKULIKOTZ
    @KUBWAKULIKOTZ 3 ปีที่แล้ว +2

    Snash hongera sana brother najifunza mengi sana kwako💪

  • @florianscarion5085
    @florianscarion5085 3 ปีที่แล้ว

    Makini sanaa 🤝

  • @aloysfussi3900
    @aloysfussi3900 3 ปีที่แล้ว +2

    Gud job snash

  • @abdulkarimurassa3548
    @abdulkarimurassa3548 2 ปีที่แล้ว

    GPS zinauzwa bei gani?????

  • @devidimamu2936
    @devidimamu2936 3 ปีที่แล้ว

    Mkali wangu matrix Iko hewani nakukubali kinoma noma # movie in Swahili

  • @eastafricanmusics
    @eastafricanmusics 3 ปีที่แล้ว +1

    #tech in Swahili 🙌🙌

    • @snashtz
      @snashtz  3 ปีที่แล้ว +1

      Hashtag ni ile ile

  • @samdon1912
    @samdon1912 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa xana

  • @nickminja704
    @nickminja704 ปีที่แล้ว

    snash bana

  • @kenlubisia7045
    @kenlubisia7045 3 ปีที่แล้ว

    🇰🇪🐸 Safi sana kaka 👍

  • @aloycendalech9446
    @aloycendalech9446 2 ปีที่แล้ว

    Kuweka GPRS shiling ngapi !?

  • @edgerenockmashagwa864
    @edgerenockmashagwa864 3 ปีที่แล้ว +1

    kaka naona mirady ndani yako

  • @mpegesaaswile6581
    @mpegesaaswile6581 3 ปีที่แล้ว

    Yanaibwa au yanaibiwa

  • @ibrahimaboker9086
    @ibrahimaboker9086 3 ปีที่แล้ว

    Sio GPRS
    Inaitwa GPS
    Global Positioning Setlite.

    • @hardymtemi2545
      @hardymtemi2545 3 ปีที่แล้ว

      Ni Global Positioning System

  • @ahz6907
    @ahz6907 3 ปีที่แล้ว +1

    Gprs inapataje moto?
    Kama inachukua moto kutoka ktk betri ikichomolewa betri si itakuwa haifanyi kazi?

    • @guliolasimujanjatanzania7461
      @guliolasimujanjatanzania7461 3 ปีที่แล้ว

      GPS Baadhi zina betri inayokiwezesha kujiendesha chenyewe hata betri inapochomolewa

    • @ommytzu4261
      @ommytzu4261 3 ปีที่แล้ว

      Inauwezo wa kukaa na charge kwa siku tano Ata kama umechomoa battery

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 ปีที่แล้ว

      @@ommytzu4261 ok nimejifunza.asante

  • @_Drezzy
    @_Drezzy 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmh salute

  • @samsonkazimoto856
    @samsonkazimoto856 3 ปีที่แล้ว +1

    Yanaibwa sio kuibiwa

  • @mbokaandbahatitv8509
    @mbokaandbahatitv8509 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda hii channel

  • @mcmifukotz7267
    @mcmifukotz7267 3 ปีที่แล้ว +2

    Akili kubwa watu wanatumia

  • @mohamedtindwa9794
    @mohamedtindwa9794 3 ปีที่แล้ว +1

    Snash umezingua,zinaibwa au zinaibiwa?

  • @ericktemu2108
    @ericktemu2108 3 ปีที่แล้ว

    Father, Toyota habari za IST watakupaje msaada wakati alieleta gari ni B FOWARD , hapo umejikanyaga. Kazi unayotaka kufanya ni sawasawa na kwenda kushtaki mauaji ya magenge MEXICO

    • @dennisevarist
      @dennisevarist 3 ปีที่แล้ว

      Hujui kuwa toyota wana office yao hapa dar, na kampuni nyingi za magari wapo suzuki, bmw n.k

  • @omarykimamure7656
    @omarykimamure7656 3 ปีที่แล้ว

    #Xnaxh tz mtupekee nnaye kwambia teknoloj kwa lugha ya kixwahili

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 3 ปีที่แล้ว +3

    SASA kama hivyo basi na magari ndugu yake yangekuwa yanaibiwa

  • @benga_mc4652
    @benga_mc4652 3 ปีที่แล้ว

    Big up saaana sema hao walio dislike sjui ndo wizi wenyewe

  • @eizerbitz6715
    @eizerbitz6715 3 ปีที่แล้ว

    Kalkiti ni juani tu ndio inafanya kazi. Hata kwenye mabasi mwanamke aliyepaka hayo mafuta hakai dirishani

  • @ajheemclassicaltv7608
    @ajheemclassicaltv7608 3 ปีที่แล้ว +1

    WATUMIAJI WA MAGARI HAPA TANZANIA ASWAAA DSM NI IST HAIWEZI PITA DAKIKA 5 HUJAPISHANA NA IST

  • @denisstephano
    @denisstephano 3 ปีที่แล้ว

    Asanteh kwa hii elimu

  • @petersonemilian7275
    @petersonemilian7275 2 ปีที่แล้ว

    T-shirt izo za snash ntapataje

  • @abdulruyobya2149
    @abdulruyobya2149 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ana utaalam wa wezi

  • @lebronmbando201
    @lebronmbando201 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania tuna magari mengi hatuna viwanda vya spare za magari

  • @altootto5584
    @altootto5584 3 ปีที่แล้ว

    Mambo yanaenda akibadilika kweli kipindi hicho wizi was Suzuki Escudo ilikuwa Kama huu wa IST

  • @ediboutros5464
    @ediboutros5464 3 ปีที่แล้ว

    Wacha ni nunuwe benz sasa

  • @ShamteHalfa
    @ShamteHalfa 18 วันที่ผ่านมา

    Umetsha saana

  • @issasuleiman1248
    @issasuleiman1248 3 ปีที่แล้ว

    Snash genius

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 3 ปีที่แล้ว +5

    GPRS bin GPS 😂

  • @ibrahimovicstanson3761
    @ibrahimovicstanson3761 3 ปีที่แล้ว

    Hii ndo bongo bhana

  • @zubeiramlanzi2480
    @zubeiramlanzi2480 3 ปีที่แล้ว

    Dawa ya wezi ni patrol usiku kucha hamna Cha alarm wala gprs

  • @godfreysangu8954
    @godfreysangu8954 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda hii fundi

  • @bikilamngashabani3263
    @bikilamngashabani3263 3 ปีที่แล้ว

    Ngoja nikatoe na Betty labda waje na lao

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 2 ปีที่แล้ว

    Napata shda ya kutemeba kwa miguu wakat mke wngu anamafuta ya utajiri, ngja nmdanganye hapa nitampa laki 3 nikabebe IST ya watu 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @allyfadhili
    @allyfadhili 3 ปีที่แล้ว

    Kwni IST haina immobilizer key?

  • @daviestorome1555
    @daviestorome1555 3 ปีที่แล้ว

    Watanzania ni wanafiki baadhi Yao na pia ni matapeli

  • @elimunimwangatv7029
    @elimunimwangatv7029 3 ปีที่แล้ว

    Brother Naomba namba yako

  • @antonykashube2065
    @antonykashube2065 3 ปีที่แล้ว +2

    Yanaibwa sio yanaibiwa. Good work though!

    • @BongoCryptos
      @BongoCryptos 3 ปีที่แล้ว

      Yanaibiwa ni sahihi zaidi.

    • @antonykashube2065
      @antonykashube2065 3 ปีที่แล้ว +1

      @@BongoCryptos Kafanye utafiti vizuri. Mtu anaibiwa gari. Lakini gari lenyewe linaibwa.

    • @reggaedub6114
      @reggaedub6114 3 ปีที่แล้ว

      @@antonykashube2065 ktk kiswahili kuwa wingi na moja gar moja imeibiwa
      Gar nyingi zimeibiwa

  • @BenLeeBl
    @BenLeeBl 3 ปีที่แล้ว

    vip kuhusu kill switch

  • @godfreymtazama4581
    @godfreymtazama4581 3 ปีที่แล้ว +4

    Snatsh we are together 💪

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa pia ni mwizi tu😂😂

  • @johnyanda4366
    @johnyanda4366 3 ปีที่แล้ว +1

    Choki balaa anaongea kwa uhakika

  • @aulamongi2020
    @aulamongi2020 3 ปีที่แล้ว

    Nahitaji IST am very Serious

    • @msowamhokole7714
      @msowamhokole7714 3 ปีที่แล้ว

      Ya uwiZi ama ya halali sema chap

    • @aulamongi2020
      @aulamongi2020 3 ปีที่แล้ว

      @@msowamhokole7714 😃😃😃😃😃😃😃😃😃

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 ปีที่แล้ว

    Sijui kwanin watu wanapenda ist 🤣

  • @nicholasnasson5426
    @nicholasnasson5426 3 ปีที่แล้ว +2

    uyu jamaa kapitia Nini simuelew

    • @albajuntv8946
      @albajuntv8946 3 ปีที่แล้ว

      Shukran sana leo umejiongeza mtaani

  • @dramamusic3008
    @dramamusic3008 3 ปีที่แล้ว +3

    Gpls