DIAMOND, HARMONIZE na ALIKIBA wakalishwa MEZA MOJA IKULU DODOMA mbele ya RAIS MAGUFULI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2020
- Kutoka Ikulu Chamwino Jijini Dodoma @harmonize_tz @diamondplatnumz @officialalikiba wawekwa meza moja
Unadhani CCM kupitia Rais Magufuli mahasimu hawa wanaweza kufungua ukurusa mpya wa maelewano?
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#HARMONIZE #DIAMOND #ALIKIBA - บันเทิง
Naona Nguvu ya Konde boy jeshiiiiiiii ✌
Best African Musician
One of the best things I have seen, Wonderful
Nani mwingine a hufuatilia watanxania kaa mm
Much love from 254.
Konde boy....well done
Magufuli...mungu akupe maisha marefu
Imagine mm huangalia magufuli hata Kenya yetu sina habari nayo Leo magu ametuwacha😭😭😭😭😭
I wish I was there, I Iove it when I see harmonize, king kiba Na diamond pomoja
44t
Nimependa sana nafurahi sana kuwaona wakukaa sehemu mmoja yani wangeelewana tu wakaendesha music ufike mbali. From burundi, 🙏🙏🙏🙏
Wanaweza kukaa pamoja na siku zote wanaongea na kuwasiliana kwa simu, ila hii ni BIASHARA YA BURUDANI au BIASHARA YA SANAA. 😀 umeelewa....?!
Sallm gan unamsemea na ww khaaa si wanadam bhn
Tatzo ni sisi mashabki ndio sababu ya wao kuhitirifiana lkn wenyw hawana xhida
Napenda Tu tabasamu la Mzee wetu apo MAGUFULI❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹
Mwenye anakubali like hapa
Magufuli my best president in East Africa
Not only in East Africa but in entire Africa he is the best
Namupenda xana maguful i wish ningekua mtz bt I'm from kenya
Tanzania the best music hit platinum
Huyu mzeeeeee kweli
Watching from kenya ,,,,,wapi likes za Harmonize
Noma sana
harmonize with the ambition ya kujenga talent na bidii yote it is amazing ata kama aliweza kutegwa na mwanzilishi diamond yeye kweli ni jeshi, he must go places and achieve more than he has, what do you think diamond is feeling being there akiwitness mtu anaumbua akiendelea vema
Am here for konde gang
Hapo Safi wangu mkipendana mziki utakuwa halaka
Dctr magufuli i salute u always i wish ungekuwa president of kenya cz my country is just under corrupt leader from top to bottom everyone is corrupt i will take dual citizen Tanzania big up
Am happy kuona wako pamoja! Big up
Much love to Alii king❤❤
Conde boy, jeshiiii
Much love for 254...
That's great 👍
Tz noma yaani campaign za kwenu ni show za miziki hehe sasa diamond aimbe next nyegeze sahii ako na free pass
💥🐘🐘🐘🔥🔥🔥
Mzuri kabisa
Ukiacha Ushabiki Harmonize Katisha Kubali Kataaa👏
Uko vzr
kbsaaaaa aseee
Yaani wewe badala uunge mkono umoja huu wa ajabu bado una ...😀😀😀
Ila harm kaweza😄
Hii sengeli kali ya hamonize
So proud of you guy's love you 😘❤❤❤❤❤
❤
Very nice, UMOJA NI NGUVU
Simbaaaaaa❤❤❤❤❤❤
Kweli msanii ni mtu mkubwa kuliko sakala mwenye kujulikana mitandaoni tu. .. Sallam na mbwembwe zake kaonekana boya tu kwa tukio la leo
🎉
Siiiiiimbaaaaa,💪💪
Diamond amempa maisha
Mamb❤
Kweli konde ni Jeshiii
Mastaa nimeona
Mond nomaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😎
Hatari
Dah mzee wetu ana zeeka aisee
Majukumu mazito 😩😩😩😩😩
😅😅😅😅
Harmonize se no Noma❤️
Ni ujinga sana kuamini mwaka huu uchaguzi kwa ccm na mgombea wake ni rahisi wakati hatuna tume huru bali tunayo tume teule ya mgombea wa ccm na dola ambayo imekuwa pumzi ya ccm! Nafikiri munatakiwa kuwa watu wa kujitambua sio wa kijipendekeza ili kupata unafuu na kuteuliwa kwa kupewa majimbo.
Naomba kukutana na diamond platnum
Konde baraa nakubar xana
Harmonize 🔥🔥🔥💯❤️
Kuna watu wanamchukia diamond kwasababu ya harmonize lakin hawajui nan kawafanya kumuona
Utabaki nyuma Mbaka lini bila clous usinge mjua mond so wasafi usiwasifie isifu clous Sasa
Konde kafanya vizuri wacha ushabiki kubali alicho fanya .......😁😁😁
Ishi kimafanikio Ndugu utakaa home ulelewe mbaka lini Konde is the best features...
Safi hapo
Konde Gange the best One
Hii Imekaa poa sana
Who is still complaining a bout DiMond's performance
Mfalme ni mfalme hata mseme Nini!!!!.
Konde gang💪💪
Daaaaaaaamn...
Yooo ye baba💖🙏 simba mondi💖🥀tembo konde boy
I love you 😘💕 much harmoniz
Duh nimeipendasana
Konde katisha
Harmonize❤❤🎉
Wow
Ikopoa
ibraah
Ebwana simbaa nakukubali saanaa
❤❤❤❤❤
Jishi anazidi kuimba
King kiba for life
Kweli
Baraka
Tanzania kweli hakuna corona.........😷
Andrea
Siyo mbay
Heshima kwako mwanga Wa taifa langu teule prdar Jon p magufuri
Raha kweli
Atari sana simba
Patorng simi
anaependwa acha apendwo
Konde umeuaaa!!😂😂duu diamond itabid ashangilie tuu maana ndo ccm
😀😀😀
Wakati wa magufuli ulikuwa ni wa aina yake milele atabaki kuwa rais wa kipekee Tz hata iwajee nampenda Magufuli ht ifike miaka miaaaa hatupo nae akn ntaendelea kumwombeaaa Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi Pumzika kwa amani baba yng kipenzi 🇹🇿🇹🇿😥😥♥️♥️♥️
Rais magufuli nashukuru sana
Weuweeèeeeeeeeeee
Mmmmmh,show Kali,, mond kama mond.
Muzurikabisa
Harmonize kanirudisha hapa tena
Aya sasa
Ibraah
Kauwaaaa
Eti sauti ya jeshi 😂😂😂
Tanzania is way too young country.
Apo nivizuri sana wapendane 💔💔
Simbaaaaaaaa ww ni myamaaaaa
Oyooooooo
Tanzania...alikiba
Nakubaliana na wewe
Walikaa pamoja wameongea?
Simbaa dah...!!
Nimefurahishwa na wote
Konde katishaaa
Luat akola
Baba lao uko vzr
Raisi ndo kafanya ivyo .jamani shida mgu panda mgu mande.
Jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kampuni ya pesa
Simbaaaaaa